MANENO MATAMU_Kwaya ya Moyo Safi wa Bikira Maria_Unga Limited - Arusha

  Рет қаралды 8,820,635

RAJO PRODUCTIONS

RAJO PRODUCTIONS

5 жыл бұрын

Maneno Matamu, ni wimbo Maalum wa ndoa ulioimbwa na kwaya ya Moyo safi wa Bikira Maria - Unga Limited Arusha. Wimbo huu uliotungwa na Ndg. Hendry P. Kimario, upo kwenye album inayoitwa Pindo la Uzima. Wanakwaya hawa wanakukaribisha kusilikiza na kuutazama wimbo huu.
Huu ni wimbo bora kabisa miongoni mwa Nyimbo za ndoa Katoliki.
This is a Catholic Swahili wedding Song. You are invited to watch and listed to the beautiful melodies from this choir, one among the best choirs in Tanzania.
Tuendelee kufurahia Muziki wa kanisa katoliki, Muziki unaohusu Habari za Yesu na maisha ya Ukristo kwa ujumla.
iwapo ungependa kuwa wakala wa kuisambaza album hii, fanya mawasiliano kupitia namba +255 762 749 638 au +255 623 983 469
#kwayakatoliki

Пікірлер: 1 700
@rajopro
@rajopro 2 жыл бұрын
Please support: www.patreon.com/user?u=77044884
@benvindodala9288
@benvindodala9288 Жыл бұрын
Stalar
@VeronikakaloloVeronikaka-yh9vq
@VeronikakaloloVeronikaka-yh9vq Жыл бұрын
Hongera sana
@gabrielemanuel2011
@gabrielemanuel2011 2 жыл бұрын
Hayooooooo maneno matamu hayooooo yafariji yampe raha nakupenda sana my wife agness christian
@DM.2200
@DM.2200 Ай бұрын
Who is watching 2024
@robertntarama
@robertntarama 4 ай бұрын
Huu wimbo mzuri Kwa wanandoa ila sala inahitajika kwa taasisi Za ndoa shetani anazinyemelea sana
@user-be4tf2ql1r
@user-be4tf2ql1r 4 ай бұрын
Baraka za mungu ziwe pamoja na nyie ,wimbo mzur sana❤
@cleophasomondi5475
@cleophasomondi5475 4 жыл бұрын
Wewe ndio heshima ya mke wako... Likes za Kenya zije
@vincentomondi5612
@vincentomondi5612 3 жыл бұрын
Kwa nyimbo za kikristo, Tanzania wanaongoza katika africa nzima..Hua napenda nyimbo zenu sana tena hua yananiliwaza sana..Pongezi.
@graceandrew3988
@graceandrew3988 2 ай бұрын
Wimbo mtamu sanaaaaaa hongereni sana wanakwaya❤❤❤
@BeatriceChalamila
@BeatriceChalamila 2 ай бұрын
Niko hapa naenjoy,mbarikiwe sana watumishi wa Mungu
@vailethezekiel4175
@vailethezekiel4175 4 жыл бұрын
Nimeisii naimbiwa Mimi Mungu nijalie nipate Mme bora natamani na Mimi siku moja niimbiwe hivyo
@justusaganyilatvonline1417
@justusaganyilatvonline1417 4 жыл бұрын
Yaan huu wimbo unahamasisha kuoa jaman. Nawakaribisha mwakani mwez wa 12 ndio ndoa yangu. Mungu awabariki
@user-rk3xg1hq5r
@user-rk3xg1hq5r 10 ай бұрын
Hongera
@sonsmoves
@sonsmoves 8 ай бұрын
Nawatakieni Wema na baraka
@imeldamatoju2735
@imeldamatoju2735 7 ай бұрын
Ubarikiwe
@justusaganyilatvonline1417
@justusaganyilatvonline1417 5 ай бұрын
❤❤❤❤❤ ahsantee Sana 😊
@GraceGasper
@GraceGasper 5 ай бұрын
Ongel Zak joman💐
@nasiandaletoo6220
@nasiandaletoo6220 3 жыл бұрын
Hakika nimejiskia raha sana najivunia kuwa mkatoliki
@EmanuelMduma
@EmanuelMduma 3 ай бұрын
Kwaya imenibariki sanaa na mkumbuka rafikiyangu Gaude mloka .Emanueli Ngunje na Familia ya Mzee Roki mkoba Mungu awabariki sana
@wesleyjoshua1886
@wesleyjoshua1886 9 ай бұрын
I'm proud to be a Catholic gentleman from Dubai munanda.❤❤❤❤❤.
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 2 жыл бұрын
Proud to be a catholic following from Qatar
@user-ch3wj8ny8l
@user-ch3wj8ny8l 11 ай бұрын
Namimi naupenda sana huu Wimbo,, waimbaji wabarikiwe sana, Wimbo huu waimbaji mliutendea haki.
@shanelihappy1046
@shanelihappy1046 Жыл бұрын
Yan hata nikigomban na mmewangu hata ikiwa kosa lake mm ndo naomba samahani wombo huu ndo unanipa falaja San sana ❣️
@gilbertmwancha2777
@gilbertmwancha2777 3 жыл бұрын
Kwaniaba ya Wakenya,Tunashukuru Mungu awabariki.
@janemumbe8858
@janemumbe8858 4 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana tena wenye meseji tamu. Mnapendeza sana mbarikiwe
@user-or9cw8mx9t
@user-or9cw8mx9t 7 ай бұрын
Huu wimbo ni mzuli sana ata maudhaui ya wimbo nimeyapenda
@user-qv8ds5cx3u
@user-qv8ds5cx3u Жыл бұрын
Naiota sana hii siku cjui lini mungu naomba niletee anaestaili maishani mwangu
@grethagranya2641
@grethagranya2641 3 жыл бұрын
Rajo production mambo yote.. mzidi kubarikiwa. wanacatholiki hoyee❤❤👌👌👌🙏 naamini kwamba huu mwaka 2021 nami nipate ataye niambia maneno matamu.
@solanuskomba82
@solanuskomba82 5 жыл бұрын
..nyimbo nzur...I get hope when I do listen Rc songs..👍👍npeni like zenu nyamani kama nawe umeikubali nyimbo hiii
@rajopro
@rajopro 5 жыл бұрын
Asante sana Solanus...
@chinyamachiteta3593
@chinyamachiteta3593 5 жыл бұрын
Pastor lucth natasha
@matildambuya3774
@matildambuya3774 5 жыл бұрын
SOLANUS KOMBA nzuri sana wimbo jamani najivuna kuwa mkatoliki
@ndiramasanyiwa6370
@ndiramasanyiwa6370 5 жыл бұрын
nzuri sana
@mickelinmbifile7808
@mickelinmbifile7808 5 жыл бұрын
Nice sana
@angelasimiyu
@angelasimiyu 10 ай бұрын
Napenda huu wimbo sana muñgu awabariki watching from Kenya🇰🇪
@gabrielafransisco9268
@gabrielafransisco9268 2 жыл бұрын
Mungu akuze huduma yenu sio sili nimeupenda wimbo
@winifridamikoma6026
@winifridamikoma6026 3 жыл бұрын
Najivunia kuwa mkatoliki nawakalibisha mwakani mwezi wa 8
@ibrahimmbilinyi878
@ibrahimmbilinyi878 4 жыл бұрын
Nyimbo hii ni nzur na ina ujumbe, mzuri kw wana ndoa,,hakika maneno matamu ni kama sega la asali,,,nayo huimarisha ndoa na kuwa yenye furaha.
@cayusoginga
@cayusoginga 2 ай бұрын
Congratulations for a job well done 👍✅
@user-sj3ly3hs3j
@user-sj3ly3hs3j Жыл бұрын
Nyimbo tamu zinafunza mengi mungu haweza kuwalinda
@justusaganyilatvonline1417
@justusaganyilatvonline1417 4 жыл бұрын
Kwa wahaya tujuane pale mwanzo wimbo unavyoanza unasema. Akananaa akanana kaile konaa kailee kaile Ni keogoraa. Kama were ni muhaya na unakumbuka gonga like hapa
@khadijamussa9673
@khadijamussa9673 3 жыл бұрын
Nikajua niwahaya kumbe😜
@emanuelypascal5564
@emanuelypascal5564 4 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana huu ,,Mungu awabariki mzidi kusonga mbele na kuletea nyimbo nyingine nzuri
@edwardtsuut8079
@edwardtsuut8079 2 жыл бұрын
Hongeren sana wimbo mzu sana sijawah kuchoka kuutazama
@prosperpuro1712
@prosperpuro1712 4 жыл бұрын
Gudluck mnatupa moyo sisi wabab harusi watalajiwa tuzidi kutoa maneneo matamu ya midomo yetu
@paulcharles1453
@paulcharles1453 5 жыл бұрын
Wimbo huu nimeuona leo ila huwezi amini toka asubuhi nasikiliza hadi now,hongereni sana na mungu wa mbinguni andelee kuwapa vipaji,mke wangu kauliza vp leo na wimbo mmoja nikamwambia hata ww nahic upendi nibadili na ndio ikawa hvyo
@rajopro
@rajopro 5 жыл бұрын
Asante sana Paul. Ubarikiwe sana.
@nancympangile2595
@nancympangile2595 4 жыл бұрын
Wimbo mzuri, sauti zimeingiliana kwa utulivu mkubwa.
@user-wg2qp1qk2e
@user-wg2qp1qk2e 11 ай бұрын
Hiyo sauti ya kaka hapo ....hayo maanenooo 🎉🎉 best song ever
@faithmwelumakau5520
@faithmwelumakau5520 4 жыл бұрын
Amen💕🙏🙌🙌🎷🎤👏👌mwanamke hanaitanji maneno matamu siku sote barikiweni sana Wana ndoa wetu💖👏😍💏
@elizabethfoya9426
@elizabethfoya9426 5 жыл бұрын
Dah wimbo unanigusa hadi kumoyo yani sichoki kuusikiliz..... Hongereni waimbaji Mungu azidi kuwainua mtumike katika viwango vikubwa zaidi..... Amen
@josephmton844
@josephmton844 3 жыл бұрын
ni kweli jasili kuzidi kumba kwa mungu kuwa mfano kwa watu wengine
@francisamunze6366
@francisamunze6366 4 жыл бұрын
Wow💍nmewish nimvalishe ajiskie kweli ni mimi niliye mchagua l like this for real am blessed
@franciscosweya9516
@franciscosweya9516 3 жыл бұрын
Hongereni kwa utunzi wa nyimbo bora za Ndoa, hakika zinatia hamasa kwa jumbe nzuri zilizomo.
@subiransasi8029
@subiransasi8029 3 жыл бұрын
Hivi hao kweli walikua wanaona maana wemeendana Sana
@rajopro
@rajopro 3 жыл бұрын
Hawa sio wanandoa, hili ni igizo tu tuliandaa kuweza kuleta uhalisia.
@beatricemmary9787
@beatricemmary9787 3 жыл бұрын
Ni tam kwelikweli, Mungu akafanyike baraka ktk ndoa yenu.
@leahwangari9054
@leahwangari9054 5 жыл бұрын
Wimbo umenitia moyo sana wakati huu mi na bwanangu hatuongeleshani
@leoniabeda2711
@leoniabeda2711 4 жыл бұрын
Hongereni sana kwa wimbo mzuri hakika mmeutendea haki✓
@khadijamussa9673
@khadijamussa9673 3 жыл бұрын
Mmmh pole my dear yataisha akupe maneno matam🥰
@rachelmsuha6276
@rachelmsuha6276 2 жыл бұрын
Naupenda sana huu wimbo Wacha tyu Leo ncomment....you made it🌚I wish huu wimbo uimbwe cku ya ....yangu🙈🙈🙈🙈
@emmycondrad9706
@emmycondrad9706 2 жыл бұрын
Mungu tusaidie tufikie kwenye hatuwa hiyo🙏🙏amina
@eunicenyanchama7723
@eunicenyanchama7723 3 жыл бұрын
Nasikia Tu kuoleka wau nice song
@kenyalove2282
@kenyalove2282 4 жыл бұрын
I wish nipate mmoja mwenye ako na love ya ukwel tuwedd pamoja . I lv this song so much.
@janetmwende2158
@janetmwende2158 3 жыл бұрын
Niko apart✨🎈✨🎈✨🎈✨ 🎈🌟🎉🎂🎉🌟🎈 ✨🎉🎁🌟🎁🎉✨ ✨🌟🌟✨🌟✨✨ ✨🌟🌟🌟✨ ✨🌟✨ ✨ 🌟 ✨ 🔥 💗❤💗 💗❤❤❤💗
@kefaopemi358
@kefaopemi358 3 жыл бұрын
Niko
@kabwebwejeanbreloque8615
@kabwebwejeanbreloque8615 2 жыл бұрын
Fière d'être catholique, j'ai célébré mon mariage avec cette belle chanson en 2020, en la paroisse sainte Elizabeth à lubumbashi DRC
@janemushi5991
@janemushi5991 2 жыл бұрын
Ntafurahi kuuskiza huu wimbo
@lizeemmanuel6814
@lizeemmanuel6814 4 жыл бұрын
Who is watching this song 2020 ?.I usually not tired to watch this amaizing song everyday.
@mathasulle176
@mathasulle176 4 жыл бұрын
im watch now 2020
@telesphorianthony2899
@telesphorianthony2899 4 жыл бұрын
Nakumbuka siku ya ndoa yangu asante mungu
@telesphorianthony2899
@telesphorianthony2899 4 жыл бұрын
Kuoa raha sana
@telesphorianthony2899
@telesphorianthony2899 4 жыл бұрын
Waimbaji jipongezeni sanaa kwangu haitoshi mana raha sana
@marbenbutarbutar8696
@marbenbutarbutar8696 3 жыл бұрын
Soft voice but harmony. Love from Indonesia
@judithshingo5434
@judithshingo5434 2 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana kwani unafunza, mmelenga penyew kweny familia
@sarahsadoki5787
@sarahsadoki5787 3 жыл бұрын
Sauti ya 3 mpovizur sanaaaaa mungu awabariki akika
@jamesadamnzelani4949
@jamesadamnzelani4949 Ай бұрын
Safi
@mariabigambo8349
@mariabigambo8349 5 жыл бұрын
Wimbo mtamu mbarikiwe Sana watumushi na mwnyezi Mungu awajazi her na fanaka
@rajopro
@rajopro 5 жыл бұрын
Asante sana Maria
@josephinejacob3613
@josephinejacob3613 4 жыл бұрын
Nataman nami one day niimbiwe na wanakwaya wenzangu kama hv on my wedding day..Ee Mungu nijalie Mme mwema nitimize malengo yangu.
@stevenkwahhe5028
@stevenkwahhe5028 4 жыл бұрын
Utampata
@LevinaMmasi
@LevinaMmasi 11 ай бұрын
❤❤ ongera muombe Mungu akujaalie uzima
@simonmahundo1735
@simonmahundo1735 5 жыл бұрын
Wimbo una ujumbe mzuri sana tuendelee kuiheshimu ndoa
@amosjames2201
@amosjames2201 4 жыл бұрын
Ujumbe mzuri sana
@mcpambe8063
@mcpambe8063 5 жыл бұрын
Kazi nzuri sana! Mafundisho ya Ndoa, Ukuu wa Mungu na Burudani, vyote katika wimbo mmoja mzuri sana! Hongereni sana, Mwenyezi awaangalie zaidi - Muendelee kuwa mabalozi wema kwake milele yote!
@rajopro
@rajopro 5 жыл бұрын
Tunamshukuru Mungu aliyewezesha haya. Ubarikiwe sana Mc Pambe.
@stellastela696
@stellastela696 4 жыл бұрын
Jamn huu wimbo mzur sana hadi najisikia kuolewa olewa tu
@catherinenyaa5796
@catherinenyaa5796 Жыл бұрын
Huu winbo unanipatafakal kubwa sana hongelen san mmejua kuimba
@stellagodfrey2229
@stellagodfrey2229 4 жыл бұрын
Hayo maneno ya mdomo wako ni mazuri yampe rahaaa💖💖💖
@mossesraphael1073
@mossesraphael1073 5 жыл бұрын
Hakika imekaa poa najivunia kuwa mkatoliki MUNGU awabariki wote mlioshiriki kwa vyovyote mpaka huu ujumbe ukawafikia wote duniani mbarikiwe sana
@magigamalogo6812
@magigamalogo6812 5 жыл бұрын
Najivunia kuwa Mkristo mkatoliki
@kwizerasylvestre4792
@kwizerasylvestre4792 5 жыл бұрын
kweli mungunimwema,nyimbo kama hizi nihadim sana kuzisikia,kweli mpovizuri sana walim pamoja nawanakwaya.
@costantinoabeli3278
@costantinoabeli3278 5 жыл бұрын
Fact
@agathapoul9886
@agathapoul9886 5 жыл бұрын
Aminaaaa
@annakiria8734
@annakiria8734 4 жыл бұрын
Barkiwa Sana'a KK kwa kushukuru
@zakarialuwumba694
@zakarialuwumba694 4 жыл бұрын
Umenikuna na kunibariki
@nicksonfaustine1695
@nicksonfaustine1695 4 жыл бұрын
Amen nimetamani kuoa jaman kwa kazi kama hii imenivutia sana jaman
@Ta-bby_001
@Ta-bby_001 4 жыл бұрын
Wow I wish I was the one naimbiwa I love the song so much 💕 may God bless your marriage🙏🙏 na waimbaji pia be blessed 💞💞🙏🙏🙏
@ireneshisundi2481
@ireneshisundi2481 3 жыл бұрын
Wimbo mtamu sana,nimebarikiwa jumapili hii
@MilikaJuma-fy1dg
@MilikaJuma-fy1dg 6 ай бұрын
Jamani huu wimbo unatamanisha kuingia kwenye ndoa
@nicksonfaustine1695
@nicksonfaustine1695 4 жыл бұрын
Kwa hakika kazi nzuri mungu awabariki awazidishie ubunifu na kutafakari zaidi amen amen amen amen amen amen
@aikandemallya5082
@aikandemallya5082 4 жыл бұрын
Safi sana ,,,Mungu sikia kilio changu unisogezee karibu Adamu wangu na yy anione Eva wake😋😋😋😀😀😀🙏
@phabianoduor1243
@phabianoduor1243 4 жыл бұрын
Aikande mallya I dream the same has you praise God
@rosemaryemanuely3246
@rosemaryemanuely3246 4 жыл бұрын
Nimekuja adamu wako
@augustinoandrew4420
@augustinoandrew4420 4 жыл бұрын
Niko hapa adam wako
@AdamsonJoseph-dj1vl
@AdamsonJoseph-dj1vl 3 ай бұрын
Kagd Ffhsh Xxxx Xxx Xxxx
@hawaguidance3388
@hawaguidance3388 2 жыл бұрын
Hayo maneenoo hayoo manenoo!!hayoo!yamfariiijiii hayoo,yampe raaahaa hayooo manenoooh!!(Sauti yako to bro wasuti) 💯
@LevokatsSokoni
@LevokatsSokoni 5 ай бұрын
Huu wimbo wanikumbusha mbali jamanii enzi za Omega kipenzi changu
@dimlajohn6338
@dimlajohn6338 5 жыл бұрын
Mungu uzidi kuilinda Catholic
@joycekisaka4831
@joycekisaka4831 3 жыл бұрын
Ewe Mungu ukafanyike baraka kupitia huu wimbo jmn uuwii ni mzur mnoo aisee,nami Mungu akinipa wng akayatekeleze aya maneno😅😁🙏njoo wakwangu na me
@francemwanawesa5966
@francemwanawesa5966 3 жыл бұрын
Njooo inbox 0767365110
@MariamMariam-qf8fb
@MariamMariam-qf8fb 4 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana kwa wanandoa
@graceandrew3988
@graceandrew3988 2 ай бұрын
Nawapa maua yenu wanaume wawili wenye miki na suti,mmejua kutumia sauti zenu kuunogesha wimbo❤
@gnkana
@gnkana 5 жыл бұрын
Hii kazi imetikisa Afrika mashariki na kati.... Big up....
@doglasmunuo4026
@doglasmunuo4026 4 жыл бұрын
I like it
@robinanestance6339
@robinanestance6339 4 жыл бұрын
Goliati Nkana inapendeza
@lazarohamisi5202
@lazarohamisi5202 4 жыл бұрын
Amina,soon tufanye kweli!!🙏
@hatimalnaamani876
@hatimalnaamani876 4 жыл бұрын
Naomba kujua walio vishana Pete ni kweli Ndoa ya ukweli au wametumika kufikisha ujumbe tu
@rajopro
@rajopro 4 жыл бұрын
Hawa sio wanandoa, wala hawana hata mahusiano. Hili lilikuwa igizo.
@hatimalnaamani876
@hatimalnaamani876 4 жыл бұрын
@@rajopro aya nashukuru kufahamu
@estherkimario2039
@estherkimario2039 2 жыл бұрын
Wimbo umenibariki sanaa
@adelaathanas4339
@adelaathanas4339 4 жыл бұрын
Mungu nisaidie namimi kuifikia siku ya Ndoa yangu
@waywepet6871
@waywepet6871 2 жыл бұрын
Heko kwa Rajo production u produce the best.
@mariamkajala9080
@mariamkajala9080 4 жыл бұрын
Wimbo ni meupenda saanaaaa💖💗
@clintongombe9257
@clintongombe9257 3 жыл бұрын
The song was waw! and it attracts people to get married in Christ
@wuzahtv326
@wuzahtv326 Жыл бұрын
mungu azidi kuwafanya mumtumikie milele kwa kuimba na kumtumikia .amen
@muktaribrahim6434
@muktaribrahim6434 4 жыл бұрын
Mungu pia nami naomba unibariki na ndoa nzuri,ntashukuru,wenzangu mniombee
@mkamandye4790
@mkamandye4790 4 жыл бұрын
Baraka za Mungu kwenu,wimbo Mzuri mno,ubunifu wa kiwango cha juu,picha bora,mpangilio mzuri wa vyombo na sauti,ujumbe,mavazi vyoote kwa ujumla,Ahsanteni sana🙏🙏🙏
@johnkilimo9520
@johnkilimo9520 2 жыл бұрын
🙏 hallelujah
@ndayitwayekoferdinand8735
@ndayitwayekoferdinand8735 Жыл бұрын
Baf
@ndayitwayekoferdinand8735
@ndayitwayekoferdinand8735 Жыл бұрын
Baraka
@oliverjulius9174
@oliverjulius9174 Жыл бұрын
Hongera sana wanakwaya Kwa kuupagilia vizuri wimbo Mungu awabariki nyote mlioshiriki kuufanikisha wimbo huo
@user-et7km8uz8g
@user-et7km8uz8g 4 ай бұрын
Halleluy bwan yes asifiwe wimb upo poa
@agnellazighe6175
@agnellazighe6175 5 жыл бұрын
Big up guys i love this song be blessed kwa maneno yenye busara.... from Kenya
@SideMilinga
@SideMilinga 6 күн бұрын
Mungu awajalie maish meref❤❤❤❤❤❤❤❤
@carolinenakirutimana1559
@carolinenakirutimana1559 7 ай бұрын
Ayo maneeeeeeenooooooo jamani awe suruhisho ya shida nyumbani mwenu
@dottojeremiah8442
@dottojeremiah8442 4 жыл бұрын
Huu wimbo mzuri sana, God bless you all
@ank806
@ank806 4 жыл бұрын
May he bless you2
@selinanjeri6733
@selinanjeri6733 4 жыл бұрын
😍😍😍😍niolewe basi jamani😂😂
@felistanjelu4832
@felistanjelu4832 2 жыл бұрын
Aisee nmependa hongeren kwa sauti nzuri
@urbanhyera8779
@urbanhyera8779 4 жыл бұрын
Sauti ya 3 shikamoooniii. Bonge la songi yaani Mungu awapandishe juu zaidi
@joscomaligite7089
@joscomaligite7089 4 жыл бұрын
Mmmh wimbo unasisimua hadi nimetaman kuolewa
@fotunathapeter2421
@fotunathapeter2421 4 жыл бұрын
Mungu akujaalie mwaya!!
@rusiajackison359
@rusiajackison359 4 жыл бұрын
Orewa mwaya
@reaganbaswagha9775
@reaganbaswagha9775 4 жыл бұрын
Magnifique,mungu anitayarishiye mwanamuke muzuri
@valentinajoseph2430
@valentinajoseph2430 3 жыл бұрын
Munguuu Anisaidieeee Nipateee mme boraaa mwenyee hofu ya Mungu
@suzanfelix8065
@suzanfelix8065 3 жыл бұрын
Maneno matamu kweli yanaondoa hasira
@esterdavdy5541
@esterdavdy5541 4 жыл бұрын
Mmeni bariki mmnoo mungu azid kuwapa vipawa zaidi barkiwa
@christinechuwa2664
@christinechuwa2664 5 жыл бұрын
wimbo mzuri sana, sauti na kinanda. Aiseeeeeee mmefanya kazi nzuri sana sana. HONGERENI SANA
@rajopro
@rajopro 5 жыл бұрын
Asante sana Christine
Mt. Kizito Makuburi - Wewe ni Mungu (Official Music Video)
9:29
KMK MAKUBURI
Рет қаралды 9 МЛН
SIRI YA MAKONDA NA UONGOZI WAKE ARUSHA, SABABU YA WATU KUMTAKA
12:38
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 11 МЛН
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 24 МЛН
BWANA UNIBADILI_ Kwaya ya Mt.Maria Goreth_Chuo kikuu- Ushirika - Moshi
5:18
RAJO PRODUCTIONS
Рет қаралды 17 МЛН
Anastacia Muema- Wewe ni Wangu (Official Video)
5:57
Anastacia Muema
Рет қаралды 1,8 МЛН
SITABAKI KAMA NILIVYO (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
7:25
DOKC TV CATHOLIC SONGS
Рет қаралды 817 М.
MKAZAE MATUNDA MEMA | Ray Ufunguo | (Official Video)
9:11
St. Paul's Students Choir University of Nairobi
Рет қаралды 564 М.
TUNAPASWA KUSHUKURU
5:50
RAJO PRODUCTIONS
Рет қаралды 8 МЛН
TEGEMEO LANGU NI YESU - Melodic Harmony Chorale Ft Lawrence Kameja
6:25
Melodic Harmony Chorale
Рет қаралды 2,4 МЛН
Malohat
3:35
Xamdam Sobirov - Topic
Рет қаралды 1,2 МЛН
IL’HAN - Pai-pai (lyric video) 2024
3:24
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 695 М.
LISA - ROCKSTAR (Official Music Video)
2:48
LLOUD Official
Рет қаралды 132 МЛН
Munisa Rizayeva - Aka makasi (Official Music Video)
6:18
Munisa Rizayeva
Рет қаралды 11 МЛН
Kenjebek Nurdolday & Baller - Сөкпе
3:10
Kenjebek Nurdolday
Рет қаралды 50 М.
Әбдіжаппар Әлқожа - Ұмыт деме
3:58
Әбдіжаппар Әлқожа
Рет қаралды 980 М.