Ndoto ni bayana ya yaliyo akilini au rohoni. Wakati mwingine tusihusishe Kila jambo na mambo ya uroho au ushirikina. Shule ni mahali ambapo tumekaa sana na hayo mambo ya masomo na mitihani ni mambo tulifanya sana. Hayawezi kutoka kiurahisi akilini mwetu. Pesa nazo kila mtu azidai. Ni kitu kiko akilini kila wakati. Wengine waota na maisha Yao yako Sawa kabisa.
@mmmmdlvinmaria146512 күн бұрын
Mungu wangu naombe tu unifungulie njia zangu ambazo zimetekwa na sheitan🙏🏻
@bibiruthmasanja11 күн бұрын
Amen mtumishi, inaguda uhalisia WA maisha yangu, Mungu ni mtetezi
@ulafim271920 күн бұрын
Amen Pastor Mungu akubariki sanaaaa
@celestinewesonga56556 күн бұрын
Bwana Yesu asifiwe,,kweli Mimi nahitaji maombi,,ju ma😢😢ra bmingi naota nipo shuleni na ninafanya mtihani na na Mimi simalizi huo mtihani
@user-pk6wm4tk9v27 күн бұрын
Eeh mungu nipiganie.hii ndoto nikiwa shuleni huwa naiota sana
@BrandinaKayombo28 күн бұрын
Daah mtumishi niombee Mana mala kwa mala uwa naota ivoo daa munguu nitie nguvuu 😥🙏🙏
@user-xh7wy2mi2j29 күн бұрын
Hio ya kuota nimeogota hela kila siku ndio ndoto inanisumbua kwenye maisha yangu.
@PatrickJoseph-lp2mj4 күн бұрын
Naomba niombee maan inanitokea xana na nimemaliza xhule muda xan
@SalomeJackson-bj1thАй бұрын
Tunashukulu sana umenigusa kabisa mala nyingi ninaota hizo ndiyo Mimi nimeolewa na miaka mi3 sas tunakaa Kwa wakwe naomba msaada wako baba naamini mungu atatenda
@LucyJohn-pr6mc10 күн бұрын
Jamani hii ndoto imeniharibia mipango yangu mingi sana. Naomba sana maombi yako mchungaji, hili pepo liondoke limenitesa sana.
Bwana yesu asifiwe pastor,mm naota ndoto nipo shule na pia hapoapo naota naenda uwan lakin pia nikakuta kumejaa isipokuwa choo kimoja tu ambacho mlago ni mbovu,lakin mm niliingia lakin nilijisaidia haja kubwa
@saraphinaasajile8243Ай бұрын
Shalom mtumishi mm huwa naota sana ndoto ya shule na kuokota hela
@fatumaIbrahim-hw2lu22 күн бұрын
Dah had nimelia mungu nisaidie ndoto ya shule na kuokotahela zina nitesa sana jaman
@Mrslindemalaba23 күн бұрын
Daaah!!,,mungu atusaidie maan tuko wengi wenye ndoto kama izo,,mimi naota nipo shuleni pamoja n marafiki zangu,,,,mda mwingi n vita tupu
@TwentyFour-hs3ocАй бұрын
Hizo ndio ndotozangu zamara kwamara mpaka nyingine zinajirudia😢
@ZeweranjiSichalweАй бұрын
Asante sana ndoto ya shule nimeota sana
@user-jq4oc4eu9z3 ай бұрын
Tusaidie mtumishi
@LucyJohn-pr6mc10 күн бұрын
Naota sana Niko kwenye nyumba yetu ya zamani. Napata shida sana, mambo yangu hayaendi kabisa mtumishi, naomba maombi yako. Nauza shamba anatokea mteja mnafikia pazuri baada ya mda anapotea mazima. Hii sasa ni Mara ya 3. Naomba unifungue kwa maombi yako mtumishi.
@RoseMapunda-pd6vg2 ай бұрын
Mume wangu huwa anaota sana yupo shule kweli kbs mambo yetu aya endi lkn mimi pia nime ota wezangu wana chapwa lkn mimi nilikimbia
@MochaMocha-t2e24 күн бұрын
Asifiwe yesu mimi nadoto zhakuota.nikoshule na npewapesa naoba uniobee sana mambo yagu hayaedi vizuri
@user-rr1yq9zq9g21 күн бұрын
Eeee mungu nisaidie 🙏🙏
@CatherineDeule22 күн бұрын
Mara nyingi naota nipo shule nafanya mtihani na mda unapoisha wa mtihani mimi najikuta nahangaika sijamaliza mtihani. Maombi yako mtumishi
@jonathanidastan644418 күн бұрын
Hii mimi pia ishanitokea
@ElishaKagozi15 күн бұрын
CATHERINE wewe Huna utofauti na mimi Please No Kufamiana KIUNDANI
@rogerslwitiko391515 күн бұрын
Mimi pia
@yudithamwambenja377510 күн бұрын
Tupo wengi kumbe
@petermanala613810 күн бұрын
Mim Huwa najiuliza kwann niote hivi na sisomi
@ReyIsack-nb8jmАй бұрын
Mara nyingi Huwa naota hvyo
@marcelinabwakila704920 күн бұрын
Naiota sana Tena shule ya msingi nafanya mtihani cjui ninachokijaza
@user-yl5nw9vp3w9 ай бұрын
Amen ooyesu wangu
@reubenonjero6 күн бұрын
Naomba maombi pastor
@frankhebera10944 күн бұрын
Mimi nimeota sana naokota pesa na hapo nyuma kidogo nmeota sana nipo shule aiseee yaaani umenigusa kabisa na CNA maisha aiseew
@user-cz5us2ws9i9 күн бұрын
mara nyingi naota vitu zenye umeogelea naitaj maombi mtumishi wa mungu
@user-mb7yk6tl8y10 күн бұрын
Mtumishi tupo wengi sana mungu atupigapinganie
@AziziMapunda-vt4nvАй бұрын
Nimepata kuelewa asante
@JamilaRajabu-h9b27 күн бұрын
Ndoto ya shule inanisumbua sana
@JohnMalengua-jh6psАй бұрын
Mtumishi umegusa maisha yangu, karibu kila siku naota nipo shule mara shule ya msingi mara secondary wakati nimesha pita huko zaidi ya miaka 30
@dynesdaud5649 ай бұрын
Ameeen 🙏 mtumishi
@MuniraYahaya-y9n24 күн бұрын
Jamani inanitesa sana ndoto ya shule
@JamesmchinaaАй бұрын
Mtumishi niombe uwa naota sana
@RachelVictor-ti4qk2 ай бұрын
mtumishi niombee na mm naota hvyo
@rachelonecy59663 ай бұрын
Mtumishi ndoto za kuwa shule ni changamoto sana kwangu
@ENOSOUNDАй бұрын
Ahsante sana nimeelewa
@MagrethNdalifanye3 ай бұрын
Amina mtumishi🙏🏻
@Boyboy-o6j6 күн бұрын
Mwombezi
@ZeweranjiSichalweАй бұрын
Asante sana nimeguswa
@user-ke1ol5tt3zАй бұрын
Mtumi mimi naota sana niko shule nisaidie
@JoyceSent4-us7fz7 күн бұрын
Naomba maombi ndoto izo zimefunga maisha yangu
@lawileon82049 күн бұрын
Mungu atusaidie
@user-lz8gw7gy4cАй бұрын
Mtumish naomba nisaidi naota sana hio ndoto yakuwa shule
@beatricebrighton2 күн бұрын
Maombi yako muombezi
@BeatriceBahati-mp7hz7 күн бұрын
Nimeota sana niko shuleni ama nafanya mtihani pastor niombee
@GraceMagessa18 күн бұрын
Mm pia huwa naota nikiwa nafanya mtihani halafu cjui nijaze nn
@mmmmdlvinmaria146512 күн бұрын
Pia mm hivo kama ww aki mungu atusaidie
@avizpaul308611 күн бұрын
Naota ya shule, juz juz nmeota nipo darasani sjaandika wenzangu wameandika wote nkaanza kuomba madaftar ,ghafla nkajikuta nakosa wenzangu wakafaulu...daah😢
@ScollaSollomon3 күн бұрын
Mimi zote zina ni husu mtumishi naomba maombi yako
@winfridahnsemwa39318 ай бұрын
Daaah pastor uko sahihi sana jmn . Ulichokiongea ND hivy hivy pls naomb nsaidie maombi .,... Mambo yang hayaendi kabsaa an
@samwelmigera72742 ай бұрын
Kweli kabisa uo ni mkweli mtupu,ameni
@matronajustine56257 күн бұрын
e Mungu naomba nisaidie
@LucyJohn-pr6mc10 күн бұрын
Naomba nisaidie kunifungua naota sana Niko shule ya msingi au Niko kwenye nyumba yetu ya zamani mambo ambayo yalishapitaga. Naomba uniombee mtumishi, maana kila nikipanga mipango yangu hayaendi kabisa, naomba maombiyako.
@kipkoechjosphat47316 күн бұрын
Sana sana naota nikifanya physics na mara mingi najibu maswali mbili tu😢
@BjorndominicKagioАй бұрын
Oh my God remember me my lond aki naumia
@BjorndominicKagioАй бұрын
😢😢😢😢😢naumia mtumishi wa mungu
@ReyIsack-nb8jmАй бұрын
Yaaan Huwa naota NPO shule naokota Hela kweny uwanj wa mpla
@ombatiSarah9 күн бұрын
Naota Mara nyingi nipo kwenye mtihani lakini siumalizi nasikia tu mwalimu anasema pens down,stand up,time over
@MalaikaBrighton26 күн бұрын
Pastor mm naotaga mara mingi napambana na vitu vibaya kama vile tunapambana na watu nisio wajua kwa maombi bt mm ndo nawashinda yaani nawazidi nguvu
@AsanteKubonya5 ай бұрын
Amen 🙏
@user-io1tp6nz8mАй бұрын
Aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa
@ibrahimshabani284Ай бұрын
Ni kweli kbc mm naota kila kukicha niko shule ndoto zote naota sielewi kbc nifanyaje
@magrethkitundu415013 күн бұрын
Nashukuru Sanaa kwa kujua maana yake
@RafaelKitemo2 ай бұрын
Naomba nisaidie nateseka sana
@tifashadrack713528 күн бұрын
Jaman mm ndio ndoto zang ndio hizo mala kwa mala jmn mala nafany mtiahan duuh jmn
@IreneMallyMallyАй бұрын
kweli mtumishi unachozungumza
@PrissilahFedrick-jz2dlАй бұрын
Mh inawezekana maana naota sana shule ya msingi na kweli mambo yangu yanaharibika
Du nilieah ota jaman nikaon nimepewa mtihan sijui chechot nawal nianzie wap du
@MariaEmmanuel-i4mАй бұрын
Had mm jmn niombee tuu naotag ivo ivo
@jonamtole3681Ай бұрын
Mtumishi hilo jambo hunisumbua na s leo hujirudia rudia niombe
@DorcasLukania2 күн бұрын
Kwagu mimi hizo doctors zote natiote
@OlivaProspery26 күн бұрын
Na mimi niombee
@Happy-r1dАй бұрын
Naomba uniombee mtumishi ninaota niko shuleni nikala na ugali maharage badae ukaomba maua nikaoteshe nyumbani mwalimu mkuu kanifukuza na fimbo
@meryorotha6716 күн бұрын
Jamani mi naota San ndoto zashule nawale nilisoma nao na kufanya mitiani
@user-sw7nq3ke9z6 ай бұрын
Naota ndoto ya shule mara kwa mara na kutembea kijijini kwetu naomba maombi mtu wa mungu
@glorymramba10 сағат бұрын
Mmmh 😢
@OlivaProspery26 күн бұрын
Na mimi naziotaga mtumishi niombee
@maryukutu2090Ай бұрын
Kweli Mtumishi mimi huwa naota nipo shulen biashara zangu haziendi kabisa
@reubenonjero6 күн бұрын
Eeh mungu nisaidie 😢😢
@HildaKahindi-uv9tg9 ай бұрын
Hilda kahindi naota ndoto zama accident watoto wangu kuangula kwa maji na kuangula kwa maboromoko Yani nkama zote ni za mauti uniambie maana yake
@DavidJoseph-g6t21 күн бұрын
Me huwa naota mara nying nipo mazingira ya shule na siku zingne naota nafanya mtihan na tunasimamiwa na mwalimu ambaye alitufundishaga,mtumishi naomba maomb yako
@RosemaryBurra18 күн бұрын
Nimepata nikama nipo msibani lakini simwoni aliyekufa na nikama wanaeongoza Ibada ya kislam afu mim nimkristu na nikama jini linamchukuwa yule alie kuwa
@RithaMushi-r5c14 сағат бұрын
Mi mwenyewe naota San nafanya mtihan na wanafunz walewale nlosomaga nae pia kuokota hela nasimaliz kuziokota
@NeemaPeka7 күн бұрын
Niombee
@ConfusedJungleWaterfall-jd5ow16 күн бұрын
Mm naotaga sana mpaka sasa yan na inajirudia yan kweli
@miniveronlineАй бұрын
Kwann mm kila ninacho kiota utokea kweli
@gwankabigerorugaimbuzi3972Ай бұрын
Uko saw
@Quecandeyanka19 күн бұрын
mara kwa mara ninaota ndoto ya shule niliyosoma primary, naomba msaada mtumishi wa maombi hili niweze Toka hapo.🙏
@ShufaaAbdallah-xp1bj17 күн бұрын
nakuomba nisaidie kwa karama ulopewa na mungu
@priscabifa369620 күн бұрын
Mimi niliota na nilipita balaa sitasahau. MUNGU mwema hajawahi niacha
@RujaynaRashidi29 күн бұрын
Mm hz ndoto huw naziota sana
@JosephJohn-kn6py7 күн бұрын
Kweri mchuñgaji niombe
@AnithaMbulu6 күн бұрын
Nmeshaota San hat Leo nmeota maombi tafadhar
@user-vz6xu4qk6h26 күн бұрын
Nmekuwa nikiota mara kwa mara ndoto kama hizo 😢
@rosenanjirawesonga20309 ай бұрын
Ameen
@user-kn6fu9sd5oАй бұрын
niombee mtumishi naota ivoivo na mambo ayaendi kabisa