safi sana nimependa vile unatafrisi ukiwa na hisia ya nyimbo husika,,,gd boy❤❤
@ThomasMulepa3 ай бұрын
Asante sana Kaka leta nyimbo uipendao 0763415541
@raiyaomary19882 ай бұрын
Asante nimeerewa tunapenda nyimbo hatujui maana sasa naituma kwa sherii wangu burundi
@user-rb8nk8fi1c2 күн бұрын
Shukurani kwa style nzuri ya kutafsiri. Kutoka Burundi exactement à Rugombo naomba tafsiri ya wimbo Chantal switzerland yake Werrason
@user-ld6ec3zq9j3 күн бұрын
Dens love ya fally ipupa
@giant_7015 ай бұрын
Daah kaka hii ngoma ni kali sana naipenda hii verse ah mama, ma vie toujours compliquee depuis muteba akenda ( adolphe)
@ThomasMulepa3 ай бұрын
Karibu sana tuma nyingine Jina la song usisaau kushea🔥🔥🔥🙏🏽🙏🏽
@chidamohamedi369529 күн бұрын
Namependa tafsiri yako safi sana na uno na vibe❤
@user-dd7xw1mv2w5 ай бұрын
Nimefuhi sanaa napenda nyimbo za congo,naomba tafsiri banacongo wa defao
@ThomasMulepa3 ай бұрын
Tuma nyimbo kwa namba hii uipendao 0763415541 whatsup plz
@carolinechimnya23333 ай бұрын
Asanteee kwa tafsiri naupenda sn huo muziki❤❤
@ThomasMulepa3 ай бұрын
Karibu sana dear ukiwa na nyimbo nyingine unaitaki tafsiri nicheki kwa sim 0763415541
@halimamremi537523 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤😅😅😅NIMEPENDA NYIMBO NI NZURY SANA😂😂😂
@user-nb7yr2ds4m6 ай бұрын
Very nice song may day❤❤
@ThomasMulepa3 ай бұрын
Thx
@mavemalusamka1204Ай бұрын
Umetisha
@mustafakingwande9459Ай бұрын
Nimesikiliz tfassri kwa watu weng ila kwko nimekubal stail yako nzur sana na unajua.huu wimbo unanitoa machoz kila ninapousikiliza.Sikua naelewa kinachoimbwa ila umenifungua kwa mengi.Hakika Fally ni fundi
@ThomasMulepa29 күн бұрын
Karibu sana Kaka Niko kwajili yenu
@ThomasMulepa7 ай бұрын
Karim muyomba Fanya byote❤❤❤❤
@josephnemgosi8804Ай бұрын
Dulla❤
@dayanahancygao24 күн бұрын
Da! Wanikosha hadi machozi
@user-fn1bm7io6s4 ай бұрын
Niko kutoka Uganda program yaku nizuri Nalingi ango Bien
@ThomasMulepa3 ай бұрын
Kitoko makasi yaya mwebale baganda bona 😂
@JohnMkali-uu9mqАй бұрын
Nimependa Sana tafsiri yahii nyimbo ungeweza ungeongeza kutafsi kwamaandishi tukumbuke vzr
@user-ld6ec3zq9j3 күн бұрын
Tafsiri wimbo mwengine wa fally ipupa anasema nazalaki epruve Kasi namotema te
@lucaschisamalo28522 ай бұрын
Fally shida shida nampenda mpaka basi
@bakarinjachama5709Ай бұрын
Kaka tafsiri "CENTIEME DOSSIER"ya fally ipupa
@georgedenis5894Ай бұрын
Tafsiri SL ya fally pupa
@karimmasoudy9339 ай бұрын
Ni kupartage au nikushare
@allanngowi901515 күн бұрын
Huyu Adolf muteba fally kamuimba kwenye nyimbo zenye ujumbe mzito wa mapenzi hta kwenye A flye mwamba aliliwa sana!
@alexjoseph69672 ай бұрын
Safi sana
@edwardkishiwa32962 ай бұрын
Vizuri sana lakini makelele kama upo kwenye ukumbi, ungekaa sehemu au ungetengeneza sound proof, ili uwe unasikika na mziki uwe unasikika vizuri,