Allah akuzisishie elim ya manufaa na matendo yenye kukubalika na mwisho mwema Allahuma amiiin
@anwary_sultan23 күн бұрын
Maashallah me naona waislam tutakua tumefanya jambo la maana sana tuki like na kushare kwa sana hii video waislam wapate Elimu, sahihi ya uislam Insha'Allah
@zanlec735725 күн бұрын
Allah akulipe khery Sheikh Abuu Mussa
@user-lv9cu1hn1q25 күн бұрын
Akina Dr SULLE ni wachawi waziwazi,, waisilamu wameanza kuwajua sasa.
@hamzamwaya46325 күн бұрын
Baarakallahu fiyka. Allah akuhifadhi sheikh wetu
@user-ug8hc4yh5k25 күн бұрын
Shukran sana sheikh wetu Allah atulinde na ushirikina na bidah
@QasimuSwedi23 күн бұрын
Utawaona wachawi humu kwenye komenti wakipigwa spana mapovu yanavyo watoka Allah akuongozeni wachawi
@Abuuuyaynah-dg4xn25 күн бұрын
Wachawi wa islahi
@twaibumikidadi737725 күн бұрын
Sawa kabsaa shekh Watu weng hawajui waraabı huku pia ni wachaw wagabga na hutumia vitabu sas vitabu vyao c vyakıarqbu watu hujua Quran😂😂😂😂 kweli Lazima tusome
@othmanmohd372123 күн бұрын
sheikh abuu mussa anapatikana wap
@idrisamara651022 күн бұрын
Anapatikana tabora
@user-ru1xm6og4j21 күн бұрын
Uchawi upo
@user-mh6gr6wl8p25 күн бұрын
Dr shule na amali yake
@user-ru1xm6og4j21 күн бұрын
Ww chizi uwo ni uchawi mwanga wee
@ALLYMOHAMMED-ge2cs25 күн бұрын
Mbona kina shaafi hukuwaita mawahabi wala kuwaambia wamemtia motoni na wao ndio walioanza kumradi mwanzo ?
@SAIDIYABUSHINGEDJUMA25 күн бұрын
Acha kutetea ujinga
@RamadanPaul18 күн бұрын
Shaafi anapinga ujinga wa sulle, wewe vipi!!
@jumafaki289125 күн бұрын
hivo tayari mushamtia motoni nyinyi tu ndio watu wa peponi mbona mawahabi hamwishi visa
@sharifsayyidalmahdal25 күн бұрын
Akifa kwenye huo msimamo kwa mujibu ya Quran Allah husamehe dhambi zote isipo kuwa ushirikina akifa kwenye ushirikina moto ndo itakuwa makao yake
@user-hd3pi3bc9v25 күн бұрын
Ww bichwa lako ni sawa na bakuli la maji unawatetea wachawi?! Pumbavu zako we
@jumafaki289125 күн бұрын
wewe mwehu Wacha kuheukwa huo sio uchawi pole sana uliza watu hizo alama sio uchawi wewe umjinga tafuta elimu ya hizo alama Wacha kuzuzua watu soma ujue usipumbazika