Рет қаралды 536
Duniani kuna mengi, kama walivyo sema wahenga “KUISHI KWINGI NI KUONA MENGI”. Yawezekana tukaishi kidogo na tusione mengi basi acha tukuangazie kabila hili kutoka nchini Sudan ili uweze kupata maarifa nawe uwe una mengi ya kusimulia.....Endelea!