TAMBUA UJANJA WA MGANGA KUJUA TAARIFA ZAKO(RAMLI)SHEIKH KISHKI NA USTADH JAFARI

  Рет қаралды 225,698

JAFARI MTI MKUU

JAFARI MTI MKUU

6 жыл бұрын

USISAHAU KU SUBSCRIBE

Пікірлер: 174
@ramsostar_tz7307
@ramsostar_tz7307 Жыл бұрын
Wangapi tuna jivunia kua waislamu 🤝🙏
@bintsalimalbimany287
@bintsalimalbimany287 Жыл бұрын
Alhamdulillah alaa niimatil'islam
@khadijarusimbi3504
@khadijarusimbi3504 Жыл бұрын
Asante kwa elimu nzuri
@tibayakotv7610
@tibayakotv7610 Жыл бұрын
Sheikh tafadhali njoo utoe msaada huku Kigali Rwanda matatizo mengi sana
@HajatAbdul
@HajatAbdul 8 ай бұрын
Mashaallah
@allymlavi46
@allymlavi46 Жыл бұрын
Swadaktaa.washirikina wameambatanisha uislam na ushirikina hadi inakuwa ngumu kuwaelewesha wasiokuwa waislam kuwa ushirikina ni dhambi kubwa.lete madini ulamaa.maashALLAH
@user-pd4zz9hj4n
@user-pd4zz9hj4n 8 ай бұрын
Allah,akufanyie,wepesi,shekh.
@SunguraFesto-ir2mp
@SunguraFesto-ir2mp Жыл бұрын
Waislam hawana mahubiri zaidi ya kufundishana uchawi
@fatumakissoky2504
@fatumakissoky2504 Жыл бұрын
Hayo yako kwa mtazamo wako wewe hujaelewa kinachozungumziwa
@bintsalimalbimany287
@bintsalimalbimany287 Жыл бұрын
Mashallah Sheikh Jaafar lkn Nataka kidoog nikuelimishe kitu Nimekipata kwenye Mawaidha ya Sheikh Nurdin لا إله إلا الله Ina nguzo mbili نفي Ambayo maana yake ni kukanusha واثبات Kuthibitisha Ukikanusha tu bas hio inakuwa si tawhiid pia ukithibitisha tu si tawhiid Sasa laza Usema Lailahaillallah Ni makosa kusema Lailaha Halaf wengine wakamalizia Unatakiwa ukanushe Hakuna mola apasaye kuabudiwa illah llah sasa huipati yote hio Ispokuwa uiseme yote nafkir Nimesema Sawa sawa Inshaallah Hili kosa Masheikh wengi wanalifanya mim sikuwa najua Ila siku izi alhamdulillah elmu alhamdulillah inatufikia Majumban mwetu Alhamdulillah ala neeema hii yarab 🤲🤲🤲
@user-rq9hi5wc8v
@user-rq9hi5wc8v 7 ай бұрын
Sjui lakini
@MarkaziIBNSiriinOnlineTV
@MarkaziIBNSiriinOnlineTV 4 жыл бұрын
Like Tufahamiane Ndg zangun Almuslim Akhii Muslim
@user-jz5jr7uq2g
@user-jz5jr7uq2g 3 жыл бұрын
ما شاء الله تبارك الله
@user-jz5jr7uq2g
@user-jz5jr7uq2g 3 жыл бұрын
وعليكم السلام ورحمه الله وبركاته نام شيخه الله يوفقك
@erickayo3603
@erickayo3603 4 жыл бұрын
Dah shekhe alla akubalik kwa elim ase umetufunguaa
@rojalule9199
@rojalule9199 4 жыл бұрын
Masha Allah Allah barik ya Akhiiy
@ms_caramel2688
@ms_caramel2688 4 жыл бұрын
MashaAllah barakaAllah fiik
@hawasaid2566
@hawasaid2566 3 жыл бұрын
Kk yuko vizuri kwenye kufundisha
@hakiizaalim574
@hakiizaalim574 2 жыл бұрын
Mashallah tabaarakallah
@aminamarie2387
@aminamarie2387 3 жыл бұрын
Mashallah shekh
@bevanny9389
@bevanny9389 4 жыл бұрын
Sheikh nimekwelewa sana
@mohammedmatano6970
@mohammedmatano6970 3 жыл бұрын
Maashallah Ustadh tunapata taabu uku kwetu Shekh sijui itakuaje,tuko Kenya +254
@jafarimtimkuu
@jafarimtimkuu 3 жыл бұрын
0713403775 tutafutane shekh wangu matanoo
@faizayunus3050
@faizayunus3050 3 жыл бұрын
Unakuja msa sehemu gani ustadh
@jafarimtimkuu
@jafarimtimkuu 3 жыл бұрын
@@faizayunus3050 huwa nafikia hapo karibu na makaburi ya kikowani
@munasayed1228
@munasayed1228 4 жыл бұрын
Maashaa allah
@salmametta4512
@salmametta4512 4 жыл бұрын
Mashaallh
@ramsostar_tz7307
@ramsostar_tz7307 Жыл бұрын
Allah Akbar
@fatumadiriye6162
@fatumadiriye6162 4 жыл бұрын
Maa shaa Allah
@jafarimtimkuu
@jafarimtimkuu Жыл бұрын
Alhamdulillah bado ipo hewani
@maryammct3967
@maryammct3967 4 жыл бұрын
Subhanallah
@hakiizaalim574
@hakiizaalim574 2 жыл бұрын
Asante kutufundisha
@rafikipascal70
@rafikipascal70 Жыл бұрын
Asante Nana kiongozi
@mishibaron5021
@mishibaron5021 3 жыл бұрын
Uchawi upo na waganga wapo bt mganga na mchawi tofauti kidogo Sawa
@ngendakumanasimeon92
@ngendakumanasimeon92 3 жыл бұрын
Sheikh nimekukubali mozambique hapa
@lameckchengula123
@lameckchengula123 4 жыл бұрын
Mungu aulazemwili wamuheshimiwa William Benjamin mkapa amina
@griezmannmhalaka4338
@griezmannmhalaka4338 3 жыл бұрын
Atalatwa anapostahili
@194summer
@194summer 3 жыл бұрын
Acha kuingilia nafasi ya Mungu yeye ndio anajua aulaze wape sio kazi yako kumshauri Mungu,wala Mungu hasikilizagi maneno kama yako wala hupati dhawabu Yeyote kwa kusema hayo sisi tunao elewa tutakujibu hivi Ebrania 9:27
@sultanadam5529
@sultanadam5529 3 жыл бұрын
SubhanaAllah... Alafu Ustadh Asalam Alaikum warahmatullahi wabarakatuh..Ningependa uongelee kuhusu Ruhania ivi kama ni viumbe wa kweli wapo kwajili gani... na ni sawa mtu kua nayo ??🇰🇪 Shukran
@yaedlifemedia3203
@yaedlifemedia3203 Ай бұрын
ALLAH AMEWAUMBA NA WAO WAJE KUABUDU KAMA SIS BINADAN ISIPOKUWA WAO ALLAH AMEWAUMBA AWAONEKANI NA WANAVYAKULA VYAO TOFAUTI NA SIS WAPO PANDE ZOTE NNE ZA DUNIA
@yaedlifemedia3203
@yaedlifemedia3203 Ай бұрын
Wapo ndio wanaisha na wanaabudu kama sisi.Allah amewaumha waje kuabudu kama sis na wapo pande zote za dunia.ruhani kwa maana nyingine ni jini
@jsdkdk711
@jsdkdk711 3 жыл бұрын
Manshaallah tabarakallah
@amenamaashaallahyasheikh3457
@amenamaashaallahyasheikh3457 4 жыл бұрын
Maa shaAllah ya sheikh
@johamtv5895
@johamtv5895 Жыл бұрын
Nimejifunza hakika
@princeeddiekingsley8719
@princeeddiekingsley8719 2 жыл бұрын
Nataka kuwa mwislamu naezaje kuwa mwislamu
@salimbinsaad7551
@salimbinsaad7551 2 жыл бұрын
Kua mwislamu haitaki mali wala lolote ni kiapo tu na kufata mwelekeo wa haki.jee ukoo maeneo gani?
@sakinabakari9813
@sakinabakari9813 2 жыл бұрын
ALLAH AKBAR
@Fatma-wi2co
@Fatma-wi2co Жыл бұрын
Ni kweli hata mimi nilikua na jirani yangu mganga ,akanielezea yeye hupelekewa habari na sheitan wa nyumban kwako hutangulia yeye kabla muhusika hajafika .
@mustaphkategile8031
@mustaphkategile8031 4 жыл бұрын
ALLAH AKIBAR
@youtub8320
@youtub8320 4 жыл бұрын
Nilichogundua kila mtu ana namna yake ya kula hata ww hiyo ni njia yako ya kupata tonge mungu akuzidishie inshallah
@wangaramedia8792
@wangaramedia8792 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@zabibubintikalumeburundian4421
@zabibubintikalumeburundian4421 2 жыл бұрын
Nasisi tupowatoto12 wanaume6wanawake6 wake4 Alhamndullah
@myself4128
@myself4128 4 жыл бұрын
Mganga mstaafu
@amosmahona433
@amosmahona433 3 жыл бұрын
Hatari sana
@habiblashdon1955
@habiblashdon1955 4 жыл бұрын
asante
@nganzanyamiamba5616
@nganzanyamiamba5616 4 жыл бұрын
Yaaani mimi sina imani ya dhehebu lolote ila huyu jamaa namkubali napenda kusikiliza sana tu
@salmaalimusa547
@salmaalimusa547 4 жыл бұрын
Kwann Ndg huna imani?
@jafarimtimkuu
@jafarimtimkuu 3 жыл бұрын
Shukran brother nakuombea kwamungu upate Imani sahihi nduguyangu
@zouzou2849
@zouzou2849 3 жыл бұрын
Allahu Akbaru
@benito4real714
@benito4real714 3 жыл бұрын
a.alykum shekhe shukran kwa darasa ila hujatueelekeza unajuaje sasa idadi ya watoto wa kike na watoto wa kiume?
@nathranahdi2655
@nathranahdi2655 5 жыл бұрын
Maashaaallah
@mesutzain8537
@mesutzain8537 4 жыл бұрын
m.a
@yahkiwera3611
@yahkiwera3611 4 жыл бұрын
،كلام كثيرا
@phauziamvuria4100
@phauziamvuria4100 4 жыл бұрын
Sehe wangu watanganza siteshen gani jmni nmependa sana hyo elm lkn MBNA hamtaki kuja lunga lunga ,jmni mwapta mkienda Mombasa. Kwann
@hemedyramadhani9204
@hemedyramadhani9204 4 жыл бұрын
Mashaallh
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 4 жыл бұрын
Hawa wasemasema tuu hata hawana wajualo
@mohammedmatano6970
@mohammedmatano6970 3 жыл бұрын
Kweli bana mashekh waje uku kwetu bana tunaumia waislam uku Shekhe.
@nafuwswedi2465
@nafuwswedi2465 3 жыл бұрын
Tumezaliwa 159
@thabitngangila8562
@thabitngangila8562 3 жыл бұрын
Ni tiba kwa wanaoamini saaana uganga.
@sophiasophia4668
@sophiasophia4668 2 жыл бұрын
Omba ya sikukute
@mishibaron5021
@mishibaron5021 3 жыл бұрын
Aya imekutoka kidogo sawa
@abubakarisaidi8387
@abubakarisaidi8387 3 жыл бұрын
Kweli kabisa kimataifa nakupata nikiwa arabuni
@VeronicaMushi-ms1tn
@VeronicaMushi-ms1tn Жыл бұрын
Nimepata 30 bado sijajua tafsiri.
@habonimanasaidi3703
@habonimanasaidi3703 Жыл бұрын
Nimepata 32
@mohamedshabani2062
@mohamedshabani2062 4 жыл бұрын
Naomba uniandikie hy hesabu mi napiga inakataa naomba uniandikie Kwa muhtasar kidogo
@riruskai_tz
@riruskai_tz Жыл бұрын
Namba wametia maneno ila mmeikata ,naomba ungeendelea kutufahamisha
@nzimenyaanordi4284
@nzimenyaanordi4284 4 жыл бұрын
Tayar
@shilimbotoflea4598
@shilimbotoflea4598 Жыл бұрын
asalam aleykum sheikh mbona sijaskia tafsiri kila kwenye mafunzo yako nimekua nikifatilia sana lakini hamna
@kissysimbaa2350
@kissysimbaa2350 Жыл бұрын
Nimepata 36 apo ikoje
@deusmangera6923
@deusmangera6923 Жыл бұрын
Nawale waganga wanao tengeneza Pete za chumaulete pesa zinajaa begi je nikweli??
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 3 жыл бұрын
Kama sisi tupo 4
@mlishomigila2685
@mlishomigila2685 3 жыл бұрын
Mtume kasema anajini ila jini wake kasilimu je unajuaje Hawa wengine kama hawajasilimu?
@mhogomchungu7168
@mhogomchungu7168 3 жыл бұрын
kila mtu akizaliwa lazima kuandamwa na mmoja wa mashetani ili ampotoe , mara nyingi huwa wanakuamrisha na kukushawishi kufanya maovu, chance kubwa utaweza kujua huyo jini kasilimu ukiwa unapendelea kufanya mema sana kuliko maovu, na ukiwa unakimbilia mabaya utajiona unapata mawazo yakuyaacha na kuhofia na kujielekeza katika mambo mengine yenye maana
@johndieme6402
@johndieme6402 3 жыл бұрын
Irenipepokubwa sana
@sabayamagilani2808
@sabayamagilani2808 3 жыл бұрын
Hiyo nyimbo mbona ya kanisa sio ya waganga bana
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 4 жыл бұрын
Wengine wanadhurika watoto wadogo tusemeje?
@kassimchande4985
@kassimchande4985 3 жыл бұрын
Saf
@mlishomigila2685
@mlishomigila2685 3 жыл бұрын
Sasa unakwepa nini? Sio namba hizohizo? Namba saba lakini ndiyo namba hiyo ya ramli
@nadegeuw.5703
@nadegeuw.5703 3 жыл бұрын
Hahahaa
@nyabintuissa4853
@nyabintuissa4853 3 жыл бұрын
Sheh shukrani saana kwadarasa lako ila usitafsili usichokua na elimu nacho uganga upo wakitabu
@mishibaron5021
@mishibaron5021 3 жыл бұрын
Hiyo ni hesabu na una piga hesabu so kwangu si geni
@mayachanelle4861
@mayachanelle4861 3 жыл бұрын
😳😂😂😂
@fatmaomar5777
@fatmaomar5777 Жыл бұрын
nime copy paste kutoka google الخيزران - Bamboo
@ramak.9587
@ramak.9587 4 жыл бұрын
Apo kwa 87 amepatia ata sisi tuko 9 waume 7 wanawake 2
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 4 жыл бұрын
Unakwenda hospitali utarudishwa tusemeje?
@zamzamabdi5279
@zamzamabdi5279 4 жыл бұрын
Ni Allah yajakubali apone
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 4 жыл бұрын
@@zamzamabdi5279 Asante. Mungu anajua zaidi
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 3 жыл бұрын
@@doctarmwalimujuma9131 sijakuelewa wasemaje ?
@mlishomigila2685
@mlishomigila2685 3 жыл бұрын
MTU kajua habari za MTU mwingine kupitia jini sasa uwo utapeli uko wapi? Sema na wewe ni njia yako ya kupata pesa
@burhanimahmoud8985
@burhanimahmoud8985 3 жыл бұрын
Wewe ndio una shida broo huyo anafundisha watu waachane na ushirikina wamtegemee Allah
@popod177
@popod177 5 жыл бұрын
Number yako sheikh
@jafarimtimkuu
@jafarimtimkuu 5 жыл бұрын
popo D 0713403775
@jafarimtimkuu
@jafarimtimkuu 4 жыл бұрын
0713403775
@faizayunus3050
@faizayunus3050 3 жыл бұрын
Hii namba ya kenya au tz
@olivaxpaulinoalivaaliva9198
@olivaxpaulinoalivaaliva9198 3 жыл бұрын
Asalamu alikum
@jafarimtimkuu
@jafarimtimkuu 3 жыл бұрын
Waalykum salaam warahmatullah wabarakatu
@gracemmari6108
@gracemmari6108 3 жыл бұрын
Umejuwaje kama na wewe hukuwah kwenda inamaana umeenda
@husseinwemmar6217
@husseinwemmar6217 3 жыл бұрын
Humu kuna watu wanaopenda kwenda kwa waganga na pia waganga wenyewe wapo humu basi wanapinga kila kitu.
@mlishomigila2685
@mlishomigila2685 3 жыл бұрын
Muongo namba za hivyo zinatumika kumuangalia MTU? Huo mbona mchezo Wa kitoto tuliucheza zamani
@martinswai8031
@martinswai8031 3 жыл бұрын
Unatuchanganyia habari. Hujamaliza hili unakimbilia hili
@mlishomigila2685
@mlishomigila2685 3 жыл бұрын
Wewe hujaugua ndiyomaana unasema hivyo na hapo hakuna siri ya ramli Bali kamtindo tu umepata. Mbona magonjwa ya MTU hukutaja? Omba mungu usipate mitihani ya kurogwa hata Mtume alirogwa . Uchawi upo! Na waganga wapo na wanatibu watu na watu wanapona huyo anadanganya hajawahi kupatwa mitihani
@burhanimahmoud8985
@burhanimahmoud8985 3 жыл бұрын
Hata upatwe na mtihani gani ima urogwe au kwa namna yeyote ile kuna utaratibu ambao Allah ametuelekeza sio kwenda kwa waganga ambao ni washirikina,kwa hiyo ukiugua hujaambiwa usiende kwa mganga Bali yule ambae ana fuata taratibu za Quran na sunna.halafu kurogwa sio sababu ya wewe kwenda kinyume na taratibu za Allah kwamba ukengeuke basi ni mtihani umepewa kwa vile binadam lazima ujaribiwe kama utaenda kinyume au kwa taratibu za kisheria.
@hilalhilal8400
@hilalhilal8400 4 жыл бұрын
Sio kumfunika. Wanaogopa badala kufundisha ukapotosha
@griezmannmhalaka4338
@griezmannmhalaka4338 3 жыл бұрын
Mbona inshallah nyingi Sana wazee
@mussaissa5270
@mussaissa5270 3 жыл бұрын
griezmann Mhalaka wewe unataka ngapi?
@yahyakiomy1735
@yahyakiomy1735 3 жыл бұрын
Unajua maan ya iyo insha Allah
@muhdinkijongo5118
@muhdinkijongo5118 3 жыл бұрын
Shekhe mwenyewe anaonekana mganga kajuaje yote hyo mpaka anafundisha hvyooo
@griezmannmhalaka4338
@griezmannmhalaka4338 3 жыл бұрын
@@yahyakiomy1735 hata kama ina maana nzuri ndio kila dakika!!!
@griezmannmhalaka4338
@griezmannmhalaka4338 3 жыл бұрын
@@mussaissa5270 moja tu inatosha Sana ukiitamka toka moyoni sio uswahili Swahili tu
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 4 жыл бұрын
Uliwajuaje majini na majina yao?
@mamussi6872
@mamussi6872 4 жыл бұрын
Kaa chini mdogo wangu utafute elmu utaelewa yoote
@yahyakiomy1735
@yahyakiomy1735 3 жыл бұрын
Maswali yako hayana uzito
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 3 жыл бұрын
Sio mgeni wa ilmu, Alhamdulillah, tumepitia mengi.
@mamussi6872
@mamussi6872 3 жыл бұрын
@@fatmaalnabhani3609 mbona uliuliza tena?
@hilalhilal8400
@hilalhilal8400 4 жыл бұрын
Mwalimu hio ulofanya haiitwi ramli bali ni hesabu tu za nasari
@expert5898
@expert5898 3 жыл бұрын
Hahahaha!!!
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 4 жыл бұрын
Na ukisukumiwa majini bila ya kuwataka,na yanapanda tuyafanyeje ,na hawataki kutoka ?Kama hujafukuzwa hutakimbia.
@jafarimtimkuu
@jafarimtimkuu 4 жыл бұрын
0713403775
@myself4128
@myself4128 4 жыл бұрын
Swali nayo
@abushawalihamisi8225
@abushawalihamisi8225 4 жыл бұрын
Somewa ruqy
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 4 жыл бұрын
@@abushawalihamisi8225 Zimedunda ruqiya,tumemwachia mungu na rehma zake,washirikina wapo na wameingiza wengine mstari ulokuwa haujapangwa rasmi bila ya kutegemea
@husseinissa7118
@husseinissa7118 4 жыл бұрын
Angalia clip iliyopita ya sheikh huyu itakusaidia
@allyndambwe4354
@allyndambwe4354 3 жыл бұрын
Yquraan haijaacha kitu hizo ni elimu ambazo wewe huna na hautozijua
@allyndambwe4354
@allyndambwe4354 3 жыл бұрын
Mpuuzi wewe
@194summer
@194summer 4 жыл бұрын
Njooni kwa Yesu kuna Roho mt,anajua yote ,,,mnahangaika tu na majini ,,eti kuna majini yanasilimu Mungu amekosa namna yeyote ya kuongea na mwanadamu hadi atumie majini?...akili kichwa
@yusrabebito7686
@yusrabebito7686 4 жыл бұрын
Aaaahhh hujaskia iyo qur-an
@husnakambi1522
@husnakambi1522 4 жыл бұрын
Kweli huyo mungu amekosa namna ya kuongea na binadam mpaka ajigeuze kuwa binadam apigwe asulubiwe duuh ,Akili kumkichwa
@mtimkavu6062
@mtimkavu6062 4 жыл бұрын
Yupo WP?
@194summer
@194summer 3 жыл бұрын
@@husnakambi1522 nasikia mnaolewa hata make wa NNE!!na mnaona saw a hv siku unamuitaji mumeo na ikaangukia yuko kwa mwingine unajisika vzr kabisaa!..mambo mengine tumieni akili tu sio lazima imani,,Yesu akasema mume au mke ni mmoja tu,vinginevyo ni uzinzi kama kawaida
@194summer
@194summer 3 жыл бұрын
Marko 12:24mnapote maana hamjui maandiko
@paschalnkuba6758
@paschalnkuba6758 4 жыл бұрын
_Wewe unataka kufa wewe unaingilia shughuli za watu_
@seifawadh1411
@seifawadh1411 4 жыл бұрын
Huwez ww ni shekh wetu huyu
@amosmahona433
@amosmahona433 3 жыл бұрын
😂😂😂
@starkingsafi1888
@starkingsafi1888 Жыл бұрын
Mwenye kuua ni Allah.na c mganga.
@tibayakotv7610
@tibayakotv7610 Жыл бұрын
Sheikh tafadhali njoo utoe msaada huku Kigali Rwanda matatizo mengi sana
@hadija846
@hadija846 3 жыл бұрын
Mashaallah
@kamandaafande766
@kamandaafande766 5 жыл бұрын
Masha'allah
@tibayakotv7610
@tibayakotv7610 Жыл бұрын
Sheikh tafadhali njoo utoe msaada huku Kigali Rwanda matatizo mengi sana
YALIOJIRI UMASAINI BAADA YA KUSILIMU KWAO....
9:52
JAFARI MTI MKUU
Рет қаралды 12 М.
ОДИН ДЕНЬ ИЗ ДЕТСТВА❤️ #shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 9 МЛН
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 51 МЛН
Sheikh Hassan Ahmed || VIPI TUTAWAJENGA WATOTO WETU
25:42
Sadick TV
Рет қаралды 23 М.
FAIDA ZA KUFANYA DHIKRI MARA KWA MARA
27:25
Istiqaama Muslim Community of Tanzania
Рет қаралды 3,4 М.
KISA CHA MALAIKA WALIOKUJA KUFUNDISHA UCHAWI- NO 1 //SHEIKH OTHMAN
29:15
arkas online tv
Рет қаралды 201 М.
Kisa cha Mke wa Ustadh na dereva boda - Sheikh Othman Michael
27:21
SHEIKH MCHAWI AMZINGUA SHEIKH KISHK.
32:20
Kishki Online TV
Рет қаралды 69 М.