SOMO: HAKUNA NENO UTATU MTAKATIFU KWENYE BIBLIA.

  Рет қаралды 1,341

KANISA TAKATIFU LA YESU KRISTO-CHAMAZI

KANISA TAKATIFU LA YESU KRISTO-CHAMAZI

Жыл бұрын

Пікірлер: 33
@thobiasbukali9008
@thobiasbukali9008
Lakini all in all hongera sana mtumishi Upo vizuri Mungu wa Mbinguni akupiganie akujaze Roho mtakatifu wa kweli ktk Jina La Yesu Kristo.
@user-nj6cu8oj8e
@user-nj6cu8oj8e
Nikweli mtumishi
@HDCHANNEL-fu6jl
@HDCHANNEL-fu6jl
Asa weweeeeeee 😢.....
@thobiasbukali9008
@thobiasbukali9008
Mchungaji, hapa ongeza nondo kwenye hili somo. Ili kuweka mambo sawa. Hata madhehebu mengine wanaamini hivyo Mungu baba, Mungu mwana na Roho mtakatifu. Ni Mungu mmoja ktk nafsi tatu. Sioni tofauti. Labda neno Utatu mtakatifu hapo ndo kunatofauti.
@mohamedmpendu9250
@mohamedmpendu9250
😂😂😂
@frominimushi8926
@frominimushi8926
Amina mtumishi kweli Yesu ni Mungu
@samsonepanga800
@samsonepanga800 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
@user-dn9np8sp8g
@user-dn9np8sp8g
Mtumishi umeenda chaka huyo ni yesu co mungu ns hata akiwa mungu co nafsi amerithi jina ndio inasema ni chapa ya mungu inabidi urud chuo
@KlaumodestLunyungu-vs4ue
@KlaumodestLunyungu-vs4ue Жыл бұрын
Amen mtumishi wa BWANA
@estamwakitalima6191
@estamwakitalima6191 Жыл бұрын
AMEN mtumishi
@jolemerci2155
@jolemerci2155 Жыл бұрын
Barikiwa sana sababu umenikamilishia neno roho aliweza ndani yangu sikuzote naomba hivyo kabisa ao n'a amini kuwa ni MUNGU mwenyewe alikuja duniani🙏🙏🙏🙏
@user-qt7qy2fv1l
@user-qt7qy2fv1l Жыл бұрын
Amen
@liesharehema5193
@liesharehema5193 Жыл бұрын
Amina mtumishi wa MUNGU ubarikiwe sana
@marypeter4584
@marypeter4584 Жыл бұрын
AMEEN, BARIKIWA MTUMISHI. NAFURAHIA KUSIKIA MAHUBIRI YAKO
@BerylSeer1
@BerylSeer1 Жыл бұрын
Amen pastor Asante kwa kutubariki na neno la Roho Mtakatifu.
@rowenalilie993
@rowenalilie993 Жыл бұрын
Nimependa sana hii. Nimeelewa. Aneth kutoka Ujerumani
@ernesttomas85
@ernesttomas85 Жыл бұрын
Safi ,unagusa sehemu ambazo wanaosema wameamini wameongezewa maandiko na wanawaamni wachungaji japo hayapo kabisa
@samsonepanga800
@samsonepanga800 Жыл бұрын
zamani za ujinga tuliabudu miungu mitatu tofauti, Mungu Baba, Mungu mwana,na Mungu roho, lkn sasa tumejua Mungu ni mmoja na kiti cha enzi ni kimoja tu.
@rowenalilie993
@rowenalilie993 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mwana wa Mungu
@medadykyabashasa1794
@medadykyabashasa1794
kzfaq.info/get/bejne/iOComrV5nODDeWw.htmlsi=8EdPG91qVSaiSPyw
UKWELI KUHUSU UTATU MTAKATIFU SEH. 1 -  MCHUNGAJI PAUL SEMBA
36:46
TAFAKARI YA DOMINIKA YA UTATU MTAKATIFU NA PADRI SALVATORY MAGANGILA WA JIMBO KATOLIKI GEITA.
29:03
Я обещал подарить ему самокат!
01:00
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 9 МЛН
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 29 МЛН
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 49 МЛН
FUNDISHO LA UTATU MTAKATIFU?
39:33
Infinity Glory Tanzania
Рет қаралды 1,3 М.
SOMO : AGANO LA UBATIZO.
1:31:07
KANISA TAKATIFU LA YESU KRISTO-CHAMAZI
Рет қаралды 270
ZIFAHAMU SIRI ZITAKAZO KUSAIDIA UFANIKIWE HARAKA | HAKUNA UTAJIRI UNAOTOKANA NA ELIMU PEKEE
1:27
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 2,9 М.
TAARIFA YA UBATIZO WA TAREHE 10/08/2024. SHARE KWA WENGINE.
9:15
KANISA TAKATIFU LA YESU KRISTO-CHAMAZI
Рет қаралды 245
SIKU YA BWANA YA 6 BAADA YA UTATU | KKKT USHARIKA WA ARUSHA ROAD.
1:31:32
KKKT ARUSHA ROAD TV
Рет қаралды 688
UTATU MTAKATIFU NI MAFUNDISHO YA SHETANI
15:56
Paul Kaskile Said Ministry
Рет қаралды 8 М.
SIKILIZA USHUHUDA  HUU WEWE ULIYEBATIZWA KWENYE MKUTANO MWEZI WA PILI.
7:29
KANISA TAKATIFU LA YESU KRISTO-CHAMAZI
Рет қаралды 1,9 М.
Karibu Ufahamu Maana Halisi Ya " Utatu Mtakatifu "
15:04
i am Catholic | Tanzania
Рет қаралды 1,3 М.
MSINGI : ROHO ZIDANGANYAZO MAKANISA.
3:57:29
KANISA TAKATIFU LA YESU KRISTO-CHAMAZI
Рет қаралды 606