Пікірлер
@saudaumar3354
@saudaumar3354 2 сағат бұрын
Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah
@user-fc6uf6be5u
@user-fc6uf6be5u 5 сағат бұрын
😂😂😂 subhana Allah yaani binadamu kazaaa Mungu wawakristo daaaa
@mamprince3667
@mamprince3667 8 сағат бұрын
Takbir
@user-ie7yt9db6f
@user-ie7yt9db6f 7 сағат бұрын
Allah Akbar ❤❤❤
@asriyaaljabry27
@asriyaaljabry27 9 сағат бұрын
ما شاء الله
@dominicwafula3997
@dominicwafula3997 10 сағат бұрын
Sheikh Abbas amenikosha sana alipo wafunga kwa kuwauliza sai yesu upo wapi na tena kma nani nilingoja swali hilo sana mpaka raha MashaAllah😂😊
@user-ie7yt9db6f
@user-ie7yt9db6f 10 сағат бұрын
Mashallah amekuwa na furah inshallah amani Amani inshallah
@user-hy5zd5rn6r
@user-hy5zd5rn6r 11 сағат бұрын
Ile siku atakapojua majini ni waislam atatoka mbio🏃
@HassanKipyego-cs5ff
@HassanKipyego-cs5ff 11 сағат бұрын
Aslm alkm.sheigh ramathan mimi naomba mngekua mnatafuta viti na meza .mkifanya mahojiano mwenye swali anakaa chini kama vile muhadhara.hapo vip
@azizashiundu5778
@azizashiundu5778 12 сағат бұрын
TAkbir
@daslamonline4665
@daslamonline4665 13 сағат бұрын
Sheikh Ramadhan allha akupe umri na afya njema
@user-ie7yt9db6f
@user-ie7yt9db6f 7 сағат бұрын
Ameen Ameen ya Rabi Ameen
@kennedyodhiambo8049
@kennedyodhiambo8049 15 сағат бұрын
Hii dini inayodaiwa ni ya haki ina siri nyingi sana hadi mtu akitoka amkubali Yesu Kristo anatafutwa auliwe. Wakristo wanaslimu bila tisho na uwoga lakini muislamu kama Sheikh Ramadhan akiamua kumpokea Yesu Kristo itabidi ajifiche kwa sababu hawezi kuishi kwa amani. Nawaulizeni ndugu zangu hii ni dini ya haki ama ni secret society!!!
@rizikiali328
@rizikiali328 12 сағат бұрын
Hakuna kulazimishana dini Qur'an inasema na a nae uwa mtu kwakuacha uislamu sio sawa
@salamalsawaqi1206
@salamalsawaqi1206 16 сағат бұрын
Hayafahamu wa naambiwa mwana wa malyam wanrudia mwana wa mungu astaghafilullah maskini unawaonea huruma maskini moto unawasubiri kumsingizia mungu na Hali yee ndo muumba wetu na dunia na aheraaa
@Natashaamina-u7w
@Natashaamina-u7w 16 сағат бұрын
Mashallah mubalikiwe
@chiefmkalikibz1503
@chiefmkalikibz1503 17 сағат бұрын
Assalam Alleykum Warakhmatu-LLAH Wabarakathu. ❤Mashaa ALLAH ❤ Kaka yetu amesilimu Alhamdhuli-LLAH. Hakika ameshika kishiko kilicho madhubuti na Njia iliyo Nyooka, Ila KAZI BADO. Maadamu ameamua kufuata dini, basi hii ni SEHEMU YA KIROHO. UISLAM NI MFUMO KAMILI WA MAISHA💯. Hivyo basi Ni muongozo katika Kila nyanja ya maisha. KAMA ULIVYO UISLAM NA MUONGOZO WA IBADA ZA KIROHO, NDIVYO ULIVYO KATIKA SIASA #khilafah . ❗SASA AWACHANE NA SIASA ZA KIKAFIRI #democracy ❗ DEMOCRACY NI MFUMO WA 👹KIKAFIRI👹:, NI HARAMU KUUPOKEA,NI HARAMU KUUTABIKISHA AMA KUUFANYIA ULINGANIZI(campaign). Sasa imebaki aongozwe na kuonyeshwa jukumu lake la KULINGANA kurudi kwa SAITWARA YA UISLAM #khilafah, ili upate kuhukumu kwa aliyoteremsha ALLAH TAALAH na Ar'Rasool. #KhilafahIsTheAnswer #democracyIsKufr #ArmiesToAqsa #WorkForChange #WorkForPeace #WorkForKhilafah
@PeterObiri-wj1iz
@PeterObiri-wj1iz 18 сағат бұрын
Mnaslamisha walevi online surely kinyume na mtume wenu .......why ??
@PeterObiri-wj1iz
@PeterObiri-wj1iz 19 сағат бұрын
Asante wakristu wenye nimeona mnasimamia ukweli. Swali langu, MBONA MUISLAMU HAONGELELEI YESU KWA ROHO KABLA YA KUZALIWA NA MARIAM ALIPOFANYIKA MWILI ????
@PeterObiri-wj1iz
@PeterObiri-wj1iz 19 сағат бұрын
Nimeudhika sana waislamu kudanganya wakristu juu lengo lao waslim. Hii Jacaranda one i will invite this guy Ramadhan. In the Bible God says Jesus is my son and also kuna mahali Yesu anakilri ya kwamba yeye ndiye masihi. Surely waislamu maswali yenu kwangu ni 15 tu na yakizidi ni 16 na nitakujibu cash. Again, wacha kusoma haya nusu nusu juu hata Ndacha pia nimerudia kumwambia c vizuri kukata kurani kabla tupate mkudhata halisi. Ramadhani uko na kitabu on launch saa hii please i want to know ni kipi kigeni umeandika ndapo mbali na huo uongo uneaebdelea kudanganya innocent people. Rafiki yangu please nyenyekea kwa ukweli wacha kubeba uislamu kujificha please. Fundisha ukweli vile mm pia niko na msinamo wa kukosoa Ndacha mahali
@mutomubaya
@mutomubaya 19 сағат бұрын
Pongezi sana Ahmed Darwesh. Allah ndiye pekee Mola wa Ulimwengu. Tukimuabudu hakika atatujibu Dua. Sasa jiunge na Madrasa inayofundisha TAWHID na FIQH na Kusoma Qur'an nk. Uweke bidii masomoni utaona matunda ya haraka urashangaa
@mohamednurmohamed8812
@mohamednurmohamed8812 19 сағат бұрын
Mash ALLAH alhamdulilah ❤❤❤
@hythamhashiem4458
@hythamhashiem4458 19 сағат бұрын
Huyo alio vaa blue ame tumwa kuvuruga muhadhara musimpe chance tena kupoteza wakati
@halinishibakari5402
@halinishibakari5402 19 сағат бұрын
MashaAllah Allah akufungulie bro welcome
@mohammededy7086
@mohammededy7086 20 сағат бұрын
wapo kubishana ao wakiristo
@josemu870
@josemu870 20 сағат бұрын
Allah ampe afya amulide amuongoze dawa iendelee Allahamdhullah
@user-iz1er8vg7u
@user-iz1er8vg7u 20 сағат бұрын
ALLAHU AKBAR
@fatumaali7470
@fatumaali7470 20 сағат бұрын
Masha allah❤❤
@MariamAsudi
@MariamAsudi 21 сағат бұрын
Ya Allah azidi kuwaongoza jacaranda ambassadors 🤲🤲🤲 bado Nuru okanga😂
@abdalaauame3863
@abdalaauame3863 21 сағат бұрын
Mashalla ustaz ramazane kuria 🤲🤲📿🌹
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 21 сағат бұрын
Innalilah.huyu.jamaa.wabluu.anamambo.haelewi.kabisaZiro
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 21 сағат бұрын
Mtoto.namzazi.tenaMama.mchamungu.anamjuwa.baba.wamtoto..na.Mtume.lssa...hanababa
@user-vw5bn4pf4y
@user-vw5bn4pf4y 22 сағат бұрын
Llllj Mj..i.j.ji....j..j.i.jini.j..i...j.i.j..i.ij
@AshrafBunu
@AshrafBunu 22 сағат бұрын
MashaAllah
@zaitunirashidi5532
@zaitunirashidi5532 23 сағат бұрын
Subra yako ostadhi ni ya kiwango, mm ningepiga uyo pastor makofi
@HabibalKalbi
@HabibalKalbi 23 сағат бұрын
#ramadhan iyo kaswida background nzuri kweli tupe link plz❤
@HabibalKalbi
@HabibalKalbi 23 сағат бұрын
Mashallah tabaraqallah walahi kazi mnayofanya ni ngumu sana yataka hikma busara subra ya hali ya juu,hii ndio talim bora,zaidi
@kennedyodhiambo8049
@kennedyodhiambo8049 23 сағат бұрын
usiku wa manane ajiunga na majini! Kweli Allah ni Al-Makir, Al-Muzil - mbona mueleze mtu atamke maneno hata hayaelewi sikiliza vile jamaa anatamka shahada
@hamzamohamed377
@hamzamohamed377 23 сағат бұрын
Atajifunza tu
@kutailass6671
@kutailass6671 23 сағат бұрын
Hawez kunyoosha kiarabu sababu toka azaliwe hajawah soma lugha ya kiarabu, lkn in sha Allah atajifunza sasa kwan majini umewaumba wewe? La hasha, majini ni viumbe nawe ni kiumbe afadhal kajiunga nao kuliko abaki na shetan ndan ya kanisa
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 23 сағат бұрын
Kabisa
@kassimngao2282
@kassimngao2282 22 сағат бұрын
Baki na chuki zako nddugu
@kennedyodhiambo8049
@kennedyodhiambo8049 19 сағат бұрын
@@kutailass6671 Quran 51:56 - Allah amewaumba wanadamu na majini wamuabudu. Kwetu sisi majini ni mashetani (Malaika waasi), watamuabudu aje Mungu!!!
@bahsansheikh6042
@bahsansheikh6042 Күн бұрын
ALLAH AKBAR
@alishamlan7434
@alishamlan7434 Күн бұрын
Usiku wa manage umechagua dining ya hali Na ALLAH atakuzidishia kila kheri pamoja na straight path daawa
@salimjuma9837
@salimjuma9837 Күн бұрын
Mashallah Sheikh Ramadhan Kaguo kazi mzuri sana
@adanabdi5249
@adanabdi5249 Күн бұрын
Masha Allah.
@seifserenge3340
@seifserenge3340 Күн бұрын
Vipi wakristo mnasikiliza vizuri ayo mahojiano? Mnawasikiliza hao wakristo wenzenu wanavohangaika!! Yaani wanashangaza sana. Ivi hawa wameenda shule!! Mashehe wetu mna kazi kubwa. Izo nyoyo ni ngumu. Na huyo blue jacket anababaisha huku na kule kupoteza wakati wengine wasifaidike, achaneni naye
@shabamuhidin634
@shabamuhidin634 Күн бұрын
Yani wamejazwa imani ambayo kwa maandiko hakuna mpaka wanaikataa Bibilia yenyewe...duh! Mtihani kweli na hawa marafiki zetu
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 21 сағат бұрын
SubhanaAllah.
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 Күн бұрын
Masha Allah 💖💖💖
@hythamhashiem4458
@hythamhashiem4458 Күн бұрын
Hao wame tumwa kuvuruga muhadhara
@samxx411
@samxx411 Күн бұрын
Huyu jamaa blue jacket haeleweki hata kidogo ikisha anajihisi yupo sawa na hataki kuelewesha yupo kiubishi lakini pia haelewi.
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Күн бұрын
Tushamuelewa
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 Күн бұрын
Na wenzake wanapiga makofi maskini
@user-ex4rk2yx4s
@user-ex4rk2yx4s Күн бұрын
Amin Aisha
@zahraabdul9652
@zahraabdul9652 Күн бұрын
Mungu awaongoze washikamane na Deen Hadi mwisho wasichukulie mchezo kuchukua shahada sio jambo la mchezo waumini tufanyie wenzuti wanao pata ufahamu kwa Dua ili tumalize salama inshallah 🤲🙏❤❤
@user-fc4vl8zi4r
@user-fc4vl8zi4r Күн бұрын
Takbirr
@alishamlan7434
@alishamlan7434 Күн бұрын
@PeterObiri-wj1iz
@PeterObiri-wj1iz 18 сағат бұрын
Hata maana ya takbir hujui sijui nikufundishe vipi. Mbona mnaongea juu ya Yesu wa Dunia but ikifika Yesu mwana wa Mungu mnakosa hoja ? Kwanza Quran hathibitishi vizuri vile aliumba dunia na mbingu. Na siri zenu itabidi tuanike wazi wote wajue ya kwamba Allah wenu ni Saitan mwenyewe a niko na haya kwa Quran kujitetea. Hata Quran ni aliyekuwa adui wa Malika jibreel [Gabriel] ndiye aliyeteremsha hicho kitabu chenu cha kupinga mafundisho ya Yesu.
@user-ie7yt9db6f
@user-ie7yt9db6f 7 сағат бұрын
​@@PeterObiri-wj1iziyo ni laana moyo wko uko Giza na chuki ya dini ya haki na Allah alichagua na inazidi kusambaa kwa ajili ya Allah ww endelea kuweka Giza moyoni mwko na takbir hajakusemea ww chuki ya NN bro huja katazwa kusemezana na kuita wtu kwenye dini yko sijui nani akakuchagulia maana Mwenyezi Mungu anajia dini yke ni Moja tu
@raniahmamu2586
@raniahmamu2586 Күн бұрын
I am praying to ALLAH One day insha'Allah this channel straightpath TV to reach one million insha'Allah.... love for the sake of ALLAH.... beblessed All ❤❤❤❤
@raniahmamu2586
@raniahmamu2586 Күн бұрын
Masha'Allah ❤❤❤❤
@Aisha-jw7jf
@Aisha-jw7jf Күн бұрын
Masha Allah tabarakallah Allah awajaalie kila la kheri dunian na kexho Akhera na umri mrefu wenye afya njema kw hakika mnafanya jambo la kheri ata mm ALLAH anifanyie wepesi kichwa changu niweze kutangaza dini ya haki