TAZAMA ASLAY ALICHOKIFANYA KWENYE BABY SHOWER YA BEKA FLEVA NA HAPPY UTABAKI MDOMO WAZI

  Рет қаралды 30,087

BinaTv

BinaTv

Ай бұрын

Ahsante kwa kuwa mwana familia,(BINA Tv) kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza.. Subscribe Channel yetu ya BINA TV ili usipitwe na habari zetu.
#alikiba, #ayotv, #block 89, #bongo #chapchap, #bunge, #bungeni, #burnaboy, #ccm, #chadema, #davido, #diamondplatnumz, #diamondplatnumz, #good #morning, #habarizaleo, #habarizamillard #ayo, #harmonize, #lavalava, #lavidavi, #live, #magufuli #makonda, #mbosso, #mgahawa, #millard, #millardayo, #millardayo, #millardayotv, #rayvanny, #refresh, #serikali, #sportsarena, #sportscourt, #spots, #sundayworship, #tanzanianews, #thestorybook, #theswitch, #tiwasavage, #trending, #uchaguzi, #wasafi, #wasafifm, #wasafimedia, #wasafi tv, #wizkid, #yope, #yope #remix, #zuchu
#BinaTv #WasafiTv #ManaraTv

Пікірлер: 36
@teedullah5708
@teedullah5708 Ай бұрын
Beka huwa hadanganyi Kwakweli ❤️❤️❤️🇰🇪
@ZainabuSaid-ol5dh
@ZainabuSaid-ol5dh Ай бұрын
Ad laaa mboso cjamuona
@trestar_tz
@trestar_tz Ай бұрын
This is hot be blessed BEKA🇹🇿
@judithkilawe6178
@judithkilawe6178 Ай бұрын
Wao nawapenda sana Mungu awaepushe na mabaya yote
@BakariRajabu-wz4ee
@BakariRajabu-wz4ee 14 күн бұрын
hapana bwana mbona wanamuonea aslay wa watu mungu apendi alafu mjinga mmoja mange kimambi
@user-hf2kk9xx6t
@user-hf2kk9xx6t Ай бұрын
cox nakupenda 😂😂😂
@user-bc3lh5ss6c
@user-bc3lh5ss6c Ай бұрын
Sijui nafurahi nini alafu nalia nini MashaAllah 😢😢😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤
@ChristianaAmoc
@ChristianaAmoc Ай бұрын
Jamn hii nyimbo Kali sana itoke tu🙌
@user-bc3lh5ss6c
@user-bc3lh5ss6c Ай бұрын
Jamani hadi rahaa mapenzi nyiee❤❤❤❤❤
@KhadijaAli-zd8jq
@KhadijaAli-zd8jq Ай бұрын
Maskini Aslay anaona aibu anajikaza tu yatapita kaka sema usirudie tena mtindo mbaya mungu apendi muombe mungu akusame🙏🙏
@BakariRajabu-wz4ee
@BakariRajabu-wz4ee 14 күн бұрын
Kweli amuombe mungu tu
@magrethdaniel8441
@magrethdaniel8441 Ай бұрын
Wewe unauhakika ni wa ndani ya ndoa?
@habibaraphael6583
@habibaraphael6583 Ай бұрын
Aslay kanenepa😂😂
@zulfathlyanga2626
@zulfathlyanga2626 Ай бұрын
Mutoto wa gap
@azizawaziri1507
@azizawaziri1507 Ай бұрын
Muaribifu kaitwa mbele
@AnaHouston-dm7dj
@AnaHouston-dm7dj 16 күн бұрын
Wegine anawashora 😂😂😂
@user-pu6pr5jt4n
@user-pu6pr5jt4n Ай бұрын
Nilvomuona aslay nmekumbuka connection😂😂😂mange😂😂😂
@CharmingTsongo
@CharmingTsongo Ай бұрын
Wewe umbwa hauja komaa hakili kumbe
@MariamMwamwenda
@MariamMwamwenda Ай бұрын
😂😂😂
@user-pu6pr5jt4n
@user-pu6pr5jt4n Ай бұрын
@@CharmingTsongo mbwaa shangazio Sasa hatustahil kukumbuka mitako yq aslay anavokata khaaa wabongo ni hatariiii😂🤣🤣🤣🤣
@SophiaNasri-uo4ko
@SophiaNasri-uo4ko Ай бұрын
❤❤
@user-mi7cd8ch1b
@user-mi7cd8ch1b Ай бұрын
Muowane Sasa sio mnaleta watto wa nje ya ndoa tu watto wazinaha tz wamejaha miaka hii aisee ebu fanyeni nusurah hao wazazi wanaotaka mahari mirion kumi wakwende uko wanafanya ndoa isipte wakanti watto wamependana wanazid kuongeza famiri za nje ya ndoa ndio nn sasa
@user-ts7si2ch3h
@user-ts7si2ch3h Ай бұрын
Jifunze kuandika kwanza sio mirioni n million
@user-mr7gl5ox6u
@user-mr7gl5ox6u Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 kama hakusoma mwandiko la3
@agnessbahamu3931
@agnessbahamu3931 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂​@@user-ts7si2ch3h
@UmmyAsfar-sn5ul
@UmmyAsfar-sn5ul Ай бұрын
Kaongea ukweli mtupu lkn
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 Ай бұрын
Muhimu alichoandika kimeeleweka na ukweli mtupu
@user-pt4ts3ho3g
@user-pt4ts3ho3g Ай бұрын
Jamn duli azeeki
@jumakaugatz9017
@jumakaugatz9017 Ай бұрын
Coxdawayao😂😂
@Baira240
@Baira240 Ай бұрын
Aslay amefaanya nini
@roqayaro9439
@roqayaro9439 Ай бұрын
Kaka duli sauti hadimu utaoa lini
@AhmadAhmad-vb2tz
@AhmadAhmad-vb2tz Ай бұрын
Aslay ndio wazee wabadae watakuwaga wahovyo navideo zao zangono
@CharmingTsongo
@CharmingTsongo Ай бұрын
Unaumwa ama ni hauja komaa ili ku comment ujinga huna mbolo wewe
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 65 МЛН
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 1 МЛН
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 27 МЛН
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 34 МЛН
sikiliza ndoto za DIAMOND PLATINUMZ kwa ZUCHU
2:53
𝘏𝘌𝘙𝘖 𝘔𝘬
Рет қаралды 10 М.
Mercy Mawia  😭😭💔 Bye bye  ooiiii See What happened...
9:44
Stephen Kasolo Official
Рет қаралды 11 М.
БАТЯ И ТЁЩА😂#shorts
0:58
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 5 МЛН
Крокодил получил по-заслугам! 😱
0:32
КиноСклад
Рет қаралды 19 МЛН