Sitetereki wala siyumbi - Mazrui awapasha wenye mashaka naye

  Рет қаралды 8,231

Zanzibar Kamili TV

Zanzibar Kamili TV

Күн бұрын

Пікірлер: 24
@ahmedhamad2410
@ahmedhamad2410 2 жыл бұрын
Mazrui nakukubali sana ww ndie mrithi wa maalim seifu
@w4058
@w4058 2 жыл бұрын
Good for you brother hongera
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 2 жыл бұрын
Raisi wa bara mzanzibari,wa Zanzibar si mjui,ilA mara hii mki shindwa kuikomboa Zanzibar ,lawama sitakuwa juu yenu
@ismailjuma3692
@ismailjuma3692 2 жыл бұрын
chukua chako mapema,usubiri siku za kampeni zikifika Allah akituafikisha muje mutudanganye tena mutuumizishe ili yenu yaende.
@alijuma7204
@alijuma7204 2 жыл бұрын
Waakilishi wa ACT mbona hatuwaon wanashindwa na jusa yuko nje ya baraza ila tunamuona jitihada zake au tumechaguwa makunbi
@wadhhasuleiman2621
@wadhhasuleiman2621 2 жыл бұрын
Kwan ACT Wana wawakilishi wangapi huko barazan
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 2 жыл бұрын
Nyie wanaume wazima Mnashindwa na mama samia Mwanamke jasir aliyeibadilisha tz kwa mda mfupi
@w4058
@w4058 2 жыл бұрын
Bora ulivyaweleza wenye tamaa ya fisi hahahahaaaaaaa
@feiz3180
@feiz3180 2 жыл бұрын
wanao tujua wanajuwa msimamo wetu. Hapa tuliposhika hatuyumbishwi.
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 2 жыл бұрын
Janja janja wasikilizaji akili zenu zipo nyingi sana
@w4058
@w4058 2 жыл бұрын
Na kweli sensa muhimu sana sana msije kufanya madharau sawa sawa tunawajuwa mtakuwa watiifu
@janiaoma7093
@janiaoma7093 2 жыл бұрын
SALUM JUMA RUHANI KWANI WEWE ANAEKUJUWA NANI UNAJUWA NDOO YA MAJI YA CHONI HARUHUSIWI KUJA SEBLENI NDIO WEWE NI SAWA NA NDOO YA CHONI
@w4058
@w4058 2 жыл бұрын
Mwaka utakaokuja niombeni uhai ntawalipia lakini mjikite katika elimu uzalishaji mali muweze kujituma na kujitegemea
@faridaali6850
@faridaali6850 2 жыл бұрын
Sawa sawa 👍
@w4058
@w4058 2 жыл бұрын
Bora wajifundishe kulipia na sie tutawasadia
@Sheba4651
@Sheba4651 2 жыл бұрын
👍
@janiaoma7093
@janiaoma7093 2 жыл бұрын
MAZRUI UMEPIGA NA CHINI WALIKUWEPO KULIKO WEWE NA WAMEPITA WEWE NANI FUGA KIBWEBWE UCHEZE TARABU NDIO ILIO BAKI KWAKO
@lusakaone7782
@lusakaone7782 2 жыл бұрын
Hueleweki pole au rudi shule
@raniy0262
@raniy0262 2 жыл бұрын
Ukishajua Ku type vizuri urud uje uandike jambo la maana ,,
@kassidpandu866
@kassidpandu866 2 жыл бұрын
Watu wanakula fupa nyie Ni kelele na mnashinda njaa wanasiasa wote Huruma kidogo
@munasuleyman3159
@munasuleyman3159 2 жыл бұрын
Ungekuwa unamjua usingeyasema huyu ni mtu mwenye uwezo wake na biashara zake but kahiyari kupoteza kila kitu kwa wananchi
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 2 жыл бұрын
Usiseme wana siasa waliliye WANANCHI maskini ndio wenye NJAA
@zanzibarboyzanzibar509
@zanzibarboyzanzibar509 2 жыл бұрын
Kwanza mfatilie vizuri Mh Mazurui alafu ndo urudi kuweka comment Huyu hana njaa ata kidogo tena Mashallah kwa kukusaidia tu Mh Mazurui ni Mzanzibar wa Mwanzo kuleta ma Catapila na vijiko vya kujenga Barabara na Majumba sisi Tangu tunanyonya mbaka Saivi tushaota mbaka Madevu na Mzee Ma Kampuni yake ndo kwanza yameongezeka
@shamisahmed1425
@shamisahmed1425 2 жыл бұрын
@@zanzibarboyzanzibar509 ..Ndio mana ikasemwa kuwa kama hujafanya utafiti usizungumze...bila shaka amekuelewa na amemjua Mazrui ni nani...!
LUKUVI NGORONGORO  AUSEMA UJUMBE ALIOAGIZWA NA RAIS SAMIA
5:54
Mwananchi Digital
Рет қаралды 5 М.
Harley Quinn's revenge plan!!!#Harley Quinn #joker
00:59
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 24 МЛН
Идеально повторил? Хотите вторую часть?
00:13
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 18 МЛН
LAUGHTER AS FEARLESS MORARA KEBASO IMITATES PRESIDENT RUTO WHILE DEMOLISHING HIM!
30:29
ജൂതനെ അറിയുക | ABC MALAYALAM | ABC TALK | ISRAEL JEWS
21:46
Harley Quinn's revenge plan!!!#Harley Quinn #joker
00:59
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 24 МЛН