TAFSIRI YA NDOTO KUOTA MTU ALIE KUFA UNA ZUNGUMZA NAE"SHEIKH ABUU JADAWI.

  Рет қаралды 31,524

ZVP ONLINE TV

ZVP ONLINE TV

11 ай бұрын

#ShkAbuuJadawi #Zvponlinetv #Mwanza

Пікірлер: 64
@clovicemusobozi3891
@clovicemusobozi3891 5 ай бұрын
Shukran Jazaka Allah Khery
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 2 ай бұрын
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh.... SHEIKH.. wangu. ..nimeota ndoto Ila ktk kafatilia APA nimepata mana yake ..naomuomba ALLAH aKujaalie UMRI MREFU wenye afya njema na atujaalie kila lenye kheri atuepushe na kila. La shari...🙏
@zaitunisagwa2082
@zaitunisagwa2082 Ай бұрын
Mimi namuota sana mume wangu, mara nyingi tupo kwenye biashara iliyokuwa yetu, sometimes tunazungumza kwa furaha, sometimes ako kimya tu ila buzy na kazi zake. Mara moja tumealikwa kwenye meza ya chakula na watu fulani, akachekaa, kisha mimi nikaawaambia kuwa huyu hali vyakula kama vyetu. Kisha mume akapotelea. Wakati mwingine alikuja nikamlalamikia changamoto zangu sanaa. Akanaambia, usijali, nikirudi tuenda pamoja. Kiufupi sijawahi muona katika hali inayonitisha. nikiamka nahisi mkamilifu, mwenye nguvu na furaha na tumaini.
@ConfusedCat-le3sl
@ConfusedCat-le3sl 4 ай бұрын
ustath mm niliota mme wangu alishafariki npo nae lakini analo kovu kama kakatwa kisu au panga shavuni mm nayule tukapita uchochoro mdgo giza na pembeni kuna watu wengi mm nikaogopa aniambia usiogope twende tukawa yunaenda kwa mama angu mkubwa lakini lakini nyumba nyngne kabisa sasa sijaelewa hiyo ndoto mpka leo shekh wangu 12:43
@mamaafrika1481
@mamaafrika1481 10 ай бұрын
Nashukuru nimekuelewa sana shekhe
@JudithWanyonyi-cp6mq
@JudithWanyonyi-cp6mq Ай бұрын
Asante nimejifunza mengi
@swaiseif2989
@swaiseif2989 2 ай бұрын
Alhamdulilah nimefrai kujua maana ya ndoto
@MahijaMhini
@MahijaMhini 6 күн бұрын
Salamualeyku shekhe Mimi ninaotaga baba yangu amefariki miaka mitatu iliopita LAKINI ni nauna amefa
@user-xx8dh2bp3b
@user-xx8dh2bp3b Ай бұрын
Ikiwa hii maan ya kwanza bas mm nashkuru nina rafiki yangu ilkua tunaelewana alkufa lakn nishamuota sana, na katika izo tafsiri bas ya kwnza na ya 3 nishaona tayr ikiwa ni kweli ALLAH AMJALIE hatima njema ila hua namuota anacheka namkumbatia anacheka.
@LatifaKauma
@LatifaKauma Ай бұрын
Aisee hapo mwsho nakubal nlmuota baba yangu kawa hai kisha akawa ananisemesha namsikia ila kitu kmoja alkuw ananiambia saut inakata kisha anakufa tena aisee imepita miaka kadhaa tukazika ndugu zetu wengi sana😢
@athumanmayeko
@athumanmayeko 17 күн бұрын
Seikhe mimi nimeota baba yangu ananisemea mazuri akiwa kaninamisha masikioni
@AshaMohamed-ib4le
@AshaMohamed-ib4le 23 күн бұрын
Shekhe mim naota ndoto marehem baba na mama yangu pamoja na ndugu zangu tuliozaliwa pamoja tup mwenye nyumba kubwa na kila ndug yangu pamoja na marehemu baba na mama wamezungukwa nyoka wakali baba na mama ananiambia nipambane kuua nyoka zile nilipamban kuziua mpaka zikafa ndug zangu wakawa salama kabisa nanikashtuka
@ShamimuAbassi-eh9ro
@ShamimuAbassi-eh9ro 28 күн бұрын
Aslam alkum shehe mm nimepata Bibi angu alokufa amenitokea nikiwa mm na mdogo wangu Niko tunasubiria nyama za waturuki Bobbi angu alokufa akanitokea nakuniambia hivi nimuombe masmaja nanimshike magoti
@lilianrichard9065
@lilianrichard9065 5 ай бұрын
Shekhe mm nikilala naota mme wangu anataka tushiriki tendo la ndoa huku akinambia nakupenda sana mke wangu nisamehe yote
@lilianrichard9065
@lilianrichard9065 5 ай бұрын
Nipe jbu ni ndoto inayojirudia sana
@user-jz8sj5us1h
@user-jz8sj5us1h 9 ай бұрын
Shukraan sana sheikhe wetu
@user-ti9jw1to5t
@user-ti9jw1to5t 6 ай бұрын
Assalam ghalaikum nimeota mme wangu anaumwa na akafariki maana yke nin nn sheikh
@nadhifamohammed7749
@nadhifamohammed7749 10 ай бұрын
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh sheikh nimeota mume wangu anaumwa namtolesha shahada ina maana gani
@RabieGerard
@RabieGerard 11 ай бұрын
Sheikh samahani mume wangu kaota Leo mimi mkewe nimekufa maanake nini
@MajaliwaLechipya
@MajaliwaLechipya 2 ай бұрын
Kama nimeota baba yangu kaja wakat napambana namnyama mkal naakiwa na zana mikononi mwake halaf muda wa saa nikafanikiwa kumuuwa mnyama huyo na babayangu baada yakuona nimemuuwa yeye anaondoka hii inaashilia Nini?
@mathiaslutumbi5973
@mathiaslutumbi5973 8 ай бұрын
Asallam wallekum shekh: nimeota niko namkwe wang ambae marehem teal ana nisema kuwa simsalimii ata watt wng pia siwafundishi kumsalimia nikawana nabisha mbn nakusalimia kila nilipo nyanyuka kuingia ndan mguu moja ukawa mlefu mmoja mfup nilipo fika ndan kwang pemben ya kitanda kuna jongoo wannee wana ogombana kwa fujo alaf wale jongoo wamezungukwa na mende lipo zid kushangaa wale jongoo wakaondoka kwa kas kuelekea nnje na wale membe wakawa wamejipaga mstar km siafu wana wafata wale jongoo nimeamka usingizn kipanda uso kinaniuma vibaya mnoo namm ni wakike naomba unisaidie shekhe ina maana gan
@user-ui5jt9og1m
@user-ui5jt9og1m 4 ай бұрын
Shehe Mimi kuna mutu alikufa tenasiombalisana Ila nabakinamuotasana namuona anakujaku isalimia Lakini namukimbia kwasababu najua kama tulimuzika naomba unisaidiy sana nijuwe manaak atakama nimuchana nabaki namu jifikilia.
@sheymohamed
@sheymohamed 2 ай бұрын
shekhe mm nimeota ndoto sijaelew nimeota baba mkwe wangu wamume wangu nishaachana naye ila baba yake mzazi kanitokea alikuja kwa furaha akaonoka kwa uzuni akaniambia nimemuangusha sanaa yaan hii ndo imeludia mala kwa mala jmni maan yake nini
@user-gq4qf4jl2h
@user-gq4qf4jl2h 5 ай бұрын
Mm shekhe nimeota kunarafiki yng nimemuota amefariki jee hii inakuwajee taffsiriyak
@fatmaally7252
@fatmaally7252 5 ай бұрын
Shekhe mimi nimeota shangazi yangu marehemu namuuliza kitu cha hatari alafu yeye akanijibu kwa upole kwamba hakuna shida upo salama
@sheymohamed
@sheymohamed 2 ай бұрын
mimi nimeota baba mkwe wangu wa ex wangu niliachana alikuja ndoto kwa furah alf akaondoka kwa uzunii akasirika kabisa maan yake nn jmniii hii ndoto hii inaludia kila malaa nimekuw mtu ambaye sielewiii
@dorahkasembe1839
@dorahkasembe1839 9 ай бұрын
Asalam alaykum nimeota nipo karibu na marehemu mume wangu ananipeleka kwenye choo kizuri nikajisaidie nini maana yake
@user-jz6qu6fb2h
@user-jz6qu6fb2h Ай бұрын
Sheikh mimi niliota kwamba nimeenda Kijijini kwetu nikamkuta mama angu analima akiwa na baba mdogo nimeanza kumsalimia mama then nikamsalimia baba mdogo baada ya muda mama akaniambia kwamba sikutegemea kama ungependeza Ivo naomba unisaidie maana yake
@HaniaAbdallah-oy1yd
@HaniaAbdallah-oy1yd 3 ай бұрын
Asalaam alaykum nakumbuka mm niliota niko na maiti tumeenda out na watoto zetu tunaenjoy tunacheka tunakula halafu huyo niliemuota cna mazoea nae hp duniani lkn kashakufa namjua tu kwa vile alikuwa star
@user-ld2wd3ww8h
@user-ld2wd3ww8h 9 ай бұрын
Assalm alaykum warahmatullahi wabaeakatu shek nilimuota mamgu nipo nae nikawa namueleze maish ya pale nyumbn n wadogo zangu lakin akunijibu alifata kunyamaza tu... Alfu nikaota ten niko na mwenzangu lkn sikumjua ni nani maal nilipo kua nae ni kweny mto wa maji alfu nilipo kua naongea nae alikua ndani ya majo nikitaka kumuokoa akaniambia nisifanye hivo badae nikamuon niko nae yuaniambia yuatak kuolewa
@user-ws1he4ev9n
@user-ws1he4ev9n 5 ай бұрын
Mm niliota wifi yangu akinipa biarasha nkamalize na baadae nliporudi nkampea pesa yake ila aliniambia mahali Yuko anateseka sana inamaana Gani hii
@user-eq4vv9xc2l
@user-eq4vv9xc2l 4 ай бұрын
Namba yko kiongoz
@user-ej4lu5nc2b
@user-ej4lu5nc2b 6 ай бұрын
Bibi ang amefariki tumezika mwezi aujafika rakin gafra nimeota amekaa kitako na kuna mbia yy ajafa na tulikuw 2 ila uyo mwengin simjui akaniita mm na kuniekea mkono kichwam kesh nkashtyka na kabuli lake nimeon km rina shimo
@BesterSigalla
@BesterSigalla 6 күн бұрын
Nimeona nipo kijjin nasafisha makaburi ya ndg Zang gafra kaburi Ra dada rikafunika akatoka ameshika upanga anaitaji kumkata mtu akilalamika kuwa namtaka Alie niuwa Yuko wapi.
@AishaMash
@AishaMash 3 ай бұрын
Assalam alaikum sheikh mm nimeota nimeolewa na mtu aliekufa
@mariejeanneuwitonze6916
@mariejeanneuwitonze6916 4 ай бұрын
Asalamaleikum warahamaturullahi wabarakatuh, akiwa amefishwa siyo muisalamu inakubaliwa kutolewa swadaka ?
@ShamimuAbassi-eh9ro
@ShamimuAbassi-eh9ro 28 күн бұрын
Bibi angu akanitokea nakuniambia nimuombe msamaha nimshike magoti ina maana gani kindoto
@user-ot1ei7hc4q
@user-ot1ei7hc4q 6 ай бұрын
Ukiota mtu amekufa alafu anapika swadaka jee nn maan yake
@joharisimba4846
@joharisimba4846 3 ай бұрын
Shehena mimi nimemuota mtu alie kufa alikua rafiki yangu KAFA tena ila sina udugu nae
@joharisimba4846
@joharisimba4846 3 ай бұрын
Nifanyaje shekhe nimemuota alie kufa KAFA tena ila sio ndugu yangu akaja kwangu tukawa unaongeza nae nami ni mjamzito
@user-yb9vz5ve6f
@user-yb9vz5ve6f 3 ай бұрын
Mimi nimemuota marehemu baba yangu mzazi anaumwa kwer tena yupo seemu amepelekwa ndo anapouguzwa iyo nyumba yenyew ni ya udongo bas na mimi nikaenda kumuona uko aliponiona akanita jina langu
@brownpunchforever8007
@brownpunchforever8007 3 ай бұрын
Kama mm ila ni mama yangu
@LilianPeter-qt1vc
@LilianPeter-qt1vc Ай бұрын
14:03 sheikh mm nmemiota mtoto wa dada angu amefufuka tena lakini anaomba nimshike mkono et ili aishi kwa amani na upendo sijui inamaana gana
@AgathaCostantino
@AgathaCostantino 3 ай бұрын
sheKhe tulio nje tunaomba namba zenu
@user-ym6rb3xz1z
@user-ym6rb3xz1z 9 ай бұрын
Nimeota namsalimia salam ya kiislam nampa mkono inamaana gani.mala ya kwanza usiku ikaludia isiku lkn watu tofauti nn maaana yke
@user-ym6rb3xz1z
@user-ym6rb3xz1z 9 ай бұрын
Ikajirudia mchana
@user-jv1ch4tr8q
@user-jv1ch4tr8q 2 ай бұрын
Namba mbona sizioni za watsap
@MuniraIddi
@MuniraIddi 26 күн бұрын
Asalam alaikum naomb namb za wsap shekh
@AllyHasanPili
@AllyHasanPili Ай бұрын
Shehe nimeota ndoto kama hiyo
@Glorydavid248
@Glorydavid248 9 ай бұрын
Nimeota nipo na mama yangu kitandani ambaye amafariki lakini alikuwa uchi akaniambia nimnyonye halafu sehemu zake za siri zilikuwa zakiume nilivyo kuwa namnyonya yakawa yanatoka maziwa mengi nikapata kinyaa Sana nikastuka nikajikuta Nina mate mengi mdomoni ila nimeota asubuhi hii
@madetetv6576
@madetetv6576 9 ай бұрын
Wewe ni wakike au wakiume?
@user-wc3jz4uq6d
@user-wc3jz4uq6d 5 ай бұрын
​@@madetetv6576jamani😅😅
@ChristineWafula-tm2mp
@ChristineWafula-tm2mp 9 ай бұрын
Nmeota ninasikwa nikiwa hai
@user-qx1ci6dl7c
@user-qx1ci6dl7c 28 күн бұрын
Mimi niliota marehemu.. Babangu.. Yuwa Nambia tujenge msikiti.. Nini tafsiri
@AishaSaulo-ub6zk
@AishaSaulo-ub6zk 2 ай бұрын
Sheikh je ukiota mtu aliyekufa akiwa anakuita ina tafsir gan
@user-kp7vm5in6h
@user-kp7vm5in6h 5 ай бұрын
Shehe mimi nimeota marehemu mume wangu kaludi ila analalamika njaa sana nikawa namuandalia chakula ila nilipotaka kumpa chakula kikamwagika
@user-wc3jz4uq6d
@user-wc3jz4uq6d 5 ай бұрын
Mtoleee sadaka na umuombee mungu sana
@user-kp7vm5in6h
@user-kp7vm5in6h 5 ай бұрын
Shukrani sana
@ManMadini-jm9ki
@ManMadini-jm9ki 3 ай бұрын
Ustadhati
@collinswamalwa946
@collinswamalwa946 5 ай бұрын
Niliota rafiki yangu amefufuka tunacheza naye mpira
@saidmc4859
@saidmc4859 3 ай бұрын
Shekh mimi nimemuota mume wa mama angu mkubwa ashafariki lakni nimeota namuuguza tena mwisho akanipigiasimu mwanawe wa kike wakati nimembeba ckuweza kumpokelea nlipomlaza nikaamka unamaanisha nn
@ShidaKitabu
@ShidaKitabu 21 күн бұрын
Wote mlioota waliokufa wasomeeni dia na wakristowakawsomee sala ya wafu
@user-xe3jx7es5j
@user-xe3jx7es5j 6 ай бұрын
Ukiota mtu alikufa amefufuka Tena mala mbili
@sheymohamed
@sheymohamed 2 ай бұрын
shekhe mm nimeota ndoto sijaelew nimeota baba mkwe wangu wamume wangu nishaachana naye ila baba yake mzazi kanitokea alikuja kwa furaha akaonoka kwa uzuni akaniambia nimemuangusha sanaa yaan hii ndo imeludia mala kwa mala jmni maan yake nini
KUOTA MTU ALIEFARIKI//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
5:05
Fauz Production
Рет қаралды 197 М.
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
00:21
FASH
Рет қаралды 20 МЛН
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 86 МЛН
Получилось у Миланы?😂
00:13
ХАБИБ
Рет қаралды 4,6 МЛН
Kuwaota Waliofariki | Dr. Islam | HorizonTV Short Clips
3:11
HorizonTV Kenya
Рет қаралды 258 М.
NINI HUKUMU YA KUTUMIA CONDOM KWA MUISLAMU
9:23
Madrasatulfurqani Tv
Рет қаралды 30 М.
USIKU WA KWANZA NDANI YA KABRI //SHEIKH OTHMAN MAALIM
1:04:39
arkas online tv
Рет қаралды 370 М.
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
00:21
FASH
Рет қаралды 20 МЛН