Mwenyezi Mungu awajalie neema nabaraka katika kazi yako ya utume ili upate ku mtumikia sikuzote zamaisha yako amina
@amakamraqterry59205 жыл бұрын
❤❤💯✔✔🗣🎙UMENIFUNZA VYEMA UBARIKIWE
@paschalrevocatus77956 жыл бұрын
Amina ubalikiwe kwa mahubili yako mazuri asante sana
@erastomurungu1652 жыл бұрын
Fr magangila umenenepa aise ni muda mrefu tangu tuishi wote parokia ya sengerema, mungu akutunze fr
@lilianngowo77772 жыл бұрын
Si kwl mtumishi Mungu hana mwili, Mungu ni Roho. Mungu hali chakula. Wale malaika walipikiwa wakala
@deongasa6 жыл бұрын
Amina father, tumshukuru Mungu 🙏🏻🙏🏻
@eddymtewele15776 жыл бұрын
Mungu ibariki Tanzania
@patrickmukambilwa5844 жыл бұрын
Amina
@rosemarybenjamin43336 жыл бұрын
Amina tuko pamoja
@angeljoseph75996 жыл бұрын
Asante Baba kwa tafakari nzuri ya sherehe ya Utatu Mtakatifu
@norbertpaul10566 жыл бұрын
Kijana wangu tayari, ww ni PD? Magangila! nipo tayari ktk maisha ya ndoa. Dhidi yangu Norbert Paul from diocese of Kigoma& Felista from parish of Nyamanga
@yusuphnyange91256 жыл бұрын
ahsante
@romwaldambuki84746 жыл бұрын
Amina father
@bestsongscatholic56706 жыл бұрын
AMINA SANA FATHER SALVATORY....ASANTE KWA TAFAKARI NZURIII YA UTATU MTAKATIFUU⛪⛪⛪💒💒
@lilianngowo77772 жыл бұрын
Duuuu Mungu azaliwe dunia?. Mungu afe siku 3 kwahiyo tulikuwa likizo mpk Mungu alipofufuka. Haya bn huyu Mungu anakula, anakufa. Analala daaa . Hakn aliewahi kumwona Mungu.