TAFSIR YA NDOTO YA KUCHOTA MAJI AU KUONA MTO | UNAONESHA KUWA NA RIZKI NYINGI YENYE KUENDELEA

  Рет қаралды 53,262

Riyadh Tv Online Znz

Riyadh Tv Online Znz

3 жыл бұрын

#RiyadhTvZnz #Zanzibar #Tafsiriyandoto

Пікірлер: 41
@hamisijuma3362
@hamisijuma3362 3 жыл бұрын
Asante shekhe tunajifuza mengi kupitia ww shekhe mungu akupeni kheli nyingi mashekhe kwa darassa zenu
@ndotoyangumaishayangu1907
@ndotoyangumaishayangu1907 3 жыл бұрын
Shukran sana
@clarecynicholausy7538
@clarecynicholausy7538 3 жыл бұрын
Asallam alekum,nimeota niko sehem ambay siifaham na niko na mtot mdog wa kike ambaye si wangu nikaona mferej weny maji nikamchukua yule mtoto nikamuwek kweny maji,kisha nikamtoa kugeuka nyuma nikamuon baba yang na hapo alipokua kulikua na mto wa maji malapa ya yule mtot niliyekua naye yakabebwa na maji nikatak kuyafuat lakin nikashindwa yakabebwa na maji je maan yak ni nini?
@yaldiahafricanbeuaty1470
@yaldiahafricanbeuaty1470 9 ай бұрын
Mimi nimeota ndoto tatu tofauti kuhusu kitinda mimba wangu akizama kwa maji.nikaongiwa na wasiwasi
@aviwaomar439
@aviwaomar439 3 жыл бұрын
Ndoto nyingiii mpk zinakuchanganyaaaa aiseee
@yasalaam590
@yasalaam590 3 жыл бұрын
Assalamu alaykum sheikh shukran kwa kutujaaliy elimu hii bure bila ya malipo allah azidi kukuongozea mambo yako kila siku katik maish yako yoote amn
@Lailal-bg8di
@Lailal-bg8di 3 жыл бұрын
Asalamalaykum warhamatullah warhamatullah
@bintichausa4744
@bintichausa4744 3 жыл бұрын
Assalam Alaikum warahmatullah wabarakatuh....jaman sheikh akizingumziaa kitu juwa ni kwa jumla kama mto haijalishi unaogelea au unafua ...iyo ni kwa ujumla ....muhimu nikuiskiliza mpaka mwisho .
@fatimaahamed9829
@fatimaahamed9829 2 жыл бұрын
Sawa
@bashirabdalla2843
@bashirabdalla2843 2 жыл бұрын
Je nimeona MTO na namuingiza mtoto huku nimemzuia asende na maji hayo
@lucygawi7425
@lucygawi7425 2 жыл бұрын
Asalamu aleikum, mimi niliota mto niki vuka nikiwa nawezangu ilanilipofika katikati nikaskia kunakitu kime ishika mguu kwangalia nikapata ni mtoto mdogo kijana nikam hukua na tuka vuka na yeye kumbe aukua amekufa alikua hai nanikavukana yeye
@jacklineakoth1016
@jacklineakoth1016 3 жыл бұрын
Salam aleikum,, nimeota ati maji ya mtoni inateremka na manguo Zangu najaribu kuoka lakini zingine zilienda na maji iyo manake Nini
@omarhamad9489
@omarhamad9489 2 жыл бұрын
Aslam alaykum ustadh mimi ni kuulize kama mtu anatoa sana ana safiri ktk bahari na baadhi ya siku mtu huyo huota bahari ni imechafuka sana mawimbi makubwa mnoooo nini maana yake
@saphiamoleli
@saphiamoleli Жыл бұрын
Asalaam aleykum sheikh ukiota umechota maji kichwani Kisha yakamwangika inamaana gani,
@rotundajane3426
@rotundajane3426 3 жыл бұрын
Na uki ota ume ona muto mkubwa sana na uka ona samaki kwa iyo mto
@eufranciacarory1562
@eufranciacarory1562 Жыл бұрын
Mm nimezoea kuota nachota maji kisiman
@alicenagule2836
@alicenagule2836 Жыл бұрын
Nimepita kwa maji chafu yenye yanatoka kwa mto wenye umefurika lakini nikatoka salama
@khadijaabdallah4547
@khadijaabdallah4547 3 жыл бұрын
Naitwa khadija mimi nimeota nachota maji kisimani lakini kila nikikanyaga panabonye yani kutitia tafsiri yake ni nn
@Sheilawesonga-yu8lq
@Sheilawesonga-yu8lq Жыл бұрын
Mm niliota na nyoka mdogo ina maana ngaani
@shakilaandalia6739
@shakilaandalia6739 2 жыл бұрын
assalam aleikum mm nmeota kwamba mama mzazi ameteleza kwa mto na maji yakampeleka n nini maana yake.
@HusseinRamadhan-by4xf
@HusseinRamadhan-by4xf 11 ай бұрын
99
@AshuraSaidy-fz1hv
@AshuraSaidy-fz1hv Жыл бұрын
Kuota unatembea kwenye mawe na maji kama mto vile lakini hayo maji yametulia na masafi anapandisha juu nyuma yake Kuna mwanaume anamfuata na kisha wakafika wakakuta mji mwenye mji akamkaribisha yule mama nayule baba akamwambia aondoke nn maana yake shekhe
@mariamkuwayawaya17
@mariamkuwayawaya17 Жыл бұрын
Nimeota nimebebwa kwenye baiskel tukakutana na maji
@eliasimakange8431
@eliasimakange8431 2 жыл бұрын
Salaam aleku shekh mimi nimeota nipo kwenye mto mkubwa tu nachota maji lakini kuna ng'ombe wamefia ndani ya mto nikawa nasita kuyachota maji hayo
@mkemkwama2362
@mkemkwama2362 Жыл бұрын
Mimi sikumbuki ndoto nikiota
@allyally3209
@allyally3209 3 жыл бұрын
Assalam shhe naomba unisaindie kunitafasiria hii ndoto. Ya kuwa nilikuwa natembea nikakuta. Mto. Nikaingia ndani ya hayo maji ili nipite kwenda upande wa pili. Nikiwa katikat nikakutana na mwanaume lkn alikuwa mlemavu akapitia sehemu yenye kina nikajisemea kuwa mm kumbe pale pana kina kilefu. Ila kama nilikuwa naenda kufanya kazi za shaba vile nini maana yake
@hassanbinally7127
@hassanbinally7127 2 жыл бұрын
Asalam alaykum:sheikh mi nimeota niko shule nafanya mtihani lakini msimamizi alipokusanya majibu karatisi yangu akaikunjakuja bila kuingalia manaake nini sheikh
@mamamuu8217
@mamamuu8217 3 жыл бұрын
Assalamu alaikum , sheikh Mimi nimeota , nimekwenda kwenye MTO lkn sikuingia humo kwenye MTO na nikawa nachota maji na kijimwagia nn maana yake
@theodoralameck2786
@theodoralameck2786 2 жыл бұрын
Assalam Alaikum warahmatullah wabarakatuh.. jamani mimi nimeota nimetelezea kwenye mfereji wenye maji mengi yanapita kwa kasi nikazama lakini nilitoka bila kujua nimetokaje hii ina maana gani?
@qambalalkonky2574
@qambalalkonky2574 Жыл бұрын
Nimeota nimeenda mtoni kutawaza bahati mbaya nakutana namtu waajabu akilinda vitu vya thaman mton akasema endelea ila ukigusa utagatwa na nyoka
@awadhiabood5388
@awadhiabood5388 3 жыл бұрын
Mie nimeota mto nauwon lakin mto kwa mbali siwez uvuka ni maeneo ya nyumban nin maana yake?
@theresiandumbaro7862
@theresiandumbaro7862 8 ай бұрын
Ukiota maji ya bahari yanaanza kuja kwako yalienda mbali
@fauziasaid1578
@fauziasaid1578 3 жыл бұрын
Shekh naomba unitafsiriye ukiona mtu yuko na mtoto
@salummzee8908
@salummzee8908 2 жыл бұрын
yatatu niliota na kweli ulivyo fasir
@joyceshiyo7257
@joyceshiyo7257 Жыл бұрын
Me napata navuka mto wenye maji mengi nimebeba mtoto
@yasintacharles6057
@yasintacharles6057 Жыл бұрын
Nimeota nachota maji
@mwajumaally3383
@mwajumaally3383 Жыл бұрын
Ustaadh niliota MTO tulikua tunataka kuruka lakini Mtoto nataka kumwambia asiruke kwasababu maji nimengi sana akajitupa ndani ya maji hayo akawa amezama ikabidi niende kumuokoa nikatafuta nika mkuta kalala chini ya maji nika mtoa
@nizarshemchai2072
@nizarshemchai2072 Жыл бұрын
@MONA-zq6pu
@MONA-zq6pu Жыл бұрын
Ywr121
@dr.barasaaugustine7553
@dr.barasaaugustine7553 Жыл бұрын
Niliota maji, kizimani, naenda kujota maji mtoni nikutumie mtungi, hiyo yamaanisha Nini?
@annmamakesymon1678
@annmamakesymon1678 Жыл бұрын
Kuoto umeona mtu amembemba mtungi wa maji maana yake ni nini?
NDOTO | UKIOTA KISIMA HIZI NDIO TAFSIRI ZAKE | SHEIKH KHAMIS SULEYMAN
34:00
MASJID MTORO ONLINE TV
Рет қаралды 33 М.
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 25 МЛН
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 210 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 58 МЛН
UKIOTA BOMBA HALITOI MAJI./IF YOU DREAM ABOUT A PIPE THAT DOES NOT PROVIDE WATER
8:43
MNAJIMU KULUTHUM NA SIRI ZA NYOTA
Рет қаралды 7 М.
CULUMADII IYO DADKII SOMALIDA OO U DUCEEYAY ISMACIIL HANIYAH #alhamdulillah
22:57
UKIOTA NDOTO HIZI UJUE DUA ZAKO ZISHAJIBIWA
13:07
Mponda Media
Рет қаралды 4,1 М.
Nini Maana Ya Ndoto Ya Maji?
5:16
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 15 М.
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 25 МЛН