Mke wangu alitaka kunidhalilisha katika familia yake kwa kusema mimi ni dhaifu kitandani, dada zake wote walipiga kelele kuwa sio kweli. Uongo tu kuwa mkweli Aaahhh😂😂😂😂 Like za Aaaahh🇲🇿❤️🇹🇿
@MrTiba_T.v29 күн бұрын
Dada walikujua moto wako au walikua wanakutetea 😅😅
@user-xl2fc4fu6e21 күн бұрын
Duh
@BramoMagАй бұрын
Kuangalia tu Kutia like aaaah🤣🤣🤣
@JustinDamas-my6rsАй бұрын
Hizo like unakula au
@BramoMagАй бұрын
@@JustinDamas-my6rs kuuliza tu kuoga aaaah
@tundalamaua9818Ай бұрын
🤣🤣
@JustinDamas-my6rsАй бұрын
@@BramoMag 😅haya bhna
@alicegathigi2459Ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@user-qk5sp3lz4uАй бұрын
Kama umeikubali hii ngoma gonga like moja kwa stev❤
@user-qk5sp3lz4u2 күн бұрын
ku like 2 ku coment aah😂✌️
@MerlinaKubadesha2 күн бұрын
Kuomba like 2 kusoma aaahaha😂😂😂😂
@mdigasafi98643 сағат бұрын
Nona sana mwang unatsha😅
@mmBrian-rw4jhАй бұрын
Kuimba t kuoa waaah 😂😂steven nakukubali mwanangu❤🎉 nipeni like pia team strong 💪💪💪
@aviwaomar43928 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@SARIVE.LAME_123Ай бұрын
😂😂kuimba tuu kufanya kazi ahhh Hoya steve fans nipeni likes zangu wakwanza leo 😂❤❤ show love
Kama unamkubali steve mweusi weka like 300 apa umalaya tu kuoga aaah!
@pkcamlesh2465Ай бұрын
Kuomba like tu ,kupost video yako tutazame tuilike aaaah
@nyimbompyakilasikuАй бұрын
@@pkcamlesh2465 kujibu tu comment za wenzako ila kuandika yako aaah!
@youreallywelcome1596Ай бұрын
Hahhahah
@user-bc1qg6gi5nАй бұрын
kufunga duka tu kuandamaaa aaaah 😁😁🤣
@pkcamlesh2465Ай бұрын
@@nyimbompyakilasiku 🤣🤣🤣🤣
@edgarlaurian-d8wАй бұрын
AMBAO NI TEAM STIVE WEKA LIKE HAPA ,,, TUMKOMESHE SHAFII BRAND MJINGA YULE,,, KUONGEA TU ,, KUOGA AAAAAH!!!!!
@MohammedAli-cv1qw29 күн бұрын
Kucomment tu kulike aaah
@MerlinaKubadesha2 күн бұрын
Kjibu 2 za wenzio kuandika yako ahaaahahah😂😂😂😂
@Sesedaremathe16 күн бұрын
Mke wangu alitaka kunidhalilisha katika familia yake kwa kusema mimi ni dhaifu kitandani, dada zake wote walipiga kelele kuwa sio kweli. Uongo tu kuwa mkweli Aaahhh Like za Aaaahh🇲🇿️🇹🇿
@philemonmagesa554813 күн бұрын
Hao dada zake walijuaje au ulipita na mashemeji?
@stevensilungwe41Ай бұрын
Mimi ni wakwanza kutoka 🇿🇲 Zambia. Nipeeni likes zangu hapa.
@JOAKIMKIFARUАй бұрын
kula TU kuoga aaah stivu jau huyu
@MerlinaKubadesha2 күн бұрын
Kugogea kobasi kiludisha aahahaha😂😂😂😂
@JosiasbagambeSelestineАй бұрын
we stive noma sana kwel umeonesha kwel kama msemo niwako kwel achana nahuyo anetenda kwamaneno wew ndo mwamba
Ngoma Kali Sana ndugu sema video jalibu kubadilishaga badilisha location
@user-pv7cj9fh1bКүн бұрын
Kama unakubalii ii ngoma gonga like tujuaneeeeeee🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉☺️💯👏🙌🎊
@Mwangijr22Ай бұрын
Kuamka 2 kutandika aaah 😂,from Kenya ❤❤
@NCWolfOfficiel26 күн бұрын
Endeleye mziki bro mziki wako una ni furahisha kuliko ma vidéo comedy zako ❤❤
@NuriaHalake-n8c16 күн бұрын
Wow Steve mweusi....hongera
@user-wb4um3jz1o6 күн бұрын
Steve mweusi ni mmoja tu .penda sana wewe🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
@allysimu6856Ай бұрын
Nyimbonzuri kutoasapoti aaahhh
@jossarMugisho28 күн бұрын
We noma baba shafii ni mshamba anananganiya vithu ambavyo avi muusu
@brightonvictorkimsehyeon78926 күн бұрын
Hili goma kali sana nairudia zaidi ya mara saba home mpka majerani wameanza kunikalia vikao😂
@bhenry129 күн бұрын
"My brother always anafatilia Mambo yangu tu ya kwake aaah" Kanumba 🎉
@HamadiKijicho-ef4ucАй бұрын
Nice one..mkulanga zima tuko nyuma yako
@gverse_1Ай бұрын
KUIMBA TUUUU KUINGIA TRENDING AAAAAAH
@TALLUBOY8 күн бұрын
Steven kama umiandika Mwenyewe unajua kuimba na kuandika naweza kukuita Songwriter broh hili ilikuwa hit Sjajua nini kilicho sababisha Kutofanya vzl uku mtaan hi track Au ulitoa muda watu wamiachia Mizigo Yao ya kwenda
@MerlinaKubadesha2 күн бұрын
Daa h hakika anajua , kazi ksifia 2 kutunga yako😂😂😂😂
@MerlinaKubadesha2 күн бұрын
Daah kwa leo inatosha stive,kaz kisubili wali kuoga aahahahah😂😂😂
@desireirambona570129 күн бұрын
Kugombana tu kusimama upigwe aaah❤
@Nicholas1dd4rs8jАй бұрын
Kuishi mukuranga Tu kuja Kenya aaah 🇰🇪😁😁😁😁
@iddiiddi-j8l6 күн бұрын
Simple boy umeimba vyenye inafaa ✅😁😁
@AnkinKapinga9 күн бұрын
Ata ww middle sima umetishaa Kama smb
@saidabukromarnasib5906Ай бұрын
Waaaah Steve your amazing duuuu
@Zahara-or3cf29 күн бұрын
We steve hii ni nyimbo au comedy
@Kingstonbagamoyo8 күн бұрын
Big up sana ujumbe mzuri,stive,Mpe hi mzee wa kimanzichana dirctor
@Fes2zzylimbuFes2zzylimbu4 күн бұрын
Kuimba tu kuoa aaah.... Kuangalia tu kutia like aaaah😅😅😅😅
@vicky_ylove14.Ай бұрын
Mimi wa kwanza leooooo😅😅😅 like kwa stive❤❤
@murshidy_tz3700Ай бұрын
Kuomba like tu kuoga aaah
@tidolister175 күн бұрын
Umesahu kitu k1 tu Uli promise kumtaja #RIP_Amoniche to show memory & respect as shabiki ako kwenye #check point 1&2
@charlespeter258 сағат бұрын
Kazi nzuri.
@djtonnytzofficial625328 күн бұрын
Kuzalisha wadada wa watu tu kuudumia aah
@malimadtvАй бұрын
NGOMA KALI SANA YAANI NI MOTOOOO 🔥🔥🔥 WA SINZA MAKONGO WATAELEWA TU STIVE
@QueenAmanda254Ай бұрын
From Kenya ❤❤much love steve❤❤keep going
@stanleymwalikhitsi26 күн бұрын
Uyu naye Hana pesa ila kureject finance bill aaaah😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@stephenzerozeroАй бұрын
Shafii alisema umemuibia👉😀😢😢 bwege yule
@aishaomar2287Ай бұрын
Steve we ni kututajia hamadi kijicho tu,kutuelezea ni nani yako aaaah😂😂😂 🙌...umeweza baba🎉🎉🎉
@khalidmuhamedi17209 күн бұрын
Nimesikia jez mpya za wananchi ipo kwenye hii video daah wamenipa tabu sana kuitafuta
@GriphineJonesGriphineАй бұрын
Leo mm wa kwanza wapi likes zake steve famille
@LilmmyCrazyfficialАй бұрын
❤Leo gongeni like hapa za mama samia ili baadae nimpelekeh nazo. Hikulu 😂😂😂🎉🎉🎉 Ila Steve 😂😂😂
@bonifasMichael2 күн бұрын
Mm wamwisho kutoka 🇿🇦 like zenu ndugu zangu❤❤
@RuhuneKabose23 күн бұрын
Stevu watuwako wanajuwa kuchenza vizuri
@AbuubakarySalumuАй бұрын
Nakubal kaka ❤❤❤❤
@TarazaLoveАй бұрын
Hongera Stive 🎉🎉🎉❤❤❤❤
@MayoMwanarusiАй бұрын
Weeeh steve mweusi kuimba lakini kucheza aaaah😂😂😂😂😂 big up from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@agnessBwalya-gz4buАй бұрын
Wewe steve kumbe una talent nyingi kweli we fanya music uyache comedy umeweza✍️
@tovumaster9204Ай бұрын
Umetish nakukubar by tovu master toka bukoba
@theeaprill_mxАй бұрын
mafans wa steve nipitieni pia mie mwenzenu toka Kenya
@Tobias_mhina6 күн бұрын
Naona kasikia kama Bando kapita kama DARASA humu ndani😮😮😮😅
@AramGervas-q4b3 күн бұрын
Big up mwamba🎉
@rejassangale6851Ай бұрын
Haaaaa hii kali yakeeee❤❤❤
@DanyMuhindoАй бұрын
Wakwanza Leo ❤❤
@GiftLaswai-u8q8 күн бұрын
Mungu amjalie afike mbali zaidi hapa kaka yangu mungu atakunyoshea mapito yako wnye husda hawatakukwamisha kwa maneno yqo
@Shelbyjuma-s6n4 күн бұрын
Oya ambonisye APa Ngoma niysikia amakeeli umejipata joshua
@JipemoyoMoshiАй бұрын
Weweweeeeeeeeeeeeeee!!!! Ngoma tamu kinoma yaniiiii nimumuimbia mzeee kwamba kupenda tuu kuhudumia aaaaaah kidoga Nile kofi😂😂😂😂