Tazama Jinsi Watu Wanavyopata Pesa Kirahisi Huku HOLLYWOOD Boulevard, USA | Walking Vlog Huku Yues

  Рет қаралды 29,637

Jack Wa USA

Jack Wa USA

Жыл бұрын

Nilitembelea mitaa ya Hollywood, California, USA ambayo ni entertainment capital ya Marekani. Hollywood Boulevard ni mtaa unaojulikana kua na vivutio vingi vya watalii kama Hollywood Walk Of Fame, The Hollywood Museum, Madame Tussauds Hollywood, Guinness World Records Museum, TCL Chinese Theatre, Dolby Theatre nk. Hivyo ni sehemu nzuri sana ya kufanyia biashara. Tembea na mimi ujionee jinsi watu wanavyopata pesa kirahisi huku Hollywood, Marekani.
Pia nakuomba usubscribe ili usimiss video mpya nitakazokua nikipost. Asante kwa kutazama, Nakupenda sana!
My previous video;
• Hii Ndiyo Mitaa SPECIA...
🔸FOLLOW ME ON;
INSTAGRAM: / jacchalz
#hukuyues #losangeles #mtaani

Пікірлер: 196
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Please Subscribe pia kwenye hii channel yangu nyingine ili ujionee zaidi ⬇️ ⬇️ youtube.com/@Jackchalz
@AbToughHustle
@AbToughHustle Жыл бұрын
Dah unyama sana mzee unatutoa matongotongo mzazi mimi nataka kuzamia huko bajeti kaa shing ngapi mzee?😋
@zainabuadam4189
@zainabuadam4189 Жыл бұрын
Hi, nimependa unavyotujulisha vip nikitaka naweza tumia process gani
@wakalaafrica4013
@wakalaafrica4013 Жыл бұрын
Tanzania 🇹🇿
@seffsamwel5649
@seffsamwel5649 Жыл бұрын
Kaka nakuambia ukweli katika watanzania walioko marekani ambayo hawaringi we ni number one wengine hawajibu hata comment zetu ila we unajibu Na kutielewesha vizuri kaka pamoja sana siku nikija huko USA ntakucheki man🇺🇸❤️❤️❤️👍♥️♥️♥️🙏🙏👏👏👏💪💪
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Asante na karibu sana USA!!
@aam5118
@aam5118 Жыл бұрын
@@jackwausa nifanyie mpango basi n mimi nije
@abdallahmgaya7521
@abdallahmgaya7521 Жыл бұрын
Asante sana br, tuachie namba zako ili tunaweza kuongea nawe mambo ya binafsi
@seffsamwel5649
@seffsamwel5649 Жыл бұрын
@@jackwausa vp jack wa USA unaonaje tukiwa marafiki kama hutojali jack 🙏💪👍👏🇺🇸
@godfreyobadiah7892
@godfreyobadiah7892 Жыл бұрын
Unatufanyia vzr kijana wetu ubarikiwe !
@izzodampa1205
@izzodampa1205 Жыл бұрын
Kaka jack unafanya kit cha maana sn huk kwasisi wangin hatujawah kutalii huk God bless you bro
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Amen. God bless you!
@ngendaoscar367
@ngendaoscar367 Жыл бұрын
Nimepata kujifunza mambo mengi kupitia wewe bwana ,asante sana.
@gasparlubaga5866
@gasparlubaga5866 Жыл бұрын
Yaani upo poa sana🇹🇿
@dionesebutoyi7256
@dionesebutoyi7256 Жыл бұрын
Nimetokea kuipenda mno page yako maana si kwa kunitoa ushamba huku😂😂you can't imagine tokea majira y 14h nitizame video yako ya kwanz hadi sas naendelea kuziview video zako tu.hongera san unaupiga mwingi kuel kuel endelea kutupasha habari tuko sambamba .Love from Burundi🇧🇮🇧🇮
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Asante sana kwa kufuatilia video zangu!!🙏🏾
@bashirmrisho8491
@bashirmrisho8491 Жыл бұрын
Big up jack...wewe ni mzalendo wa ukweli
@zubeirmwaeshu6989
@zubeirmwaeshu6989 Жыл бұрын
Bro keep it up nimekubali sana idea yako dahh safi sana unatujuza vingi sana
@evansherman9343
@evansherman9343 Жыл бұрын
Asante mindset ya huku Africa Marekani ina vitu vya bure. Kumbe huko ni mwendo wa hasiyefanya kazi asile. Asante kwa kutufumbua macho. One day i wish to visit Marekani
@petertimothy7882
@petertimothy7882 Жыл бұрын
Safi sana Jack, unafanya Wengi kufika Marekani kwa njia ya video kama vile tunavyoona mpira tukiwa majumbani kwetu. Unaelezea vizuri sana. Unajibu maswali ya wengi kwa kuelezea hali halisi. Ubarikiwe zaidi kwa kuwekeza ktk hili.Tuoneshe miji yote muhimu ambayo tungependa kuona na kujifunza kitu🙏
@jeremiahkileo6641
@jeremiahkileo6641 Жыл бұрын
Daaah utalii wa bure kabisa.Keep it up and be blessed my young brother
@godwillsamuel7487
@godwillsamuel7487 Жыл бұрын
Brother Jack wa USA umetufanya nasisi tuhadithie watu kuhusu huko kama tumefika Nice work 🇺🇸
@ashimuvitaav1643
@ashimuvitaav1643 Жыл бұрын
Dah msela ulie amka kifikira na nakuona mbali Sana Kaka mungu akupe maisha marefu bro
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Amina🙏🏾
@allycomm1553
@allycomm1553 Жыл бұрын
MR JACK PITA NA SEHEMU ZA MISIKIT TUONE WAUMIN WA HUKO MAANA TUNAJUAGA MAREKANI WAISLAMU HAKUNA
@sammymdemeka7937
@sammymdemeka7937 Жыл бұрын
Good work inafurahisha sana tunafika Marekani live bila VISA 👍👍👍👍
@alexmwakasape3452
@alexmwakasape3452 Жыл бұрын
Bora ata we mwanangu unaongea kistaarabu....kuna mpuuzi yupo UK chimakeke analelewa na kibibi anatukana tu watu...keep exploring for us bro☝️
@Odogwu9667
@Odogwu9667 Жыл бұрын
Uko Vizuri Bro
@saidomary7930
@saidomary7930 Жыл бұрын
Unatupenda sana Mungu akubaliki maana unaacha mambo yako unatuonyesha mambo mazuri yani kama tupo huko tu asante sana
@esthersamwel8716
@esthersamwel8716 Жыл бұрын
Nimependa Sana this idea...yaani ni Kama vile nishafika Hollywood! Keep it up
@onesmusmunyao4895
@onesmusmunyao4895 Жыл бұрын
Nice one kaka
@rajabnahemb-ni5xi
@rajabnahemb-ni5xi Жыл бұрын
Asante jack good idea u made it
@phineusfredrick4921
@phineusfredrick4921 Жыл бұрын
hongera sana kaka, maana unawapa elimu watu wanao isi marekani ni sehem raisi ya kupata ela.
@RajanMunis-pt4js
@RajanMunis-pt4js 10 ай бұрын
I appreciate what you're doing Bro
@lytwilliam7050
@lytwilliam7050 Жыл бұрын
Huna baya kaka wa watu.hongera.endelea kutufungulia dunia.
@khamisiramadhani3380
@khamisiramadhani3380 Жыл бұрын
Nakubali kaka kazi nzuli
@fatmakombosuleiman8542
@fatmakombosuleiman8542 Жыл бұрын
Unatutoa ushamba wabongo wengi...hongeraa sana kijana
@christinafrancis8452
@christinafrancis8452 Жыл бұрын
😹😹😹amenifurahisha Sana, yaan yeye anafurahisha watu tuuuu
@samwelmgimwa
@samwelmgimwa Жыл бұрын
Napenda2 unavovaa cap ya Tz🇹🇿
@24mixnews6
@24mixnews6 Жыл бұрын
Kazaaaa
@sh4138
@sh4138 Жыл бұрын
Good sana🇧🇮🇧🇮
@josephsimba3007
@josephsimba3007 Жыл бұрын
Nakukubali sana kutoka congo 🇨🇩🇨🇩🔥💪
@roi2554
@roi2554 Жыл бұрын
Nakukubali sana kaka we ni zaidi ya binaadam lijue hilo
@barakaelisa4089
@barakaelisa4089 Жыл бұрын
Daah kama Niko hapo Hollywood , Natokea Tz nimeipenda sana kz yako Kiukweli hakuna Mtanzania roho ya pekee kama yako, zaidi sana Mungu akubariki sana
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Amina!🙏🏾
@godfreymoshi6793
@godfreymoshi6793 Жыл бұрын
Pamoja sana nataman kuona maeneo ya nuclear weapons
@bennyjumah4214
@bennyjumah4214 Жыл бұрын
Hi bro
@adijahmdosi5863
@adijahmdosi5863 Жыл бұрын
Mashallah tabarakallah jazzaka Allah kheri watutowa ushamba haki
@clementselestine5308
@clementselestine5308 10 ай бұрын
Keep it up❤❤
@babianliza
@babianliza Жыл бұрын
Hapo sass vitumbua napenda sana kazi yangu kaka ehh nitafutie njia ni paingie hapo niviunde hadi wazangazwe.mahamuri pahaajia zambuza madodo pojo yaani nipo bora nipate ako kanafisi.umevitaja kaka nafurahia kazi nzuri aky mola hakupe huo moyo
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Ubarikiwe sana na Mungu atimize hitaji la moyo wako!
@nahimanawanjani9865
@nahimanawanjani9865 Жыл бұрын
Unachoka sana kweli jack pole mola akupe riziki unaeshi wapi uko unatumiya garama sana mm napenda marekani mbona akuna watu weusi wanauza uko
@suedsiraji9779
@suedsiraji9779 Жыл бұрын
Jack am proud of you
@ChoroTesla
@ChoroTesla Жыл бұрын
YOUR CHANNEL GROWING' SO FAST NI JUZI TU ULIKUA NA 7.2K SA HVI 9.2K LETS GOOOO
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Thank you for supporting!!
@Goalscores12
@Goalscores12 Жыл бұрын
Unyama sana
@allyabdallah8534
@allyabdallah8534 Жыл бұрын
Broo upo powa
@nyahingatv5407
@nyahingatv5407 Жыл бұрын
Hongera unafanya kitu kizuri sana
@yahyamsaid8846
@yahyamsaid8846 Жыл бұрын
Jamaa Yuko sawa
@JonathanAlex-wr3ef
@JonathanAlex-wr3ef Жыл бұрын
umetisha kaka 😅😅😅
@moseskariuki6461
@moseskariuki6461 Жыл бұрын
Kaka tunaejoy sana hapa Kenya
@godfreyobadiah7892
@godfreyobadiah7892 Жыл бұрын
Hivi ni muda gani hapo, naona watu si wengi km kariakoo !
@killerboi8756
@killerboi8756 Жыл бұрын
Nakubal kazi
@kingabdul1745
@kingabdul1745 Жыл бұрын
Thanx brother
@selemikito-vj3sz
@selemikito-vj3sz Жыл бұрын
Nakubali arakati zako
@davidkaranja6775
@davidkaranja6775 Жыл бұрын
Napenda sana vile unavyo fanya kaka mimi niko kenya lakini napenda sana kukufuatilia na kuona vitu vizuri
@Smart-tech659
@Smart-tech659 3 ай бұрын
Nakubali
@simonzakaria4770
@simonzakaria4770 Жыл бұрын
Unatufanya tu enjoy sana
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 Жыл бұрын
Bro thanks for the ride we've learnt a lot from USA through your contents keep it up bruda,one day I'm gonna be there you've persuaded me somehow😎🤞
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Welcome to America!
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 Жыл бұрын
@@jackwausa we're together brother 👌
@robertaron7001
@robertaron7001 Жыл бұрын
Binafsi nimeupenda huo mzura wa bendera ya tzzzz
@Drsumu
@Drsumu Жыл бұрын
Love from+254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@josephamani
@josephamani Жыл бұрын
Tuna shukuru kutu fumbuka macho tuna omba siku utuonyeshe sehemu za wwe wa cheza mieleka
@stevenclaud6648
@stevenclaud6648 Жыл бұрын
Natamani sana siku niwe kazini halafu nikuone tupige story zaidi sababu wabongo wengi sana wapo USA 🇺🇸 akitua bongo jinsi anavyokuongelesha mpka unajioni upo Dunia ya Jumong
@santamerra4552
@santamerra4552 Жыл бұрын
Mungu akuaabariki . Tunaona Marekani live
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Amina!🙏🏾
@aishiharoub1185
@aishiharoub1185 Жыл бұрын
🔥🔥
@tellebacarsound57
@tellebacarsound57 Жыл бұрын
Kaka uko vizuri sana bro kiukweli tuna enjoy
@lemonadesoldier1377
@lemonadesoldier1377 Жыл бұрын
Vip Jack naweza kuuza mahi di HOLLYWOOD Nikatoboa. 😂
@raharaha1631
@raharaha1631 Жыл бұрын
safi dogo umetufungua america ilivyo
@charlesmakelele4268
@charlesmakelele4268 Жыл бұрын
Bro ubarikiwe,ubarikiwe unaonekana unaroho nzur...kunawengine huwa wanatujibu ovyo km vle wameyapatia maisha.
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Asante. Ubarikiwe pia!
@ibrahbird9727
@ibrahbird9727 Жыл бұрын
salout sana bro
@samwelipaul1462
@samwelipaul1462 Жыл бұрын
Una elewesha vizuli Sana nakuelewa Sana kaka
@WolfW-ip6jl
@WolfW-ip6jl Жыл бұрын
God bless you too
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Amen!🙏🏾
@mishaelmusiba305
@mishaelmusiba305 Жыл бұрын
Tunakua chap sana huku, tukomae tufike namba kubwa zaidi...
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Yea, ni kuendelea kukomaa tu mpaka tufike huko!!
@ashimuvitaav1643
@ashimuvitaav1643 Жыл бұрын
Kaka usisahahu kuja kumsalimia babu tz kwa sababu unayo fanya nimakubwa Sana kaka
@abelubamba7409
@abelubamba7409 Жыл бұрын
Nimependa ulivyo na moyo mzuri wa kutuelekeza Watz wenzako tunaokufa kiume na life hardship huku bro,msaada wako ni muhimu basi tuingie huko
@nurupaje9041
@nurupaje9041 Жыл бұрын
Jack unakipaji mno Fanya collabo na ebm youtuber
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 Жыл бұрын
Ukovizuli aisee usichoki kutuonesha ilisikumoja tujekutafuta pesa
@dibara5423
@dibara5423 Жыл бұрын
bro l really appreciate for your channel so nimetaka kujua iPhone ni hela ngapi uko
@jeremiahkileo6641
@jeremiahkileo6641 Жыл бұрын
ila watu wa huko kumbe hawana hiyana aisee yaani wakarimu sana. Tofauti na nilivyokuwa nawaza
@frankmpembu
@frankmpembu Жыл бұрын
Barikiwa sana kijana, Mungu akupe maisha marefu. Hauringi na hauna majivuno. Barikiwa sana kijana, page yako ni nzuri sana, wewe ni number one.
@JonathanAlex-wr3ef
@JonathanAlex-wr3ef Жыл бұрын
umetish😅😅
@Nguboousaidu23
@Nguboousaidu23 Жыл бұрын
Unyama
@rehematawalani733
@rehematawalani733 Жыл бұрын
Piga kazi mwana
@aishaabrahaman9957
@aishaabrahaman9957 Жыл бұрын
Nimependa watu wa huko hawajisikii wanajibu kwa uzurii
@festoraphaely9954
@festoraphaely9954 Жыл бұрын
Bro unatisha kinoma
@richardscofeld9136
@richardscofeld9136 Жыл бұрын
Upo vizur,embu fanya video ya sehem Ile inamaandishi makubwa yamekaa juu ya mlima yameandikwa HOLLYWOOD
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Nimeshafanya tayari, nitaipost video inayofuata!
@lytwilliam7050
@lytwilliam7050 Жыл бұрын
ipo ameshaifanya tafuta
@aam5118
@aam5118 Жыл бұрын
@@jackwausa uko vzr kaka
@fidelitykalamba9331
@fidelitykalamba9331 Жыл бұрын
Bro bata ku fira keep playing man 👨
@okashalewiss8648
@okashalewiss8648 Жыл бұрын
Nitakuja U.S.A soon inshallah
@fikiriseleman3460
@fikiriseleman3460 Жыл бұрын
Wazungu kama hawako sawa lakn ndio wako sawa.
@edwinejames8481
@edwinejames8481 Жыл бұрын
Naskia Adhana
@barakabaliza639
@barakabaliza639 Жыл бұрын
Umenifurahisha mzee ulovyo sema duniani kuna watu wanavisilani
@wilsonm.7376
@wilsonm.7376 Жыл бұрын
Bro @jack wa usa, tusaidie njia tufike huko kutafuta pesa..?🇹🇿
@berthashoka6076
@berthashoka6076 Жыл бұрын
Pamechangamka kama TIMES SQUARE tu😂
@EmmanuelAndrew-rz3ct
@EmmanuelAndrew-rz3ct Жыл бұрын
Mwakani 2takutana huko
@emmanuelisaya184
@emmanuelisaya184 Жыл бұрын
si hata unipe namba niwe naview status wasap! napapenda huko asee🔥
@ngendakumanajeanmarrie7490
@ngendakumanajeanmarrie7490 Жыл бұрын
Asante bro kwakutuonyesha mambo mazuri
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Karibu sana!!
@zenombele5406
@zenombele5406 Жыл бұрын
achana na akina kimambi na roma wameenda USA kupiga tyu umbea😅😅😅😅😅
@magorymara5515
@magorymara5515 Жыл бұрын
Hivi vyote ni furaha ya macho lakin cha muhim zaid katika maisha ya binadam ni chakula,usingizi na dawa
@madukakisinza2680
@madukakisinza2680 Жыл бұрын
Bro ni kipanda ndege ni mujigani wa kushukia ili kuaza biashala bila kusumbuliwa
@lemonadesoldier1377
@lemonadesoldier1377 Жыл бұрын
Yo truly inspired by Ibrahim Onami a.k.a Huku Yues @huku Yues
@abdultimoc4625
@abdultimoc4625 Жыл бұрын
Broo nipe connection ya kazi yoyt hata ya ku delivery food
@imagepower3641
@imagepower3641 Жыл бұрын
Mahindi ya kuchoma wapi sasa
@bundatelcom2734
@bundatelcom2734 Жыл бұрын
Naomba unitafutie kaz zandan huko kwa waswahli. Nipo uku arabun napambam
@gasparlubaga5866
@gasparlubaga5866 Жыл бұрын
Wewe ni mtu na nusu naweza kwenda marekani ss
@joelmwita3592
@joelmwita3592 Жыл бұрын
Hi bro naomba vidio ya vitu electronic kama tv , home theater na vinginevyo
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Soon nitaipost hiyo video. Endelea kufuatilia video zinazofuata!
@mirajiboe6133
@mirajiboe6133 Жыл бұрын
Xaf xana kaka wiki ijayo twenze2 new york
@noahnsubc1666
@noahnsubc1666 Жыл бұрын
Kaka Tupeleke wanapopatikana ma fisi tukija tusisumbuke 😂😂😂
@lewissinkalatz.3914
@lewissinkalatz.3914 Жыл бұрын
Daa! Wee umetisha sijawahi kufika huko ila nakihis niko huko, napia unavyo wachukua watu video hawaakuzuwii au unakibali?
@Maishacanada
@Maishacanada Жыл бұрын
Holly wood
@witnessmusa5454
@witnessmusa5454 Жыл бұрын
Hii ni kariakoo ya Marekani😂😂😂
@antonigwamba8386
@antonigwamba8386 Жыл бұрын
how are you doing today brother
THEY made a RAINBOW M&M 🤩😳 LeoNata family #shorts
00:49
LeoNata Family
Рет қаралды 42 МЛН
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 31 МЛН
ОСКАР vs БАДАБУМЧИК БОЙ!  УВЕЗЛИ на СКОРОЙ!
13:45
Бадабумчик
Рет қаралды 6 МЛН
Happy 4th of July 😂
00:12
Alyssa's Ways
Рет қаралды 65 МЛН
Jinsi Ya Kuzungumza Na Wanawake Huku Yues
1:34
Jack Wa USA
Рет қаралды 3,5 М.
Njia 5 za Kuja USA
2:14
Erica Lulakwa
Рет қаралды 3,7 М.
Safari ya kurudi bongo kutoka ughaibuni ( marekani )
13:39
Dnyota usa
Рет қаралды 7 М.
Life as a prisoner in world’s most strict jail | El Salvador CECOT
16:49
Luisito Comunica
Рет қаралды 38 МЛН
Leo niko area ya wakenya. Huku tume dominate sana!!
24:01
Huku Yues
Рет қаралды 419 М.
THEY made a RAINBOW M&M 🤩😳 LeoNata family #shorts
00:49
LeoNata Family
Рет қаралды 42 МЛН