No video

SNAKE BOY 27 Behind

  Рет қаралды 54,756

DIRECTOR KAKOSO

DIRECTOR KAKOSO

Күн бұрын

#clamvevo #snakeboy #comedy #apple #stevemweusi #afrakoma #kakoso #mwanamke #africawedeytv #akabenezer #thelies

Пікірлер: 175
@MawazosoniWaukweli
@MawazosoniWaukweli Ай бұрын
Sijapenda Alivyo mezwa mtanzi sijuw ni huongo gani mtatumia ili arudi mkombozi wetu wa himaya ya nzoya Nimelia sana 😢😢😢😢😅
@josephm4233
@josephm4233 Ай бұрын
Ni janjajanja tu ili asionekane
@reginamathayo4956
@reginamathayo4956 Ай бұрын
Naic itakuwa ni ndoto tu, Kuna mtu anaota
@linetmogaka4034
@linetmogaka4034 Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@HashimSalim-qj7zn
@HashimSalim-qj7zn Ай бұрын
Atarudi pengine nyama ya mtazi maadamu yeye ni nyoka huenda ikawa ina sumu
@Meshack-uk4iy
@Meshack-uk4iy Ай бұрын
Umelia sana😅😅
@TinanaiThadey
@TinanaiThadey Ай бұрын
Hahahaha leteni Mambo jamani tumalize ila mutuletee tena BG boss namba 2 mnajitahidi kwakweli kazi mzuri
@ernestkaka-j1n
@ernestkaka-j1n Ай бұрын
Mnarefusha sana ladha. I naenda ikioungu
@TimaKarua-q6f
@TimaKarua-q6f Ай бұрын
Kumezwa kwa clam sijapenda,na mtukufu,hao ndio wafanya movie ivutie,
@user-ip4ie7pt6i
@user-ip4ie7pt6i Ай бұрын
@@TimaKarua-q6f clam hajamezwa subilia uje kuona
@CharoAlexis-f7k
@CharoAlexis-f7k Ай бұрын
Kiukwl Sisi tumechoka Sana Sababu hivi munakawiya kuweka ingine ep je tukiacha kuifatilia mtafulahi kwakwl
@DAVIDKIWIGA-us3bi
@DAVIDKIWIGA-us3bi Ай бұрын
Kazi nzuri na wengi tunaipenda na kuitazama xn ongeren xn kwa kila hatua mnayopiga maaan kuandaa kitu kizur na mda wote kipo on trending Respect xn 🙌 more creativity big up xn Director kakoso na timu yako nzima inayofany kaz usiku kucha kuakikisha kuwa tunapata burudani mda wote 🤝🤝
@crediblebios
@crediblebios Ай бұрын
Much love to you clam for good work.. consider checking on your time keep us not long .thank andy from kenya
@HazardHbcomEmmanuelprodduseign
@HazardHbcomEmmanuelprodduseign Ай бұрын
Courage kakoso c'est Emmanuel prod Hazard beat Saund audios vidéo from Congo 🇨🇩 précisément à Kinshasa.
@os3kizzytheclassegang937
@os3kizzytheclassegang937 Ай бұрын
Unaga Baya Kakoso 😂😂😂❤❤❤ from Mozambique 🇲🇿
@javismasibo9250
@javismasibo9250 Ай бұрын
Main character amemezwa, sinema yaelekea wpy sasa 😂
@LenakheriKhamisi-hn4lt
@LenakheriKhamisi-hn4lt Ай бұрын
Jamani tunataka Cha kuendelea
@KingJaramogi-jj5hd
@KingJaramogi-jj5hd Ай бұрын
Jamaa twawasubiri nyinyi halafu klamu si ujaribu ku train kwani hutapiga nduru tena😂😂😂
@AishaFarouk-db6ng
@AishaFarouk-db6ng Ай бұрын
Big up can't wait too see what's next after ntanzi ka mezwa plz msikawie your fun here from kenya❤❤🎉
@happinessonly1
@happinessonly1 Ай бұрын
Clam amehepa acting 😂😂😂 seems he is busy
@ggvv9970
@ggvv9970 Ай бұрын
Minataka nione ile nyoka yageuka vipi😂😂😂😂❤❤❤
@AloyceKaumbu-e9f
@AloyceKaumbu-e9f Ай бұрын
Sizan kama kwery raising kuna mtu alikua anaota vile
@AbigailDama
@AbigailDama Ай бұрын
Mimi sijapenda kumezwa kwa clam juu tumemkosa mda mrefu jamani alafu nime miss kumuona kakosi mizimu SI imbadilishe alafu ombi langu msituweke sana jamani mnapoteza utamu wa filam
@Khadija-sn3fp
@Khadija-sn3fp Ай бұрын
Ata hainogi tena tangu mwaka jana hawafanyi lamaan wakakomboa imaya ikaisha wakaleta vitu vipya😢
@hellenkimaro6138
@hellenkimaro6138 Ай бұрын
Kwa mara ya kwanza sterling kafa
@user-il2up6ig4j
@user-il2up6ig4j Ай бұрын
​@@hellenkimaro6138Ile ni ndoto ataamka next episode
@AnnsoilaTanni
@AnnsoilaTanni Ай бұрын
Kwaza hogera kwa kazi zuri munao faya bt mm sijapeda danzi vle amemezwa hapo mumekosa kwali 😢😢😢
@ThuwaybaRashidi
@ThuwaybaRashidi Ай бұрын
Ndefu sana mpka tunachoka
@khadijamoss293
@khadijamoss293 Ай бұрын
Mzidishe utamu jamani
@EliaChiwulisinga
@EliaChiwulisinga Ай бұрын
AAA pumbavu sasa ndo nn ntanzi hatakiwi kemezwa na nyoka
@suleimankitango
@suleimankitango Ай бұрын
ntanzi aja mezwa mwasi halikuwa anaotaaa
@boazsimba7227
@boazsimba7227 Ай бұрын
Snake boy imekuwa lefu sana itapotesa mwelekeo. Try all best to finish the series
@mazambilucien
@mazambilucien Ай бұрын
Kakoso awezi akatuangusha kiyana anajuwa anacho fanya
@pierrejackson6865
@pierrejackson6865 Ай бұрын
Umenena aseh.
@aminakatana8721
@aminakatana8721 Ай бұрын
Mashabiki si mtulie kwan kumezwa kwa Ntanzi ndio inawapea mshutuko mumesahau tuko na mganga hapa ndani yaaani hiiii wachaaa penda sana❤❤ from 🇰🇪
@mvinjemwakivaha3927
@mvinjemwakivaha3927 Ай бұрын
Sa we umeonawap mtu anamezwa mezwa kilasaa ???
@aminakatana8721
@aminakatana8721 Ай бұрын
@@mvinjemwakivaha3927 weeh wacha wasiwasi Ntanzi bado yupo nasi
@user-mo8fn6yy5h
@user-mo8fn6yy5h Ай бұрын
Hi kitu sasa imepoteza utamu malizeni twelée na mangine 😮😮😮
@eliudyahazi9273
@eliudyahazi9273 Ай бұрын
Movie gani hii sasa Star wa movie hana Chochote, hii movie mliianza vizuri sasa umeenda kuwashinda katikati Star akitokeza kidogo tu anamezwa this is fuck. Huu ni upuuzi kabisa. Sijapenda
@sharonkoech7805
@sharonkoech7805 Ай бұрын
Exactly clam was supposed to be the winner in being that he's the main character
@dismasjuma7440
@dismasjuma7440 Ай бұрын
Director please pea clam kazi kwa wingi bure unaua talanta
@DannyRunya
@DannyRunya Ай бұрын
Kupatikana kwa clam ilikuwa shida na bado mnamumeza....hakuna mvuto sasa.
@chrisitineamutala2043
@chrisitineamutala2043 Ай бұрын
😂😂😂😂
@cristaezekiel1036
@cristaezekiel1036 Ай бұрын
😂😂😂😂😂Labda km ni ndoto ila km kamezwa kweli bas inakatisha tamaa 😂😂😂😂
@aggreymzima3687
@aggreymzima3687 Ай бұрын
Mnaosema series inakuwa ndefu nyie ndio director tengenezeni yenu mi naenjoy
@RemigioSeverino-yl6cn
@RemigioSeverino-yl6cn Ай бұрын
Apo ndo mumekoshea kwakumeza kwa Ntazi uko munahelekea munahalibu sasa mfwanha chini nju ili Ntazi apatikane 🇲🇿
@dengepandu9734
@dengepandu9734 Ай бұрын
Hilikundi ni zuri ombolangu msije kufawanyika mtapoea kwasasa ni holwod ya tz
@Ericknswamo
@Ericknswamo Ай бұрын
Mmehalibu kweli ntanzi ndo Kila kitu
@IsaackJunior-m8y
@IsaackJunior-m8y Ай бұрын
Utamu wa hii movie umeanza kupotea mnachelewesha sana
@YusuphMseti-jy2vs
@YusuphMseti-jy2vs Ай бұрын
Mungu msaidie mntanzi apate nguvu 😢
@josephwambui6096
@josephwambui6096 Ай бұрын
mbona snake boy saeson 2 episode 27 haijetoka Inakawia sana
@allanmelkior7578
@allanmelkior7578 Ай бұрын
Kakoso, sasa Ntanzi wa nini hapo na alishamezwa na Nyoka? Maana last season yeye alimeza watu na akasema hawawezi kurudishwa.
@BehnyMajitii
@BehnyMajitii Ай бұрын
Naomba kuungwa niwe napata movie
@KhaidaJulius
@KhaidaJulius Ай бұрын
Hii movie imeanza kuboesha
@habibamkatu8251
@habibamkatu8251 Ай бұрын
M naomba mualakishe jamani
@Mohd-q4u
@Mohd-q4u Ай бұрын
ipo vizuri sanaa ila mnachelewa kutoa ila tunafurahika sana mtunzi nampongeza sanaa amefanya kuti adimu katika tanzania yetuu❤❤
@sharonkoech7805
@sharonkoech7805 Ай бұрын
Exactly my point ..how are they going to act when the main character is nolonger with them...this play was supposed to finish by clam being the winner because hes the main character... it's now boring
@Man_Freja
@Man_Freja Ай бұрын
Mi naona iishe TU sasa maana kama mkombozi kamezwa Kuna Nini tena
@pierrejackson6865
@pierrejackson6865 Ай бұрын
Kingine mnarefusha hii series, na imeanza kupoteza utamu. Sio kama mwanzoni. Nyuma ilkw ikitoka na niwe busy vepe naingalia kwanza alafu mengine yafate. Siku izi nakuwa na uwezo wa kusema nitaicheki badae. Utamu umepungua.
@TatuKimario
@TatuKimario Ай бұрын
Binadam mfanyweje
@MwanakomboChakwe
@MwanakomboChakwe Ай бұрын
​@@TatuKimario Heri umenisaidia kuuliza, mana hata sijui mtu yuatakaje ingeisha mapema pia wangesema duuuuh huu mtihani
@pierrejackson6865
@pierrejackson6865 Ай бұрын
@@MwanakomboChakwe ambacho hujaelewa ni nini? Au ulitaka kucomment tu? Kingine sijakulazimisha ukubaliane nami.
@happinessonly1
@happinessonly1 Ай бұрын
Imerefuka sana halafu inakawia kutoka. Kuna scenes zingine pia zaongezwa na sio za maana sana.
@liz77941
@liz77941 Ай бұрын
We nawe ni nini haki ?
@Elvismaranga
@Elvismaranga Ай бұрын
mnachukua mda mrefu kutoa episode
@KeaHussen
@KeaHussen Ай бұрын
Munachelewa kutoa sana kama vip toeni kila baada yasiku 3
@TimaKarua-q6f
@TimaKarua-q6f Ай бұрын
Mumemmeza Clam kinachofatia nn, sijapenda,naona mnaaaribu sasa
@MawazosoniWaukweli
@MawazosoniWaukweli Ай бұрын
Sijapenda Alivyo mezwa mtanzi sijuw ni huongo gani mtatumia ili arudi mkombozi wetu wa himaya ya nzoya Nimelia sana 😢😢😢😢😅 6:04 6:08
@lilianmutheki3077
@lilianmutheki3077 Ай бұрын
Npenda ntanzi sana
@user-wj7vo5kv4n
@user-wj7vo5kv4n Ай бұрын
Kwel sik hizi hainogi imepunguw kas sin ham nay san siku hiz jitahidin
@aishajuwinji3818
@aishajuwinji3818 Ай бұрын
Kwan mim sikuon vizur am clam amemezwa na chifu am
@joelmhezi8039
@joelmhezi8039 Ай бұрын
Series mmeirefusha hadi imeisha anza kupoteza uzur saiv atuwezi kuifatilia ten hii series director tulianza kukuelewa ila now amna
@JOSEPHLEMUYA-jx1bp
@JOSEPHLEMUYA-jx1bp Ай бұрын
tanzi akimezwa nani atawakilisha mkoa wa nzoya
@VexMaizoOfficial
@VexMaizoOfficial Ай бұрын
🧭🤳 Nimewahi kufika leo, namtaka Ntanzi apatikane araka iwezekanavyo, maana sisi Wana imaya, tunateseka sana😢😢. From Msumbiji Mozambiki 🇲🇿 mkoa Cabo Delgado mjini PEMBA CariaCo ❤️❤️
@leonardkinsonto164
@leonardkinsonto164 Ай бұрын
Tayari bitawashinda
@EliasKadenge
@EliasKadenge Ай бұрын
Mukiongea ndo inaleta utamu,lkn zii hatuelewi kwaendelea nini.
@wamboiwamboh
@wamboiwamboh Ай бұрын
like the caurage this actors are having❤❤❤❤
@user-mf8su7us1j
@user-mf8su7us1j Ай бұрын
Kwanini kaka kemezwa eee ni Bora mfanye kama ndoto anaota amezwa bila ivyo huu mchezo ushakosewa teyari jamani tusubilieni itakavyo kuwa maana tusiongee sana
@IreneMenza-sr9xu
@IreneMenza-sr9xu Ай бұрын
Kumezwa kwa ntanzi nangependa iwe ndoto tuu,
@user-il2up6ig4j
@user-il2up6ig4j Ай бұрын
Lazima Ile ni ndoto haezi mezwa ntaanzi
@JamalDikolaga
@JamalDikolaga Ай бұрын
We kuweza
@commandorsrlo175
@commandorsrlo175 Ай бұрын
Kaka mm mshabiki wako pamoja na snake boy ila munachelewa san kutuekea
@JustineMongare-k3y
@JustineMongare-k3y Ай бұрын
Sasa tumeona nyoka ameanza kumeza watu, na hicho ndicho kilikuwa kilele cha series iliyopita, ikizingatiwa snake boy ndo main character, na tumeona jana amemezwa na nyoka, sasa nikusema ndo mwisho au vipi? Tufanye tuelewe na mnakawia sana kuleta episode ingine siku hizi
@sharon_maua
@sharon_maua Ай бұрын
😢ukweli maamake wengi wenhi wetu tumechanganyikiwa
@DororosaDomayo
@DororosaDomayo Ай бұрын
Series inakuwa ndefu mpk inapoteza raha ya kuangalia
@utukufumukandama
@utukufumukandama Ай бұрын
Imekua ndefu vizuri hadi mtu anafuraia kutazama movie, hii series ikiwa pamoja na big boss zimekuinua viwango. Sijapenda kumezwa kwako hata kama uyo chief atakutapika mbele ya wanaimaya wote kama kiburi Kisha ajipate amekutapika pamoja na wengine na mumetoka na nguvu zake. Kisha mumshinde lakini siku ingine usimezwe clam
@bivugiremwanaidi
@bivugiremwanaidi Ай бұрын
Ni kweli mnafanya kazi nzri ila filamu ikiwa ndefu uwa inaisha vibaya
@kipzik8029
@kipzik8029 Ай бұрын
Yes
@idceyceymphaieny
@idceyceymphaieny Ай бұрын
kipande kinaaanza kukimbia kinaisha kukimbia
@pauloyatta3211
@pauloyatta3211 Ай бұрын
Directer movie mnaelekea kuiaribu sasa mana ndefu sana then kwenye kutoka ndo had mtu nasahau kama kuna snake boy
@shivobs4485
@shivobs4485 Ай бұрын
Pa kumezwa amtapike basi
@JamlickKiogora
@JamlickKiogora Ай бұрын
Tunaomba isipite episode 30 imekaa sana
@user-il2up6ig4j
@user-il2up6ig4j Ай бұрын
Hii sinema iende saaana kuna ma episode hufika episode 60 huko hii bado saana clam tudungie episode 90 huu ni utamu utamu
@mvinjemwakivaha3927
@mvinjemwakivaha3927 Ай бұрын
Utamu umeanza kupungu kwa Sasa kwamfano ntanzi atamezwaje marambili mbili pale ilitakiw mfanye mfanyavyo apate nguvuzake ili Yule msaeit akipate cha mtemakuni Sasa mnakoeleke mtapoteza watazamaji utamu mmeanza kuupunguz zile sehem nzur nzur na ngumumeanza kufupisha na kupunguza
@maurine3503
@maurine3503 Ай бұрын
Mbona walimeza our Clam😢😢😢 mbona wanameza actor mwenyewe am not happy at all😢😢😢
@salimoalauealauemassude
@salimoalauealauemassude Ай бұрын
ntanzi kamezwa na nyoka Nani ataikombowa imaya A boy from Mozambique
@KhamisSaid-hm1ks
@KhamisSaid-hm1ks Ай бұрын
Ntazi alikuwa anaota bhana, tulieni mtaoneshwa katika episode inayofuata, Mimi nataka snake boy amalizwe tuu maana ana makosa makubwa Sana kuwameza bi ndira na bi nzila bila kosa loloteee😢
@mikegathoni25
@mikegathoni25 Ай бұрын
Kumaliza Ntanzi itabidi tutumie bundles zetu kwingine
@crediblebios
@crediblebios Ай бұрын
I am not happy with the fact thar mtanzi was swallowed. Him and kakoso need to ge available more. They are our main character and the make the series sweet.
@antoinekabeke9675
@antoinekabeke9675 Ай бұрын
Sasa tanzi ana mezwa je?nayeye ndiye mkombozi muzimu wa mama yake ulipenda amezwe ama ilikuwa ni ku usingizi akilota
@kaptemapambo1921
@kaptemapambo1921 Ай бұрын
MUNAZINGUA MNAKAA MDA MREFU SANAAA😢😢
@aishaabdultz2360
@aishaabdultz2360 Ай бұрын
inapungua utamu asaivi mnaweka ndefu sana
@fatmaally
@fatmaally Ай бұрын
Huna shukran ikiwa fupi unalalamika
@KwaleCountystudios
@KwaleCountystudios Ай бұрын
Steering akimezwa movie huisha
@Iragi-f1l
@Iragi-f1l Ай бұрын
Itakuwanje ili clam sinjapenda arundi? Ili aiyokowe Watu wa imaya yake? Hâta Mimi kwaku mezwa ya clam mumearibu série !!!
@lilianmutheki3077
@lilianmutheki3077 Ай бұрын
Kama ntanzi kamezwa Inaboa sasa
@PREMICESYAGHETHERA
@PREMICESYAGHETHERA Ай бұрын
Kwa kweli iyi ni movie ya nani? Niya makatobe Ama niya mbwela maana hao ndio wameoneka sana kuliko huyu mtazi wenu mtazi ndiye ambae Sisi tuna fatililia ebu mke mmeza natuna waachiye hii movie hapo mwanzoni tulikuwa na juuudi yaku wa tazama lakini Sasa Haina mvuto maana mtazi hafae KAZI ndani
@Boniphaceshayo5
@Boniphaceshayo5 Ай бұрын
Mnavyo zidi kuichelewesha ndo mnazidi kupoteza watazamaji
@alibinfazilisaproniga7118
@alibinfazilisaproniga7118 Ай бұрын
Clam tuna muitaji tafazali
@JOSEPHLEMUYA-jx1bp
@JOSEPHLEMUYA-jx1bp Ай бұрын
kumezwa kwa tanzi ni ndoto ama ni ukweli??
@NelsonMukanirwa
@NelsonMukanirwa Ай бұрын
Asa apa nimeona kama muna taka kutu Tania namna gani mtanzi amezwe? Naweye ndio star kwahii sinema munataka haribu bwana wenda ni ndoto za mwasi ao sio
@AliCharo-xj7pb
@AliCharo-xj7pb Ай бұрын
kama mtanzi amemezwa nn tena kimebaki simufunge virago muende majumbani
@salumualoyce5620
@salumualoyce5620 Ай бұрын
Kakoso fanya kazi kisasa kwa kuweka english subtitle hapo chini ili kupanua soko lako la watazamaji.
@JohnsonMartin-gc1lw
@JohnsonMartin-gc1lw Ай бұрын
Oya vevo niforcie unamba wa huyu dada alovaa kikoti rangi ya udongo anaekimbia kimbia polini humo
@RahmaAdam-gt5oy
@RahmaAdam-gt5oy Ай бұрын
Binadamu tuna matatizo mwanzo vipande vilivyokuwa vifupi mlilalamika sasa iv mmeongezewa dk mnasema move imekuwa ndevu waigizaji kaz mnayo kwakwel na hao mashabik wenu sio kila tunachotaka mtufanyie mambo mengine puuzien maana atatokea mtu atasema basi ntanzi awe mwakatobe
@pierrejackson6865
@pierrejackson6865 Ай бұрын
Usipindishe maneno. Hakuna mtu alielalamika kuwa dak ni nyingi. Kinachoongelewa si series kuwa ndefu kufikia kuanza kupoteza utamu. Kuna matukio mengi yanaongezwa ambayo hayana msingi kwenye storyline nia yao ikiwa ni kurefusha.
@Innocentfilm
@Innocentfilm Ай бұрын
Jamani ogera director kakoso . Kazi iko powa . Ni director Innocent kutoka Congo 🇨🇩 naomba SUBSCRIBED zenu
@SinemaZaChina
@SinemaZaChina Ай бұрын
wandewa wekeni subtitle ya kingereza katika filamu mtaua kinoma
@mcmangethia5360
@mcmangethia5360 Ай бұрын
Nani ataokoa imaya na clam alimeswa
@dismasjuma7440
@dismasjuma7440 Ай бұрын
Main character alimezwa na nyoka hata inabore
@happinessonly1
@happinessonly1 Ай бұрын
Iko na plot twist nyingi mpaka inakosa ladha
@MawazosoniWaukweli
@MawazosoniWaukweli Ай бұрын
😢😢😢😢
@MsatiWilondjaetungano
@MsatiWilondjaetungano Ай бұрын
Naona watatumiya kama ndoto watasema mtanzi alikuwa naota
@PurityMusyoka-um8dg
@PurityMusyoka-um8dg Ай бұрын
Sasa juu ntanzi amemezwa what next?
@bilbwoyramzke9574
@bilbwoyramzke9574 Ай бұрын
Clam is death why
@sharonkoech7805
@sharonkoech7805 Ай бұрын
How do you people act...the msin character was the snake boy..now he's not there because of being swallowed ..how are you gonna act without the main character.....its becoming boring without Clam 😔😔
@daudisaidseda8855
@daudisaidseda8855 Ай бұрын
Kwakweli inaelekea kukosa laza move nzuri lakini imekuwa ndefu sana
@pierrejackson6865
@pierrejackson6865 Ай бұрын
Sasa what is this? Mbona sielewi. Maana kama ingekuwa behind the scenes, kungekuwa na sauti na kuona watu wakiwa wanaigiza kwenye scene zao. Izi videos unazopost ni pointless unless kama ni za kupata views tu. Mara mia ungetoa behind the scenes za episodes zilizopita.
@ADHAMAMEDIA
@ADHAMAMEDIA Ай бұрын
Waache wafanye kazi, wengine tunajifunza mengi kutoka kwao mazeee usiwazubaishe,,, hawawezi kufanya kama wengine wanavyofanya maboss😂😂😂❤❤❤❤ one love
Baahubali Kalakeya War Scene.
27:36
Rakesh Khatri
Рет қаралды 56 МЛН
KINYOZI MPUUZI
8:16
CLAM VEVO
Рет қаралды 2 МЛН
Glow Stick Secret Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 10 МЛН
ROLLING DOWN
00:20
Natan por Aí
Рет қаралды 11 МЛН
managed to catch #tiktok
00:16
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 48 МЛН
GOVINDA. full movie @MWAKATOBE
45:19
MWAKATOBE
Рет қаралды 165 М.
STEVE KAMFATA DEM MBAGALA KISA NAULI KWA MGUU
11:24
Steve Mweusi
Рет қаралды 346 М.
HAKUNA NDOA
11:49
Joti TV
Рет қаралды 327 М.
MKOBA WA MAMA  Episode| 1 |
22:24
TANU PLUS+
Рет қаралды 281 М.
kobe la mchana full movie @MWAKATOBE
57:58
MWAKATOBE
Рет қаралды 47 М.
BI HARUSI / FULL MOVIE
3:03:10
MBWELA MEDIA
Рет қаралды 271 М.
MCHAWI WA KIJIJI 01 #Kakoso #mzeempomdi # polojo #Kinoge #bikigora
58:26