No video

SUNGWI /EP 3/ Full Episode

  Рет қаралды 114,546

Dubu Tz

Dubu Tz

Күн бұрын

#dubutz #sungwi #snakeboy #clamvevo
Sungwi Ni Movie Inayo Muelezea Kiongozi Ambaye Anawetesa Na Kuwa Nyanyasa Wananchi Wake Na Anatokea Kijana Mgeni Ambae Anakuja Kuwa Msaada Kwenye Kijiji Hicho

Пікірлер: 437
@JohnBwija-xg5pf
@JohnBwija-xg5pf 3 ай бұрын
Kazi nzuri sana dubu
@etsareliza6687
@etsareliza6687 3 ай бұрын
Awapo ila akaacha sufuria la dagaa tamu hao nikupe 😀😀😀😀😀mliyopendezwa na hiyo weka like
@user-jf3qz3il3u
@user-jf3qz3il3u 3 ай бұрын
Really appreciate you dubu much love from saudia Arabia ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉 alafu ww udungu wangu dubu umeweza
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 3 ай бұрын
❤️
@LizenMaker
@LizenMaker 3 ай бұрын
Sijapenda Dubu kurogwa nilitaka chief apigwe
@janetkyumbe7154
@janetkyumbe7154 3 ай бұрын
Dubu umeweza ivo ivo usiniangushe 🎉 congrats 👏👏👏👏👏 wapi team strong kwa mpigo
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 3 ай бұрын
❤️
@user-ko2ml6fu9j
@user-ko2ml6fu9j 3 ай бұрын
Yani huyu mama dadaake chifu nadubu wananimaliza 😂😂😂😂😂❤❤
@theopistersaimon9664
@theopistersaimon9664 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@wamboiwamboh
@wamboiwamboh 3 ай бұрын
Another one from Dubu❤❤❤we love you from kenyaa
@tajilimtoto5009
@tajilimtoto5009 3 ай бұрын
Watu wa cram vevo tulio amia uku tujuane hii nayo nzuli sana🎉
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 3 ай бұрын
Karibu❤️
@tajilimtoto5009
@tajilimtoto5009 3 ай бұрын
@@OfficialDubu_tz tupe goma lingine
@HudhaifaNgunda
@HudhaifaNgunda 3 ай бұрын
​@@OfficialDubu_tz Brother unafeli wapi tupa mwendelezo tumesha subili sana
@CuthbethfrenkMunisi
@CuthbethfrenkMunisi 2 ай бұрын
Tupo
@braytoncosmas-se4nd
@braytoncosmas-se4nd 3 ай бұрын
Nyan Ngwengwe Saiv unayeyuka .! Umekuwa Mchawi sasa. Afu wwe Udugu wangu.
@user-wi4kr2zr7x
@user-wi4kr2zr7x 3 ай бұрын
Mlinzi wa chifu anajua unakubaliana likeeeeeeeeee 12
@AmaniChari
@AmaniChari Ай бұрын
Mganga Wa mapiano bado utasubri Sanakutawazwa kua chiff
@RehemaumaziNgalaa-wz9ut
@RehemaumaziNgalaa-wz9ut Ай бұрын
Nampenda Sana dadake chief anamapozi balaa
@Charlesyohana2004
@Charlesyohana2004 3 ай бұрын
Wa kwanza mimi apa kutoka kenya kama unamkubali dubu gonga like hapaa😊
@aishaomar2287
@aishaomar2287 3 ай бұрын
Ila huyo mnyama anaegeuka mtumishi moto jaman anatisha😮#team dubu mliweza sai ni mwendelezo tu kazi imenyooka mashallah
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 3 ай бұрын
❤️
@filexingutia3620
@filexingutia3620 3 ай бұрын
Nampenda sana Nyani ngwengwe😂😂vijitabia vya utahila😂
@bakamecomedian
@bakamecomedian 3 ай бұрын
Wakwanza kutoka burundi 🇧🇮🇧🇮 nipeni like
@AmaniChari
@AmaniChari Ай бұрын
😂😂😂 Nyan ngwengwe upon vzur hautaki kua na njaa
@sadahamad6158
@sadahamad6158 3 ай бұрын
Yani mnakera kweli sasa ww mtu wasema wakwanza upewe like uzipeleke wap tulike video tushare tucomment ili dj dubu azidi kupata nguvu hebu acheni ushamba kila mtu ajilike mwenyewe inatosha sasa khaa
@DelightfulMacawBird-tl5hf
@DelightfulMacawBird-tl5hf 3 ай бұрын
😂😂
@user-ec6ow2cx7c
@user-ec6ow2cx7c 3 ай бұрын
😂😂😂😂wanasinya sanaaa na likes sijui waenda kununua ndege nazo iwatembeshe
@sadahamad6158
@sadahamad6158 3 ай бұрын
@@user-ec6ow2cx7c 😂😂😂😂😂😂😂🙌
@muhammadshaka8414
@muhammadshaka8414 3 ай бұрын
mhhhh
@queenedmund-jt7oh
@queenedmund-jt7oh Ай бұрын
saf sana waambie hao
@Miriamerasmas-rk7nz
@Miriamerasmas-rk7nz 3 ай бұрын
Dubu hakika unakitumia vyema kipaji chako mungu akutunze kakang hakika kukupenda tu ndo najuaga
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 3 ай бұрын
❤️
@Johntezee254
@Johntezee254 3 ай бұрын
Kazi nzuri dubu
@ButoyiThierryve
@ButoyiThierryve 3 ай бұрын
Nic nizuli sana nawapenda mimi natoka Bd 🇧🇮🇧🇮
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 3 ай бұрын
Oyo kabale unankosha sana. Alafu we😂😂😂😂😂😂
@graphitenumz
@graphitenumz 3 ай бұрын
Sema Kwa nyani ngwengwe Umepata mtu Kuwa nae makini Wasimchukue wakubwa
@fatumasaidmajero2050
@fatumasaidmajero2050 3 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣 hii noma aki leo dubu umenikosha much ❤❤❤from Saudi Arabia
@user-pj1vo8eq7g
@user-pj1vo8eq7g 3 ай бұрын
😂😂😂 nyani ngwengwe WE Noma 🤣 aisée ww muroho
@AllyAisha-zt1eu
@AllyAisha-zt1eu 3 ай бұрын
Nakukubali dubu .me wakwanza kutoka singida gonga like ata 10
@aishaabeid8106
@aishaabeid8106 3 ай бұрын
Nimeipenda sanaa hii ni nzur mno❤❤hlf ww Dubu unajua kutufurahisha udugu wang😂😂
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 3 ай бұрын
❤❤
@EunicekwamboshOngati-cs4bx
@EunicekwamboshOngati-cs4bx 3 ай бұрын
Kazi nzuri kwenu na kwa wanao omba likes komeni na hiyo tabia yenu wapeni wenzenu pongezi alaaa😂😂😂
@HasnatyMuhina
@HasnatyMuhina 3 ай бұрын
Minamuelewa sana dubu aiseeee hakoseagi
@Dr_Cayden_Official
@Dr_Cayden_Official 3 ай бұрын
🎉🎉🎉 congratulation Big 🎉🎉
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 3 ай бұрын
🙏
@NatureMw155
@NatureMw155 3 ай бұрын
Mtumishi moto nyani ngwengwe these two guys make me to laugh 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Djikondj-on4le
@Djikondj-on4le 3 ай бұрын
mimi apa wa kwanza leo rdc naomba like zenu🎉🎉🎉🎉🎉
@traviegrey3434
@traviegrey3434 3 ай бұрын
Kazi nzuri brother mnakawia sana kuachia mazingira ila maua yenu🎉🎉🎉🎉
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 3 ай бұрын
🙏
@ggfwtgg1652
@ggfwtgg1652 3 ай бұрын
Nyani ngwengwe kinafulahisha kazi nzuri sana dubu ❤❤❤
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 3 ай бұрын
🥰
@Tokosilose
@Tokosilose 3 ай бұрын
Jambo
@Tokosilose
@Tokosilose 3 ай бұрын
Kazi mzuri
@bramwelsituma6375
@bramwelsituma6375 3 ай бұрын
Good job brother keep it up, from kenya we love you ❤🎉
@user-qx4dg1bc6r
@user-qx4dg1bc6r 3 ай бұрын
Good morning n big Sunday ❤❤❤❤ Asante kakang Mungu akupe ufaham mwema uzid kutuburudsha wakt km huu
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 3 ай бұрын
Amiin 🤲❤️
@Ekerengatv-045
@Ekerengatv-045 3 ай бұрын
Leo naomba like ATA tano tu za mkisii kutoka KENYA
@EunicekwamboshOngati-cs4bx
@EunicekwamboshOngati-cs4bx 3 ай бұрын
Zishafika tano sasa tulia😂😂😂
@Ekerengatv-045
@Ekerengatv-045 3 ай бұрын
Am happy,,, thanks am in always
@marthaonkoba
@marthaonkoba 3 ай бұрын
Hii nayo ilipikwa kweli yaani Ina ladhaa tafouti❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 3 ай бұрын
🙏🙏
@TabithaNjambi-xh1tn
@TabithaNjambi-xh1tn 3 ай бұрын
Watching from Saudi🇸🇦 weiting part 4
@user-qd7ey5cp5s
@user-qd7ey5cp5s 3 ай бұрын
Kazi nzuri dubu🎉🎉much love from kenya❤❤❤❤
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 3 ай бұрын
❤️
@user-nm2db7gg2x
@user-nm2db7gg2x 3 ай бұрын
Komecheka sana😂😂😂
@user-lm7fx7hw8y
@user-lm7fx7hw8y 3 ай бұрын
hongereni kazi nzuri sana
@HappinessJohn-vw8hk
@HappinessJohn-vw8hk 3 ай бұрын
Jeusi kama tope la tungu chefuu
@user-cr8cs2qc8f
@user-cr8cs2qc8f 3 ай бұрын
Chuchu conzi,we huogopi unaililia yako😂😂😂😂😂😂😂😂😂,yni yuanifurahisha huyu pic kali mmi,dubu kee it up.nakupnd bure frm.knya
@ashamwanganzi6400
@ashamwanganzi6400 3 ай бұрын
Tifuu😂😂😂twende zetu tifuuu😂😂😂twende zetu pongez san jmn❤❤❤
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 3 ай бұрын
🤣🥰
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 3 ай бұрын
Wow nimekuwa wa kwanza leo kazi nzr sana hii kk❤🎉
@NailaMickey
@NailaMickey 3 ай бұрын
Nyieee nyani ngwengwe lihandsome balaa
@user-ex2id7sw4x
@user-ex2id7sw4x 3 ай бұрын
Alf wewe 😂😂😂😂😂 huyu jamaa noma xan
@user-ub3xy9qu5q
@user-ub3xy9qu5q 3 ай бұрын
Alafu wewe dubu kumbe tuna dragoni na hausemi❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 3 ай бұрын
❤️
@bakamecomedian
@bakamecomedian 3 ай бұрын
Love from Bakame comedian burundi 🇧🇮
@amoswafula4095
@amoswafula4095 3 ай бұрын
Filamu iko sawa brother 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 3 ай бұрын
🙏🙏
@fatumamilimo7336
@fatumamilimo7336 3 ай бұрын
unaweza unaweza tena na tenaaaa🥰🥰🥰🥰
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 3 ай бұрын
🥰
@user-fw4ck4kk8u
@user-fw4ck4kk8u 3 ай бұрын
Jamani huyo dada wa chifu duh nimepende hizo pigo zake
@user-hm5ze9sz2v
@user-hm5ze9sz2v 3 ай бұрын
Awapo ila wameacha sufuria yh dagaaa alafu wew 😅nyani Ngwengwe ana jambo lake huyo❤❤
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 3 ай бұрын
❤️
@husseinkiture4860
@husseinkiture4860 3 ай бұрын
Alafu Wew Unabahat Ilibaki Kidogo Tu Weka Like Kam Unamkubali Nyani NgweNgwe
@user-db6ej8cc1n
@user-db6ej8cc1n 3 ай бұрын
Upinde
@lucymrombo227
@lucymrombo227 3 ай бұрын
Alafu bosi nmeenda ndani nikawakosa nikapata dagaaa🤣🤣🤣🤣💸🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤❤🇸🇦waiting 4
@LucyKaluma
@LucyKaluma 3 ай бұрын
Dubu hajawah kufel well done 👍👍👍👍👍👍
@komlaakomlaa7465
@komlaakomlaa7465 3 ай бұрын
Mimi sasa kama simuoni nyaningwengwe sijafurahi🤣🤣🤣
@komlaakomlaa7465
@komlaakomlaa7465 3 ай бұрын
Alafu wewe🤣🤣🤣🤣
@Huncho_taitan_breezy
@Huncho_taitan_breezy 3 ай бұрын
Such a Great and entertaining story..... kudos to all the actor's and actresses.
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 3 ай бұрын
🙏🙏
@lizchepkorir2000
@lizchepkorir2000 3 ай бұрын
Chifuuu twende zetuu😹😹big up Dubu and the squad🎉🎉🥳🥳🥳🔥🔥love from 🇰🇪🇰🇪
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 3 ай бұрын
🙏
@marymele9714
@marymele9714 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂 we huogopi,,unaililia yako
@user-wi6to3kb8v
@user-wi6to3kb8v 3 ай бұрын
Nakubali Dubu tuko pamoja mwanzo mwisho
@GeorgeShunda-ew9ko
@GeorgeShunda-ew9ko 3 ай бұрын
Wameacha sufuria la dagaaaa,hahaha wapi nyani ngwengwe
@SamiriWahab-ue1wy
@SamiriWahab-ue1wy 3 ай бұрын
Nice kazi dubu ww unajuwa sana pigs kazi kija
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 3 ай бұрын
🙏🤝
@SharifaSalim-cc5dg
@SharifaSalim-cc5dg 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂nyani ngwengwe nakupenda bure umetuma msema afu ww hahahaha naogopa natetemeka hahaha dubu kaza buti
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 3 ай бұрын
🥰
@peterfujokalogi7821
@peterfujokalogi7821 3 ай бұрын
Sa mbona ni snake 🐍 boy tofauti kidogo sanaa any way ngoja tuone nani zaidi
@Spagles
@Spagles 3 ай бұрын
Hamuwezagi kuwa serious 😂😂😂😂
@HeritierKambale-jm2rb
@HeritierKambale-jm2rb 3 ай бұрын
Wakwanza toka kampala, ni heritier kambale
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 3 ай бұрын
🙏
@OkandaJames
@OkandaJames 3 ай бұрын
Kalii sanaa hii😂😂🎉
@ekadoboy1591
@ekadoboy1591 3 ай бұрын
sanaa kaka nakubali kazi nzr
@fredkasuga9740
@fredkasuga9740 3 ай бұрын
Dubu hakika we ni fundi asee xtor kali sana hii Keep'n up bro
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 3 ай бұрын
🙏🙏
@user-ds1cy3dc7z
@user-ds1cy3dc7z 3 ай бұрын
Safi sana DUBU kanzi nzuri sana 🎉🎉🎉
@AaAa-lq7mr
@AaAa-lq7mr 3 ай бұрын
Dadda ake chief wa motooo😂😂😂😂
@user-yj2kk2my8t
@user-yj2kk2my8t Ай бұрын
Kazi nzur xn
@user-dc5he7ss6f
@user-dc5he7ss6f 14 күн бұрын
Kazi safi sana
@Gloriarespiki
@Gloriarespiki 3 ай бұрын
Leo nmekuwa. Wa mwishoo😢😂😂
@JudcBen-ye9cy
@JudcBen-ye9cy 3 ай бұрын
Chifu ana upwiru huyu kila mdaaa😂😂😂😂😂
@DigiSbmn
@DigiSbmn 3 ай бұрын
Kazi nzuri kabisa
@imohussein8612
@imohussein8612 3 ай бұрын
Jaman bonge sio kwa mapozi hayo😂😂
@user-km7rs7pe5d
@user-km7rs7pe5d 3 ай бұрын
Mimi Dubu nakukubali saana,tupeleke hivi hivi tuwe nafuraha bandika bandua.
@IsaacHangi-u6p
@IsaacHangi-u6p Күн бұрын
Sasa chef âme ya kanyaga
@MARLIJAYOG
@MARLIJAYOG 3 ай бұрын
Me hyoo mzee mfupi ananiachaga hoi 😅😅😅😅anavyo ongea
@Zix-yb1ci
@Zix-yb1ci 3 ай бұрын
Dubu unatakika uwe na nguvu zaidi bro ila seems movie ni kali sana 🎉🎉
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 3 ай бұрын
💪
@user-ih7hk7lr2y
@user-ih7hk7lr2y 3 ай бұрын
Dubu na timu yako nzima mme tisha vibaya sana mungu azidi kuwaunganisha milele msalimie khajra mwambie nampenda sana
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 3 ай бұрын
❤️
@stevegitemi4289
@stevegitemi4289 3 ай бұрын
Kazi ni moto dubu tik
@user-uw6sf2kp6o
@user-uw6sf2kp6o 3 ай бұрын
Much love from Kenya
@user-su6nu4yb8d
@user-su6nu4yb8d 3 ай бұрын
Kazi nzuri hajra na dubu
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 3 ай бұрын
🙏
@user-ec6ow2cx7c
@user-ec6ow2cx7c 3 ай бұрын
Mwenzangu dubu nakupongeza Kwa kazi nzuri ngwengwe ukajibadirisha kua dubu ili uweze kukubaliwa na binty mrembo😅😅😅😂😂😂
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 3 ай бұрын
❤️
@user-gh2xf6st6q
@user-gh2xf6st6q 3 ай бұрын
Daa kibongee dada ake chief ananikoshaaa jamaniii
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 3 ай бұрын
❤️
@mariamdennis9576
@mariamdennis9576 3 ай бұрын
Hii team kiboko👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@user-ie8cu9vm6p
@user-ie8cu9vm6p 3 ай бұрын
Mbona ikaisha patam ❤❤❤❤❤
@mayaashassan3918
@mayaashassan3918 3 ай бұрын
Dudu uko vzr sana hongera kwa kazi zko Mungu akuzidishie kipaji🤲
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 3 ай бұрын
Amiin ❤️
@BKTZ-q2l
@BKTZ-q2l 3 ай бұрын
Uwahishe basi mwanangu kazi nzuri ningependa sana km na mimi ningekua kwenye kazi zako ila ishaalah Mungu atajalia
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 3 ай бұрын
🤝
@user-dy9ht1on7y
@user-dy9ht1on7y 3 ай бұрын
Uyu mumama ana maringo kwery
@RizikiZiki
@RizikiZiki 3 ай бұрын
Nimecelewa leo sina lakusema mie😢dubu kazi nzuri pokea mauwa yako🎉🎉🎉🎉
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 3 ай бұрын
❤️
@sadahamad6158
@sadahamad6158 3 ай бұрын
❤❤🎉🎉 kazi nzuri sana ila kambare yuwaniacha hoi 😂😂😂
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 3 ай бұрын
❤️
@dollar105
@dollar105 3 ай бұрын
😂😂huyo mdada anajishaua hatari🎉🎉😂😢
@nadzuamrema5837
@nadzuamrema5837 3 ай бұрын
Nyani gwegwe nakumiss sana 😢 lakin karibuni waowa nakutakia kila la heri kwa ndoa yko na allah awajalie maskizano inshaallah 🙏
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 3 ай бұрын
😢
@nadzuamrema5837
@nadzuamrema5837 3 ай бұрын
@@OfficialDubu_tz inshaallah ❤ Allah awajalie maskizano
@mejubagu6825
@mejubagu6825 3 ай бұрын
Ukijisikia nipo kakaako Nita kusaidia😂😂😂
@FatumaAmiry
@FatumaAmiry 3 ай бұрын
Kazi kazi hongera broo
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 3 ай бұрын
🥰
@suzanajackson1910
@suzanajackson1910 3 ай бұрын
Alafu wewe ❤❤❤nice
@user-ts8uk4qm9i
@user-ts8uk4qm9i 3 ай бұрын
Kiboge nakupeda sana wanifurahisha mm 😂😂😂😂
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 3 ай бұрын
❤️
@amoswafula4095
@amoswafula4095 3 ай бұрын
Dubu ata uyo kiponge unamutongosa 😅😅😅😅😅😅😅 ala ala kumbe ni nyani ngwengwe
@user-jm5ki9oh8t
@user-jm5ki9oh8t 3 ай бұрын
kizazi
SUNGWI /EP 4/ Full Episode
19:30
Dubu Tz
Рет қаралды 131 М.
SUNGWI /FULL MOVIE/ DUBU TZ
2:14:09
Dubu Tz
Рет қаралды 186 М.
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 19 МЛН
The CUTEST flower girl on YouTube (2019-2024)
00:10
Hungry FAM
Рет қаралды 4,8 МЛН
English or Spanish 🤣
00:16
GL Show
Рет қаралды 8 МЛН
Ik Heb Aardbeien Gemaakt Van Kip🍓🐔😋
00:41
Cool Tool SHORTS Netherlands
Рет қаралды 9 МЛН
BABA YANGU KIPOFU Full episode /31/ #love
40:19
BabaJoan
Рет қаралды 329 М.
SUNGWI /EP 5/ Full Episode
19:38
Dubu Tz
Рет қаралды 117 М.
KIPIGO MBWA #Lord King #Mwakatobe #Kipara Wanaman
1:39
Lord King Film
Рет қаралды 24 М.
JUA KALI LEO ALHAMIS TAREHE 29/08/2024 | Full Epsode "HD"
20:19
Mr Exclusive Tv
Рет қаралды 19 М.
PENZI LA MZIMU |full movie|
1:34:23
CLAM VEVO
Рет қаралды 2 МЛН
MTEGONI [1]
22:03
CHADO MASTA FILM
Рет қаралды 117 М.
JOTO | FULL MOVIE
58:49
A7 FILMS
Рет қаралды 91 М.
MWAKATOBE na RINGO  MCHAWI FULL MOVIE 4k
59:54
JOJOHFACE films
Рет қаралды 73 М.
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 19 МЛН