Рет қаралды 27
Iringa Talk Show
Kuelekea tarehe 26 Aprili siku ya semina kubwa ya Akiba, Uwekezaji na Utalii kusini, mmiliki wa maduka ya Lilitotoshop azungumzia siri, jinsi michezo ya upatu inavyoweza kuinua wanawake kiuchumi.