Tazama Watu Wanauza Nyanya Barabarani Huku Marekani | Kazi Ni Kazi Huku Yues

  Рет қаралды 78,636

Jack Wa USA

Jack Wa USA

Жыл бұрын

Nilitembelea mtaa unaitwa "Chinatown' uliopo Los Angeles, California huku USA. Unaweza kujionea shughuli mbalimbali zilizokua zikiendelea maeneo hayo.
Pia nakuomba usubscribe ili usimiss video mpya nitakazokua nikipost. Thank you for watching. Nakupenda sana!
My previous video;
• Hii ni 'TOUR' ya Venic...
🔸FOLLOW ME ON;
INSTAGRAM: / jacchalz
#hukuyues #losangeles #mtaani

Пікірлер: 215
@jackwausa
@jackwausa 10 ай бұрын
Please SUPPORT me by joining here; patreon.com/JackWaUSA
@victorjoseph3128
@victorjoseph3128 Жыл бұрын
Nachopenda kwako una muda wakupoteza unaenda moja kwamoja kwenye tukio sio kama wale wanotuibia mb zetu story nying alafu mwisho inakua tofauti na kichwa cha abari , ongera sana
@user-sq7pz9ex5g
@user-sq7pz9ex5g Жыл бұрын
Mashallah 🥰 nimependa kipindi chako kaka yangu....Nami niwe Tu shahidi jamani🌝miaka ya nyuma nilikuwa na fikra kwamba ughaibuni watu hawana shida,hakuna maskeen,wala hawali njaa.Mmh! Si ndio mungu akanifungulia rizki bhana alhamdulillah 🙏🏻 Niko Oman sasaa miaka minne mmh jamani 😔 kuna waokota makopo,kuna omba omba tena wanapita kila nyumba kuomba,hawa maboss wangu wenyewe ushwara Tu yaani Mimi ndio nimekuja kutafuta eti wananikopa🤭mmh! Jamani 😔 maisha ya nje ya kawaida saana jamani hata awe boss veep dukani anakopaaa na kwenye daftari anaandikwa eeh nimeshangaa Hadi wauza nyanyaa km haoo huku Oman wapo
@vestinedusabe4285
@vestinedusabe4285 Жыл бұрын
Wekaka huwezi ukajua navyokupenda yaani umenisaidia kwavitu nilivyokua nafikilia kumbe so kweli love you from 🇷🇼🇹🇿
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Nakupenda pia!!
@Amobizzy_OG
@Amobizzy_OG Жыл бұрын
DUUH....china street HUU MTAA UPO kwenye (GTA LIBERTY CITY) .upo hivyo hivyooo Machizi game tujuane jmn km tumeukumbuka🤣🤣🤣
@daisythetech
@daisythetech Жыл бұрын
Kabisa Mzee...alafu mwamba anaingia ndan kuchukua mission
@mdmahammad3278
@mdmahammad3278 Жыл бұрын
Uko safi sana kaka kutufu.bua macho
@upendolema3323
@upendolema3323 Жыл бұрын
Asante kutujuza,nimeipenda sana hii❤️🥰😘from🇧🇼
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
Very educative!! We really appreciate it!!
@rosemarykuhanwa9861
@rosemarykuhanwa9861 Жыл бұрын
Asante kaka kutuelimisha tumekusoma maisha kupambana tu 👍
@kingwilliam1807
@kingwilliam1807 Жыл бұрын
Nilisha fika hapo aisee,one love
@fatmasaid4381
@fatmasaid4381 Жыл бұрын
Watching from kenya ..nice content ndugu
@athmansadiki6341
@athmansadiki6341 Жыл бұрын
Bro umetisha sana nimekubali video zako safi sana tunajifunza kuona American kupitia wewe brother uko juu bro nimefurahia
@chachamakenge8367
@chachamakenge8367 Жыл бұрын
Hongera kwa kazi nzuri.
@hussainsikander9357
@hussainsikander9357 Жыл бұрын
Asante kwa video yako ni nzuri sana
@adijahmdosi5863
@adijahmdosi5863 Жыл бұрын
Wooow mashallah tabarakallah shukran kwa kukujuza maisha ya huko
@amanimanase8798
@amanimanase8798 Жыл бұрын
Sema kutujuza na sio kukujuza unamaansha ww ndo unampa habar sasa
@elibarickmanonga7229
@elibarickmanonga7229 Жыл бұрын
Big progress Man 💪
@zainakapenda2486
@zainakapenda2486 Жыл бұрын
Sawa best nakupenda
@cecilykimani4400
@cecilykimani4400 Жыл бұрын
Asante bro kwakutujuza hiyo ni china kweli
@rashidialiuwali939
@rashidialiuwali939 Жыл бұрын
nimekukubali Sana wewe Hua unasema ukweli katika wote wafanya video America watanzania wewe ni mkweli kudang'anya watu sio vizuri
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Nimefurahi kama umependa hizo video. Nitaendelea kuwaonesha ukweli wa mambo yanayoendelea huku katika mitaa mbali mbali!
@berthatz
@berthatz Жыл бұрын
@@monicahovda5890punguza makasiriko dada
@estherwanjiku927
@estherwanjiku927 Жыл бұрын
@@jackwausa Jack ni ukweli ati USA kuna kazi mingi ati unafanya kazi per 2hrs unalipwa $500....tujue ukweli before tukuje huko tujipange mapema ndie Best.
@josephsteven3928
@josephsteven3928 Жыл бұрын
Kweli kbs jamaa anasema ukwel sana
@juliasedward9884
@juliasedward9884 Жыл бұрын
Nakubali mtu kazi saluti
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 Жыл бұрын
kazi nzuri kaka yangu
@bahatiserafini9790
@bahatiserafini9790 Жыл бұрын
Yaan jak nakukubali sana kak yaan mwaaaaaaaaaa
@mosesmofficial
@mosesmofficial Жыл бұрын
Thanks for sharing this video.
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
My pleasure!🙏🏾
@galatiaastonimparazo1255
@galatiaastonimparazo1255 Жыл бұрын
Safi sana bloo
@tetzoul4942
@tetzoul4942 Жыл бұрын
content safi kaka lets go road to 1k subs
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Thanks, I'm glad that you like it!!
@alicias2487
@alicias2487 Жыл бұрын
Twashukuru sana bro
@mamachris6811
@mamachris6811 Жыл бұрын
Isitufanye kubweteka kwa kuseama " aaaah kumbe hata Marekani wamechoka" 🤔😁😁😁
@vitymteysemere4777
@vitymteysemere4777 Жыл бұрын
Asante sana kaka
@paulshilangi
@paulshilangi Жыл бұрын
Hatari sana
@prdicksongryson1650
@prdicksongryson1650 Жыл бұрын
Hapo sawa kamanda nimekubali
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Pamoja sana!
@lirastanley390
@lirastanley390 Жыл бұрын
Nakubal ndugu yangu
@princehancesam9892
@princehancesam9892 Жыл бұрын
Pole na kazi
@RuzoOwzy
@RuzoOwzy Жыл бұрын
kazi nzuri
@audaxbizimana8084
@audaxbizimana8084 Жыл бұрын
Big up brother
@lillianachieng8968
@lillianachieng8968 Жыл бұрын
Good work. Broo
@hamisiramadhan7722
@hamisiramadhan7722 Жыл бұрын
Uko vizuri blood
@annnjoroge4158
@annnjoroge4158 Жыл бұрын
Very true
@mutiembingi-le6kz
@mutiembingi-le6kz 10 ай бұрын
Uko sawa bro
@standardtv3494
@standardtv3494 Жыл бұрын
jack unanifurahisha sana
@ameirdarueshi2593
@ameirdarueshi2593 Жыл бұрын
One love
@khloecherry7579
@khloecherry7579 3 ай бұрын
Nakubal mwane2 unatuwakilixha
@ngusekisu6746
@ngusekisu6746 Жыл бұрын
Uko vizuri sana kijana sasa wewe unafanya kazi gani na saangapi
@mhchannel1317
@mhchannel1317 Жыл бұрын
Mwenzako hapo anapiga kazi, maake tunapoview video zake zinakuwa zimeambatana na matangazo ko ana earn kupitia matangazo yanayoplay ktk video zake.
@JosephSimiyu
@JosephSimiyu Жыл бұрын
Good work bro Jack
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Thanks!!🙏🏾
@itskisaka
@itskisaka Жыл бұрын
👍👍👍
@adijashaban4793
@adijashaban4793 Жыл бұрын
Yeah ManshaAllah Ata na uku South Africa ipo China Town
@mahinjamahinja5152
@mahinjamahinja5152 Жыл бұрын
0y
@hadijatwahadossa
@hadijatwahadossa Жыл бұрын
Asante saa mwana
@eaglecrown6470
@eaglecrown6470 Жыл бұрын
Mwanangu unaakili sana
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
🙏🏾🙏🏾
@WaluyaDar
@WaluyaDar Жыл бұрын
Habari yangu ni nzuri, kweli Marekani kuna watu wanauza nyanya barabarari kama Kariakoo, Dar es Salaam?
@mkwalumonabinmkwalumona3822
@mkwalumonabinmkwalumona3822 Жыл бұрын
Duhh mpaka ndizi mshale!!
@justinemasweta2877
@justinemasweta2877 Жыл бұрын
jack hapa bongo ww n wawap bro
@sophiakassim6784
@sophiakassim6784 Жыл бұрын
Ningependa kujua uliendaje endaje Marekani @Jack
@abdulgwelo7150
@abdulgwelo7150 Жыл бұрын
Bigup kamazote mzee tupe ukwelibana wa USA maana kudanganywa nikwingi.
@petronjowela6670
@petronjowela6670 Жыл бұрын
Pamoja BAHARIA Endelea kutuonesha mitaa
@jumaomari3842
@jumaomari3842 Жыл бұрын
Safi.babu.tumesoma.somo.moja.zuri.sana.maisha.ni.kupambana
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 Жыл бұрын
Duh kumbe adi uko Kuna soko mjinga vitu vya mafungu kama vyote 😂😂😂🙌🏻
@upendogreutert199
@upendogreutert199 Жыл бұрын
Hakuna mahali kusipokuwa na wakulima wanaouza vitu vyao vidogo vidogo jamani
@justinemasweta2877
@justinemasweta2877 Жыл бұрын
unanifurahisha unavouliza bei kama mteja vile af unasema ok nice hahah
@SaideAbdala-it8qq
@SaideAbdala-it8qq Жыл бұрын
Duuuuh hiyo kali
@pendo8082
@pendo8082 Жыл бұрын
Km kariakoo ya bongo🤣🤣🥰
@rehemamwandemani5182
@rehemamwandemani5182 Жыл бұрын
Bora umefungua macho vijana wenzio wenye mtazamo hasi kwa nchi zilizoendelea, big up dogo
@user-yc6dv1gr4f
@user-yc6dv1gr4f 9 ай бұрын
From Kenya
@pastorteddywaziri5754
@pastorteddywaziri5754 Жыл бұрын
Dah wewe kaka hatari sana.tunashukuru kutufahamisha
@rozanyansambo8856
@rozanyansambo8856 Жыл бұрын
Safi sn kaka aisee tukisikia stori za huko watu waitukana nchi Yako kumbe Bora nilizaliwa Tanzania
@joleal7941
@joleal7941 Жыл бұрын
Napenda jinsi unatupa ukweli kwa kilakitu✌✌
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Жыл бұрын
✌👊
@arafahassan9350
@arafahassan9350 Жыл бұрын
Camera yko nzuri
@omamomanhelena9433
@omamomanhelena9433 Жыл бұрын
Sawa tuzungushe
@user-zf9ee1us6p
@user-zf9ee1us6p 28 күн бұрын
Safi
@helenhenerick
@helenhenerick Жыл бұрын
Safi sana😍
@paulshilangi
@paulshilangi Жыл бұрын
Wew helen
@helenhenerick
@helenhenerick Жыл бұрын
@@paulshilangi abeee Nan ww
@t.y593
@t.y593 Жыл бұрын
First time watching ur content...lit bro, imebidi nisubscribe💥
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Welcome aboard! 🙏🏾
@festoraphaely9954
@festoraphaely9954 Жыл бұрын
Unatisha sana
@neemamarko176
@neemamarko176 Жыл бұрын
Bora uonyeshe uhalisia ili watu wapende cha kwao kwanza, Ubarikiwe kuna watu watatengeneza marekani yao kwenye inchi zao na sio kupenda vya watu ingawa sio dhambi ili isiwe ndio kuona wao ndio Kila kitu Kila kitu kinaanzia kwako 🙏
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 Жыл бұрын
Sasa uko umefika mitaa ya manzese 🤣🇹🇿🇬🇷
@chachamakenge8367
@chachamakenge8367 Жыл бұрын
Ningependa ufike ubarozi wetu wa Tanzania utuonyeshe wanavyo hudumia watu.
@eliyakitundu5267
@eliyakitundu5267 Жыл бұрын
Aisee hapo Chaina napapata vizur mno nilikujaga na Don yen wakati anaigiza muvi ya Ip man 4 waliigizia hapo kipande Tukiwa wote, maana Mimi napenda mambo ya kungfu The wing Chun
@davidgibsonadhero275
@davidgibsonadhero275 Жыл бұрын
@jackwausa tuleleke kwenye magali ya tesla tuone bei zake huko!!
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 Жыл бұрын
Mtoto wangu alikuwa na kiranga cha Kwenda.nchi za ulaya. Tangu afatilie video.zako hataki tena kwenda nchi yoyote zaidi ya kukaa.nchini mwake
@jacklinejerr2447
@jacklinejerr2447 Жыл бұрын
😂😂bola una tuonesha ukwel mwaya
@sukisa1234
@sukisa1234 Жыл бұрын
Hapo Sawa tunataka Kiswahili Safi Sana endelea kututoa matongotongo maana wabongo tunapenda kusifia miji ya watu mbona kwetu kuzur zaidi ya huko
@charlesmtesigwa2923
@charlesmtesigwa2923 Жыл бұрын
Mji gani hapa Tanzania mzuri kuliko LA bro
@fidodido9578
@fidodido9578 Жыл бұрын
Acha uongo ndugu sehemu gani Tanzania ni nzuri kuliko USA
@salminasalim5630
@salminasalim5630 Жыл бұрын
Shukran sana kwa hizi video, zako. Sasa bas weee ulifanyaje ukaingi Marekani na unaishi vizuri? Tafadhali nKuomba jibu
@sophiakassim6784
@sophiakassim6784 Жыл бұрын
Ningependa kujua pia uliendaje endaje Marekani @Jack
@chairman76
@chairman76 Жыл бұрын
Tembea sehemu za Compton, Watts na South Central LA.
@hildapaul5422
@hildapaul5422 Жыл бұрын
Hizo rangi kichwani sijaipenda
@musaguga
@musaguga Жыл бұрын
Huku yues, Ibrahim onami, nipo huku kwa mwamba Jack, acha nisapoti mbongo mwenzangu
@mahinjamahinja5152
@mahinjamahinja5152 Жыл бұрын
0y
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Please Subscribe pia kwenye hii channel yangu nyingine ili ujionee zaidi ⬇️ ⬇️ youtube.com/@Jackchalz
@mwigarleysaid5406
@mwigarleysaid5406 Жыл бұрын
Jaq naomba tuwasiliane nikija Huko nipokee mwamba Mimi Ni Msukuma wa Mwanza broo
@mwigarleysaid5406
@mwigarleysaid5406 Жыл бұрын
Jaq naomba tuwasiliane Basi nikija huko nipokee mwamba Mimi Niko Mwanza broo
@stanslausmushi9919
@stanslausmushi9919 Жыл бұрын
Nishaanza kuielewa USA kabla hata sijafika
@yunusjohnson4170
@yunusjohnson4170 Жыл бұрын
Nawea pata adress na contract zako charlz manake i hope kupitia wewe very soon ntkuwa huko usa
@calvinsosthenes6133
@calvinsosthenes6133 Жыл бұрын
Safi Sana good job Bro
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Жыл бұрын
Afadhali .Fungua macho ya wa Tz
@bakarikitatile4853
@bakarikitatile4853 Жыл бұрын
Nimekuelewa broo endelea kitupa elimu kuhusu marekani
@standardtv3494
@standardtv3494 Жыл бұрын
tofauti ya wamachinga wa marekani na wabongo wakwetu wanaishi kama wako Afghanistan mguu nje mguu ndani mda wowote kinanuka mixer kupigwa sanaa🤣😂🤣😂🤣
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 Жыл бұрын
😆 😂 😆 😂 😆
@ramadhanjuma2909
@ramadhanjuma2909 Жыл бұрын
Bro nakukubali Sana Sasa naanza kufanya promo na kuwaambia watu waingie you tube waone america live bro unayusaidia kujua vitu ambavyo tulikuwa tumedanganywa
@gloriamwanjali9371
@gloriamwanjali9371 Жыл бұрын
Kwa kwei
@ramadhankisila452
@ramadhankisila452 Жыл бұрын
Nmependa saana idea yako bro huwa tunaaminishwa USA ni half paradise
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Yea, kuna mengi sana ambayo watu hawajui kuhusu marekani. I hope video zangu zitasaidia kuonesha uhalisia wa mambo!
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 Жыл бұрын
😃😃😃😃😃😃
@MsafiriMatumla-ik1dt
@MsafiriMatumla-ik1dt 11 ай бұрын
Jamii zote duniani zina watu wake u.s.A
@victormathayo1142
@victormathayo1142 Жыл бұрын
Tuonyeshe viwanda boy
@glorychrizostom3611
@glorychrizostom3611 Жыл бұрын
Dah! kweli nmeamini hata marekan hawajajitosheleza kwa kila kitu, had kuuza nyanya barabaran!!
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 Жыл бұрын
duuuh kama karume
@rizikiramadhani7986
@rizikiramadhani7986 Жыл бұрын
SAFI SANA ILA MBONA WATU SIO WENGI KAMA BONGO SHIDA NINI?
@hadijatwahadossa
@hadijatwahadossa Жыл бұрын
Namba yako mwna
@akimjuma2026
@akimjuma2026 Жыл бұрын
Umetisha bro hakika unatueleza ukweli ambao tulikuwa atuujui endlea hivo hivo kaka napenda video zako sana 🙏🙏
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Pamoja sana!🙏🏾
@lushidulajidanda2321
@lushidulajidanda2321 Жыл бұрын
Nikama kwanza tuu
@nsubiraphael8514
@nsubiraphael8514 Жыл бұрын
Marekani ilikuwa zamani,sasa hivi Russia,china,and some northern asia indonesia,thai,malay rapid economic growth America it's age gone,but on your side you create an idea to make money
@upendogreutert199
@upendogreutert199 Жыл бұрын
Russia kwenyewe hakufai kwa Sasa
@upendogreutert199
@upendogreutert199 Жыл бұрын
Pasikie tu hivyo hivyo
@magigesabai8674
@magigesabai8674 Жыл бұрын
Marekani kiuchumi yuko mbali sana Kwenye ghala yake ana vitu vingi sana eg Dhahabu ,mafuta nk
@praisemodern1514
@praisemodern1514 Жыл бұрын
Unatufungua wakaaa vijijin
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 29 МЛН
I CAN’T BELIEVE I LOST 😱
00:46
Topper Guild
Рет қаралды 100 МЛН
버블티로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 109 МЛН
HAYA NDIYO MAJIJI MASIKINI ZAIDI ULIMWENGUNI
5:00
Spesho Kabwanga Online
Рет қаралды 117 М.
Leo niko area ya wakenya. Huku tume dominate sana!!
24:01
Huku Yues
Рет қаралды 417 М.
VIDEO: UKIINGIA DUBAI HIZI NDIZO SEHEMU ZA KUANZA NAZO
3:20
Millard Ayo
Рет қаралды 153 М.
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 29 МЛН