TAHA yazaa milionea mwingine wa parachichi mkoani Njombe

  Рет қаралды 17,403

TAHA ONLINE TV

TAHA ONLINE TV

4 жыл бұрын

Steven Mlimbila mkulima wa parachichi mkoani njombe alezea namna TAHA ilivyo mbadilisha na kumfanya kuwa milionea. (steven mlimbila)

Пікірлер: 41
@jumaadam956
@jumaadam956 2 жыл бұрын
Asante kwa kutuelimisha nauliza nidawa gani zakutibu fangasi shamba langu lime shambuliwa
@kassimmtonya3439
@kassimmtonya3439 4 жыл бұрын
Hongera xana kk kaz nzuri
@user-jn5bf7yz1q
@user-jn5bf7yz1q 5 ай бұрын
Nitawapataj taha nataka nianze kulima nao plz nisaidie
@tahaonlinetv8989
@tahaonlinetv8989 4 ай бұрын
Habari Naomba kufahamu unapatikana mkoa gani
@daudbulba9153
@daudbulba9153 Жыл бұрын
Nataka kujiunga na Raha nafanyeje
@maryammaram2612
@maryammaram2612 4 жыл бұрын
Kazi nzuri watu wa TAHA 🍅🌱 mungu amiongezeee katika kupigania wakulima wa horticulture 💪
@erickbaltazary2401
@erickbaltazary2401 4 жыл бұрын
Habari dada.. Tunaomba mawasiliano na TAHA... Nashukuru
@maryammaram2612
@maryammaram2612 4 жыл бұрын
@@erickbaltazary2401 mmmh mim pia ni mdau tu ila ukitaka kuwasiliana nao ingia katika Page yao ipo Facebook utaona namba zao Andika Taha fresh utaona
@qurannasunnahtzonlinetv7432
@qurannasunnahtzonlinetv7432 4 жыл бұрын
Number za uyu mueshimiwa nitazipata vp
@atubeka9317
@atubeka9317 4 жыл бұрын
Safi sana Kiongozi tupo nyuma yko mm niko kusaka mtaji kisha niende shamba
@pirminmbawala8454
@pirminmbawala8454 4 жыл бұрын
Uko vizuri, big up
@stevenmsigwa9404
@stevenmsigwa9404 2 жыл бұрын
Umevaa tisheti ya yanga ndio shidaa
@zanzibaronlytv3470
@zanzibaronlytv3470 11 ай бұрын
naomba namba za taha
@SamySyalyamuvana
@SamySyalyamuvana Ай бұрын
Nauliza parachichi ni makadamia
@elishiliamathayo4976
@elishiliamathayo4976 2 жыл бұрын
KWELI TAHA NI MKOMBOZI WA MTANZANIA KWENYE KILIMO
@SamySyalyamuvana
@SamySyalyamuvana Ай бұрын
Nauliza maiya ya parachichi niku mwangililia maji
@noelymlimbila1170
@noelymlimbila1170 3 жыл бұрын
Safiii
@EMANUELKALUNGA
@EMANUELKALUNGA 3 ай бұрын
Mim naomba nambazako nije kujifunza
@user-ou7pe3mv6k
@user-ou7pe3mv6k 4 жыл бұрын
Namba jaman
@user-uz9mw1ie6z
@user-uz9mw1ie6z 3 ай бұрын
Naomba namba Yako mdogo wangu
@adelaidedaycareprenurseryk6324
@adelaidedaycareprenurseryk6324 4 жыл бұрын
Mche mmoja tsh. Ngapi
@johnsonjoseph509
@johnsonjoseph509 4 жыл бұрын
march to July...milioni 60....we jamaa mbona kama unanishwawishi nilime parachichi..jamini
@moneymavericks480
@moneymavericks480 Жыл бұрын
Lima kaka
@husseinkombomwachikobe8828
@husseinkombomwachikobe8828 3 ай бұрын
Taha.wanapatilana..wapi..kwq.dar
@tahaonlinetv8989
@tahaonlinetv8989 Ай бұрын
Habari, tafadhali wasiliana na ofisi yetu ya uanachama kupitia +255 763 718 849 Asante sana kwa kuwasiliana nasi
@christopherrweyendela3445
@christopherrweyendela3445 4 жыл бұрын
He inawezekana kununua na kupeleka niche Bukoba mkoani Kagera?
@AmryAlly-dy4mz
@AmryAlly-dy4mz 3 ай бұрын
Naomba namba yako ya simu nipo mkoa wa kagera.nataka ushauri wako
@tahaonlinetv8989
@tahaonlinetv8989 Ай бұрын
Habari, tafadhali wasiliana na ofisi yetu ya uanachama kupitia +255 763 718 849 Asante sana kwa kuwasiliana nasi
@christopherrweyendela3445
@christopherrweyendela3445 4 жыл бұрын
Je njombe eka moja inauzwa sh ngapi?
@magangakiyabo3429
@magangakiyabo3429 4 жыл бұрын
Tunataka Kuja kukutmbelea utufundishe Sasa tunakupataje hakuna contact zako
@selemanealmasse6276
@selemanealmasse6276 3 жыл бұрын
habari yak kaka steven, naomba mawasiliano nawewe please (whatsap nr) nipo Mozambique .
@byloramcy6277
@byloramcy6277 2 жыл бұрын
Nitawapata wapi TAHA ?
@tahaonlinetv8989
@tahaonlinetv8989 2 жыл бұрын
Karibu sana, tafadhali wasiliana na mtu wetu wa wanachama namba 0763718849.
@mhogomchungu7168
@mhogomchungu7168 4 жыл бұрын
unaingiza pesa mpaka unanunua magari ya million mia moja na zaidi na kujenga nyumba kisha unaomba mikopo ? huku ndio kulemaa kwa akili
@pascaljoackim5797
@pascaljoackim5797 4 жыл бұрын
..hata bakhresa bado anakopa ndugu
@bethordkalinga7115
@bethordkalinga7115 4 жыл бұрын
Samahan kaka tuma no yako
@woltabenad8311
@woltabenad8311 4 жыл бұрын
Ata baresa anakopa acha akili mgando
@redapp4028
@redapp4028 2 жыл бұрын
naomba no yako ya simu
@user-jn5bf7yz1q
@user-jn5bf7yz1q 5 ай бұрын
Nitawapataj taha nataka nianze kulima nao plz nisaidie
@tahaonlinetv8989
@tahaonlinetv8989 4 ай бұрын
Habari, naomxa kufahamu unapatikana mkoa gani Asante kwa kuwasiliana nasi
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 19 МЛН
Дарю Самокат Скейтеру !
00:42
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 8 МЛН
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 6 МЛН
JIFUNZE KUHUSU ZAO LA PARACHICHI SEHEMU YA TATU
3:17
KWA WAZEE TANZANIA
Рет қаралды 3,1 М.
MZEE MSTAAFU ALIYEJIKWAMUA KWA KILIMO CHA PARACHICHI NJOMBE
9:44
Mchuchuma tv
Рет қаралды 2 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 19 МЛН