TAFSIRI YA NDOTO ZA KUOTA UPO SEHEMU ULIYOZALIWA AU KUKULIA. APOSTLE MICHAEL MWAKILAMBO.

  Рет қаралды 37,337

MAKIMBILIO CHANNEL

MAKIMBILIO CHANNEL

8 ай бұрын

Пікірлер: 243
@HattaHatta-pk7hr
@HattaHatta-pk7hr 6 күн бұрын
Kwa Damu ya Yesu Kristo ndoto za kijijin azina mamulaka na Yesu Mungu mkuu atusaidie 🙏 🙏 mtumishi
@MgayaJoyna
@MgayaJoyna 25 күн бұрын
Amina baba nimebarikiwa na neno sirudi kijijini Kwa jina la yesu- imeandikw mauti na uzima huwa ktk uwezo waulimii nakataaa
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 24 күн бұрын
Amina amina ubarikiwe sana.
@GahimbalMarieCantal
@GahimbalMarieCantal Ай бұрын
Asante mtumishi wa Mungu mimi naota sana nikiwa kijijini upanda wa babaangu nikiwa naongea nawazazi wangu walie kufa handi ndugu walie kufa najikuta naongea nao mara naota nikiweko huko nikikimbizwa na babaangu mudogo ananikibiza tukiporomoka mirima yauko naoyijuwa nanikiziota nahamuka tayali shida zimeniandama
@javerymsangi2856
@javerymsangi2856 8 күн бұрын
Nashukuru sana mtumishi mungu azid kukubarki
@DorisMwanyula
@DorisMwanyula 3 күн бұрын
Asante baba
@lizmary-ss2kz
@lizmary-ss2kz 6 ай бұрын
Amen pastor hizo ndoto ziishe katika jina la yesu
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 5 ай бұрын
Amina amina na iwe kwako. Jambo la kuzingatia ni kwamba ukiri wako uambatane na matendo dhahiri ili ukombozi uwe sehemu ya maisha yako. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Ubarikiwe sana.
@anithamsoke2329
@anithamsoke2329 7 ай бұрын
Baba umenibariki na ujumbe huu asubuh ya leo. Barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa mafundisho mazuri. Umenifungua kwakweli 🙏🙏
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 7 ай бұрын
Amina, Mungu akubariki sana kwa kuyapata Mafundisho haya ya Msingi. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Pia usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel na pia kutufuatilia katika mitandao mingine ya kijamii kama vile Facebook na Instagram kwa jina la Makimbilio channel. Unapofanya hivyo, unakua mstari wa mbele wa kupata mafudisho na taarifa mbalilimbali kutoka Makimbilio channel. Be blessed in Jesus name.
@user-zc2be1bj8n
@user-zc2be1bj8n Ай бұрын
Mungu anisaidie kwa Jina la yesu kwa roho za kuota nipo nyumbani.niweze kufanya vizuri kwenye masomo yangu
@AliceMakori-bs1ik
@AliceMakori-bs1ik Ай бұрын
ka Mimi naota Kila siku aki Niko home na Niko uarabuni but I know God will fight for me ooh pastor unlock that chain for me coz napata niliota mom ananiambia enda mwanangu Rudi had ananipa pesa hata dad aliaga two wks ago ananisukuma ktk home aliniambia enda usirudi hapa pigania familia
@shinemichael-oj7wc
@shinemichael-oj7wc 8 ай бұрын
Amina baba nimebalikiwa kwa neno
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 7 ай бұрын
Amina amina asante. Usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel, ili uwe wa kwanza kupokea taarifa mapema mara tu ninapotuma mafundisho mengine mazuri kama haya. Asante na Mungu akubariki sana.
@user-lw8hp1zb8r
@user-lw8hp1zb8r 6 ай бұрын
Nimefunguliw kwa jina la yesu sitarud kijijn kwa kufilisik zaid nitaend kusalimia na kurud mjin amina
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 6 ай бұрын
Amina na iwe kwako kwa Jina la Yesu.
@janechaula2870
@janechaula2870 5 ай бұрын
Mchungaji uko vizuri sana yaani umeongea ukweli kabisa unayajua maandiko kupita maelezo nimekukubali sana barikiwa na Bwana
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 5 ай бұрын
Amina amina ubarikiwe nawe pia. Thanks for your appreciation.
@GahimbalMarieCantal
@GahimbalMarieCantal Ай бұрын
Naomba mungu anishindie vita hivi nimeshinda kwajina la Yesu kristo Amen 🙏 kama kuna mutu ananifunga kwenye familia yangu upande wa babaangu hatofanikiwa kwajina ra Yesu kristo kama kuna mutu ananitowa kafala hatofanikiwa akufe yeye mwenyewe kwajinala Yesu kristo kama kuna lani zakifamilia kwenye maisha yangu nimezikataa zifutike ziniondokee ziniepuke ziwaludie wawo wauzika kwajina la Yesu kristo aliye hayi Amen 🙏🙏🙏
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel Ай бұрын
Pole sana kwa changamoto hizo. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba +255755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba +255768385240.
@aimeebusime5849
@aimeebusime5849 4 күн бұрын
Barikiwa sana Mtumishi najifunza mengi nikumbuka kwa maombi plz nateseka sana nahi zo ndoto
@kilalahamis1484
@kilalahamis1484 Ай бұрын
Amen amen Kwa jina la yesu nimeshida silud kijijin kuwa nimekosa kazi
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel Ай бұрын
Ubarikiwe sana. Endelea kuwa na msimamo huo katika maneno na matendo yako ya kila siku.
@ImeldaMyinga
@ImeldaMyinga 5 күн бұрын
Ndoto hii inanisumbua sana mm
@agnesneema2398
@agnesneema2398 3 ай бұрын
Niombee pastor 🙏🙏
@JamesOdhiambo-wu2pj
@JamesOdhiambo-wu2pj 7 ай бұрын
Amen Mtumishi wa Mungu
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 7 ай бұрын
Amina, Mungu akubariki sana kwa kuyapata Mafundisho haya ya Msingi. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Pia usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel. Unapofanya hivyo, unakua mstari wa mbele wa kupata mafudisho na taarifa mbalilimbali kutoka Makimbilio channel. Be blessed in Jesus name.
@BarakaRichard-pg3qz
@BarakaRichard-pg3qz 22 күн бұрын
Mungu akubariki maana leo nimepata Malibu juu yandoto ambayo imenitesa myaka mingi
@genevievesunday
@genevievesunday 7 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 7 ай бұрын
Amina asante. Usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Mungu azidi kukuimarisha.
@evak8122
@evak8122 7 ай бұрын
Amen
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 6 ай бұрын
Hongera sana kwa kuyapata Mafundisho haya ya Msingi. Usisahau kufatiloa mfululizo mwingine wa. Mafundisho mengine mazuri kama haya.
@asanianselm6759
@asanianselm6759 8 ай бұрын
Amen amen mungu akubariki mutumishi wa mungu ni mepitiya izo do to sana na sasa ni funguliwa Kwa damu ya yesu
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 7 ай бұрын
Amina . Usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel, ili uwe wa kwanza kupokea taarifa mapema mara tu ninapotuma mafundisho mengine mazuri kama haya. Asante na Mungu akubariki sana.
@HamidaOmary-wh2ue
@HamidaOmary-wh2ue Ай бұрын
Amen amen nmeshinda njozi na ndoto mbaya
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel Ай бұрын
Amina amina Mungu akujalie sawasawa na haja yako.
@bbhv3568
@bbhv3568 8 ай бұрын
Amina
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 7 ай бұрын
Amina amina asante. Usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel, ili uwe wa kwanza kupokea taarifa mapema mara tu ninapotuma mafundisho mengine mazuri kama haya. Asante na Mungu akubariki sana.
@martinehussein7261
@martinehussein7261 8 ай бұрын
Amiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiina🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 7 ай бұрын
Amina amina asante. Usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel, ili uwe wa kwanza kupokea taarifa mapema mara tu ninapotuma mafundisho mengine mazuri kama haya. Asante na Mungu akubariki sana.
@user-cx7xy5cq1d
@user-cx7xy5cq1d 7 ай бұрын
Amina kwa neno
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 7 ай бұрын
Amina, Mungu akubariki sana kwa kuyapata Mafundisho haya ya Msingi. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba (+255)0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Pia usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel. Unapofanya hivyo, unakua mstari wa mbele wa kupata mafudisho na taarifa mbalilimbali kutoka Makimbilio channel. Be blessed in Jesus name.
@theresiathiaka2866
@theresiathiaka2866 7 ай бұрын
Amen .Mafundisho mazuri sana hii shida nimekuwa nayo kila mara mm uota kila siku niko kijijini. Nafanya kazi sioni fahida kila mara vifo ,magonjwa,ajali ..
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 7 ай бұрын
Pole kama ulivyojifunza kwenye hilo somo, kuota ndoto za namna hiyo sii ishara nzuri na huwa zinaashiria matokeo fulani mabaya. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba (+255)0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Hongera kwa kusikiliza Mafundisho haya ya Msingi. Be blessed .
@rizikivincent5255
@rizikivincent5255 7 ай бұрын
Hakika kweli mwenyezi Mungu atusaidie
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 7 ай бұрын
Amina amina. Usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba (+255) 0755021008. Au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Mungu akubariki sana.
@user-rm5hp3lc6d
@user-rm5hp3lc6d 8 ай бұрын
Amen mafundisho mazuri hakika
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 8 ай бұрын
Hongera sana kwa kuyapata Mafundisho haya ya Msingi. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008. Au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Pia kama upo Dar es salaam, Tanzania unaweza ukafika kanisani kwetu Makimbilio HM. Mungu akubariki sana. Nimefurahi kujumuika nawe katika somo hili Amen.
@ombeninnko9332
@ombeninnko9332 3 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi hii ni kweli mimi pia huota hizi ndoto sana ninafanya kazi mjini miaka mingi sasa
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 3 ай бұрын
Pole kwa hiyo changamoto. Jitahidi kutafuta msaada wa kiroho juu ya changamoto hiyo. Isaya 28:1,22[22]Basi sasa msiwe watu wenye kudharau, vifungo vyenu msije vikakazwa; maana nimesikia kwa Bwana, BWANA wa majeshi, habari ya hukumu itakayotimizwa, nayo imekusudiwa, itakayoipata dunia yote pia.
@user-zc2be1bj8n
@user-zc2be1bj8n Ай бұрын
Mungu aniongoze katika kila hatua yangu ninayopita kwenye maisha
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel Ай бұрын
Amina amina. May God bless you.
@rastonmwakifuna8583
@rastonmwakifuna8583 8 ай бұрын
Ameen,nimeelewa vizuri mno.
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 7 ай бұрын
Amina amina asante. Usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel, ili uwe wa kwanza kupokea taarifa mapema mara tu ninapotuma mafundisho mengine mazuri kama haya. Asante na Mungu akubariki sana.
@hellinahombuya5174
@hellinahombuya5174 8 ай бұрын
Powerful
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 8 ай бұрын
Pongezi sana kwa kuyapata Mafundisho haya ya Msingi. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008. Au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Pia kama upo Dar es salaam, Tanzania unaweza ukafika kanisani kwetu Makimbilio HM. Mungu akubariki sana. Nimefurahi kujumuika nawe katika somo hili Amen.
@VinaelKerry
@VinaelKerry 6 ай бұрын
Amen parikiwa sana pastor
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 5 ай бұрын
Amina amina asante. Usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel ili uwe wa kwanza kupokea taarifa mapema mara tu ninapotuma mafundisho mengine mazuri kama haya. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240.
@VeronicaJane-em4rg
@VeronicaJane-em4rg 5 ай бұрын
Amina, bwanagu huwa anaota akiwa nyumbani Kila wakati, mtumishi wa MUNGU muscadine
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 5 ай бұрын
Yohana 10:10 [10]Mwivi haji ila aibe na kuchinja na kuharibu; mimi nalikuja ili wawe na uzima, kisha wawe nao tele. Yesu yeye ndiye suluhisho la hayo yote. Kwa kumtii yeye tunakuwa na nguvu ya kumpinga shetani naye akakimbia kutoka kwenye maisha yetu. I'm just a servant of Jesus, kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba +255755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba +255768385240. Be blessed.
@elizabethmkasiwa
@elizabethmkasiwa 4 ай бұрын
Nafunguliwa na mwanangu na ndugu zangu kwa dam ya yesu
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 4 ай бұрын
Amina na iwe kwako kwa Jina la Yesu Kristo. Zingatia taratibu zote zitakazokupeleka kwenye ukombozi kamili. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240.
@deoskimaro7905
@deoskimaro7905 7 ай бұрын
Nifunguliwe kwa Jina la Yesu
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 7 ай бұрын
Amina, na iwe kwako kwa Jina la Yesu. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba (+255) 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Ubarikiwe.
@user-tx5sx1wu6l
@user-tx5sx1wu6l 5 ай бұрын
Amina mungu nimwema kilawakati
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 5 ай бұрын
Amina. Mafundisho haya kama utaweza kuwashirikisha na watu wengine litakua ni jambo la baraka sana na adili hata mbele za Mungu. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Ubarikiwe.
@ashuranzagamba6328
@ashuranzagamba6328 7 ай бұрын
Bwana yesu asifiwe mtumush, mim nimepigwa uchumi , ila uwa naota mara kwa mara ninauza duka kubwa
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 7 ай бұрын
Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba +255(0)755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba +255(0)768385240.
@lydiamakenge5613
@lydiamakenge5613 3 ай бұрын
Niombee pastor
@user-lw8hp1zb8r
@user-lw8hp1zb8r 6 ай бұрын
Mungu akulinde cn meng
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 6 ай бұрын
Amina amina asante.
@HOPESIMONY-kp7ug
@HOPESIMONY-kp7ug 7 ай бұрын
Ahsante YESU Sasa nimekombolewa kwa DAMU YA YESU,ndoto mbaya Haina nafasi tena kwenye MAISHA YANGU
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 7 ай бұрын
Amina, Mungu akubariki sana kwa kuyapata Mafundisho haya ya Msingi. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Pia usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel na pia kutufuatilia katika mitandao mingine ya kijamii kama vile Facebook na Instagram kwa jina la Makimbilio channel. Unapofanya hivyo, unakua mstari wa mbele wa kupata mafudisho na taarifa mbalilimbali kutoka Makimbilio channel. Be blessed in Jesus name.
@gudanemma1459
@gudanemma1459 5 ай бұрын
Ubarikiwe kwa mafundisho mm mme wangu anaota kila siku yupo kijijini kwako na marafiki zake ananiambia kaenjoy ndoto kila akisema anataka kwenda kwao anasema ana nauli miaka kumi sasa ajawai kwenda kwao kila anachofanya afanikiwi yani akipata ela anaishia kula tu mpka ishe yote ndo anakumbuka kwenda kazni tena ivo ivo tu
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 5 ай бұрын
Pole sana kwa hiyo changamoto aliyonayo mme wako. Ulimwengu wa roho ndio huuamilia ulimwengu wa mwili. Pia changamoto ambayo huwa inajurudia rudia kwenye maisha ya mwandamu huwa ni kifungo. Kwahiyo mtu unapoona mtu anaota ndoto upo nyumbani kwenu, halafu kuna tatizo linakukuta punde tu baada ya kuota hiyo ndoto inamaana kwamba, ipo nguvu ya asili ya kijijini kwenu ambayo inamrudisha nyuma mara tu anapojaribu kuvuka mpaka fulani wa kimaisha. Kwahiyo wanaweza wasimzuie harakati zake ila watamzuia maendeleo yake. Mfano mtu anatembea, haendi mbele ila anaenda upande. Ni kweli anafanya bidii katika harakati zake lakini ni kama mtu azungukae. Tayari kuna mifumo ya nguvu za giza inayohusiana na eneo alilozaliwa au alilokulia ( yaani kijijini kwao ) linamzuia asiweze kupiga hatua mbele katika nyanja fulani katika maisha yake.
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 5 ай бұрын
Hongera sana kwa kuyapata Mafundisho haya ya Msingi. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Pia usisahau ku subscribe Makimbilio channel ili uwe wa kwanza kupokea taarifa mapema mara tu ninapotuma mafundisho mengine mazuri kama haya ya Muhimu. Be blessed.
@user-iu1fx2bo4r
@user-iu1fx2bo4r 5 ай бұрын
Zishindwe Kwa jina la yesu
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 5 ай бұрын
Amina na iwe kwako kwa Jina la Yesu. Hatua stahiki zinapaswa kuchukuliwa kama umewahi kukutana na ndoto za namna hiyo. Ili neno hili ulilolipokea liwe na faida kwako. Be blessed. Usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio.
@user-ny1ev1bi8u
@user-ny1ev1bi8u 4 ай бұрын
Aminaa
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 4 ай бұрын
Hongera sana na ubarikiwe na Mungu. Mungu huzungumza nasi kupitia mafundisho ya Neno lake pia. Natumai umepat kitu cha kujifunza. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240.
@ireengrimbe7492
@ireengrimbe7492 7 ай бұрын
Nafunguliwa leo kwa jina la Yesu
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 7 ай бұрын
Amina na iwe kwako. Usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Ubarikiwe sana.
@malaikalihuda2831
@malaikalihuda2831 8 ай бұрын
Nashukuru sana mtumishi nami huwa naota hivyo hivyo
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 8 ай бұрын
Pole na hongera sana kwa kuyapata Mafundisho haya ya Msingi. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008. Au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Pia kama upo Dar es salaam, Tanzania unaweza ukafika kanisani kwetu Makimbilio HM. Mungu akubariki sana. Nimefurahi kujumuika nawe katika somo hili Amen.
@PeninahMwendwa
@PeninahMwendwa 7 ай бұрын
Hizi ndoto Sina uchungu tufanye nini😢
@nesmoskanyuto6715
@nesmoskanyuto6715 4 ай бұрын
Tafsiri yako siyo Sahihi
@rebeccawangui8808
@rebeccawangui8808 7 ай бұрын
Mmi niko uarabuni hua naota niko place falani after few days naskia mtu amekufa😢 kuna siku niliota na kijiji ingine iko bali na kijiji yetu after somedays nikaskia msichana amekufa
@damarisnjerunjeru399
@damarisnjerunjeru399 7 ай бұрын
Ahsante baba
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 7 ай бұрын
Amina, na iwe kwako kwa Jina la Yesu. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba (+255) 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Ubarikiwe.
@damarisnjerunjeru399
@damarisnjerunjeru399 7 ай бұрын
@@makimbiliochannel ahsante
@benardbonephace4896
@benardbonephace4896 8 ай бұрын
Amina sana mchungaji,nimepata ufunuo Sasa.... kumbe tukilala tukaota tunachokiona kwenye ndoto kinaonwa na nafsi zetu hivyo tunapoona chochote kupitia ndoto huo ndo uhalisia wa nafsi ya mtu
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 7 ай бұрын
Ni kweli kabisa unachosema. Maandiko yanasema aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo. Kwahiyo kama unaona upo kijijini kwenu basi huko ndipo uliko.
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 7 ай бұрын
Amina amina asante. Usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel, ili uwe wa kwanza kupokea taarifa mapema mara tu ninapotuma mafundisho mengine mazuri kama haya. Asante na Mungu akubariki sana.
@irinechoi8204
@irinechoi8204 7 ай бұрын
Nifunguliwe kwa jina la yesu
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 7 ай бұрын
Amina amina na iwe kwako kwa Jina la Yesu. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba +255(0) 755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba +255(0)768385240. Usisahau ku subscribe katika channel hii. Be blessed in Jesus name.
@jinaop490
@jinaop490 7 ай бұрын
Amen Apostle,hizi ndoto sinanitesaza sana kwa Kila mara,mungu nisaidie hizi ndotioziishe Kwa damu ya yesukristo
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 7 ай бұрын
Pole kwa changamoto hiyo. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Ubarikiwe sana.
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 7 ай бұрын
Amina na iwe kwako kwa Damu ya Yesu. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel. Be blessed
@user-bi1em9ji4s
@user-bi1em9ji4s 5 ай бұрын
Naota sana hizo ndoto Mungu nisaidie
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 5 ай бұрын
Amina Mungu akusaidie. Ila usisahau kuchukua hatua stahiki. Kumbuka palipo na haki kuna wajibu. Usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel ili uwe wa kwanza kupokea taarifa mapema mara tu ninapotuma mafundisho mengine mazuri kama haya. Maana somo la namna ya kutoka kwenye vifungo vya ndoto linaandaliwa na punde litakuwa youtube. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240.
@stevenmwalwiba6164
@stevenmwalwiba6164 8 ай бұрын
Naanza kuelewa baba ubarikiwe
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 7 ай бұрын
Amina amina asante. Usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel, ili uwe wa kwanza kupokea taarifa mapema mara tu ninapotuma mafundisho mengine mazuri kama haya. Asante na Mungu akubariki sana.
@jacklinemwamsojo2955
@jacklinemwamsojo2955 7 ай бұрын
Asantee Sana mtumishi kwa ufafanuzi mzuri nimekuelewa Sana mimi hizi ndoto za kuota nipo nyumbani zimenisumbua Sana yaani mpaka wiki ilio pita nimeota nipo nyumbani kabisaa nipo ndani naongea na mama lakini mama mwenyewe alisha kufa mwaka wa tatu sasa😢 ananiambia nimuangalie ndugu yangu chumbani anaumwa nae huyu ndugu yangu alishakufa miaka 17 iliopita nikaingia chumbani kweli nikamkuta ndugu yangu kweli anaumwa miguu
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 7 ай бұрын
Pole sana kwa changamoto hiyo. Kama ulivyojifunza kwenye hilo somo, kuota ndoto za namna hiyo sii ishara nzuri na huwa zinaashiria hatari fulani katika mfumo wako wa maisha. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba (+255)0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Hongera kwa kusikiliza Mafundisho haya ya Msingi. Be blessed .
@user-dq5xt8ed7w
@user-dq5xt8ed7w 7 ай бұрын
Yaan mm nmeota baba yangu anani chapa fimbo na uko Alisha kufa miaka makumi na alafu wakat naota nilkua cja lala nyumbni nili lala Kwa mchepuko je hii Ina maana gan paster
@peterlaurent5969
@peterlaurent5969 8 ай бұрын
Sasa somo lako haliishi apostle ilitakiwa umalizie na namna yakujitoa..
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 8 ай бұрын
Asante. Tutalifanyia kazi suala hilo. Hakikisha ume subscribe kwenye channel hii na account nyingine za mitandao ya kijamii kama vile Facebook na Instagram ili uweze kupata tarifa punde tu somo hili litakapokua hewani. Mungu akubariki sana.
@tumainlenad5141
@tumainlenad5141 6 ай бұрын
Ee mwenyez mungu nusaidie mm na unikomboe kwenye ndoto chafu zisizofaaa iwe mwisho kuota ndoto za kunirdisha kijiin nilinde mungu na yvunje maagano yote mavaya juu yangu
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 5 ай бұрын
Amina amina na iwe kwako kwa Jina la Yesu.
@lydiamakenge5613
@lydiamakenge5613 3 ай бұрын
Ziiishe kwa jina layesu
@user-ny6dp1iz2g
@user-ny6dp1iz2g 7 ай бұрын
Nimefunguliwa leo na damu ya yesu
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 7 ай бұрын
Na iwe kwako kwa Jina la Yesu. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba +255755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba +255768385240.
@agnesneema2398
@agnesneema2398 3 ай бұрын
Mimi naota Na shangazi yngu alikufa naota nikiongea Nae,bado naota Niko primary school,Mara naota nko kwetu kijijini Niko zaliwa,Naomba tu niweze kushinda izo ndoto kW Jina la yesu🙏
@user-wk2bg8zf3l
@user-wk2bg8zf3l 2 ай бұрын
Uyo ndiyo aliyezima nyotayako ya mafanikio😢😢😢😢
@JusterKaberia-ry2sh
@JusterKaberia-ry2sh 4 ай бұрын
Amen apostle nisaidie mm naota ndoto za kwatu kijijini, ndoa yangu ilivujika nikarudi kwetu nyumbani ,sahii Niko Nairobi lakini naota nikiwa nyumbani , mpaka nimeshidwa nifanye nn.
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 4 ай бұрын
Pole kwa hiyo changamoto. Nikushauri kutafuta msaada wa kiroho juu ya jambo hilo kwa haraka maana hiyo siyo ndoto ambayo ni kama taarifa tu. Adui amepata nafasi ya kuyashambulia maisha yako hivyo ni muhimu kuchukua hatua thabiti. Kama ulipo una kiongozi wako wa kitoho unaweza ukamuekeza kuhusu changamoto hiyo na akakusaidia pia. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba +255755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba +255768385240. Hongera kwa kuyapata mafundisho haya.
@bbhv3568
@bbhv3568 8 ай бұрын
Mm hua naota sana izo ndoto
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 8 ай бұрын
Ooooh pole sana wasiliana na mtumishi kwa watsapu 0755 021008
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 8 ай бұрын
KANISA LA THLIC- MAKIMBULIO HM LINALOONGOZWA NA MTUMISHI WA MUNGU MICHAEL MWAKILAMBO LINAPATIKANA KINYEREZI DAR ES SALAAM
@PeninahMwendwa
@PeninahMwendwa 7 ай бұрын
Pia mimi nilikua naota nikifanyia mtu wa nyumbani kazi,nanilikua warabuni, na kwakweli nilirundi Niko kwake namfanyia kazi,inauma sana😔
@linajoseph5296
@linajoseph5296 7 ай бұрын
Kinyerezi sehemu gani?
@ShakirashakiraKiuno
@ShakirashakiraKiuno 7 ай бұрын
Mimi nazioto sana ndoto izo naoto niko kijijini kwetu. 😢 Sehem nilipo zaliwa namimi nipo ndia lakn naoto sana ndoto izo mungu anisaidie
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 7 ай бұрын
Amina. KKama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba +255(0)755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba +255(0)768385240.
@nzivoalbanus2240
@nzivoalbanus2240 7 ай бұрын
Mimi niko Nairobi lakini huwa naota nikiwa kijijini Kila siku na maisha yangu inaedelea vibaya
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 7 ай бұрын
Polesana kwa hiyo changamoto. Kama ulivyojifunza kwenye hilo somo, kuota ndoto za namna hiyo sii ishara nzuri na huwa zinaashiria matokeo fulani mabaya. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba (+255)0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Hongera kwa kusikiliza Mafundisho haya ya Msingi. Be blessed .
@user-qk7zi9cw6w
@user-qk7zi9cw6w 7 ай бұрын
Baba mungu akubariki sana sana umeniponya hayo madoto kila mara tena shuleni nilikosoma naota kweli siku hii imekuwa yangu naenda kufanikiwa
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 7 ай бұрын
Unapoota upo shuleni maana yake haiishii kama ya kuota ukiwa upo kijijini kwenu au sehemu uliyokulia. Unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Hongera kwa kusikiliza Mafundisho haya ya Msingi, na Mungu akubariki sana.
@GahimbalMarieCantal
@GahimbalMarieCantal Ай бұрын
Niliipata nikiwa saudia alabia nikahalibikiwa muda huo mama wanyumba akanipambasisha nikawa naonana akitaka kuniuwa nikaludi bila chochote mipango yangu ikawa imekufa kila nikiipata ndoto hiyo majilani wananikata maneno yakunichafuwa atajaa mutaa nimejalibu bunyumba bumekataa mimi sivilahisi 😭😭😭😭😭🙆
@HappyPyramids-dj7iy
@HappyPyramids-dj7iy 29 күн бұрын
Tusaidie mchungaji maana ndapata shida sana
@user-lm7xx3pp7q
@user-lm7xx3pp7q 2 ай бұрын
Mungu nisaidie yani mimi haipiti siku mbili bila yakuota nipo kijijini 😢😢
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 2 ай бұрын
Pole na hongera sana kwa kuyapata Mafundisho haya. Kuipata ndoto hiyo si kwamba ufalme wa giza unakuhusuru. Pia Mungu amekupa nafasi ya kuliona hilo ili uchukue hatua. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240
@lydiamakenge5613
@lydiamakenge5613 3 ай бұрын
Nifunguliwe kwajina layesu
@ireengrimbe7492
@ireengrimbe7492 7 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu yaan naona kama unanisema Mimi yaan Niko uwarabuni lakini ndoto zangu ni kijijini nilikolelewa ujombami
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 7 ай бұрын
Pole kama ulivyojifunza kwenye hilo somo, kuota ndoto za namna hiyo sii ishara nzuri na huwa zinaashiria matokeo fulani mabaya. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Hongera kwa kusikiliza Mafundisho haya ya Msingi. Be blessed .
@linajoseph5296
@linajoseph5296 7 ай бұрын
Mm Niko dar ila naota Niko tanga upande wa mamangu nilipozaliwa kwa bibiangu . Niko jikoni kwa Bibi alikokua anapikia nakula tu . Na Bibi alishafariki kwa sasa nyumba hamna mtu. Ila haipiti wiki naota Niko jikoni kwa Bibi nakula tu. Na maisha yngu hayaend😢
@VeronicaJane-em4rg
@VeronicaJane-em4rg 5 ай бұрын
Mtumishi wa MUNGU nisaidie huwa naota ivyo na kufanikiwa ni shida. Am in kenya
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 5 ай бұрын
Marko 9:23 [23]Yesu akamwambia, Ukiweza! Yote yawezekana kwake aaminiye. Amini kisha fuata hatua za kufunguliwa kutoka kwenye kifungo hiko, Amini kwamba ukombozi utakua ni sehemu ya maisha yako. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba +255755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba +255768385240. Ubarikiwe.
@rebeccawangui8808
@rebeccawangui8808 7 ай бұрын
Mmi hua na subuliwa sana na ndoto hua naomba sana nitafanya nni.hizo ndoto hua fulfilled
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 7 ай бұрын
Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Mungu atakutia nguvu.
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 8 ай бұрын
KWA MSAADA WA USHAURI PAMOJA NA MAOMBEZI KATIKA MAMBO YOYOTE YA KIROHO IKIWA NI PAMOJA NA HAYO MAFUNDISHO YA NDOTO WASILIANA NA MTUMISHI WA MUNGU KWA NAMBA ZIFUATAZO WATSAPU +255-755021008. CALL 0768385240.
@yesesimoni
@yesesimoni 7 ай бұрын
Mungu wa mbinguni akubariki
@Kenzowakitaa-lm3uf
@Kenzowakitaa-lm3uf 7 ай бұрын
🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 7 ай бұрын
Amina, Mungu akubariki sana kwa kuyapata Mafundisho haya ya Msingi. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Pia usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel na pia kutufuatilia katika mitandao mingine ya kijamii kama vile Facebook na Instagram kwa jina la Makimbilio channel. Unapofanya hivyo, unakua mstari wa mbele wa kupata mafudisho na taarifa mbalilimbali kutoka Makimbilio channel. Be blessed in Jesus name.
@seraphinamsacky5393
@seraphinamsacky5393 2 ай бұрын
Pastor mimi kila diku naonta nyumbani kwetu tena kwenye nyumba mbazo hata leo hazipo ni za zamani na mimi nipo mjini kwa miaka mingi. Niombee pastor
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 2 ай бұрын
Pole na hongera sana kwa kuyapata Mafundisho haya. Kuipata ndoto hiyo si kwamba ufalme wa giza unakuhusuru. Pia Mungu amekupa nafasi ya kuliona hilo ili uchukue hatua. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240
@rebeccawangui8808
@rebeccawangui8808 7 ай бұрын
Nifanye nni niko Saudi niliona na familia ya boss sister yako mndogo wakiwa na nice yake sasa after some days sister yake mkubwa kuliko huyu niliota naye amepata ajari but hakukufa,
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 7 ай бұрын
Unaweza ukanitafuta WhatsApp namba +255755021008. Kwa msaada wa kiroho zaidi. Mungu yuko pamoja nawe.
@MaaDii-iz3ur
@MaaDii-iz3ur 8 ай бұрын
Naota kila siku naota nko kijijini na mm nko ngambo ad sielewi,mpaka nmechoka nazo
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 8 ай бұрын
Pole na hongera sana kwa kuyapata Mafundisho haya ya Msingi. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008. Au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Pia kama upo Dar es salaam, Tanzania unaweza ukafika kanisani kwetu Makimbilio HM. Mungu akubariki sana. Nimefurahi kujumuika nawe katika somo hili Amen.
@marcongeleja9450
@marcongeleja9450 7 ай бұрын
Amen somo zuli sana
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 7 ай бұрын
Amina, Mungu akubariki sana kwa kuyapata Mafundisho haya ya Msingi. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba (+255) 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba (+255)0768385240. Pia usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel. Unapofanya hivyo, unakua mstari wa mbele wa kupata mafudisho na taarifa mbalilimbali kutoka Makimbilio channel. Be blessed in Jesus name.
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 7 ай бұрын
Amina amina asante. Usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel, ili uwe wa kwanza kupokea taarifa mapema mara tu ninapotuma mafundisho mengine mazuri kama haya. Asante na Mungu akubariki sana.
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 7 ай бұрын
Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba (+255)0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba(+255) 0768385240. Hongera kwa kusikiliza Mafundisho haya ya Msingi. Be blessed .
@OmAn-jw4jt
@OmAn-jw4jt 8 ай бұрын
Kweli mtumishi mimi naota sana nipo kijijini kwetu kwa sasa nipo uarabuni
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 8 ай бұрын
Pole sana. Unaweza ukanitafuta kwa njia ya WhatsApp namba 0755021008, kwaajili ya msaada zaidi wa kiroho. Be blessed
@PeninahMwendwa
@PeninahMwendwa 7 ай бұрын
@@makimbiliochannel code namba ni gani
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 7 ай бұрын
@@PeninahMwendwa +255 Karibu sana
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 7 ай бұрын
+255 755 021 008 for watsapu and call welcome
@irinenanciebarasa5566
@irinenanciebarasa5566 7 ай бұрын
Hallelujah 🙌 mtumishi wa MUNGU Leo nimeotea Niko nyumbani kijijini na Niko urabuni ?
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 7 ай бұрын
Pole kwa hiyo changamoto. Kama ulivyojifunza kwenye hilo somo, kuota ndoto za namna hiyo sii ishara nzuri na huwa zinaashiria matokeo fulani mabaya. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba (+255)0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba (+255) 0768385240. Hongera kwa kusikiliza Mafundisho haya ya Msingi. Be blessed .
@user-ns7bw5ps9f
@user-ns7bw5ps9f 8 ай бұрын
Yaani mimi ndioo ndoto zangu kila siku
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 7 ай бұрын
Pole kama ulivyojifunza kwenye hilo somo, kuota ndoto za namna hiyo sii ishara nzuri na huwa zinaashiria matokeo fulani mabaya. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Hongera kwa kusikiliza Mafundisho haya ya Msingi. Be blessed .
@charleslamai3341
@charleslamai3341 7 ай бұрын
acheni kuongeza maneno (hakuna mtu) aonae nafsini mwake
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 7 ай бұрын
Mithali 23:7 [7]Maana aonavyo nafsini mwake, ndivyo alivyo.... Baada ya kusoma hilo andiko ninakukaribisha kuuliza swali tena. WhatsApp namba (+255)0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba (+255)0768385240
@JanethLukuna
@JanethLukuna 8 ай бұрын
Mimi mwenyewe nimechoka kuota ndogo hizi za vijijin
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 8 ай бұрын
Pole na hongera sana kwa kuyapata Mafundisho haya ya Msingi. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008. Au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Pia kama upo Dar es salaam, Tanzania unaweza ukafika kanisani kwetu Makimbilio HM. Mungu akubariki sana. Nimefurahi kujumuika nawe katika somo hili Amen.
@user-oy9ly1sb8z
@user-oy9ly1sb8z 5 ай бұрын
Kiukwel....na mengi nataman kuyaeleza lakn Leo nimefunguliwa ahsant San ubarikiwe nimeota ndoto hizo mar Kwa mara na kwel mambo hayaend napata ajali nakata tanaa natamani kurud nyumban lakn nasimama nafunga nakusali ahsant mtumish
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 5 ай бұрын
Amina Asante na hongera. Uwepo wa vikwazo kuelekea lile tunalolitaka haimaanishi kwamba sio jema lile tunalolielekea kama tukiwa upande wa Mungu. Tunapoelekea kwenye ukuu wetu shetani huwa haachi kuturudisha nyuma. Ongeza kiwango chako cha kumtafuta Mungu. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Be blessed.
@ConsolataNgatunga-fb1yn
@ConsolataNgatunga-fb1yn 5 ай бұрын
Mimi ndio nimeota Leo hii ndoto
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 5 ай бұрын
Mara zote Mungu hulituma neno lake ili lituokoe na kututoa katika maangamizi. Pole kwa kuota ndoto hiyo na hongera sana kwa kuyapata Mafundisho. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Pia usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel ili uwe wa kwanza kupokea taarifa mapema mara tu ninapotuma mafundisho mengine mazuri kama haya.
@user-xw9kh3vm8i
@user-xw9kh3vm8i 8 ай бұрын
Mh!
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 8 ай бұрын
Hongera sana kwa kuyapata Mafundisho haya ya Msingi. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008. Au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Pia kama upo Dar es salaam, Tanzania unaweza ukafika kanisani kwetu Makimbilio HM. Mungu akubariki sana. Nimefurahi kujumuika nawe katika somo hili Amen.
@GatewayPharmacy-uq1dv
@GatewayPharmacy-uq1dv 6 ай бұрын
Mm naota nalishwa vyakula ndoton na naota manyoka makubwa xn
@alishakt7877
@alishakt7877 6 ай бұрын
Vifungo vya famille yko omba sana
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 5 ай бұрын
Pole na hongera sana kwa kuyapata Mafundisho haya ya Msingi. Suala la msingi ni kuanza kuchukua hatua za kujifungua kutoka kwenye hivyo vifungo. Kumbuka ndoto ni taswira halisi ya jambo linaloendelea ulimwengu wa roho. Hapo haijalishi kwa macho yako hauoni au unaona. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240
@ElizabethLugono
@ElizabethLugono 7 ай бұрын
Nahitaji msaada sana katika jambo hili
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 7 ай бұрын
Pole ndugu Elizabeth. Kama ulivyojifunza kwenye hilo somo, kuota ndoto za namna hiyo sii ishara nzuri na huwa zinaashiria matokeo fulani mabaya. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba (+255)0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba (+255) 0768385240. Hongera kwa kusikiliza Mafundisho haya ya Msingi. Be blessed .
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 7 ай бұрын
Bado hujachelewa. Mungu ana nafasi ya kukusaidia katika maisha yako.
@jnanawilly7229
@jnanawilly7229 3 ай бұрын
Uko wapi mtumishi ❤❤nikutafute
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 3 ай бұрын
Amina, Mungu akubariki sana kwa kuyapata Mafundisho haya ya Msingi. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Pia usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel. Unapofanya hivyo, unakua mstari wa mbele wa kupata mafudisho na taarifa mbalilimbali kutoka Makimbilio channel. Be blessed in Jesus name.
@user-nn7mt3gs7u
@user-nn7mt3gs7u 6 ай бұрын
Mtoto wangu ameota anakimbizwa na mmbwaaa
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 6 ай бұрын
Unapota ndoto unakimbizwa na mbwa mara nyingi sii ishara nzuri. Kuota unakimbizwa na mbwa mara nyingi huashiria kufuatiliwa na roho ya uzinzi katika maisha yako. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba (0)755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba (0)768385240.
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 6 ай бұрын
Mungu akubariki sana kwa kuyapata Mafundisho haya ya Msingi.
@Hellenkerubo-xh6xv
@Hellenkerubo-xh6xv 6 ай бұрын
Pastor mimi naoto kijiji na manyoka na shule ndoto mbaya mbaya paka😢.
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 5 ай бұрын
Tambua kwamba ndoto ni taswira halisi ya jambo linaloendelea ulimwengu wa roho. Hapo haijalishi kwa macho yako hauoni au unaona. Amka sasa na uchukue hatua sahihi za kiroho ili uweze kutika kwenye changamoto hiyo maana hauwezi kujua kwamba ni unaugua au tayari upo mahututi. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240
@mwitowainjili7225
@mwitowainjili7225 8 ай бұрын
Kwa ukiwa hivyo ufanyaje
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 8 ай бұрын
Hongera sana kwa kuyapata Mafundisho haya . Tutalifanyia kazi suala hilo. Hakikisha ume subscribe kwenye channel hii na account nyingine za mitandao ya kijamii kama vile Facebook na Instagram ili uweze kupata tarifa punde tu somo hili litakapokua hewani. Mungu akubariki sana.
@user-eg4bz1zn1c
@user-eg4bz1zn1c 8 ай бұрын
Apostle tunaomba utufundishe tufanye nini ili tufunguliwe?
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 7 ай бұрын
Majibu ya hilo swali lako utayapata baada ya muda mfupi. Unachotakiwa ni ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel na pia kutufuatilia katika mitandao mingine ya kijamii kama vile Facebook na Instagram kwa jina la Makimbilio channel. Au WhatsApp namba 0755021008.
@HappyPyramids-dj7iy
@HappyPyramids-dj7iy 29 күн бұрын
bwana asifiwe nikweli mchungaji mm naota hizo ndoto Kila wakati Kwa sahi Niko saudia lakini huota Niko kijijini niliko zaliwa Kila mara
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 24 күн бұрын
Pole kwa hiyo changamoto na hongera sana kwa kuyapata Mafundisho haya ya Msingi. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba +255755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba +255768385240
@user-pr1jo8ll4m
@user-pr1jo8ll4m 8 ай бұрын
Naota nipo kijijini upande was baba ndani ya nyumba kumejaa maji mpk shigoni tunapita humo imekuwa ikirudia Sana maana take mini hii ndoto
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 8 ай бұрын
Pole na hongera sana kwa kuyapata Mafundisho haya ya Msingi. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008. Au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Pia kama upo Dar es salaam, Tanzania unaweza ukafika kanisani kwetu Makimbilio HM. Mungu akubariki sana. Nimefurahi kujumuika nawe katika somo hili Amen.
@rizikivincent5255
@rizikivincent5255 7 ай бұрын
Kupitia maubiri haya niponywe kwakuota ndoto mbaya zitupiliwe mbali
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 7 ай бұрын
Amina, Mungu akubariki sana kwa kuyapata Mafundisho haya ya Msingi. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Pia usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel. Unapofanya hivyo, unakua mstari wa mbele wa kupata mafudisho na taarifa mbalilimbali kutoka Makimbilio channel. Be blessed in Jesus name.
@leahmgunda4154
@leahmgunda4154 3 ай бұрын
Dakika 55 nasikiliza tafsiri ya ndoto ili iweje?
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 3 ай бұрын
Hongera kwanza kwa kuyapata Mafundisho haya. Dakika 55 zitakufaa kwani haupati tu tafsiri ya ndoto, bali unapata ufahamu juu ya hiyo tafsiri. Hatuitaji tu tafsiri, tafsiri haitakusaidia kitu. Ila maarifa juu ya hiyo tafsiri ndiyo yatakayokusaidia. Kama utahitaji msaada wa Mungu juu ya ndoto fulani pia utayahitaji Maarifa ya Mungu juu ya jambo hilo.
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 3 ай бұрын
Hosea 4:6 [6]Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako.
@user-lk4ib4ij9g
@user-lk4ib4ij9g 6 ай бұрын
Kwa imani nime funguliwa kwa mila hizo
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 5 ай бұрын
Amina amina na iwe kwako kwa Jina la Yesu. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240.
TUNAHITAJI KUOMBA SANA TAREHE 28MWEZI HUU
44:36
Haleluya Tv
Рет қаралды 18 М.
KUTEGUA YALIYOPANGWA NA SHETANI (DODOMA)
1:05:11
Reality of Christ Church
Рет қаралды 100 М.
Luck Decides My Future Again 🍀🍀🍀 #katebrush #shorts
00:19
Kate Brush
Рет қаралды 8 МЛН
Heartwarming: Stranger Saves Puppy from Hot Car #shorts
00:22
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 11 МЛН
NINI KINAFANYIKA UNAPOOTA UNAKULA NDOTONI?. APOSTLE MICHAEL MWAKILAMBO.
38:41
DALILI ZA KUKUJULISHA UNASHAMBULIWA KIROHO || PST. GEORGE MUKABWA || 15/06/2023
1:34:04
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 421 М.
TAFSIR YA NDOTO YA KUOTA UNA PAA AU UNARUKA // SHEIKH ABUU JADAWI
9:24
ABUU JADAWI ONLINE TV
Рет қаралды 24 М.
SIKIA KINACHOTOKEA HUKO KUZIMU PALE WALOKOLE WANAPO OMBA.
1:12:16
NYIMBO ZA KUABUDU/SWAHILI WORSHIP SONG WITH LYRICS NONSTOP 2024 VOL.06
58:53
NDOTO ZA KIJIJINI NA VIFUNGO VYA RIZQ. +255784638989
7:27
Tiba Zakissuna Tv
Рет қаралды 1,5 М.
MAOMBI - NDOTO ZA KUOTA UPO KIJIJINI AU UPO SHULE | IJUE SIRI NZITO ILIOPO KWENYE NDOTO HII -
6:01
PASTOR GODWIN NDELWA - MAOMBI NI DAWA
Рет қаралды 3,9 М.
Luck Decides My Future Again 🍀🍀🍀 #katebrush #shorts
00:19
Kate Brush
Рет қаралды 8 МЛН