KISA CHA MALAIKA WALIOKUJA KUFUNDISHA UCHAWI- NO 1 //SHEIKH OTHMAN

  Рет қаралды 192,491

arkas online tv

arkas online tv

8 ай бұрын

Nabii SULEIMAN alikua kiboko ya Majini na alikua na Vitabu vingi sana na aliamua kuvifukia kabla hajafa IBILISI aliwaeleza majini wenzake vilipofukuliwa na Kuanza KUVITUMIA

Пікірлер: 164
@shadyahamad3724
@shadyahamad3724 Ай бұрын
Mwenyezi mungu akuhifadh shehe akupe husni lkhatima njema atujalie shahada kabla ya mauty 🙏🙏🙏
@AminaAhmadShaban-tp9zu
@AminaAhmadShaban-tp9zu 6 ай бұрын
Wengi wanaokosoa hawana wanachokijua... Allah akulipe khery Shekh Wetu kwa kutuelimisha
@Omary_Mjema
@Omary_Mjema 2 күн бұрын
Ni sawa na sigara Unambiwa mbaya inauwa sio nzuri hila we unatumia tuu
@user-ws9ch4uj1d
@user-ws9ch4uj1d 5 ай бұрын
Alhamdulillah,, nipatia elimu Koz hawa wenzetu wamisheni wanasema Kua uchawi Na unganga unatokana na uwislamu,, Na ivyo sio kweli . Kwkua wanaona Na kuskia wanganga wingi ni waislamu ,, Islami Haiko ivyo nitamaa zao Na sio mafundisho ya dinini ya Allah
@AbdiHamad-yb5kg
@AbdiHamad-yb5kg Ай бұрын
Ma Sha allah
@abdallamohamed406
@abdallamohamed406 5 ай бұрын
Swadakta Sheikh Othman Maalim, Masha'Allah nakubali
@rahmamohammed9678
@rahmamohammed9678 5 ай бұрын
Assalamu Aleykum warahmatullah wabarakatu ALLAAHUMMA SALII WA SALIIM ALA SAYYIDINA MUHAMMAD WALA ALIHI WA ASS HABIHI WA SAALAM ♥️
@MohammedPakia
@MohammedPakia Ай бұрын
Mwenyezimungu atujarie kila laher namungu atulinde namahasid
@kingramah8213
@kingramah8213 4 ай бұрын
وَٱتَّبَعُواْ مَا تَتۡلُواْ ٱلشَّيَٰطِينُ عَلَىٰ مُلۡكِ سُلَيۡمَٰنَۖ وَمَا كَفَرَ سُلَيۡمَٰنُ وَلَٰكِنَّ ٱلشَّيَٰطِينَ كَفَرُواْ يُعَلِّمُونَ ٱلنَّاسَ ٱلسِّحۡرَ وَمَآ أُنزِلَ عَلَى ٱلۡمَلَكَيۡنِ بِبَابِلَ هَٰرُوتَ وَمَٰرُوتَۚ وَمَا يُعَلِّمَانِ مِنۡ أَحَدٍ حَتَّىٰ يَقُولَآ إِنَّمَا نَحۡنُ فِتۡنَةٞ فَلَا تَكۡفُرۡۖ فَيَتَعَلَّمُونَ مِنۡهُمَا مَا يُفَرِّقُونَ بِهِۦ بَيۡنَ ٱلۡمَرۡءِ وَزَوۡجِهِۦۚ وَمَا هُم بِضَآرِّينَ بِهِۦ مِنۡ أَحَدٍ إِلَّا بِإِذۡنِ ٱللَّهِۚ وَيَتَعَلَّمُونَ مَا يَضُرُّهُمۡ وَلَا يَنفَعُهُمۡۚ وَلَقَدۡ عَلِمُواْ لَمَنِ ٱشۡتَرَىٰهُ مَا لَهُۥ فِي ٱلۡأٓخِرَةِ مِنۡ خَلَٰقٖۚ وَلَبِئۡسَ مَا شَرَوۡاْ بِهِۦٓ أَنفُسَهُمۡۚ لَوۡ كَانُواْ يَعۡلَمُونَ Na Mayahudi walifuata yale ambayo mashetani walikuwa wanawasimulia wachawi katika kipindi cha ufalme wa Sulaimān mwana wa Dāwūd. Na Sulaymān hakukufuru na wala hakujifundisha uchawi. Lakini mashetani ndio walimkanusha Mwenyezi Mungu kwa kuwafundisha watu uchawi, kwa kuwaharibia dini yao. Mayahudi pia waliufuata uchawi ulioshushwa kwa malaika wawili: Hārūt na Mārūt, katika ardhi ya Babil ilyoko Iraq, ukiwa ni mtihani na majaribio kutoka kwa Mwenyezi Mungu kwa waja Wake. Na hao Malaika wawili hawakuwa wakimfunza yoyote mpaka wamnasihi na kumuonya asijifunze uchawi na kumwambia, “Usikufuru kwa kujifunza uchawi na kuwatii mashetani.” Basi watu walikuwa wakijifunza kutoka kwa Malaika wawili vitu vinavyozusha chuki baina ya mume na mke mpaka wakafarikana. Na wachawi hawana uwezo wa kumdhuru, kwa uchawi wao, yoyote isipokuwa kwa idhini ya Mwenyezi Mungu na hukumu Yake. Na wachawi hawajifunzi ila shari yenye kuwadhuru na kutowapa nafuu. Mashetani waliupeleka uchawi kwa Mayahudi, ukaenea kwao mpaka wakaufadhilisha juu ya Kitabu cha Mwenyezi Mungu. Na Mayahudi walijua kwamba mwenye kuchagua uchawi na kuacha haki, hatakuwa na fungu lolote la kheri huko Akhera. Ni ubaya ulioje uchawi na ukafiri waliojichagulia nafsi zao kuwa ni badala ya Imani na kumfuata Mtume, lau walikuwa na elimu yenye kuzalisha vitendo vya kufuata mawaidha wapewayo
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 7 ай бұрын
Jazakallahu kher shekhe Othman Maalim, Allah akulipe Jannah inshallah 🙏
@user-zb4py9rl9c
@user-zb4py9rl9c Ай бұрын
SAW ❤❤❤ ALHAMDHULILLAH ❤❤❤❤
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 8 ай бұрын
Mtihani yarabi tusamehe waja wako pale tulipo koseya na utuongoze katika manmbo ya heri
@rizikishahari6948
@rizikishahari6948 7 ай бұрын
Amin Amin Amin! Allahumma Amin Yaa Rabb 🤲🏽
@hassanngala9894
@hassanngala9894 Ай бұрын
Shukran sheikh
@abdaladelo371
@abdaladelo371 7 ай бұрын
Mashaallh barakallah fiyka shekhe wangu kikubwa ni kua na Iman ya kwamba Alla Yuko pamoja nasi Kila wakati
@HakizimanaFiston
@HakizimanaFiston Ай бұрын
Sheih wetu tu NAKUPENDA sana
@abeliever6823
@abeliever6823 8 ай бұрын
رفع الله قدرك وشأنك ياشيخنا الفاضل
@mahmoudbadhamanaonlinedaaw7169
@mahmoudbadhamanaonlinedaaw7169 8 ай бұрын
اللهما امين
@HusseinMohamed-jq7hu
@HusseinMohamed-jq7hu 7 ай бұрын
اللهم امين
@taibamreh1785
@taibamreh1785 7 ай бұрын
I’m spsystetww we
@shinayzashiraaz4588
@shinayzashiraaz4588 10 күн бұрын
Ameeen
@bachumohamed6804
@bachumohamed6804 Ай бұрын
Mashallah ❤❤❤
@omaryally3489
@omaryally3489 4 ай бұрын
Marshall Allah atupe mwsho mwema....
@sadiahassan5316
@sadiahassan5316 5 ай бұрын
Jaazakallahu kheir , mungu atulindie sheikh wetu in shaa Allah ❤
@ZawadiHassan-dp6tw
@ZawadiHassan-dp6tw 2 ай бұрын
Hao wanaomkashifu maalim hajijui wala hawajitambui wamo tu katika dunia.waachilie mbali
@abduljecha7779
@abduljecha7779 7 ай бұрын
Maashallah, alhamdullillah
@user-pi3pg5we1c
@user-pi3pg5we1c Ай бұрын
Mashallah
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 8 ай бұрын
Maa shaa ALLAH 💚💚💚💚
@staraamr2770
@staraamr2770 Ай бұрын
As salaam alaikum ndugu katika iimaan...dua inanishinda hapa pa...Lam fii.........Amalaha. Naomba munikamilishie
@mohammedsembe9040
@mohammedsembe9040 6 ай бұрын
Shekh Othumaani ahsantum bikheyr Allah akuhifadhi
@ahmedyusuf9547
@ahmedyusuf9547 6 ай бұрын
Jazakallahu kheir
@halimaomari3415
@halimaomari3415 7 ай бұрын
Subhana llah
@AndulHida-hs5py
@AndulHida-hs5py 5 ай бұрын
Jazzak Allah kheri, Tabarak Allah feeq
@hawa6052
@hawa6052 8 ай бұрын
Mashaa Allah tabarakallah
@shabansumaiya4770
@shabansumaiya4770 7 ай бұрын
Tue tunasikiliza vizury mawaiza tusimkashifu sheikh wetu nawakati yeye anasoma yalio katika kitabu
@fareedkhalipher3590
@fareedkhalipher3590 Ай бұрын
Asalaam Aleykum warahmatullah wabarakaatuuh, shekhe wangu hao wanaokashifu hawana elimu ya dini tuwaombee tu mungu awatoe gizani
@sefuriyembe7864
@sefuriyembe7864 Ай бұрын
Wapumbavu ndo wanamkashifu shekhe huyu. Majitu yasokuwa na akili 😅😅😅
@a.856
@a.856 7 ай бұрын
Jazakallah khayran
@kingusaid7175
@kingusaid7175 7 ай бұрын
Mashaallah,mawaidha mazuri sana. Allah akulipe
@salumsodangu1372
@salumsodangu1372 7 ай бұрын
Mashallah Ballaka lwahu fii
@AishaSalumu-tv4kb
@AishaSalumu-tv4kb 7 ай бұрын
Mashaa Allah Allah akulipe khery
@shillasalimjuma6986
@shillasalimjuma6986 7 ай бұрын
Marshall ah mawaidha mazuri
@dezainermedia1035
@dezainermedia1035 5 ай бұрын
Jazakallah
@user-zy5mx5pd7u
@user-zy5mx5pd7u 3 ай бұрын
Mashallah❤
@mohdysaid2856
@mohdysaid2856 4 ай бұрын
Allahu Akbar!
@Kimochatv
@Kimochatv 5 ай бұрын
Mashaaaalaaah
@user-kp2df5zn9q
@user-kp2df5zn9q 4 ай бұрын
Inshaallah
@LastdayJesu4153
@LastdayJesu4153 6 ай бұрын
Nimefurai sana mbavu zinauma mpk wenye Imani yao wanaguna😂
@user-vf6cd9vx9w
@user-vf6cd9vx9w 2 ай бұрын
Mashallaa
@mammym4185
@mammym4185 7 ай бұрын
Allahu Akbar 😢
@zuwenasaleh4693
@zuwenasaleh4693 6 ай бұрын
Shukran shekh wetu mungu akubaarik
@othmanmasoud1672
@othmanmasoud1672 4 ай бұрын
Wengi hawajui kisikiliza wala hawajui kitu ila hujifanya wanajuwa hao huitwa wajinga unapomkosoa shekh maalim kwa makasiriko yako tu huna tofauti na mjinga
@dezainermedia1035
@dezainermedia1035 5 ай бұрын
@mzeehassan2913
@mzeehassan2913 7 ай бұрын
Arkas online TV Rekebisha anwani ya nasaha hii, usiandike jambo lolote kuhusu dini ambalo laweza kupotosha watu, kama hujui ingia kwenye vitabu au uliza wenye elimu
@umsulaiman7468
@umsulaiman7468 7 ай бұрын
Wew hasan acha ujinga mwisilam gani uso amin quran ww hujui din jina tu muislam lakin iman na taquwa huna
@RehemaOmary-xp4fk
@RehemaOmary-xp4fk Ай бұрын
Assalam alykum warahmatullah wabarakatah❤😊😊
@hanafichinemba9196
@hanafichinemba9196 24 күн бұрын
Bi Rehma nicheck
@daudimichael7338
@daudimichael7338 7 ай бұрын
Toa mfano mmoja wa Muhammad aliyosadikisha yaliyokuwa kwenye torati ya mayahudi.
@mohdali2408
@mohdali2408 7 ай бұрын
Kuabudiwa Mungu 1 tu
@ZawadiHassan-dp6tw
@ZawadiHassan-dp6tw 2 ай бұрын
Ukisikia kugombanisha watu ni kwakera watu kwa jambo lolote lile usigombanishe watu kwa dini
@jamesalphonce1889
@jamesalphonce1889 5 ай бұрын
Kwa mwenyew akili ataelewa SoMo Kwa yule asiyekuw na akili atakosoa
@user-oy6jf7nr1j
@user-oy6jf7nr1j 2 ай бұрын
@Am-vo5cu unasema mujin ni ya waislamu..na mapepo ni ya nan niyababako au..mbona nyie mnakemea mapepo au hamlijuh hilo..ungeskiliza vizur mawaidha
@munirasuleiman2006
@munirasuleiman2006 8 ай бұрын
Kwani walifundissha uchawi au kuwahukumu watu wakafanya kosa waakapewa adhabu
@muhammedwakif6216
@muhammedwakif6216 8 ай бұрын
Si uskilize
@abdillaahirichardkasisi8691
@abdillaahirichardkasisi8691 Ай бұрын
Aya mambo si ndo ya sasa,mambo ya kukanyaga mafuta,udongo n.k
@siretv6934
@siretv6934 5 ай бұрын
sehem ya pili...?
@aceofspades3728
@aceofspades3728 7 ай бұрын
Yan Mungu ndo alileta shirk!?
@user-qq4mb9nq1n
@user-qq4mb9nq1n 4 ай бұрын
Ndiyo shetwani hamiliki Chocho hiyo shiriki ni mtihani
@ZawadiHassan-dp6tw
@ZawadiHassan-dp6tw 2 ай бұрын
Uchawi mbaya no shirki mbaya jamani muache kutuia wenzenu maradhiii😂😂😂
@sefuriyembe7864
@sefuriyembe7864 Ай бұрын
Watu wasiokuwa na akili ndo wanamkashifu shekhe huyu !! Mambumbumbu !!😅😅
@Am-vo5cu
@Am-vo5cu 6 ай бұрын
Majini ni ya waislamu
@AishaAbbas-mw6ef
@AishaAbbas-mw6ef 6 ай бұрын
Au sio SS km Majin n ya waislam ww umeft nn kwenye hay mawaidha? Acha ujinga Kwan hao Majin walijiumba? Majina wao waliumbwa n Alie kuumba ww n mm ko uspende kukashfu uumbj wa mola wetu
@LastdayJesu4153
@LastdayJesu4153 6 ай бұрын
D😂
@rangos4749
@rangos4749 7 ай бұрын
Inna lillah!! Kna hii stor ya malaika wa Allah ndio waliokuja kufindisha uchawi huu huu ambao had leo wachaw wanatusumbua usiku bas kuna kitu cha kushtuka hapa aisee
@salehsultan-7554
@salehsultan-7554 7 ай бұрын
Jalibu kuelewa ulikua mtiani kwetu ivi unazan apa dunian tumeletwa bule lazma tupewe mtian ili wengne wafaulu waende pepon wanaokufulu moton
@LastdayJesu4153
@LastdayJesu4153 6 ай бұрын
Saleh akili ya kawaida tu ungeona sumu Malaika wafundishe uchawi😂
@LastdayJesu4153
@LastdayJesu4153 6 ай бұрын
Na ndiyo maana imeandikwa Yesu ndiyo njia iliyonyoka..kama imeandikwa hivo kweli chukua hatua shekh
@LastdayJesu4153
@LastdayJesu4153 6 ай бұрын
Malaika wakifundisha uchawi na shetani atafanya kazi gani shehk?
@swalehejuma6611
@swalehejuma6611 6 ай бұрын
​@@LastdayJesu4153Mwl wa karate anafundisha kujihami na siyo kudhuru watu. Kazi ya kujihami na maadui haifundishwi na jambazi
@edwardmwandu3564
@edwardmwandu3564 7 ай бұрын
mungu alituma malaiika wafundishe uchawi? Ina mungu huyo ni mchawi
@shubebunyesi542
@shubebunyesi542 7 ай бұрын
Heri na Shari zote zinatoka kwa MWZ Mungu kwani shEtani ameumbwa na nani? Kwann tunakufa kwani Mungu alishindwa kumzuia Baba yetu Adamu hasipotoshwe na shEtani kwann aliacha jibu ni kwamba iwe fundisho kwa watakao kuja kama mtihani kwetu Ili watakao faulu basi wapewe zawadi kwaiyo husishangae ndugu, Mungu ameumba malaika mtoa roho kwann je yeye ni muuaji? 24:48 apo vp nafikili apo itakuwa umenielewa na mwisho nikupe mfano huu kwann MWZ Mungu ameumbwa wanyama na wadudu wakali ambao wanaweza kudhuru mwanadamu coz anatupenda c hasinge waumba tu, kuna baadhi ya vitu ametuamrisha na ataki mjadala wala maswali wala maelezo yeye anataka utekelezaji tu ktk dunia hii kila unachokiona kimetoka Kwake mfano mwingine unaambiwa uvutaji wa sigara ni hatali kwa afya yako. Je watu hawavuti ata ktk dunia hii tumeambiwa ukitaka kufikia ufalme wa Mungu tupitie Njia hizi acha zinaa, swali, toa Dhaka, saidia myatima, heshimu wazazi kwa kifupi kutenda mema lkn je uwaoni watu wanafanya matendo maovu tena adharani? Asante kama unaziada utauliza ujibiwe
@imanmohamed2215
@imanmohamed2215 7 ай бұрын
ASTAGHAFIRULLAH😡😡😡😡😡SHAME ON YOU ( ALLAH ANAKUONA)😢
@AishaAbbas-mw6ef
@AishaAbbas-mw6ef 6 ай бұрын
Usimshirikishe Allah kwenye ujinga Kwa mambo ambayo huna uhakika nacho Alie kuumba ww usimtukane Kwa kumshrikisha n ujinga Kwan ww hujui km uchawi nao ni kiumbe km viumbe vingine sema SS waja tulio letewa ndo ne'ema hyo ndo tunaikadhibisha n badala Ake tunafnya kinyume
@nayyarnassor762
@nayyarnassor762 6 ай бұрын
Hulijui hata ulisemalo
@Omary_Mjema
@Omary_Mjema 2 күн бұрын
Kuna watu walikua wanawasuhudia wachawi wakijua ni wa Jumbe wa mungu akatuma malaika kuwaonesha watu kua hao ni wachawi na makafili..ukafili ni mtu anae muhasi mungu au mkaidi kwneye magizo ya MUNGU.Kafili ni mtu yeyote huwe muislam au sio muislam ukiwa unapishana na magizo ya mungu Basi we ni Kafili..Kwaiyo uchawi ulikuja kuwalingania watu ..labda Kama atutak kuelewa mawaidha hayo
@adorchmassimba4413
@adorchmassimba4413 6 ай бұрын
Shekher sikubaliani na hizo aya zako zinazosema malaika 2 ndoo walioleta uchawi hao maruta na aruta ni naraika wa shetani walioasi pamoja na rusifa ndoo wameleta mambo ya uchawi kwa wanadamu hapa duniani kwa ajili ya kumuasi mungu
@lookmanmustapha6366
@lookmanmustapha6366 6 ай бұрын
Rudia suratil baqara aya 102
@AishaAbbas-mw6ef
@AishaAbbas-mw6ef 6 ай бұрын
Acha kukoment kitu km huna uhakika nacho
@AishaAbbas-mw6ef
@AishaAbbas-mw6ef 6 ай бұрын
Aya gn ilio sema malaika hao walias pmj n ibiris la'anatullah au ulikuepo?
@LastdayJesu4153
@LastdayJesu4153 6 ай бұрын
Masimba njoo kwenye ukristo😂
@nayyarnassor762
@nayyarnassor762 6 ай бұрын
@@LastdayJesu4153 kama umetumwa
@feisalathumani31
@feisalathumani31 7 ай бұрын
Eti ukiacha uislam na kua mchawi hii umepata wapi
@mahamedhussen6734
@mahamedhussen6734 6 ай бұрын
Ulizatena
@mzeehassan2913
@mzeehassan2913 7 ай бұрын
Anwani ya nasaha hii imekoseka, hakuna malaika waliokuja kufundisha uchawi, REKEBISHA ANWANI HII 😢
@rangos4749
@rangos4749 7 ай бұрын
Tuambie wew hassan, nani waliokuja kufundisha huo uchawi!? Em shtuka wewee, dini yenu sio ya Mungu wa kweli weweee
@rangos4749
@rangos4749 7 ай бұрын
Hassan hutaki kuamin au unaona haiko sawa😂
@user-hx8bh1jt4k
@user-hx8bh1jt4k 7 ай бұрын
We rangos shika adabu Yako ikushike,mwana nyau wewee
@omaryhaytham2899
@omaryhaytham2899 7 ай бұрын
We mgumu kuelewa
@user-tt6jt8pz5m
@user-tt6jt8pz5m 6 ай бұрын
Ingia school
@rajabuathumani1586
@rajabuathumani1586 7 ай бұрын
Yani huyu kurafi Ana visa vya uongo Sana huyo Sufi Visa ww ndio umevisoma tu hakuna wengine
@amazingvideo1497
@amazingvideo1497 7 ай бұрын
Tuambie ww msomi
@salehsultan-7554
@salehsultan-7554 7 ай бұрын
Sheghe auna hofu yakumuandikia meseg muislam mwenzako unamuita kulaf unajua maanayake mtu anaefanya mawaiza ya tawhiid hakika ayo manene kila anaeyasoma atayatolea ushaid kiama kua makn elmu ni bahar
@user-zs6qg7ql1i
@user-zs6qg7ql1i 5 ай бұрын
Mashekh wenu hawan visa hv hawatak kusom Kaz chuki tu wahab elimu zenu ndgo mje msomeshwe
@rashidsuleiman9253
@rashidsuleiman9253 4 ай бұрын
Kwa sababu huko kwenu hakuna mwenye elimu, sasa mambo haya yapo juu ya uwezo wenu. mmeuchukua ujinga na kuuvisha kilemba na sasa mwatembea nao mitaani
@mohammedal7864
@mohammedal7864 8 ай бұрын
Hao si malaika ni binadam hata ukijiuliza tu vipi malaika wakati mitume wote ni binadam na sie mafundisho yetu anasema hao walikua wachamungu hadi Allah akawafananisha na malaika
@MohamedAhmed-xi5jk
@MohamedAhmed-xi5jk 8 ай бұрын
Quran imewataja malaika kwa majina haroota na maroota na sio binadamu kama unavyosema
@balkisamisi2131
@balkisamisi2131 7 ай бұрын
Kwani unataka kumkosowa Allah ?
@mohammedal7864
@mohammedal7864 7 ай бұрын
Sijamkosoa Allah Ila hao siwalimuasi Allah kwa kufundishwa uchawi na Allah amewasifu kwa kusema hawamuasi Allah na wenye kutuletea ujumbe wa ALLAH ni mitume tu kupitia kwa jibril a. a. Na malaika wt wanakazi zao alizowapa Allah
@wazirimakua12
@wazirimakua12 7 ай бұрын
​@@mohammedal7864Akhi, hao malaika wala hawakuasi.. Allah mwenyewe ndiye aliyewatuma kuushusha uchawi ili uwe mtihani kwa waja wake.. Ni kawaida yake Allah kutupima waja wake je tutakufuru au tutashukuru, je tutasubiri au tutakosa subra.. Kwahiyo hao ni malaika na malaika ni kweli hawaasi na wao pia hawakuasi bali walifuata agizo la Allah kuushusha uchawi duniani kwa ajili ya kuwapa mitihani watu na majini
@MohamedKimbwembwe
@MohamedKimbwembwe 7 ай бұрын
Quraan inasema malaika
@jacksonrock6535
@jacksonrock6535 5 ай бұрын
Biblia Ndo Neno La Kweli Ya YESU KRISTO Ndo Kweli Yenyewe Sasa 😂 Malaika Kama Katumwa Always Anfanya Mapenzi Ya Yule Aliyemtuma Ni Shetni Peke Yake Na Malaika Zake Ndiyo Waliokataa Kufanya Mapenzi Ya Mungu Mwisho Wa Siku Wakawa Wapo Dhidi Ya Mungu Na Uchawi Haupo Upnde Wa Mungu So Uchawi Aliyeleta ni Shetani
@mohamedimohamedi8933
@mohamedimohamedi8933 4 ай бұрын
Mungu kafa msalabani it's make sense to u
@user-oy6jf7nr1j
@user-oy6jf7nr1j 2 ай бұрын
Sas km biblia ni neno la kweli umefuta nn huku na kucoment au umetumwa au ww ndio mchawi mwenyewe😢
@user-oy6jf7nr1j
@user-oy6jf7nr1j 2 ай бұрын
Alafu Ona pimbi wewe qur an yetu site waislam tunaisoma kwa lugha moja Duniani Kote na tunaelewana sas nyie na hiyo billiards yenu iankuaje hamna lugha moja ya kuelewana km sisi ,,tunavyoisoma 🇹🇿 basi ujue hata Jamaica wanasoma vile vile..
@Daudisalim71
@Daudisalim71 Ай бұрын
Biblia hiyo hata Yesu hakuwahi ioni
@Am-vo5cu
@Am-vo5cu 6 ай бұрын
Waislamu ni dini ya majini tuu hamna lolote
@AishaAbbas-mw6ef
@AishaAbbas-mw6ef 6 ай бұрын
Km n dini ya Majin km usemavyo ww unae jifany mjuaji Sasa mawaidha yetu unayafata y nn n kwann ukoment? Oky Allah ukihifadhi n kinywa chako inshaallah
@LastdayJesu4153
@LastdayJesu4153 6 ай бұрын
Aisha dada yangu Malaika wafundishe Uchawi😂
@user-oy6jf7nr1j
@user-oy6jf7nr1j 2 ай бұрын
Sikiluza vizur mawaidha na km majini ni ndug zetu imekuaje na nyny mapepo mkakemea nijibu au umejisahahulusha😅
@saidiMsume
@saidiMsume 15 күн бұрын
Elewa maana ya neno "kukemea".Sisi tunawafukuza kwa sababu hatuna ukaribu nao lkn nyie mnaswali nao,mnawajengea vilinge,mnawaoa na kuwafuga pia.
@listonjiwe3467
@listonjiwe3467 4 ай бұрын
Hao malaika waliokuja kufundisha uchawi ni wale malaika waovu walioshushwa duniani baada ya kuasi na kufukuzwa mbinguni na ndio hao majini ambao mnasema walisilim wakati hiyo dini ni yao na ndio walioileta kupitia muhamad kwa hiyo shehe hao majini ni ndugu zenu na uchawi ni asili yenu
@user-oy6jf7nr1j
@user-oy6jf7nr1j 2 ай бұрын
Km nyie mnavyokemea mapepo mnayowapa watu kaisan kwahyo na nyie mapepo ni mama zenu na baba zenu
@user-bi4sf4uy9l
@user-bi4sf4uy9l Ай бұрын
😂😂😂😂😂watu hawaelewi hao malaika walio asi wakaletwa duniani huwajui adi leo basi ni Adam na Hawa wenyewe mkasema Eve hao ndo waliasi huko hakuna malaika mwenye anakosea mungu upo
@user-bi4sf4uy9l
@user-bi4sf4uy9l Ай бұрын
​@@user-oy6jf7nr1j😂😂😂😂😂😂muulize tn
@daudimichael7338
@daudimichael7338 7 ай бұрын
Allah alituma malaika wawili kufundisha uchawi? Haya bhana watu na dini yao😂😂😂😂
@lmaniash3268
@lmaniash3268 7 ай бұрын
Tuskilize mada ya sherkh othman na sio kichwa cha habar cha mwenye channel.
@dorcaskarago2876
@dorcaskarago2876 8 ай бұрын
kwanini waislam wana sali kwa luga ya kiarabu tu? Na kwanini mtu akibadili dini nakuwa mkristo anuawa? Ukiacha uislam nakuwa mchawi akuna kifo. And freemasonry nao wanafanya ivo ivo! mimi nina mashaka sana
@maimunasaidi
@maimunasaidi 8 ай бұрын
Wewe ni muongo uliza uelezwe vizuri hujaelewa
@mohammedal7864
@mohammedal7864 7 ай бұрын
Sio kweli Jaribu ww ingia ktk uislam kisha urudi huko uone tukikuua ndio utajua nikweli na tukikuacha utaamini kua warongo tu hao
@abdallahmmary8591
@abdallahmmary8591 7 ай бұрын
Hujausoma uislamu kwamaana Hy usiseme jambo ambalo huna elimu nayo Hao malaika wametajwa kwenye qruani, an nvema ujitambue kuwa kuwepo hapa duniani unasababu maalumu nasio kuwa umezuka TU bila sababu tumia akili acha mzaha, ukiendelea na mzaha utajuta
@octomontana4214
@octomontana4214 7 ай бұрын
Hakika ujinga ni mzigo na mtihani mkubwa!!jitahidi kutafuta elimu futa ujinga kichwani
@user-hx8bh1jt4k
@user-hx8bh1jt4k 7 ай бұрын
Ukitaka kujua jambo Fulani bas nenda Kwa wenye kulijua Ili wakujuze.Hawafanani wale wanaojua na wasiojua.Tafuta Elimu za Dini zote mbili,Yako na ya uislam Kisha utapata kujua ukweli ni ipi dini ya kweli ya kuifuata
@apexmombasa6809
@apexmombasa6809 7 ай бұрын
Ma sha Allah
@sadunabdallah7303
@sadunabdallah7303 8 ай бұрын
Mashallah ❤❤❤
@user-oy6jf7nr1j
@user-oy6jf7nr1j 2 ай бұрын
@Am-vo5cu unasema mujin ni ya waislamu..na mapepo ni ya nan niyababako au..mbona nyie mnakemea mapepo au hamlijuh hilo..ungeskiliza vizur mawaidha
@balkisamisi2131
@balkisamisi2131 7 ай бұрын
Barakallahufiyk wallahi leo ndo naelewa sababu ya hao malaika kufundisha watu uchawi
KUNA UCHAWI,MIUJIZA NA MAKARAMA  //SHEIKH OTHMAN MAALI
57:25
arkas online tv
Рет қаралды 38 М.
SIKU  YA KIAMA  SIRI  NYINGI  ZITAFICHUKA      SHEIKH  KIPOZEO
42:39
ZAINAB ONLINE TV
Рет қаралды 34 М.
Buy Feastables, Win Unlimited Money
00:51
MrBeast 2
Рет қаралды 94 МЛН
Trágico final :(
01:00
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 25 МЛН
NENO LA KWANZA LA NABII NUHU KATIKA KUTOA DAAWA // SHEIKH OTHMAN MAALIM
47:12
USIKU WA KWANZA NDANI YA KABRI //SHEIKH OTHMAN MAALIM
1:04:39
arkas online tv
Рет қаралды 339 М.
SH.OTHMAN MAALIM :- KISA CHA OMARI BIN KHATWABI 01
1:06:32
ZVP ONLINE TV
Рет қаралды 33 М.
KISA CHA BIBI ALIYETUPWA MOTONI NA IBADA ZAKE//SHEIKH OTHMAN MAALIM
30:27
Historia/Kisa cha nabii Lut (A.S) (Sehemu ya 1) - Sheikh Othman Maalim
27:43
KISA CHA NABII YUNUS NA SAMAKI CHEWA// SHEIKH OTHMAN MAALIM
35:17
arkas online tv
Рет қаралды 105 М.
SHEIKH OTHMAN MAALIM HISTORIA YA VITA VYA BADRI NA USHINDI WA VITA HIVYO.
3:01:22
KISA CHA MDUDU  MAVI//SHEIKH OTHMAN MAALIM
1:06:17
arkas online tv
Рет қаралды 24 М.
БАССЕЙН (смешное видео, юмор, приколы, поржать)
1:00
Натурал Альбертович
Рет қаралды 7 МЛН
Он настоящий герой😢 #фильм #сериал
0:59
Следы времени
Рет қаралды 8 МЛН
where is the ball to play this?😳⚽
0:13
LOL
Рет қаралды 14 МЛН
За Наташу порвёт меня😆С мамой шутки плохи😂
0:22
Рецепт Любви 🖤
Рет қаралды 12 МЛН