USIYO YAFAHAMU KUHUSU INZI
6:12
Жыл бұрын
Пікірлер
@lusajomwakajoka4955
@lusajomwakajoka4955 4 күн бұрын
Wew hujui historia kawaulize
@Enika-ns8fn
@Enika-ns8fn 4 күн бұрын
Hongera brother
@isaacsimon3580
@isaacsimon3580 5 күн бұрын
Umejitahidi japo umesahau wilaya ya kyela na wenzetu wandali
@malcomg1004
@malcomg1004 5 күн бұрын
We mzee tofautisha R na L,afu uwe unatangaza vizuri acha K Vant
@RoseSimba-d3x
@RoseSimba-d3x 5 күн бұрын
Ngai ni mungu wa. Wamasai lakini
@frankcharles3980
@frankcharles3980 9 күн бұрын
Wasafwa oyeeeeeee
@jiwekichwa2857
@jiwekichwa2857 16 күн бұрын
95% yao ni wafupi wa kimo. Ni Number one kwa ubaili😂😂
@keithmburu8269
@keithmburu8269 17 күн бұрын
Can You Please do this video in English
@TausiKassim-pe4sp
@TausiKassim-pe4sp 25 күн бұрын
Sisi hapa❤
@SamiaMasoud
@SamiaMasoud 25 күн бұрын
Na mm nimo jmna
@chibuharuna
@chibuharuna 25 күн бұрын
hahahahahahahah ivi nyinyi mnaakili kweli ahahahahahah mnafikilia kwasasa kunamjinga tena apna watu tumesha amka jamani mtafute kazi za kufanya sisi sio wakutundanganya tena nyie ukweli na uongo kwasasa twaujuwa jamani
@suleimanbuta3217
@suleimanbuta3217 27 күн бұрын
Asante
@yustomwaisomania2587
@yustomwaisomania2587 27 күн бұрын
Wewe Bangi kwelii Rungwe ni mlima wa Tatu kwa urefu Tanzania bangi kwelii wew data zako za uongo
@NAMLAKIONE1MEDIA
@NAMLAKIONE1MEDIA Ай бұрын
Yaani Ni mgongo tu😂😂🏅🙌
@NAMLAKIONE1MEDIA
@NAMLAKIONE1MEDIA Ай бұрын
Nimecheka sana 😂😂🙌
@NAMLAKIONE1MEDIA
@NAMLAKIONE1MEDIA Ай бұрын
Nimecheka sana 😂😂🙌
@toyimwamedi6460
@toyimwamedi6460 Ай бұрын
KAMA IYONDEGA NIHATARI. WAHIPELEKE IKRENE .WAHONE GISI PUTINI ATAHIFANYA.NDIYO NITA IKUBALI MATATAYAKE
@EzekiaMyila
@EzekiaMyila Ай бұрын
Msibishe kama shule hamkwenda maana nile mrefu zaidi siyo ukubwa
@isackcharukula-wy2hn
@isackcharukula-wy2hn Ай бұрын
Duu
@user-dz1ln4iz3k
@user-dz1ln4iz3k Ай бұрын
Asante
@keithmburu5858
@keithmburu5858 Ай бұрын
Tafadhali unaeza weka hii video ikuwe translate na Kingereza
@keithmburu8269
@keithmburu8269 Ай бұрын
Can these videos please be translated to English
@user-gw4jj5nn2n
@user-gw4jj5nn2n Ай бұрын
Alikuwa muwongo mbakaji tapering
@YohanaMasebo
@YohanaMasebo Ай бұрын
Makala nzuri sana
@SeifKibayasa
@SeifKibayasa Ай бұрын
👊🏾
@IbrahimSadock
@IbrahimSadock Ай бұрын
Una uhusiano Gani na bible??
@user-ws3vu5pl3l
@user-ws3vu5pl3l Ай бұрын
Kweli
@aronindibalema4964
@aronindibalema4964 Ай бұрын
Hmg imepotea
@YohanaMasebo
@YohanaMasebo Ай бұрын
Wasovieti walikuwa mbali sana
@StevenDeus-ub2um
@StevenDeus-ub2um Ай бұрын
@jerryjerry6750
@jerryjerry6750 Ай бұрын
Saaaaaaafi safiiii sanaaaaa
@neemarobert9999
@neemarobert9999 Ай бұрын
Nkwama here I am
@AvaxWalter
@AvaxWalter Ай бұрын
Nashukuru kwa kunisaidia kujuwa tofauti kati ya duma na chui
@jamessiame5169
@jamessiame5169 Ай бұрын
Twataizya sana
@Mimi-wf7mb
@Mimi-wf7mb Ай бұрын
Hayo matamshi yanachefua
@GraceAlex-it2gp
@GraceAlex-it2gp Ай бұрын
Mimi nimezaliwa December 12
@josepheriah5977
@josepheriah5977 2 ай бұрын
Tuamie iyo
@sallynakey_tz
@sallynakey_tz 2 ай бұрын
Morogoro nyumbani ❤❤❤❤
@HaniyaKisingo
@HaniyaKisingo 2 ай бұрын
Nataman kufika mafia🎉
@DavisdavidNdoje
@DavisdavidNdoje 2 ай бұрын
Isihlobo sasingumqambi kuyafuneka ukuthi anikezwe udumo lwesizwe coz yingoma eculwa cishe emazweni amathathu
@JpMbonye
@JpMbonye 2 ай бұрын
mwalimu Adam nj'aliki andika ao kime andikiwa Nani ? inatuomba Hodja mbele tuamini
@user-zc2ms4wl6r
@user-zc2ms4wl6r 2 ай бұрын
Kwa elimu tupo sawa
@Witynes339
@Witynes339 2 ай бұрын
😂😂mungu anawaona
@dondallas6683
@dondallas6683 2 ай бұрын
Chicago bulls
@BenMsagati
@BenMsagati 2 ай бұрын
Kweli kabisa nyie mnaokataa n washenz mnasapot uongo wa waarabu na wazungu
@JeremiaSaitoti-lw7oq
@JeremiaSaitoti-lw7oq 2 ай бұрын
Mmetisha
@user-io5vc4xf1r
@user-io5vc4xf1r 2 ай бұрын
Mausiano na nyota ya ng'ombe zinaendana
@Mapenzi2635
@Mapenzi2635 2 ай бұрын
Vaasu, tiri, mphuti na luveko.
@DonOtieno-si8bq
@DonOtieno-si8bq 2 ай бұрын
This is a good medicine
@jamesraphaelmdima4729
@jamesraphaelmdima4729 2 ай бұрын
EZEKIELI 26 1. Ikawa katika mwaka wa kumi na mmoja, siku ya kwanza ya mwezi, neno la Bwana likanijia, kusema, 2. Mwanadamu, Kwa sababu Tiro amesema juu ya Yerusalemu, Aha! Yeye amevunjika aliyekuwa lango la kabila za watu; amenigeukia; nitajazwa kwa kuwa sasa ameharibika; 3. basi Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, mimi ni juu yako, Ee Tiro, nami nitaleta mataifa mengi kupigana nawe, kama bahari iinuavyo mawimbi yake. 4. Nao wataziharibu kuta za Tiro, na kuibomoa minara yake; tena nitakwangua hata mavumbi yake yamtoke, na kumfanya kuwa jabali tupu. 5. Naye atakuwa mahali pa kutandazia nyavu za wavuvi kati ya bahari; maana mimi nimenena neno hili, asema Bwana MUNGU; naye atakuwa mateka ya mataifa. 6. Na binti zake walio katika mashamba watauawa kwa upanga; nao watajua ya kuwa mimi ndimi Bwana. 7. Maana Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, nitamleta Nebukadreza, mfalme wa Babeli, mfalme wa wafalme, juu ya Tiro toka kaskazini, pamoja na farasi, na magari ya vita, na wapanda farasi, na jeshi, na watu wengi. 8. Atawaua binti zako kwa upanga katika mashamba; naye atafanya ngome juu yako, na kufanya maboma juu yako, na kuiinua ngao juu yako. 9. Naye ataweka vyombo vyake vya kubomolea mbele za kuta zako, na kwa mashoka yake ataiangusha chini minara yako. 10. Kwa sababu wingi wa farasi zake, mavumbi yao yatakufunika; kuta zako zitatetemeka kwa sababu ya mshindo wa wapanda farasi, na wa magurudumu, na wa magari ya vita, atakapoingia katika malango yako, kama watu waingiavyo katika mji uliobomolewa mahali. 11. Kwa kwato za farasi zake atazikanyaga njia zako zote; atawaua watu wako kwa upanga, na minara ya nguvu zako itashuka hata nchi. 12. Nao wataufanya utajiri wako kuwa mateka, na bidhaa yako kuwa mawindo; nao watazibomoa kuta zako, na kuziharibu nyumba zako zipendezazo; nao wataweka mawe yako, na miti yako, na mavumbi yako, kati ya maji. 13. Nami nitaikomesha sauti ya nyimbo zako, wala sauti ya vinubi vyako haitasikiwa tena. 14. Nami nitakufanya kuwa jabali tupu; utakuwa mahali pa kutandazia nyavu za wavuvi; hutajengwa tena; maana mimi, Bwana, nimenena neno hili, asema Bwana MUNGU. 15. Bwana MUNGU amwambia Tiro neno hili; Je! Visiwa havitatikisika kwa mshindo wa kuanguka kwako, watakapougua waliojeruhiwa, yatakapofanyika machinjo kati yako. 16. Ndipo wakuu wote wa bahari watashuka kutoka viti vyao vya enzi, na kuweka upande mavazi yao, na kuvua nguo zao zilizotiwa taraza; watajivika matetemeko; wataketi na kutetemeka kila dakika, na kukustaajabia, 17. Nao watakufanyia maombolezo, na kukuambia, Imekuwaje wewe kuharibika, wewe uliyekaliwa na wana-maji, mji wenye sifa, uliyekuwa na nguvu katika bahari, mji huo, na hao waliokaa ndani yake, waliowatia hofu wote waliokaa ndani yake! 18. Sasa visiwa vitatetemeka katika siku ya kuanguka kwako; naam, visiwa vilivyo katika bahari vitafadhaika, kwa sababu ya kuondoka kwako. 19. Maana Bwana MUNGU asema hivi; Nitakapokufanya kuwa mji wa ukiwa, kama miji isiyokaliwa na watu; nitakapoleta vilindi vya bahari juu yako, na maji makuu yatakapokufunika; 20. ndipo nitakapokushusha pamoja nao washukao shimoni, uende kwa watu wa kale; nami nitakukalisha pande za chini za nchi; mahali palipokuwa ukiwa tangu zamani, pamoja nao washukao shimoni; ili usikaliwe na watu, wala usiweke utukufu wako katika nchi yao walio hai. 21. Nitakufanya kuwa kitu cha kutisha, wala hutakuwako tena; ujapotafutwa, lakini hutaonekana tena kabisa, asema Bwana MUNGU.