Hongera sana baba askofu Ndorobo mungu akupe maisha marefu ili uwachunge kondoo
@patrickmkambilwa99323 жыл бұрын
Utume mwema katika Bwana wetu yesu kristu
@emambawi41863 жыл бұрын
Ashu ashu hongera sana baba Askofu wetu Agapit Ndorobo.
@priscahaule45232 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana
@aebeking76603 жыл бұрын
It was amazing kwa kweli. Hongera Baba Agapit Ndorobo
@johnmburungugi98563 жыл бұрын
sauti nyororo kweli kweli
@patrickmkambilwa99323 жыл бұрын
Amina mtumishi wa Bwana mwenyezi Mungu akubariki pia akulinde siku zote zamaisha yako pia akujalie nguvu za roho mtakatifu ili upate kumtumikia siku zote zamaisha yako amina
@scabero6513 жыл бұрын
Amani na upendo uwe pamoja nanyi siku zote
@user-pw8ml6ts8r
Tunakupongeza Baba🤲🤝
@elipidytarimo9247
Huu wimbo umebariki Sana kwa kweli
@morangomoreno61163 жыл бұрын
I didn't know that Tanzania was that strong in the catholic faith. The songs my God.
@romanambelle63563 жыл бұрын
Askofu barikiwa sana endelea kuchunga kondoo wa Bwana.
@dorcussememba42513 жыл бұрын
Good songs my the Lord bressy you amen
@ezekeelipantaleomwacha1093 жыл бұрын
Amina
@bonieedwin20673 жыл бұрын
Hongera sana baba askofu Ndorobo, mwenyezi mungu azidi kukupa hekima na afya njema siku zote.
@victorinelihanda41182 жыл бұрын
I feel like am in heaven next to God. Catholic forever. I love seeing this
@edhitekaselekete88953 жыл бұрын
Wimbo mzuri asateni sana
@patrickmkambilwa99323 жыл бұрын
Asante sana watumishi wa Bwana Mungu awabariki na kuwa Linda katika maisha yenu yote na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina