Oy part inayofata ni saangapi aisee, hiz ndio tunaita heavyweight story no kona kona ni stor mwanzo mwisho. Tuletee watu kama hawa aisee
@piusnkwale4 ай бұрын
Story za watumishi waliopita changamoto ni nzuri sana
@danielsteven54402 жыл бұрын
Safi sn Mr everything
@immamuga88372 жыл бұрын
Davistar hz ndio ndio stor mzee wngu,
@rajabhussein77942 жыл бұрын
Super city family kwa marehemu vitalisi wambali hapo daa kitambo Sana nyumbani
@linkreuben31082 жыл бұрын
USHUHUDA MKUBWA SANA, asante YESU!!!
@martinmaryogo36762 жыл бұрын
daaaaah jmn huu ndo ulimwengu wa giza jmn tuombe mungu sana mambo n mengi
@eliyamadey57642 жыл бұрын
Hii Ni ya moto sn,tupia parts zingine bla kuchelewa
@mainapatrick22952 жыл бұрын
Habari Njema 🙏🙏
@bobkariz56632 жыл бұрын
Welcome all davistar I like your show sana mob love from +974 🇶🇦🇶🇦🇶🇦🇶🇦🇶🇦🇶🇦
@dotosalim50902 жыл бұрын
Tupo sote
@nswimatv80022 жыл бұрын
Barkiwa sana Mungu akutunze uliko Ameeen .....
@rajabhussein77942 жыл бұрын
Daa Kumbe wakwetu mpanda jamani pole Sana kaka
@snipperbmg Жыл бұрын
Story zuri sana
@Miaiscoolforever2 жыл бұрын
I love you Davida master ❤
@binsaid94182 жыл бұрын
Nomber 1
@andrewuhuru30902 жыл бұрын
Part 2
@ramadhanikassim86422 жыл бұрын
Uko vizuri mr DM
@matildamartin73942 жыл бұрын
Mmmmh. Glado. Hahahahaha.....Yesu nisaidie
@samwelrobeth77633 ай бұрын
😅😅😅umemuona grado nam namuona
@mkuluwaukae22212 жыл бұрын
Watu wa giza hua hatulagi mlenda😂😂😂😂
@trophywilson72112 жыл бұрын
HEE KWA NINI?
@womanofsteel14022 жыл бұрын
Du!!Kichwa Cha habari tu Ni hatari
@jamesmaneno22812 жыл бұрын
😀😀😀😀😀 nilimis sana hivi vitu sitol hahhha
@macamezunguzungu2412 жыл бұрын
Pamoja saana mr everything 💪
@godchoosen48302 жыл бұрын
Dav lete hiii
@evachuw80922 жыл бұрын
Hii Dunia
@nurudaud39932 жыл бұрын
Miaka 10 daaa 😪 ila dm bhana et wasje wakatuzimia camera😄 mr everything bhana sasa tuelezee alikuwa na dawa kopo hizi akachukua akapaka kichwani 😄😄🤣🤣 question zako tu zinaleta utamu sana
@candyberger50972 жыл бұрын
God work davi NJERI waching from Germany
@jesusislord91902 жыл бұрын
unaona mtu mkweli sasa ndio kama huyu sio mtu anaanza kusema..oo uchawi uko hivi uko vile tueleze wewe ulifanyaje?? bonge la story
@matthieumathaus90262 жыл бұрын
Uyu jamaa amenifurahisha saaana. Mimi pia mkongo,na hizo sehemu ametaja zote, nazifaamu. Sifa zimrudi Yesu
@ayushsaeed10512 жыл бұрын
Nasikiliza
@joshuatalu95962 жыл бұрын
Endelea hivyo hivyo DM.God bless you.
@perisnanka21182 жыл бұрын
You're stories have changed my life
@farusaimon34902 жыл бұрын
Mbona fupi sana hii Mr DM?
@LEO-uq6el2 жыл бұрын
Davista ukinyoa nywele usichonge kwenye paji na kwenye engo za kichwa unachochea upara
@erikimethod62462 жыл бұрын
Upara kama unao unao tu
@LEO-uq6el2 жыл бұрын
@@erikimethod6246 mm nilikuwa nao nikaacha kuchonga sasa ivi haupo Vinyozi wanachangia pia
@lizzybeth63442 жыл бұрын
Bro davistar ckuizi umepata karangi kazuri,umenawili sio Kama tulivyo Anza kipindi cha nyuma naona mambo mazuri mpk rangi inakuja yenyewe
@kamilgadoking23042 жыл бұрын
Izo sehemu anazo taja uvira azifahamiki labda amesahau alipofikia
@jkkim38482 жыл бұрын
Amefanya nini kipaji huyu jamaa
@mgenirasimi77712 жыл бұрын
🤔🤔
@ajuahaoowbw32302 жыл бұрын
Mm nataka.no yako mtangazaji
@milley7185 Жыл бұрын
Hee kichwa cha Habari Sasa....mbona wake 400 na watoto 80 mmmh mbona fix nyingi
@trophywilson72112 жыл бұрын
HEE KUMBE WA MLYANGO HAHAH
@patrickm10562 жыл бұрын
UONGO. UONGO. UONGO.
@pauljuma46842 жыл бұрын
Mkuu Nina swali maswali kadhaa hapa. 1.kuna stories za watu ambao wamewahi kwenda kuzimu, ila wanadai sio kila anaeenda kuzim hurud wengi wao hubaki hukohuko, swali langu ni kwamba je inapotokea mt kabakizwa kuzimu huku uraian anaacha picha gan? je hupotea bila kujulikana alikoenda mazima na kubaki akitaftwa na familia yake au hubaki kule alafu huku uraiani kuna kiini macho kinakuja alafu baada ya mda kinakufa kikishazikwa inaisha kumbe mhusika alibakizwa pale......!
@kamilgadoking23042 жыл бұрын
Huyo jama iyo uvira majengo ao kilimani niwapi? Uvira izo sehemu azipo mimi niliishi uvira tangu 1999. Up to 2011. Na iyo soko anayo taja uvira aipo asituongepee