No video

STEVE JOBS: MGUNDUZI wa KOMPYUTA za iMAC, SIMU za iPHONE Aliyekufa kwa KANSA, AKAACHA Ujumbe MZITO..

  Рет қаралды 17,900

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

STEVE JOBS: MGUNDUZI wa KOMPYUTA za iMAC, SIMU za iPHONE Aliyekufa kwa KANSA, AKAACHA Ujumbe MZITO..
"KWA WAKATI HUU NIKIWA NIMELALA KITANDANI NIKIWA MGONJWA, NIKIKUMBUKA MAISHA YANGU YOTE, NATAMBUA KWAMBA KUTAMBULIWA KWANGU KOTE NA UTAJIRI WOTE NILIOJIVUNIA, UMEPAUKA NA KUWA HAUNA MAANA TENA MBELE YA KIFO KINACHONIJIA."
Hayo ni baadhi ya maneno ya mwisho ya Steve Jobs aliyoyasema akiwa kitandani mgonjwa taabani......
Hakuna ubishi kwamba kompyuta zinazosifika kwa ubora duniani kote kwa sasa, ni Macintosh (makin’tosh) au kwa kifupi Mac, zinazotengenezwa na Kampuni ya Apple Inc (Epo Ink), zile zenye alama ya tunda la tufaha kwa nyuma, wengine wanaita apple.
Simu bora zinazosifika duniani kote kwa sasa, ni iPhone, ambazo nazo zinazalishwa na kampuni hiyo. Lakini pia ni ukweli kwamba hakuna bidhaa zinazoweza kufikia ubora wa iPod (aipod), iPad, laptop za Mac Book na hakuna mtandao unaosifika kwa kuuza muziki online kama iTunes.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 6
@manuelcyril4454
@manuelcyril4454 4 жыл бұрын
Hapo mwishon kuna ujumbe mzuri sana...
@CHALTV
@CHALTV 4 жыл бұрын
Bonge la story, touching one
@nurupaul1845
@nurupaul1845 4 жыл бұрын
Nomaaaaaaaaaa
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 4 жыл бұрын
Baba yake yuko
@ayoubkhamicmzume7970
@ayoubkhamicmzume7970 4 жыл бұрын
Hello! global naikubal sana channel yenu nawapenda sana tena bure kabisa ningependa kupata uo mziki ambao mnarecodia story maana umenivutia sana tena sana tu kwaio niombi langu na naweka tumaini kua mtanitumia, bas ikiwa nitakubaliwa ombi langu nitumieni kwenye Whatsap namba +96891276933 ahsante
@edwinnyabikwi560
@edwinnyabikwi560 3 жыл бұрын
M
艾莎撒娇得到王子的原谅#艾莎
00:24
在逃的公主
Рет қаралды 53 МЛН
Ik Heb Aardbeien Gemaakt Van Kip🍓🐔😋
00:41
Cool Tool SHORTS Netherlands
Рет қаралды 9 МЛН
❌Разве такое возможно? #story
01:00
Кэри Найс
Рет қаралды 3,6 МЛН
If Barbie came to life! 💝
00:37
Meow-some! Reacts
Рет қаралды 76 МЛН
UJUE UWEZO WA SILAHA ZA KIVITA WA IRAN WANAOMTAMBIA MAREKANI
19:20
Global TV Online
Рет қаралды 79 М.
iPhone 1 - Steve Jobs MacWorld keynote in 2007 - Full Presentation, 80 mins
1:19:11
Jua zaidi kuhusu Computer| HISTORIA
29:20
NK- Computer Training
Рет қаралды 1,4 М.
Google, the giant that wants to change the world
1:17:36
Investigations et Enquêtes
Рет қаралды 442 М.
艾莎撒娇得到王子的原谅#艾莎
00:24
在逃的公主
Рет қаралды 53 МЛН