MOYO WANGU-Kwaya ya Bikira Maria mama wa Mungu -BMM-Yombo Vituka-DSM (Official Gospel Video HD)-tp

  Рет қаралды 4,268,893

TanganyikaProduction

TanganyikaProduction

5 жыл бұрын

Wimbo huu ni moja ya nyimbo zilizopo katika Tolea la TANO la Kwaya ya Bikira Maria mama wa Mungu -BMM-Yombo Vituka-DSM.
Toleo hili la 5 ni toleo maalumu lenye mkusanyiko wa nyimbo za Kwaresma/maombolezo/toba.
Composer & Organist: Steven Limila
Audio: Salvatorian Catholic Studio
Video: Tanganyika productions
Video imeongozwa na Dir. Laurent Ludovick, Paschal Kabonge & Fortune Shimanyi.

Пікірлер: 1 000
@silvastudiopro
@silvastudiopro 4 жыл бұрын
Please wenye wanaitazama nyuma yangu niwekee like...
@gabrielmikindo4765
@gabrielmikindo4765 3 жыл бұрын
Sweet song kabisa
@edwinbernard3650
@edwinbernard3650 3 жыл бұрын
Wimbo mzr sana,Mungu ampokee mtunz mbngun afurah pamoja na Malaika
@bosirimosibotz9052
@bosirimosibotz9052 3 жыл бұрын
Nitumie
@fredmasalu3134
@fredmasalu3134 3 жыл бұрын
😍😍😍😍😍
@geoffreykenyatta9103
@geoffreykenyatta9103 3 жыл бұрын
niko hapa
@furahinimtunguja2668
@furahinimtunguja2668 4 жыл бұрын
Mimi sio mkatoliki lakini napenda nyimbo zao sana mbarikiwe
@user-ol7yj9ji1i
@user-ol7yj9ji1i 3 ай бұрын
@dianamlagwa9383
@dianamlagwa9383 14 күн бұрын
Amina… ubarikiwe pia🙏🏻
@sombimalujo
@sombimalujo 8 ай бұрын
i proudly my Catholic faith! Good song may Lord Jesus Bless all
@jennifermlingi4632
@jennifermlingi4632 4 жыл бұрын
Jamani wakatoliki mpo? Najivunia kuwa mkatoliki Asanteni sana kwaya mbarikiwe
@dottodavid1668
@dottodavid1668 4 жыл бұрын
Jennifer Mlingi tupo kabisa, wimbo mzuri sana.
@charleschazy3960
@charleschazy3960 4 жыл бұрын
Tupo habari yakwako jamani
@aljaomedia9976
@aljaomedia9976 4 жыл бұрын
Jennifer Mlingi aayaa
@graimignasy2662
@graimignasy2662 4 жыл бұрын
Aminaaaa
@paulomasawe8773
@paulomasawe8773 3 жыл бұрын
@@deboratagalile409 amen
@enviolathamagesa9644
@enviolathamagesa9644 4 жыл бұрын
I was borne Catholic,and will die Catholic...I love my Catholic..
@fredma21x
@fredma21x 2 жыл бұрын
Very touching and spiritual song...Mungu awabarikini washiriki wote na kila mmoja anayeutazama wimbo huu.
@michaelthuo4731
@michaelthuo4731 2 жыл бұрын
Very inspiring song,can't stop watching the video.
@petronilamwelu7289
@petronilamwelu7289 Жыл бұрын
Amen
@IrfanKhan-kn5yw
@IrfanKhan-kn5yw Жыл бұрын
Nawepia
@proisolution7166
@proisolution7166 4 ай бұрын
mungu wa bariki wakatoliki wote duniani haswa wa Tanzania, Dar es salaam... Amina🙏
@mamat2953
@mamat2953 24 күн бұрын
Amen, akubariki na wewe.
@anthonymaina7100
@anthonymaina7100 4 жыл бұрын
Wimbo huu wanifariji kweli. Jamani sichoki kuusikiliza kamwe. Mungu fungua sikio lako usikie Sauti ya kilio changu na ufungue macho yako uone kilio changu. Ujumbe mzito kweliiiii kwetu sisi tulio safarini. I love those minor keys.....very moving and emotional.. Mungu nimetenda maovu mengi nisamehe...usiangalie udhaifu wangu...zaburi 51.... Naomba Kama meneno ya wimbo huu jameni
@liberatusmhozya2236
@liberatusmhozya2236 3 жыл бұрын
Nasikia Aman Sana ninaposikiliza hii kwaya
@dominicekamais3021
@dominicekamais3021 8 ай бұрын
RIP Steve...forever we will remember you...your composition was just an encouraging piece that inspires alot
@mercymuranga4861
@mercymuranga4861 4 жыл бұрын
Am not a Catholic but am blessed by this song Gob bless the singers
@TanganyikaProductions
@TanganyikaProductions 4 жыл бұрын
Ooooj Thaks, where you are?
@gorethmwinuka1160
@gorethmwinuka1160 2 жыл бұрын
Ppppm
@GabrielHellena
@GabrielHellena Жыл бұрын
Wherever you are , whoever you are, we love you,simply cauz you are one of us united with Christ
@margaretkings1743
@margaretkings1743 5 жыл бұрын
Naamini wewe Bwana ndiwe uwezaye kuniondolea haya maumivu ya moyo wangu, Nakuomba wewe Bwana,tazama mateso yangu usiutazame udhaifu wa Moyo Wangu
@jjoacimmicael1377
@jjoacimmicael1377 4 жыл бұрын
Endelea jamani
@josephlango5591
@josephlango5591 4 жыл бұрын
Mwl Limila, Mungu mwenye huruma isiyo na kikomo, aitizame kazi hii nzuri, na akufutie madeni ya madhaifu yako yote, na akustahilishe tuzo kuu ya uzima wa milele Amina
@georgechugulu7075
@georgechugulu7075 4 жыл бұрын
Joseph Lang'o Ameen
@JacksonKembe2014
@JacksonKembe2014 4 жыл бұрын
Hakuna mwanadamu aliyemkamilifu. Mungu aipokee roho yake mahali pale panapostahili. Ameeen
@jamesjamesh.5822
@jamesjamesh.5822 4 жыл бұрын
AMINA
@mamadenis3521
@mamadenis3521 4 жыл бұрын
JAY'S STUDIOS Kwa kweli Mungu mwenyehuruma ampe pumziko la milele,
@glorynorbeth6273
@glorynorbeth6273 4 жыл бұрын
Kwa kweli Mungu amsamehe madhambi yake
@kevinwekesa1556
@kevinwekesa1556 4 жыл бұрын
Ndo maana najivunia kuwa mkatoliki. Wimbo mzuri sana wa kufariji. Mwenyezi Mungu ailaze roho yako mwalimu Steve Limila mahali pema peponi.
@glorymyega5611
@glorymyega5611 4 жыл бұрын
Pumzika kwa Amani kaka Steve hakika Mungu akupe taji la ushindi kwa hili na uwe mwimbaji bora hata mbinguni
@mussakiziwanda7228
@mussakiziwanda7228 3 жыл бұрын
Hakika nifundisho tosha kabisa
@lisaliz7704
@lisaliz7704 4 ай бұрын
Mtunzi wa huu wimbo Bado angali yupo,na kama Ako,Mungu na azidi kukubariki zaidi na zaidi
@billgussy6099
@billgussy6099 Жыл бұрын
A song by one of greatest and respected Catholic music Composer in Tanzania. RIP Steven Limila
@imakulatakifaru8510
@imakulatakifaru8510 5 жыл бұрын
Nafurahi nikiona vijana wanamuimbia mungu wakaka wazuri wadada wazuri wanatenga muda wa mazoezi ya kwaya me ni nani nishindwe
@abdulimaduila2190
@abdulimaduila2190 3 жыл бұрын
Dar kila nikitazama wimbo huu manenoyake na uyo mtoto ananiliza naipenda
@NundaAmani
@NundaAmani 8 ай бұрын
Asante sana ndugu kwakutupa moyo sisi wakatoliki nami naifurahia sana kwaya yetu wanavyomsifu Mungu kwawimbo wao wanyakati zakwarezma nanyakatizavilio.
@anithamsaki2040
@anithamsaki2040 Күн бұрын
Hii nyimbo nmekuja kuingalia Tena Leo august 5 2024 baada ya kile kinachotrend too pain bwana tazama watu wakoo jamniii😢😢😢
@getrudatarimo3414
@getrudatarimo3414 5 жыл бұрын
Hongereni wimbo mzuri sana,umetulia. Ndo raha ya kuwa mkatoliki.
@alexsumuni3596
@alexsumuni3596 5 жыл бұрын
Umeonaeee
@rubenmjujulu9367
@rubenmjujulu9367 4 жыл бұрын
Nimefalijika Sana kwa wimbo huu hongereni Sana wanakwaya hawa
@monicakalongaronga6369
@monicakalongaronga6369 4 жыл бұрын
Hongeren sana katoriki naipenda
@nyotaben6497
@nyotaben6497 4 жыл бұрын
Nabarikiwa sana nyimbo hii
@wemahamaro1021
@wemahamaro1021 4 жыл бұрын
Yaan we km ni mkatoliki alafu hautafakar vitu vizuri km iv ni bora ukaacha ukristo wako
@marylulanga6438
@marylulanga6438 5 жыл бұрын
Nimeungalia zaidi ya mara tano saut tamu maneno yametamkwa vzr sololist ananikosha nasikia machoz yanajaa Mungu awainue kwa viwango vingine from lebanon
@stevelimila6327
@stevelimila6327 5 жыл бұрын
Amen
@juliethclemence7594
@juliethclemence7594 4 жыл бұрын
Amina
@paulineooko6929
@paulineooko6929 2 жыл бұрын
tear of joy, tears of comfort when listening, this song is a Prayer that many of us can resonate with, this life we face tribulations but in the end, it will be joy when we embrace Jesus in Glory Forever!! It's 2022 now, May this song Heal Souls and Lead us closer to God always!
@milkaadongo7466
@milkaadongo7466 2 жыл бұрын
God answer the prayers of your heart this year and forever
@petromtakati2975
@petromtakati2975 2 жыл бұрын
Amen Many blessings and prosperity follow to us all Amen
@vincentmaseya5660
@vincentmaseya5660 2 жыл бұрын
what does the song talk about I loved from the Day I first listened it
@yummy9937
@yummy9937 Жыл бұрын
Amen. May this be my prayer too
@patrickkiumi4292
@patrickkiumi4292 Жыл бұрын
Z
@mykheymutua
@mykheymutua 4 жыл бұрын
Listening from Nairobi, its an amazing composition!!!! Steve Limila, may your soul rest in eternal peace.
@perpetua6676
@perpetua6676 4 жыл бұрын
Amen
@silvastudiopro
@silvastudiopro 4 жыл бұрын
Rip Steve lamila
@jacobammy8121
@jacobammy8121 4 жыл бұрын
Amina
@kabichieswagi2960
@kabichieswagi2960 3 жыл бұрын
@@perpetua6676 l
@user-wz1yk1ez5w
@user-wz1yk1ez5w 3 ай бұрын
RIP Lucy ngussa hii nyimbo kwenye msiba wa dada nililia sana
@mercykishil9236
@mercykishil9236 3 жыл бұрын
I love Catholic songs though am a Presbyterian.
@neemadaud535
@neemadaud535 3 жыл бұрын
Hngera sana wimbo uchoki kusikiliza
@georgedaniel4962
@georgedaniel4962 4 жыл бұрын
Huu wimbo nautazama kila mala ila sichoki Mungu waongezee ufundi wazidi kutuletea vitu vizuri kama hivi.
@nicasiasemakafu1382
@nicasiasemakafu1382 3 жыл бұрын
pumzika kwa Amani shujaa wa Imani Katoliki
@felisterfrancis2377
@felisterfrancis2377 4 жыл бұрын
Hakika huu wimbo unanibariki kila iitwapo leo!!Endelea kustarehe kwa amani mwl Limila
@juliethclemence7594
@juliethclemence7594 4 жыл бұрын
Huu wimbo unanikumbusha kujiandaa kila wakati ili niitwapo na baba wa mbinguni niwe tayari. Naamini mtunzi huyo alifuniliwa vitu fulani kwenye huu utunzi wake hakika unanibariki.
@calvinsilayo2052
@calvinsilayo2052 4 жыл бұрын
Huu wimbo n mzuri san coz kila niamkapo n lzm niusikilize pia nawap pole wote kwa kuondokew n mwalimu wa kwaya hii.
@samuelmuia9907
@samuelmuia9907 2 ай бұрын
I really don't know what driven the composer of the song to giving out such a powerful message...have been listening to the song normally until I listened when in spirit and the song is just a blessing 🙏🙏
@martinmsendo9591
@martinmsendo9591 2 ай бұрын
Ni UTUKUFU juu ya UTUKUFU, hongereni sana. Natamani siku moja niwasikilize live, mbarikiwe sana.
@paulokiruwa9879
@paulokiruwa9879 Жыл бұрын
Wimbo huu nausikiliza leo January 22 2023
@jixxyjussy4721
@jixxyjussy4721 Жыл бұрын
Mungu awabariki sanaaaaa, naitumia hii nyimbo kwenye vitu vingi sanaaaaa
@bethadamian4151
@bethadamian4151 Жыл бұрын
Hakika
@WinnieVumu-jb9cj
@WinnieVumu-jb9cj 2 ай бұрын
Wanifariji Sana huu wimbo
@trichakimani2251
@trichakimani2251 Жыл бұрын
Na amini wewe bwana ndiye unaweza kuniondolea mateso haya. Bwana wangu sikia sauti yangu, 2samehe makosa yetu 2ongoze
@ChristineKassanga-xm9xe
@ChristineKassanga-xm9xe 4 күн бұрын
Sio dhehebu langu lkn nabarikiwa sana na uimbaji huu wa unyenyekevu 👍🤝
@vicentkebula6670
@vicentkebula6670 5 жыл бұрын
Ahsante Mungu kwa kunipa nafasi ya kusikiliza wimbo huu. Najihisi kufarijika kiitikio kinanitia nguvu ya kukua kiroho. KRISTO TUMAINI LETU
@moseskikomati370
@moseskikomati370 3 жыл бұрын
the phone specifications. ×.,
@matridasalim6614
@matridasalim6614 4 жыл бұрын
R.I.P we will meet you next life! We love you but Jesus love you too much!!!
@ephrosinaligwa578
@ephrosinaligwa578 4 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na huu wimbo Mungu awabariki waimbaji Mungu mpokee katika ufalme wako kaka Steven limila apumzike kwa amina
@mercynono3198
@mercynono3198 Күн бұрын
Baraka tele 😢😢😢😢nasikia kufarijiwa moyoni mwangu
@JohnObiero96
@JohnObiero96 3 ай бұрын
wimbo unaoleta tumaini kwa wasio na tumaini.Tubarikiwe sisi sote🙏🙏🙏🙏
@priscasilayo8096
@priscasilayo8096 5 жыл бұрын
Mmmmefanya kitu cha tofaut sana nawaombeen mfike mbali nakumwimbia bwana
@alexsumuni3596
@alexsumuni3596 5 жыл бұрын
Hongereni sana tunabarikiwa mnooo
@mariawangari2670
@mariawangari2670 4 жыл бұрын
I love this song its my always my morning glory, Atukuzwe baba mwana na roho mtakatifu Amen
@richardtamba5201
@richardtamba5201 4 жыл бұрын
Amina 🙏
@bonifacereginald9990
@bonifacereginald9990 4 жыл бұрын
Unfortunate the composer has passed away...
@verabonny3687
@verabonny3687 3 жыл бұрын
,Amina
@verabonny3687
@verabonny3687 3 жыл бұрын
@@bonifacereginald9990 may his soul rest in eternal peace
@denismichael1617
@denismichael1617 2 жыл бұрын
Amen kipenzi
@jesterbanza1473
@jesterbanza1473 5 күн бұрын
Leo Jul 2024 huu wimbo nimeurudia Mara 17 Wimbo umenibariki mbona.
@pamelambayawanjala4206
@pamelambayawanjala4206 Жыл бұрын
Cant get enough of this song, tears flowing freely....I feel blessed all the time.
@fredyjoackimu-bk1tf
@fredyjoackimu-bk1tf Жыл бұрын
Wimbo pendwaaa wa roho yangu
@rotildismassawe1475
@rotildismassawe1475 4 жыл бұрын
Pole sana BMM na Kanisa kwa Ujumla kwa kuondokewa na Mwl Steven Limila, mtunzi wa wimbo huu. Kaka Limila, ulikua unatuaga katika huu utunzi. Tangulia ukituombea
@suzanchalres2843
@suzanchalres2843 4 жыл бұрын
hongereni kwa sauti nzuri mungu awabariki name mzidi kuwa name moyo huo huo
@karimijessica8244
@karimijessica8244 4 жыл бұрын
Proud to be a Catholic...
@GabrielHellena
@GabrielHellena Жыл бұрын
I never tire listening to this song. Any time anywhere. It is the hope in us as Christians that we have a Father and we shall go back to him and rejoice in eternity. This song is a blessing in the sense it diffuses the fear of death. In Christ we win over the powers of "Ibilisi". Kwaya ya Bikira Maria..mubarikiwe sana na sana na zaidi
@yasintamakongoro9458
@yasintamakongoro9458 3 жыл бұрын
Pumzikeni kwa amani dada zangu Eunice na pendo
@frankmsimbe5447
@frankmsimbe5447 3 ай бұрын
Eunice na Pendo hapa ni Yupi na yupi
@angiegathoni1620
@angiegathoni1620 4 жыл бұрын
This song always leads me to praying the rosary.
@chrisnya1155
@chrisnya1155 4 жыл бұрын
My top favorite song. Naiskiza more than 5 times a day. continue with the good work and may God continue blessing you all
@vincentmunyao4911
@vincentmunyao4911 2 жыл бұрын
Its my best too
@theodorachaki5174
@theodorachaki5174 22 күн бұрын
Barikiweni sana nyimbo nzuri sana inahudhunisha nainatia moyo
@HAWAJOHN-ph6ex
@HAWAJOHN-ph6ex Ай бұрын
Wimbo huu unanikumbusha mbal xn jaman achen t maisha hay kwel tunapit binadamu
@florencenyatichi9328
@florencenyatichi9328 3 жыл бұрын
Amazing song. From Kenya apumzike kwa Amani Steve Limila. Raha ya kuwa mkatoliki
@benedictjachi1989
@benedictjachi1989 4 жыл бұрын
Pumzika kwa amani ndugu,ukumbusho umetuachia......
@jkass757
@jkass757 3 жыл бұрын
Hakika alitunga na waloimba waliutendea haki kabisa
@beatricemanono1602
@beatricemanono1602 Жыл бұрын
Nice song en am proud to be a catholic may God bless this choir in order for them to continue praising his name through nice songs like this 🙏🙏🙏🙏
@monicaphilipo9274
@monicaphilipo9274 4 жыл бұрын
Najisikia jamani na furaha kwa kusikiliza nyimbo ya dini yangu jamani hongera kwa Nazi nzuri mungu awabariki
@maimapepa1557
@maimapepa1557 5 жыл бұрын
Nice song though I can't hear the language but Catholic is Catholic
@johnienjora1562
@johnienjora1562 4 жыл бұрын
Rest in Peace Limila. May the Good God grant your soul eternal peace. Forever your compositions will remain with us forever in our memories. Very touching song and proud to be a Catholic. RIP
@dominiclidoro2845
@dominiclidoro2845 2 жыл бұрын
One of the greatest pieces I have ever come across in catholic music. My first time listening to it and I just can't get enough. God bless
@shideashidea5570
@shideashidea5570 4 жыл бұрын
Mwenyezi akupe pumziko la milele Amina mtunzi na mwalimu wa wimbo huu tutakukumbuka daima
@veronicasimeokwaninimnawek8463
@veronicasimeokwaninimnawek8463 4 жыл бұрын
Hakika nikama alijua lililokua mbele yake eeeh MUNGU umpokee mbinguni
@charlesjustin4805
@charlesjustin4805 4 жыл бұрын
Love much this song ....🙏🙏🙏🙏🙏
@terrymartha9151
@terrymartha9151 2 жыл бұрын
This sing is so sweet so powerful. I dedicate it to my dear friend who just lost her husband. Glory be to God 🙏🙏
@admiraseverin15
@admiraseverin15 5 жыл бұрын
Jamani mmenibariki sanaaa kwa uu wimbo sins zawadi yakuwapa nawaombea Sana'a Mungu awabariki,
@thaddeousgeorge7852
@thaddeousgeorge7852 Жыл бұрын
Naamini wewe bwana ndiwe uwezaye kuniondolea haya maumivu ya moyo wangu...usiutazame udhaifu wa moyo wangu...wimbo wa sala...unagusa kwelikweli....
@user-sx6yx3sb7w
@user-sx6yx3sb7w 11 ай бұрын
Mungu akupokee kwake mbingun kaka setiv upumzike Kwa amani
@therezajoseph915
@therezajoseph915 4 жыл бұрын
It’s really painful moment, you have gone too early,so sad we love you & we’ll remember you forever,May your Soul Rest in Erternal Peace Amen
@cliffmatheka9410
@cliffmatheka9410 4 жыл бұрын
It's like he predicted his death for sure. May God Rest Him In Eternal Peace
@harounnjago1062
@harounnjago1062 4 жыл бұрын
Who was dead?
@cliffmatheka9410
@cliffmatheka9410 4 жыл бұрын
@haroun the composer of this song
@jumajohn3934
@jumajohn3934 3 жыл бұрын
Mungu awabariki sana
@mjanjajosephu6986
@mjanjajosephu6986 2 жыл бұрын
Mwokozi waRoho yangu
@GabrielAJuma
@GabrielAJuma 4 жыл бұрын
This is an amazing composition. The choir is also excellent. Rest in eternal peace mwalimu. We remember you.
@mafundishoyakikatoliki894
@mafundishoyakikatoliki894 4 жыл бұрын
Naweza kupata nafasi ya KUJIUNGA na kwaya hii nipo Dar es salaam sinza
@TanganyikaProductions
@TanganyikaProductions 4 жыл бұрын
Ndio unaweza
@user-mj2eh4zb5h
@user-mj2eh4zb5h 10 ай бұрын
Mungu awabariki kwa nyimbo yenu ya kutia moyo katika maisha
@annabalohho7765
@annabalohho7765 4 жыл бұрын
raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie Steve apumzike kwa amani Amina
@annabenedict7597
@annabenedict7597 4 жыл бұрын
Tunaomba faraja yako katika hili Mungu wetu,peke yetu hatuwezi.Roho ya marehemu kaka steven Limila ipate rehema kwa Mungu,ipumzike kwa amani ,amina.
@ombenisalewa3412
@ombenisalewa3412 2 ай бұрын
Wimbo unavuta hisia sana mbarikiwe jamani🙏🙏
@vailethkamatu1613
@vailethkamatu1613 4 жыл бұрын
Jamani kuimba ni kusali Mara 2 mungu tuepushe na corona nawapenda bure wanakwaya wote
@leonorakwena5441
@leonorakwena5441 3 жыл бұрын
Am blessed by this beautiful song...lots of love from Kenya 🇰🇪
@angelacicilier8157
@angelacicilier8157 4 жыл бұрын
This is my good morning song before attending my daily chores. Its a song and a prayer at the same time.it is really touching and emotional..... It gives healing to the broken souls. May God bless all the singers
@TanganyikaProductions
@TanganyikaProductions 4 жыл бұрын
Amen
@focassirili4812
@focassirili4812 Жыл бұрын
2023... wimbo unanibariki sana
@nilayona3463
@nilayona3463 2 жыл бұрын
Bwana niongoze mbingun kwa Mungu Baba milele yote.
@benardombasa560
@benardombasa560 3 жыл бұрын
watching from Rome.... mungu akuangazie mwanga wa milele ndugu Limila
@vivianekavira2077
@vivianekavira2077 2 жыл бұрын
Oh mon Jésus écoute la prière de tes enfants
@sweetberthacharles6960
@sweetberthacharles6960 3 жыл бұрын
Leo tumeanza kwarezima ya mwaka 2021 wimbo huu unaujumbe mzuri unanitafakarisha na kunisogeza karibu na Mungu🙏
@neemalyakurwa9844
@neemalyakurwa9844 3 жыл бұрын
Lakini wewe Bwana ndiwe uwezaye kuniondolea haya maumivu ya Moyo wangu 🙏🙏Mbarikiwe snaaa wanakwaya kwa nyimbo nzurii snaah siwezii choka kuusikiliza jmn wimbo unanifariji jmn 🥰🥰🙏🙏
@yesunimwema4497
@yesunimwema4497 4 жыл бұрын
Katika matesohaya,na katika dhiki hizi nitakuwanawe mwokozi wa moyowangu🙏❤❤❤naamini wewe bwana utatuponya na huu ugonjwa wa Corona virus wewe ndiwe musaada wawanyonge.
@levenasmsimbe5585
@levenasmsimbe5585 4 жыл бұрын
Pumzika kwa Amani mtuzi Steven Limila malaika wa mungu wakupokee katika makao yako ya milele, na poleni wanakwaya wote wa yombo vituka
@juliussafari3979
@juliussafari3979 4 жыл бұрын
kweli huu wimbo umetulia sana
@belindananjala8844
@belindananjala8844 5 жыл бұрын
Woooooooow,wimbo mtamu Sana,nikiusikiza naona Roho mtakatifu akishuka.Hongereni Sana muliohusika . God bless your voices 🙏🙏🙏 praise God forever
@stevelimila6327
@stevelimila6327 5 жыл бұрын
Asante
@benedictbaruti3408
@benedictbaruti3408 2 жыл бұрын
Hakika wimbo huu unatia simanzi kubwa na majonzi eee MUNGU wangu!!!
@user-bt3wt6nt4z
@user-bt3wt6nt4z 3 ай бұрын
Aisee najivunia kuwa mkatori sababu inautamu wakeeee❤❤❤❤❤❤
@maureendaniel5535
@maureendaniel5535 4 жыл бұрын
Pumziko la milele umjalie ee Bwana. Malaika wa Mungu wakupokee mbinguni na uendelee na kazi hii nzuri
@peterwambua902
@peterwambua902 3 жыл бұрын
Very Sweet Soloists, excellent composition, balanced accompaniments. Barikiweni sana waimbaji...5 star from Nairobi Kenya. Twawapenda sana
@leahngugi5918
@leahngugi5918 3 жыл бұрын
Very beautiful harmony.
@webingogo3633
@webingogo3633 4 жыл бұрын
Ninapokuwa natazama wimbo mtamu kama huu sipendagi kabisa mtu awe ananisemeshasemesha:
@upendomndeme9478
@upendomndeme9478 4 ай бұрын
Proud Christian, proud Catholic 🔥🔥
@shijalugiko4053
@shijalugiko4053 5 жыл бұрын
Mwimba solo umenigusa moyo wangu. Da Eliza umetisha
@furahambughi4977
@furahambughi4977 5 жыл бұрын
Na Despina
@shijalugiko4053
@shijalugiko4053 5 жыл бұрын
Oky
@letesiaatieno2152
@letesiaatieno2152 4 жыл бұрын
Sings the song repeatedly, especially when am low,it keeps my spirits strong and awake. May God bless and console the choir for the loss.
@deograsianamhagama3587
@deograsianamhagama3587 3 жыл бұрын
👃👃👃 amen
@davidmbosa8983
@davidmbosa8983 3 жыл бұрын
Mbarikiwe sana napenda sana nyimbo za katoriki nyimbo imetulia sana hongereni jaman
@janethsabas6181
@janethsabas6181 4 жыл бұрын
Ndugu zangu wimbo huu utufanye cc kam wakricto wakatoliki tumrudie Mungu wetu ili mw8xho wa mambo yote tufike mbinguni kwake Hongera SNA mwalimu limila ufike mbinguni mapema .Amina
@lilianmachera
@lilianmachera 4 жыл бұрын
Pumziko la Milele Umpe Eeh Bwana, Steven Limila (Composer & Organist) Malaika wa Mungu wakupokee Mbinguni, umeacha kazi nzuri sana na tutakuenzi kwa hili.
@deogratiusmatogoro2257
@deogratiusmatogoro2257 4 жыл бұрын
Rip mwl Limila tutakukumbka milele Mwenyezi Mungu akusamehe makosa yako na mwisho ufike kwake mbinguni Amina
@kanini_thechosenone949
@kanini_thechosenone949 Жыл бұрын
I can never get enough of hii wimbo.💯🥰Asante yesu. Ni tamu sana🥰
@mariammichael9773
@mariammichael9773 4 жыл бұрын
Mungu akulaze mahala pema peponi amina.... Daima tutazidi kukumbuka milele yote..
@tuvigilwesanga8515
@tuvigilwesanga8515 Жыл бұрын
Najivunia kuwa mkatoliki, wimbo wangu Bora niupendao
@fridahgacheri8674
@fridahgacheri8674 3 жыл бұрын
This is my first time to hear this song and av listened to it more than 10 times I love the song Kuna kafeeling mtu anasikia ka kuomba especially listening to it kudoz waimbaji n the composer of it, sauti nazo mwaaaah❤️
@anniechilizah9703
@anniechilizah9703 3 жыл бұрын
Nyimbo nzuri inafariji naipenda sana,
@st.charleslwangachoirnkoro7357
@st.charleslwangachoirnkoro7357 5 жыл бұрын
Ndugu na dada zetu wa BMM Yombo. Hongereni sana kwa huu wimbo maridadi. Ama kweli umepangwa ukapangika. Sauti ni smart, vyombo ni smart, ujumbe nao smarter. Kwenye kiitikio wale dada wanaimba sauti ya kwanza na ya pili; kongole kongole. Kweli mmejitolea na mkaiva.
@elizabethchuwa7256
@elizabethchuwa7256 5 жыл бұрын
Daaaaa natamani ningekua kwenye wimbo huu
@beatricefrancis3950
@beatricefrancis3950 4 жыл бұрын
Hakika kila kitu kimepangika,,,
@andrewkitalamo8506
@andrewkitalamo8506 4 жыл бұрын
Kweli
@dorisadrian6524
@dorisadrian6524 3 жыл бұрын
Very nice song najivunia kuw mkatolk mbarikiwe sana waimbaji
@NaomyDaudi
@NaomyDaudi 2 ай бұрын
Amen mbarikiwe sana wapendwa watumishi
@geraldfelician1951
@geraldfelician1951 5 жыл бұрын
Kazi nzuri wapendwa hakika mmeniinjirisha na kunifariji. Mungu awatie nguvu mzidi kumtumikia. Amina.
Holy Trinity Studio - Wosia ( Official Music Video )
7:32
HOLY TRINITY STUDIOS
Рет қаралды 2,5 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #memes
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 6 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 73 МЛН
Box jumping challenge, who stepped on the trap? #FunnyFamily #PartyGames
00:31
Family Games Media
Рет қаралды 18 МЛН
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 49 МЛН
KISHINDO CHA WAKOMA (OFFICIAL VIDEO) - NJIRO SDA CHOIR
6:32
Njiro SDA Church
Рет қаралды 13 МЛН
Israel Mbonyi - Nitaamini
12:58
Israel Mbonyi
Рет қаралды 23 МЛН
Mt. Kizito Makuburi - Wewe ni Mungu (Official Music Video)
9:29
KMK MAKUBURI
Рет қаралды 9 МЛН
MOYO WANGU FUNGUKA LYRICS #kelelezashangwelyrics #nainukalyrics
8:14
Catholyrics™ (Paul de' Papa™)
Рет қаралды 153 М.
Niseme Nini - By Bernard Mukasa, JBC Choir - Bukoba Parish
9:48
Naomba Baraka by- Kmk Queens St. Kizito Makuburi
6:34
Alexander mumo
Рет қаралды 2,5 МЛН
Swahili Worship Songs, 2020 Video Mix
1:46:29
CyberWorld
Рет қаралды 4,7 МЛН
Israel Mbonyi - Nina Siri
11:11
Israel Mbonyi
Рет қаралды 56 МЛН
KeshYou x Snoop Dogg - Forever Sunday (Official Music Video)
3:06
BM PRODUCTION
Рет қаралды 239 М.
Taxi
3:06
Sadraddin - Topic
Рет қаралды 281 М.
Sevinch Ismoilova - Ustozlar qo'shiqlaridan popuri (Xorazmcha)
6:15
Sevinch Ismoilova
Рет қаралды 1,3 МЛН
Sadraddin - Taxi | Official Music Video
3:10
SADRADDIN
Рет қаралды 1,4 МЛН
Nurmuhammed Jaqyp  - Nasini el donya (cover)
2:57
Nurmuhammed Jaqyp
Рет қаралды 743 М.
Umar Keyn - Ever 2024
3:10
Umar Keyn Music
Рет қаралды 304 М.
Serik Ibragimov ft IL'HAN - Жарығым (official video) 2024
3:08
Serik Ibragimov
Рет қаралды 305 М.