No video

WEMA WA MUNGU-Kwaya ya Mt. Jerome-Univeristy of Iringa (Official Gospel Video-HD)

  Рет қаралды 133,839

TanganyikaProduction

TanganyikaProduction

Күн бұрын

Wimbo umetungwa na Ndg. N.Z.Blackman, kinanda kimechezwa na Anthony Komanya, ukiwa umerekodiwa na Studio ya St.Joseph Production iliyopo Parokia ya Mbeya Mjini na Video imefanywa na Tanganyika productions ikiongozwa na Director Laurent Ludovick, Paschal Kabonge, Kelvin Marandu na Fortune Shimanyi.
Huu ni moja kati ya nyimbo 10 zinazounda Album ya Pili ya Kwaya ya Mt.Jerome-Chuo Kikuu cha Iringa.

Пікірлер: 79
@catholicmusicianorganisati7353
@catholicmusicianorganisati7353 6 жыл бұрын
very nice mtaalam Komanya organ nimeisikia ikilalamika pia video nzuri step za kikatoliki safi huu ndio muziki mtakatifu tunaouhitaji siku zote na ndiko tunakohitaji tufike
@theprovitionofnature9188
@theprovitionofnature9188 6 жыл бұрын
Oganist ameutendea haki hongereni Tanganyikaproduction kwa kazi nzuri ya Video
@adrianmkyanuzi9521
@adrianmkyanuzi9521 6 жыл бұрын
Very nice hakika inapendeza sana Mungu awabariki na aendelee kuwajalia afya njema wanakwaya wetu. Barikiwa sana
@maishayangu9216
@maishayangu9216 4 жыл бұрын
Tafakari ya wimbo huu inanipata kila mara nikijiona mdhaifu na mwenye dhambi ili hali Mungu ananijali tu. Ahsante wanakwaya! Amazingly beautiful!
@kulwaposta5506
@kulwaposta5506 6 жыл бұрын
well done mpo wachache ila mmtisha hongereni sana watoto wa mungu kuimba n kusali Mara mbili
@frankmakunzo3109
@frankmakunzo3109 6 жыл бұрын
Kazi nzuri, wimbo mzuri
@celinalazack5486
@celinalazack5486 6 жыл бұрын
Mungu awabariki sana ktk uinjilishaji wenu ,hongera Mwl komanya
@fraviafaustine5696
@fraviafaustine5696 6 жыл бұрын
mungu awabariki nakuona pia kaka yangu Emil endelea kumtumikia mungu be blessed
@abelkilimtali1162
@abelkilimtali1162 6 жыл бұрын
kazi nzuri sana mmenibariki mnooo, mmeutendea haki vilivyo huu wimbo.... sauti zenu zinasikika vizuri. Mungu awabariki sana kwa kipaji chenu cha uimbaji......nawapenda sana Mt Jerome
@delphinalazaro9659
@delphinalazaro9659 6 жыл бұрын
Hongereni wana wa Mt.Jerome hongera pia Tp kwa kazi nzuri Mungu awabarikii
@agnesshayo9371
@agnesshayo9371 3 жыл бұрын
Hongereni saaaana wapendwa. Wimbo mzuri mnoo Mashairi Mazuri. Pongezi kwa Mtuzi👏👏na pongezi za pekee kwa wanakwaya mmeimba vyema mnooo yaani full Tafakari 👏👏👏😘😘
@user-yj3uh2qi7r
@user-yj3uh2qi7r Ай бұрын
Mbarikiwe Sana wapendwa katika bwana
@samsonchacha4560
@samsonchacha4560 6 жыл бұрын
Kazi nzuri sana👏👏👏👏
@eliasboniface1594
@eliasboniface1594 6 жыл бұрын
Hongereni kwa kazi yenye ujumbe mzuri
@emanuelamminza9799
@emanuelamminza9799 6 жыл бұрын
Mbarikiwe na Bwana
@vitus.mbugita1964
@vitus.mbugita1964 6 жыл бұрын
My St. Jerome Choir members, mmefanya vizuri saaaaaaana makamandaa wa Mungu. Tunaisubiri kazi nzima kwa hamu sana. May God bless you.
@bakarymkiwa7823
@bakarymkiwa7823 6 жыл бұрын
Hongereeni kwa kuinjilisha!!
@jameskule1965
@jameskule1965 6 жыл бұрын
Hongereni sana kwaya ya Mt. Jerome. Iringa Univercity kwa kuimba wimbo mzuri wa Mungu ni Mwema hakika Mwenyezi Mungu aweke mkono wa Neema ktk hilo.
@emmanuelmarwa3088
@emmanuelmarwa3088 6 жыл бұрын
Hakika wema wa Mungu kwa wanadamu hauna mipaka. Hongereni sana
@deusgesunte7051
@deusgesunte7051 6 жыл бұрын
kweli Mungu ni mwema hata kwa wenye dhambi,ahsante komanya kwa kinanda kizuri,tuendelee kumtumikia Mungu
@vailethshomoro623
@vailethshomoro623 6 жыл бұрын
kazi nzuri sana,hongera Tanganyika production
@delphinalazaro9659
@delphinalazaro9659 6 жыл бұрын
Wuuuuuuuuuuuuwwwwwwuuuuu!!!!!! Can't wait upendo wako ni wa ajabu ee Bwana Mungu wewe ni mwema
@abelkilimtali1162
@abelkilimtali1162 6 жыл бұрын
Mungu ni mwema
@christianjulius3779
@christianjulius3779 6 жыл бұрын
Kazi nzurii mungu awasimamie mpaka mwisho
@retildanicolaus721
@retildanicolaus721 6 жыл бұрын
Kazi ya bwana izidi kusonga mbele.nzuri sana
@jacksonvalence7365
@jacksonvalence7365 6 жыл бұрын
Hongera sana kwaya hii wimbo mzuri umenibariki
@wolfgangmsigwa94
@wolfgangmsigwa94 6 жыл бұрын
Ama kweli Mungu ni Mwema. Mbarikiwe Sana.
@raphaelmutuku1990
@raphaelmutuku1990 6 жыл бұрын
wimbo mzuri,ujumbe uko sawa,keep up.
@josephwalkerz3797
@josephwalkerz3797 6 жыл бұрын
Kazi Nzuri saaana. Baraka!
@deodatikilawe7379
@deodatikilawe7379 6 жыл бұрын
Hongereni sana. MUNGU awatangulie katika uinjilishaji wenu kwa njia ya nyimbo.
@mwlnoelbm24
@mwlnoelbm24 2 жыл бұрын
Kweli Wema wa Mungu hauna mipaka. Mungu ni Mwema kwa wote. Hongereni Waimbaji kwa Ujumbe Mzuri.
@josueniyomwungeri2216
@josueniyomwungeri2216 11 ай бұрын
Mungu nimwema hana mipaka❤❤❤❤From Burundi 🇧🇮
@theresiafrancis3551
@theresiafrancis3551 Жыл бұрын
Nyimbo inatafakarisha sana hii ..hakika Mungu ni mwema, na wema wake hauna mipaka kwetu.
@patrickanthony4356
@patrickanthony4356 6 жыл бұрын
Hongereni sana ndg kwani mmefanya kazi nzuri Mungu awabariki sana hasa bezi kwan mmeimba kiume nasio kisauti ya nne
@ireneyasint7625
@ireneyasint7625 6 жыл бұрын
hakika Mungu ni mwema,,ujumbe mzuri sana
@petrochristopherkabika1406
@petrochristopherkabika1406 6 жыл бұрын
Amina, kazi nzuri sana, nimebarikiwa sana..Mungu awabariki ktk Utume huu
@massawejohn
@massawejohn 2 жыл бұрын
Kwa kweli ninashangazwa na wema wa Mungu, kwaya mmeimba vizur sana,organist safi,bila kumsahau mtunzi Blackman
@susanldohlchodo4589
@susanldohlchodo4589 6 жыл бұрын
Beautiful voices! Upendo wako ni wa ajabu.. Bwana Yesu wewe ni mwema!
@daudikasonso3673
@daudikasonso3673 6 жыл бұрын
Tanganyika Pro Home Of Excellence Move On Brothers Glory To Glory Kazi Tamu
@kastulishawish3136
@kastulishawish3136 5 жыл бұрын
Kweli wema wake hauna mipakaa hongeren kwa kazi nzuri
@frankkomba9397
@frankkomba9397 6 жыл бұрын
Safi sanaaaaaa
@chiriijoy9368
@chiriijoy9368 6 жыл бұрын
Bravooo brethrens
@shijalugiko4053
@shijalugiko4053 6 жыл бұрын
Ujumbe mzuri
@jaredmachukaa8962
@jaredmachukaa8962 3 жыл бұрын
Ongera sana waimbaji, sauti nzuri wimbo mtamu sana barikiwa tena sana.
@rachelnyagawa636
@rachelnyagawa636 6 жыл бұрын
very interested, much congrats to you keep on praising the Lord. Anitha Philen I see uuuuu
@agustinomrujinya5537
@agustinomrujinya5537 6 жыл бұрын
Kazi nzuri sana
@aminamjili7303
@aminamjili7303 Жыл бұрын
Hakikaa ninashangwazwa na wema wa Mungu
@leocadiapetro6824
@leocadiapetro6824 6 жыл бұрын
Amazing!!!!
@gloriakomba9380
@gloriakomba9380 5 жыл бұрын
Hongereni sana, kweli kabisa mungu ni mwema
@francismndoa2466
@francismndoa2466 6 жыл бұрын
Mungu awabariki sana.
@rithasabinus2828
@rithasabinus2828 6 жыл бұрын
Vizur cn nimeipenda mnooooo
@MchainaT2
@MchainaT2 6 жыл бұрын
Good work boss
@sicklecellshenanigans1
@sicklecellshenanigans1 2 жыл бұрын
Wema wa Mungu😇😇
@revocatusmalale7899
@revocatusmalale7899 6 жыл бұрын
Very nice!!
@kulwaposta5506
@kulwaposta5506 6 жыл бұрын
mbarikiwe
@alphoncecastory7258
@alphoncecastory7258 6 жыл бұрын
May Almighty God bless u good job
@prospermassaww4198
@prospermassaww4198 5 жыл бұрын
big up sana kazi imetulia
@justinernzioka3155
@justinernzioka3155 10 ай бұрын
What a nice song, really God is able
@ditricksilinu6038
@ditricksilinu6038 6 жыл бұрын
very good keep it up
@bonaventuretesha1039
@bonaventuretesha1039 6 жыл бұрын
Bravooo....napata wapii hii kazi
@MchainaT2
@MchainaT2 6 жыл бұрын
Bonaventure Tesha kaka ikiwa tayari mwisho wa mwaka huu utaipata
@bedamrutu6322
@bedamrutu6322 3 жыл бұрын
Mungu bariki waimbaji wetu
@reginamaneno1544
@reginamaneno1544 6 жыл бұрын
mbarikiwe sana
@zedianakangalawe1880
@zedianakangalawe1880 3 жыл бұрын
Waao wimbo mzr
@nickochale7341
@nickochale7341 2 жыл бұрын
Hongereni guys
@nyandaponsian4007
@nyandaponsian4007 5 жыл бұрын
I like this songs,so fantastic
@sumaamosi1563
@sumaamosi1563 2 жыл бұрын
Nzr mungu awabariki
@dinnambalay1800
@dinnambalay1800 5 жыл бұрын
Hakika Mungu ni mwema,
@honorathamachimu4524
@honorathamachimu4524 Жыл бұрын
Barikiwa sana
@emmanuelmutuku1191
@emmanuelmutuku1191 4 жыл бұрын
Amina utunzi mzuri
@lajarakimaay7399
@lajarakimaay7399 Жыл бұрын
Wonderful song 🎵
@Caryvv
@Caryvv 6 жыл бұрын
Waoooh
@qaydamisulle5974
@qaydamisulle5974 Жыл бұрын
love this
@mwamba2197
@mwamba2197 Жыл бұрын
❤❤❤
@zakhiamadahason3739
@zakhiamadahason3739 6 жыл бұрын
Wimbo mzuri naomba whsap 071925976
@KwayayaFamiliaTakatifu-Kigonzi
@KwayayaFamiliaTakatifu-Kigonzi Жыл бұрын
Wimbo unatubriki sana kzfaq.info/get/bejne/fq-DidOmsLDDaX0.html
@vailethshomoro623
@vailethshomoro623 6 жыл бұрын
kazi nzuri sana,hongera Tanganyika production
@agustinomrujinya5537
@agustinomrujinya5537 6 жыл бұрын
Kazi nzuri sana
CHACHU YA FURAHA-THE LOVOS (official Gospel Video-HD)
6:37
TanganyikaProduction
Рет қаралды 2,2 МЛН
Get 10 Mega Boxes OR 60 Starr Drops!!
01:39
Brawl Stars
Рет қаралды 19 МЛН
Happy birthday to you by Tsuriki Show
00:12
Tsuriki Show
Рет қаралды 11 МЛН
王子原来是假正经#艾莎
00:39
在逃的公主
Рет қаралды 9 МЛН
Mt. Kizito Makuburi - Wewe ni Mungu (Official Music Video)
9:29
KMK MAKUBURI
Рет қаралды 9 МЛН
KWAYA YA MT.CECILIA(KMC-M)-(NYOTA YETU MAMA MARIA(OFFICIAL MUSIC VIDEO)-//Mtunzi:LAWRENCE KAMEJA
4:36
ASANTE YESU
6:06
RAJO PRODUCTIONS
Рет қаралды 7 МЛН
Martha Baraka - Nimekuja Na Maua (Official Music Video)
8:29
Martha Baraka
Рет қаралды 3,9 МЛН
NITAKAPOREJEA -Kwaya ya Mt. Joseph Mfanyakazi (Official Gospel Video-HD)
4:10
TanganyikaProduction
Рет қаралды 94 М.
NIKO KASI_Kwaya ya Mt.Joseph Mfanyakazi_Nzihi Kidamali - Iringa
6:58
RAJO PRODUCTIONS
Рет қаралды 1,4 МЛН
Get 10 Mega Boxes OR 60 Starr Drops!!
01:39
Brawl Stars
Рет қаралды 19 МЛН