MAPADRI WANAOSUJUDU KISIRI KANISANI

  Рет қаралды 24,400

Straight Path Dawah

Straight Path Dawah

4 ай бұрын

Kumbuka kusubscribe kwenye channel yetu ya STRAIGHT PATH DAWAH ili uendelee kunufaika kupitia video zetu. ‪@straightpath9909‬ tunafikisha ujumbe wa Uislamu hadi mashinani.

Пікірлер: 172
@user-ng1po1dh4z
@user-ng1po1dh4z 4 ай бұрын
Namna hiyo👍➡️👆Penye ukweli, uongo hujitenga. TOBOA "KIJANA" TOBOA (Jamani Waislamu kila siku mshukuruni sana Allah, kutujalia kuwa Waislamu. Alhamdulillah)
@mwanashaali1109
@mwanashaali1109 4 ай бұрын
Wallah Alhamdhulillah
@thamani5842
@thamani5842 4 ай бұрын
Alhamdulillah
@nestarnestar4520
@nestarnestar4520 4 ай бұрын
Majini matupu yamewajaa nyie ngojeni tu 1day
@thamani5842
@thamani5842 4 ай бұрын
@@nestarnestar4520 LAILAHA ILA ALLLAH MUHAMMADU RASULU ALLAH. ukitaka ndo hivo hukutaka ndo hivo
@husseinihassani3541
@husseinihassani3541 4 ай бұрын
​​@@nestarnestar4520kwa bahati mbaya masikini maneno hayo umedanganywa na mchungaji ila hujachelewa bado
@omarsirleem7105
@omarsirleem7105 4 ай бұрын
InshaAllah sheikh Ramadhan nikirudi Kenya naeka nia nikupeleke Kitui,Kibwezi na Mutomo huko unahitajika sana kuwafunguka macho wenzetu hao
@shafiiabdallah1088
@shafiiabdallah1088 4 ай бұрын
Asalam aleykum….sh.ramadhan endelea kuwafundisha hao Jamaa zetu pole pole
@ukweliwauislamu9590
@ukweliwauislamu9590 4 ай бұрын
Masha Allah TabarakAllah JazakAllahu kheyran ustadh Ramadhan ❤
@husseindzombo6492
@husseindzombo6492 4 ай бұрын
Inshallah mola atawaongoza wawe waislamu
@Nim68182
@Nim68182 4 ай бұрын
Acha hizo ,kwa ambao hawamjui YESU
@husseindzombo6492
@husseindzombo6492 4 ай бұрын
@@Nim68182 ikiwa unamjuwa yesu chenye alifunza yesu inapaswa ww pia ufanye ivo, Yesu alikuwa akisujudu na alikuwa akienda msikitini wewe huko kwenye unaenda unamfuata nani
@naimamohammad8870
@naimamohammad8870 4 ай бұрын
Masha Allah Masha Allah Mwisho wataingia ktk Dini ya HAKI Amin Amin
@zanzibar-hf7vh
@zanzibar-hf7vh 4 ай бұрын
mashaallah Allah awalipe malipo kamili sheikh yussuf na sheikh ramadhan aamin, ramadhan Kareem
@user-fh7wu8vx1y
@user-fh7wu8vx1y 4 ай бұрын
Ma shaallah endelea Kuwapa. Darsa
@aumuelly2909
@aumuelly2909 4 ай бұрын
Allwah akufanyie wepesi sh Ramadhan kurya
@mwanaidiissa10
@mwanaidiissa10 4 ай бұрын
Ni Allah
@rizikiali328
@rizikiali328 4 ай бұрын
Mashallah mashekh wetu hii ni njia moja ya daawa Allah awawezeshe musichoke maana hawa wakiona haki watafata
@YusufWachiuri
@YusufWachiuri 4 ай бұрын
Mashallah nafurahia kuwaona ndugu zangu kutoka kiserian Allah awazidishie.
@user-vt4pm3ph9p
@user-vt4pm3ph9p 4 ай бұрын
ALLAH AKUFANYIE UPESI I.A
@HamadaShala
@HamadaShala 4 ай бұрын
Allah akulinde❤❤❤❤
@mwajumalubuva
@mwajumalubuva 4 ай бұрын
Shukurani sana Hawa viumbe wafundeshe mungu akulipe kheri inshallah
@lailahumaid2011
@lailahumaid2011 4 ай бұрын
Nakupata vizuri .mashaallah
@naimamohammad8870
@naimamohammad8870 4 ай бұрын
Asalam Alaykum warahama tulilah wabarakatuh 🌹🌹
@habibasalim3092
@habibasalim3092 4 ай бұрын
Wa alaikum assalam wa rahmatullahi wa barakatuh
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 4 ай бұрын
MashaAllah vijana wasomi.
@bahsansheikh6042
@bahsansheikh6042 4 ай бұрын
Allah Akbar
@faridaally-jp1gx
@faridaally-jp1gx 4 ай бұрын
Ma shaa Allaah Allaah Awahifadhi na kazi nzuri
@raniahmamu2586
@raniahmamu2586 4 ай бұрын
Masha'Allah❤❤
@saidali2981
@saidali2981 4 ай бұрын
ALLAHU AKBAR
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 4 ай бұрын
Mashaallah Allahu 💖💖💖
@kijakaparare2074
@kijakaparare2074 4 ай бұрын
Maashaallah mashallah taakbiriiiiii 📢📢
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 4 ай бұрын
ALLAHU AKBAR
@Aminedanisman76799
@Aminedanisman76799 4 ай бұрын
MashaAllah tabarakallah
@user-tr5wb8pt2y
@user-tr5wb8pt2y 4 ай бұрын
MASHA ALLAH
@salimdaawah123
@salimdaawah123 4 ай бұрын
Masha Allah
@user-ti4ce2pr8r
@user-ti4ce2pr8r 4 ай бұрын
Innallaha Alimun bidhaati sudoor was innallaha waasiun Aliim.Al-Elmul Bahar. God bless you Sheikh Ramadhan and your colleagues of STRAIGHT PATH DA'AWWAH!.Barakah-llahu fiykum wakheyr Biidhinillahi Ta-Allah bye❤❤❤
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 4 ай бұрын
Allahumma Aaamin
@user-ex4rk2yx4s
@user-ex4rk2yx4s 4 ай бұрын
Ma sha Allah
@Saidi-cops2023.
@Saidi-cops2023. 4 ай бұрын
Masha Allah 🎉
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 4 ай бұрын
Wata elewa tu Kwamba UISLAM ndio DINI ya haki
@zakayolazoro48
@zakayolazoro48 4 ай бұрын
Acha ujiga haki anayo mungu tu wisiramu kwanza raiti kama igekuwa dini ya haki agerudi muhamadi kwanini arudi Yesu acha ujiga
@zakayolazoro48
@zakayolazoro48 4 ай бұрын
Siku zote mtu wenye matuda ndo unapigwa mawe munajitaidi kuharubu ukilisito rakini bibiria inasema watashidana ira hwata weza vita yetu sisi si ya damu na nyama bari ni katika kiroho waisiramu mujifariji tu basi ira yoyote yure jina rake harikuwndikwa katika kitabu Cha uzima wa milele amepotea
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 4 ай бұрын
@@zakayolazoro48 ndio shida ya kuwa kafiri mojawapo hiyo
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 4 ай бұрын
@@zakayolazoro48 kinana shida unapotea sababu hujui mandiko
@DancanOsongo
@DancanOsongo 4 ай бұрын
wongo
@josemu870
@josemu870 4 ай бұрын
Barikiweni
@bwanaahmedabdallah5932
@bwanaahmedabdallah5932 4 ай бұрын
Allah awabariki kwa kazi nzuri ya Kutangaza dini ya haki 🙏
@amina2044amin-zv2gh
@amina2044amin-zv2gh 4 ай бұрын
Amine Amon Amine
@MohamedMeja
@MohamedMeja 3 ай бұрын
Mashalah ramadhani
@faudhiasaidi3669
@faudhiasaidi3669 4 ай бұрын
😂😂❤🇹🇿
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 3 ай бұрын
Allah akulipe kabisa kazi unayo fanya
@user-is7hj1ol9l
@user-is7hj1ol9l 4 ай бұрын
ALLAH AKIBAR
@saidhando
@saidhando 4 ай бұрын
Allah awaongoze waijue haki insallah
@user-sp6gb6mf5y
@user-sp6gb6mf5y 4 ай бұрын
Mashaallah
@user-hj4sy9fy4g
@user-hj4sy9fy4g 4 ай бұрын
Siooni maantiki, ya yanayojadiliwa, hakuna asiyejua kuwa mungu ni mmoja tu! Hao machalii ni ushabiki tu!
@mwajumalubuva
@mwajumalubuva 4 ай бұрын
Mashallah ♥️
@HamadaShala
@HamadaShala 4 ай бұрын
🇲🇿🤲🤲🤲
@salumally-jz5lj
@salumally-jz5lj 3 ай бұрын
Ukitafuta mjadala huwezi pata majibu kwa wasioelewa ila dini sio kibali kwa mungu ila waislam wana udini mwingi kuliko kuelewa kuusu iman,kifupi wote tunamtegemea mungu ivyo sheria zake hazibadiliki wote tunapaswa kuzifuata bila kujali dini,ieleweke kusujudu ata shetani anasujudu sio waislam tu
@user-qx1jc7qd1o
@user-qx1jc7qd1o 3 ай бұрын
Naomba muelewe kusujudu na kupiga magoti yote nikujinyenyekeza Mbele za Mwnye henzi,Mimi mkirsto sioni kama kusujudu ni hishala ya Mwislam hpana MUNGU Anainami🎉wa, Anapigiwa magoti, Au Anasjudiwa.
@richardnganya2311
@richardnganya2311 4 ай бұрын
Mkikubali kuchunguza ya ndani ya upande mmoja basi muwe tayari kuchunguzwa.
@qassimislam5291
@qassimislam5291 4 ай бұрын
Sisi ukichunguza tu unasilim
@richardnganya2311
@richardnganya2311 4 ай бұрын
Huko ni kujidanganya. Kinachosemwa ni kuridhia kuchunguzwa.
@Alkaburu
@Alkaburu 3 ай бұрын
​@@richardnganya2311anza leo chunguza ndugu yangu nenda kwa walimu na mashekhe fanya tafiti juu uislamu.
@ngugimundia6306
@ngugimundia6306 4 ай бұрын
Angalizo....kwa kanisa la kweli...msikubali kuamini kundi hili nimpango hatari washetani....
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 4 ай бұрын
ivii kanisa la kweli ni lipi mana yote yanashindana kwa balaa
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 4 ай бұрын
Umeangukia mshamba
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 4 ай бұрын
Muongo uyo baana
@AlkadoNkundwe-wb3of
@AlkadoNkundwe-wb3of 4 ай бұрын
Kama kweli basi upadri kaukosa
@peteremanuel8022
@peteremanuel8022 4 ай бұрын
Kama kuisoma quruan wanaisoma vzr tu
@user-kg2bg8kp5u
@user-kg2bg8kp5u 4 ай бұрын
Kusujudu ni kitendo kinacho fungamana na madhabau ishu madhabau unayo isujudia nihipi
@didimeandrewngowi
@didimeandrewngowi 4 ай бұрын
Sio kazi yako, hubiri yanayokuhusu mwezi huu wa toba sio kujiingiza kwenye imani za ukatoliki na kuwaleta mashuhuda wa uwongo, hubiri imani yako tu, tu kuchambua imani za watu, kanisa katoliki linakuhusu nini??
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 4 ай бұрын
Kaka zangu ktk Adamu tokeni ktk utumwa wa fikra kuweni Waislamu ili muwe huru na maisha yenu. Vipi mwanamme rijali ukae bila kuowa ? 😢😢😢. Wapi Mwenyezi Mungu amesema msiowe ? Achaneni na mila za kidhungu.
@NancyPatrick-il8zj
@NancyPatrick-il8zj 4 ай бұрын
Ila wamechagua kuishi hivyo, ni chaguo lao la kumtumikia Mungu. Cha muhimu ni kuheshimu chaguo la mtu, akishindwa ataondoka mwenyewe
@charlesmgonja8689
@charlesmgonja8689 4 ай бұрын
Wanahubiri amani lakini hawapendi amani.Hivi hamuoni hao Alshabab hapo Somalia. Hivi Kuna amani hapo?
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 4 ай бұрын
Wewe umejazwa chuki lakini ukisoma na kukaa na watu utajua mengi
@kabwere
@kabwere 3 ай бұрын
Hivi nani kakwambia Al-shabab waisilamu?
@user-kg2bg8kp5u
@user-kg2bg8kp5u 4 ай бұрын
Wasram msiwe wabaguzi kusujudi dini zote lazima wasujudu kitendo kinacho mueshimu mungu
@mwanashaali1109
@mwanashaali1109 4 ай бұрын
Wala Hatujabagua,IlanWanaosujuduu Asilimia Kubwa Ni Waislm,sisi tunalingania Tunataka Tuwe kitu kimoja Ila Wakristo Asilimia Kubwa Huwaga hawasikilizii Kuelewa wanapinga Tuh,na Kukataa Hakiii na Kuzidisha Mjadala Pasipokiwa na Mjadala
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 4 ай бұрын
mbona hamusujudu ni kuruka ruka tu
@peteremanuel8022
@peteremanuel8022 4 ай бұрын
Uongo padri hawezi kusudia quruan
@DancanOsongo
@DancanOsongo 4 ай бұрын
qoran ni uchawi
@kabwere
@kabwere 3 ай бұрын
@@DancanOsongo Yalisemwa hayo na makafiri wa Makkah wakati wa Mtume. Si wa kwanza wewe kusema hayo.
@ngugimundia6306
@ngugimundia6306 4 ай бұрын
Ukatoliki...na uislam ni.moja...ukitaka udhibitisho utapata...wote mnaomba mkitumia rozari....
@mwanashaali1109
@mwanashaali1109 4 ай бұрын
Tofautiii Ipooo,ya Waislm Sio Rozali NinTasbihi na ya Waislm Haina Msalaba,Alafuuu Sie Tunaitumia Kama Unataka kufanya Hesabuu,ujue Dua yako wataka Io labda mara mia Inakuwa Urahisi,ila sio Lazima Kutumia Tasbihii,hata vidole vyako vya mikono Waeza Tumia Bora usijichanganye tuh
@mwanashaali1109
@mwanashaali1109 4 ай бұрын
Wakatholiki labda Usemee Mavazii Kwanii Wakatholikii Wanawake wao Wanavaaa Marinda Mrefuuu Yanayoficha Uchii,na Kufunika Nywele, masisters SI wanavaa hivyo,sie Waislm Hatumpingiii Issa , tofautiii yetu sie Tunajua Issa Ni Mtume,ila Hatumtukuziii Wala Kumpa Shifaa za Mungu kama Wanavyofanyaaa Wakristo,na Wala Hatusemi Mungu Katuumba Kwa Mfano wake,sie Kwetu Munguu Ni Mmoja, hakuzaa Wala Hakuzaliwa,Hana Mshirika Wala Hakuna Kilichofanana Na Yeye,Io ndio Imani uetu
@marymwapiya1274
@marymwapiya1274 4 ай бұрын
Ipo kabisa ambayo ipo kama rozali wakatoliki wamewewka msalaba na wao wanaisoma ili wajibiwe maombi yao na hiyo wenu ina kali kaalama kama mwezi hapo hakuna utofauti wowote nini nimeiona vizuri sana boss wangu anatumia wakatoliki na waisilamu ni walewale
@kabwere
@kabwere 3 ай бұрын
@@marymwapiya1274 waisilamu na wakatoliki tofauti kabisa. Usijidanganye.
@hassanjuma2772
@hassanjuma2772 3 ай бұрын
​@@marymwapiya1274hebu tuwekee hata picha ya hiyo tasbihi yenye pcha ya mwezi alau na sisi tuone
@marymwapiya1274
@marymwapiya1274 4 ай бұрын
Watu hawajui kinachoendelea kwa saizi katika dunia hii tuliyopo mpango ni huu waislamu na wakatoriki wanaenda kuwa kitu kimoja watakuwa na dini na wanaenda kuanzisha biblia yao na hizi biblia zilizopo zitapotea na wataketa biblia ya kwao inayo mpinga Kristo, kana huna nambba 666hakuna kuuza wala kunnunua bila hiyo chapa .kuna watu wanazani wako salama kumbe wapo hatarini bila wao kujua nawasii wakristo wa kweli nunueni biblia mapema.
@user-py9ht4oe3d
@user-py9ht4oe3d 4 ай бұрын
Hata we hujui kitu hio bibilia unayo unayo isoma Sasa niagano jipya aliandika papa vatkan Apo ulipounamuabudu papa na ndo maana mnaoana jinsia moja nandoa zinafungwa kanisani
@Alkaburu
@Alkaburu 3 ай бұрын
Umeshacherewa 😂 hakuna biblia ya kweli hata sasa maana Kuna vision nyingi
@ngugimundia6306
@ngugimundia6306 4 ай бұрын
New world order chrislam starting slowly...kuunganika kwa dini moja..wamesema wanaendelea kuungana...upagani...catholicism and Islam is one.
@nestarnestar4520
@nestarnestar4520 4 ай бұрын
Iv nyie watu mpk mlishwe nn ndo mjue kua uislam ni dini ya Majini, na ndoo maana mnasali mchana wa jua Kali saa Saba na ndo muda wa Majini, Majini wanapenda dam wakiona damu imetoka ni kivumbia hamruhusu mwanamke mwenye siku zake aende mskitini ikitokea damu imevuja gafla nikivumbi, mbn hamuawambii ayo watu
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 4 ай бұрын
wewe mgonjwa bibilia inasema kiti cha enzi cha shetani kipo mazabahuni kanisani ndo mana makanisani ni ngoma zinaa uchafu kwenda uchi yaani ni ushetani tuu
@kabwere
@kabwere 3 ай бұрын
🤣🤣🤣jua unachosema kwanza 🤣
@Alkaburu
@Alkaburu 3 ай бұрын
Soma biblia yako vizuri Kwanza ndio uje uongee tena hicho ulichoongea
@DancanOsongo
@DancanOsongo 4 ай бұрын
wewe ni mwongo wako nisakumata wewe
@SamuelOllonde-qg8px
@SamuelOllonde-qg8px 4 ай бұрын
Why aren't you people visiting areas with SDA churches mpate dawa zenu
@mamertarweyemamu3438
@mamertarweyemamu3438 4 ай бұрын
Tumbafu wewe shehe
@ngugimundia6306
@ngugimundia6306 4 ай бұрын
Sasa kuria unasema ukristo umeletwa na wazungu...wewe...mkikuyu unafuata mwarabu....tena wapi Muhammad kasilimu..propaganda zake za kiarabu
@DennisWaweru-ml4lf
@DennisWaweru-ml4lf 4 ай бұрын
Hatushangai kwani vitabu vyenu vinasema mapadri walihusika kuanzisha uisilamu."wakati waraka alikufa sindio wahai uliisha??"asanteni Sana kutuondolea Shaka katika Jambo hili
@DancanOsongo
@DancanOsongo 4 ай бұрын
amen
@alanngabonziza
@alanngabonziza 4 ай бұрын
Kwanini musiseme imani ya islam inasimama wapi,kila siku wakristo,imani haina msingi,munaimba muhamed na lile jiwe nyeusi la macca ndio maana munaangalia east mukiomba,mungu wenu anasikia kiarabu peke yake,quran yenu imeandikwa na story zenye ni oongo,hamjui nani aliendika quran,mujiulize kuhusu imani yenu kwanza
@user-fc6uf6be5u
@user-fc6uf6be5u 4 ай бұрын
inshaaAllah Mungu akuonyeshe haki
@kassimngao2282
@kassimngao2282 4 ай бұрын
Mungu akuongoze kuona hakki
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 4 ай бұрын
Allah akufungue macho na akili uondoke kwenye izo fikira zako potovu,
@Aminedanisman76799
@Aminedanisman76799 4 ай бұрын
Karibu kwenye dini ya hakii.naona pia ww unafatilia daawa mtaani
@Adm9464
@Adm9464 4 ай бұрын
You must be such a confused individual who has no clue about Islam. Hakuna kuimba katika Uislamu period . All we have is to worship the most high . Even in your Bible if you even believe in it Mungu alikataa nyimbo. Bibilia inasema ni ondeliyeni nyimbo zenu za upusis.
@fatumahamisi1604
@fatumahamisi1604 4 ай бұрын
Mashallah mashekh wetu mungu awajaze kheri zake fil Dunia fil akhera
@bwanaahmedabdallah5932
@bwanaahmedabdallah5932 4 ай бұрын
Allah awabariki kwa kazi nzuri ya Kutangaza dini ya haki 🙏
@AaIi-qw3ec
@AaIi-qw3ec 4 ай бұрын
Hongereni sana mana naona waislam na wakatoliki Mashaallah ❤❤❤❤tunasujudu wote na Mungu mmoja ❤❤❤
"MUNGU HANA MKE." PASTOR NDACHA AKIELEZEA YESU NI NANI.
1:25:25
Straight Path Dawah
Рет қаралды 10 М.
Bishop Stephen na Ramadhan Kuria katika kukuru kakara sehemu ya pili
32:34
Straight Path Dawah
Рет қаралды 65 М.
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 7 МЛН
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 32 МЛН
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 25 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 55 МЛН
AFANDE NJOGU AJIANDAA KUSILIMU ALLAH AMUONGOZE PAMOJA NA WENZAKE
1:00:17
Straight Path Dawah
Рет қаралды 18 М.
DAWAH KWENYE DAM KWA WAUZA SAMAKI HUKO CHINGA - OTHAYA
1:28:39
Straight Path Dawah
Рет қаралды 9 М.
WACHUNGAJI WAPIGWA NA BUTWAA KANISANI😱😱😱 WASHALLOM AWAPA DAWAH 😆
1:39:08
Familia nzima jirani na mungu Jehovah Wanyonyi yaukubali Uislamu.
45:37
Straight Path Dawah
Рет қаралды 40 М.
MHUBIRI AWEKWA SPEED GOVERNOR BUSIA
1:34:01
Straight Path Dawah
Рет қаралды 25 М.
WAKRISTO WAZIDI KUSILIMU BAADA YA KUGUNDUA UKWELI
1:01:22
Straight Path Dawah
Рет қаралды 11 М.
Da'wah nyumbani Kwa mungu mtu 'Jehova' Wanyonyi na Malaika wake. (Part 1)
1:00:44
DADA ASHANGAA NA MAANDIKO HUKU WENGINE WAKISILIMU.
50:01
Straight Path Dawah
Рет қаралды 10 М.
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 7 МЛН