TAZAMA MAKOMANDO WA JWTZ WALIVYOTANDA KWENYE MELI YA KIVITA ILIYOMBEBA MKUU WA MAJESHI, ULINZI MKALI

  Рет қаралды 604,372

Millard Ayo

Millard Ayo

Жыл бұрын

Пікірлер: 452
@frankaloyce6438
@frankaloyce6438 2 ай бұрын
Duuhh kama movie vile, Mungu libariki jeshi letu JWTZ🤲
@juhaveprostudio
@juhaveprostudio Жыл бұрын
Mungu ibariki Tanzania kuwe na amani siku zote. maana kwa haya mazoezi na ulimwengu wa sasa wa sayansi na tekinolojia hayana uhusiano(correlation) na ulimwengu tuliopo. watanzania tumwombe Mungu aendelee kutujaria amani nchini
@user-ns5bw3dw6e
@user-ns5bw3dw6e 10 ай бұрын
Unafkr zitaoneshwa mbinu zote ktk media!!!
@Chettymlambalipsi-lb9km
@Chettymlambalipsi-lb9km 10 ай бұрын
@@user-ns5bw3dw6e haswaa huo ni mfano tu
@barakajoseph2234
@barakajoseph2234 9 ай бұрын
Hayo yanaendana na vita ya kwanza ya dunia ata mm niliishia cheou uservice man iyo ni zero combora likidondoka apo wote ni marehem combania nzima mnalundikana pmj xyo ata platune tu
@ramajr3762
@ramajr3762 8 ай бұрын
@@barakajoseph2234 unajifanya unajua
@mussacmchile397
@mussacmchile397 8 ай бұрын
Well said
@user-pw3fq6bj5m
@user-pw3fq6bj5m Жыл бұрын
Mkitaka tuwaamini kuwa mpo vizuri ombeni mechi ya kirafiki hata na Ukraine au urusi hata dk 45 tu Alafu mje hapa tuongee lugha 1
@lillaahilhamdutv5383
@lillaahilhamdutv5383 Жыл бұрын
Aaaa hawa hoiii kabisaa
@user-pw3fq6bj5m
@user-pw3fq6bj5m Жыл бұрын
@@lillaahilhamdutv5383 waombe mechi ya kirafiki
@senseiamani4684
@senseiamani4684 Жыл бұрын
Viva Tanzania Viva makomandoo
@hassanikombe9053
@hassanikombe9053 Жыл бұрын
Ukwl ssaiv mmbo yanaenda kisayansi sana kupamban kwa nch kavu iz zlipendwaa tuombe vita isitokeee tz mungu ibariki tanzaniaa, ijaalie aman na upendo
@Waytozanzibar
@Waytozanzibar Жыл бұрын
Zoezi zuri sana 🫶 Nimeona watu wengi wakikosowa hili zoezi wakisema eti ni open area. Tusiwe tunakosowa Kila kitu wakati wengine hata kuogelea nuchangamoto kwenu huko mtaani hahaha. Anyway, karibuni sana ZANZIBAR muje mufanye utalii wa ndani 🌊🏝️
@shaviercharvinho18
@shaviercharvinho18 Жыл бұрын
hii wapi
@FestoTadeol-im1ko
@FestoTadeol-im1ko Жыл бұрын
True fact, you can't criticize what you can't do
@DjreyBlackstar
@DjreyBlackstar 4 ай бұрын
kamkosoe mama yako nyumbu wewe
@akimjuma2026
@akimjuma2026 Жыл бұрын
Ila kuusu jeshi sisi bado kabisa kwanza hatuna new weapon technology hata boat izo ni technologie ya zaman sana,kam ilo zowezi mlilo lifanya hap kam nd mngekuw mnaend kweny vita kweli haf mnakutana na opponent ambae ako na technolog ya kisas dah 😢drone tu kwisha, nafikilia tungejikita katika sanyansi ya silaha za kivita akina kam ndo tutakuwa tunaend hv vitani duh
@wechemakambo2182
@wechemakambo2182 10 ай бұрын
Kikawaida unachoonyeshwa kirahisi siyo kifanyikacho kihalisi ,usitegemee kuwa wanaingia vitani kwa hali hiyo...wamejaribu kuonyesha tu Jeshi lipoje...usitegemee JWTZ hawana hizo scientific weaponry...jua tu Nchi karibu zote Afrika huleta Askari kujifunza hapa...hizo drones ni za nchi ambazo ni waoga kwenye infantry battles...JWTZ wako vizuri sana mzee....kwa sasa hatuna nchi tishio kwetu.
@hamisiramadhani6620
@hamisiramadhani6620 9 ай бұрын
Sio kila sehemu utatumia drone mzee.....drone yenyew inaweza lengwa na sniper ikadondokea hukooo...fikiria sasa kama ni uwanja wa vita utaenda na drones ngapi?? Just show some appreciation to our army....amani ya hii nchi wanailinda wao mzee
@emmanuelmruma3225
@emmanuelmruma3225 5 ай бұрын
Huyo anaongelea drone itakuwa mpiga picha hajui chochote kuhusu jeshi😂
@morricedevice6490
@morricedevice6490 5 ай бұрын
Nimekupata mkuu😂😂😂😂
@duvaboy
@duvaboy Жыл бұрын
pole tanzania yangu cha msingi tuendelee kuomba amani lakini kwa mfumo huu ikitokea mbilinge hapa hatutoboi...kenya wametupita pakubwa sana kwa vifaa vya kijeshi
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
Kwahiyo ulitaka vifaa vyote vianikwe hapo ili maadui wavione,,,,,pimbi kweli wewe!!
@lillaahilhamdutv5383
@lillaahilhamdutv5383 Жыл бұрын
Ona zile risasi zoteee eti wanazifanyia mazoezi, na ukutu ni za mkopo, ama ni zile za plastic🤣
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
@@lillaahilhamdutv5383 kwa nini usishangae madaktari wanafunzi wanapofanyia mazoezi uhai wako, unakuja kushangaa wanajeshi kufanyia mazoezi risasi za moto
@emanuelnjalakila4693
@emanuelnjalakila4693 Жыл бұрын
Hongera sana jesh letu na tpdf kwa ujumla hasa kwa kuwamaliza wale magaidi wa rufij na mtwara na yeyote atakaejifanya kama anajikuna kutuchokoza piga tu 🇹🇿🇹🇿💪🏿
@benjaminshoph1032
@benjaminshoph1032 10 ай бұрын
Saf sana wakubwa ndokuipenda nchi yetu wasilete mambo ya kipumbav
@RazakiKateule
@RazakiKateule 7 ай бұрын
Kikubwa amani ndo tunayotaka mungu ibariki tanzania
@iddymbuma2856
@iddymbuma2856 Жыл бұрын
Alaf ndege ikitumbukia Victoria wanasubiri majaliwa
@teenbamazaga9973
@teenbamazaga9973 Жыл бұрын
Wapi #Mwaky #Wizfil kwambali kabisa nimeku zoom nzurii hiyo😄😄👍👍
@onanarosse9657
@onanarosse9657 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥 safi walinzi wetu mko vyema
@daudmnanga7075
@daudmnanga7075 5 ай бұрын
Mungu awalinde jeshi letu liwe salama
@ngusamalegi4577
@ngusamalegi4577 Жыл бұрын
Nilitamaningi sana kuwa kama hawa jamaa sema ndo hivyo tu , nikipata nafasi hata sasa niko tayari.💪💪
@zuhurarikosaidi
@zuhurarikosaidi Жыл бұрын
😂😂😂😂
@ibrahimisar-pn1tg
@ibrahimisar-pn1tg 11 ай бұрын
Kumbe kama me yani naona jamaa wanavyomwaga risas kama wanafaidi kweli, nataman kweli kulitumikia taifa lang
@ramadhanichilumba3610
@ramadhanichilumba3610 9 ай бұрын
😂😂😂😂dah njoo tu huku ni kazi kazi
@MohamefMullah
@MohamefMullah Жыл бұрын
Bado sana kwa zoezi hili bora pia wangekuwa kundi la makamandoo na kundi la maadui kwa upande wa pili kwenye kisiwa wakawa wanapambana kwa risasi za bandia kuonyesha angalau uhalisia kidogo lakini unashambulia msitu bila adui mmmhhhh mmmhhhh hapa sioni la maana
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 Жыл бұрын
Angalia msiwe na misifa kama marekani na wa Ukraine 👌👌👌👌👌
@michaeltilusasila2992
@michaeltilusasila2992 Жыл бұрын
Tanzania ndo nchi ambayo wanajeshi wake wanapigana vita wakati wa majaribio ,ila Mungu huyu 😂😂😂😂 pesa zetu zinatabu sana Sasa hii Hela Si tungepewa tukale hata ugali dona
@meshajohn8713
@meshajohn8713 11 ай бұрын
Awa ni mabishoo miwani Sasa vitamin kweli
@bernardjosephmulokozi3901
@bernardjosephmulokozi3901 8 ай бұрын
Vita haina hodi,unapo train kwa jasho unapunguza damu kuvuja kwenye battle field.
@eltonwazingwa8340
@eltonwazingwa8340 6 ай бұрын
Wapo sasa kabisa kufanya zoez. Wewe wazia ugali tu
@eriqueodhiambo4094
@eriqueodhiambo4094 5 ай бұрын
Hii ni show mnapewa. Vita mnayo ata video ya kuonyesha kweli ???
@Issa_negro
@Issa_negro 5 ай бұрын
Hawajaiyona vita ndo maana wanachezea marisasi .... Waende Somalia wakapokee kichapo kama walivo fanywa Kenya 😂😂😂
@FloraJohn-je9ch
@FloraJohn-je9ch 10 ай бұрын
Mbwembwe..tupu ,,waende somalia Sasa kwenye vita zenyewe🤣
@hajighulk4387
@hajighulk4387 Жыл бұрын
Proudly my country feel safe I m here
@mlungumasaba1786
@mlungumasaba1786 Жыл бұрын
Mbona kama Vietnam na malekani💪💪💪
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema Жыл бұрын
Makomando Waaah Makomando Oyeee. Pigeni Kazi mtapumzika Uzeeni kama Wazalendo Namba 2 wa Nchi baada ya Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tanzania na Mipaka yake iko Salama. Tanzania Imara Kazi Iendelee 🇹🇿🇹🇿
@elsonjohnsonafricaboe56
@elsonjohnsonafricaboe56 Жыл бұрын
Namuomba Mungu atupe ushindi mkubwa ,ila serikali yetu viongozi waliwepo ni watu ambayo rushwa kubwa badala ya kujiwekeza katika technology
@GitariroBujenia
@GitariroBujenia 11 ай бұрын
Ukimuona askari amejipamba hivo usifkiri kwenye uwanja wavita napo atatisha hamna lolote uko Kuna vimoda zaidi yake
@ismailp827
@ismailp827 Жыл бұрын
Hayo ni mazoezi tu sio kukomboa kisiwa kama kungelikua na vita hasa wangelikula sabuni wote hao.
@DACKIEWARRIOR
@DACKIEWARRIOR Жыл бұрын
Lakini mim sijaona mmoja kafa kimajaribio et wote wametoka wazima😂😂😂😂
@Users2523
@Users2523 Жыл бұрын
Wameshindwa kupapambana na m 23 congo kila siku vurugu haziishi huko , waache drama zao.
@saidjaja6197
@saidjaja6197 6 ай бұрын
the world at war we don't need military intevation with any Africa country Africa we must stay netral is time for Africa to gear up toward real development
@Teambossmusic
@Teambossmusic 11 ай бұрын
😂😂😂 akuna ata mmoja apo ila hi icnchi uhuru umekuwa mwingi kweli eti wanagombowa kisiwa mazoezi dhuu niatari😂😂😂❤
@thomasgabriel588
@thomasgabriel588 Жыл бұрын
Hatuna kazi ya kufanya😂😂😂
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
Pimbi wewe huwezi kujua
@user-ri4rr5ij6y
@user-ri4rr5ij6y 5 ай бұрын
Napenda sana Tena sana ingawa sikupata nafasi ila nilituma maombi yakujiunga na jkt
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc 2 ай бұрын
Hamna chochote hapo siku zote Tanzania tutakuwa nyuma tu, akili zenyewe tumeshikiwa mpaka tuambiwe nini cha kufanya na wazungu, okay hongereni kwa kazi hiyo
@PiusRupia-zc3kp
@PiusRupia-zc3kp 11 ай бұрын
Mimi n mzalendo kama hawa Makomando Naomba Ndoto itimie .Mungu anibark Pia Mungu Awa barki
@anthonymgina3893
@anthonymgina3893 2 ай бұрын
Jitume kwa bidii aamin
@Heiscude1234
@Heiscude1234 5 ай бұрын
Mungu libariki jeshi la Tanzania
@user-ku1nl2ul5g
@user-ku1nl2ul5g 6 ай бұрын
Wako vizuri sana mungu azidi kuwalinda
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema Жыл бұрын
Kitu ambacho Watanzania wengi hatujui ni kwamba Kazi ya Ukomando ni kazi ya kujitolea kama Upadri, Sheikh na Uchungaji yaani ukisaini kuitumikia ina maana unaweka maslahi ya Taifa mbele mpaka Kifo. Maisha ya kushika Silaha ni kujitolea kuilinda Tanzania na Mipaka yake. Tanzania Imara Kazi Iendelee🇹🇿🇹🇿
@joesimba
@joesimba Жыл бұрын
Acha ujuaji, huna unachokijua
@duvaboy
@duvaboy Жыл бұрын
@@joesimba 😂😂😂
@samuelmwangu3301
@samuelmwangu3301 Жыл бұрын
Komandoo ni kama upadri ???🤣🤣 Daah we jamaa ni noma sana
@agripahvaisa2138
@agripahvaisa2138 Жыл бұрын
Kwamujibu wa Sheria gani maana ukiwa sheikh muaminifu utaingia jannah na ukiwa komando wa wanchi au waserikali ambayo sheriazake amezitunga mwanadamu weweyako nijahannam sasa sijuiwewe unaongelea sheria yanani innalillah wainnalillah Raj un
@user-fm4cm3fy5i
@user-fm4cm3fy5i 10 ай бұрын
anaejitolea halipwi mshahara hapo bado sana tusijitie midomo hapo helkopter moja tu ya marekan inafyeka wote hapo
@Zenny89
@Zenny89 Жыл бұрын
🤣🤣🤣..waliovaa nguo nyeusi Ndo Navy Seal au??? Wakimaliza hapo..ndege wote, ngedere, mijusi…KUSHNEI!!!!🤣
@otmarmkali8883
@otmarmkali8883 10 ай бұрын
Kimazoezi ya kijeshi tuko vizuri,, sasa ingekuwa vizuri tungejikita kiteknolojia mana karne ya 14 Africa and Europe tulikuwa sawakimaendeleo
@kaliskaguzkalis4424
@kaliskaguzkalis4424 Жыл бұрын
Kukunja uso ukaiifanya ucheki ndo nn, unaweza ukawa usikunje uso na ukaifanya kazi yko kwa weredi
@Runkiller1
@Runkiller1 Жыл бұрын
Nilisemaje 😂 hao Mbele ya majimaji wa wili wa congo ni dakika sifuri Maana wale jamaa hawapigi risasi kitu wasicho kiona
@lillaahilhamdutv5383
@lillaahilhamdutv5383 Жыл бұрын
Kweli, ndo akina mandonga, kabla ya mtanange anapiga ngumi mgomba alafu atisha mpinzani, sasa ngoja ktk match
@chrisostommakole1510
@chrisostommakole1510 Жыл бұрын
Hivi makomando wa bongo wataacha lini kuigiza kuvaa miwani myeusi kama majambazi,hv kuna ulazima hata wakujipaka masizi usoni ndo uonekane komando😂😂😂
@robertmhando3386
@robertmhando3386 Жыл бұрын
Nawapenda sana wanajeshi.Tunaishi kwa amani kwa sababu yao.
@omariselemani4038
@omariselemani4038 Жыл бұрын
Wewe unaiahi kwa amani kwa sababu yao sema kwa sababu yetu sote coz watanzania sisi wenyewe pia hatutaki tabu tumeridhika na hali zetu
@dangomc_niger
@dangomc_niger Жыл бұрын
Mii naona nchi HII police ndo wana kazi ila wanajeshi wako zao polin wamerelax ila police wakiskia sehem Kuna vurugu washaa timba one time au wee unasemaje
@ramajr3762
@ramajr3762 8 ай бұрын
@@dangomc_niger akil yako imewaza na hapo ndipo ulipoishia
@ngowipatrick5777
@ngowipatrick5777 4 ай бұрын
Nzuri kufanya zoezi.kuna mmoja amenikumbusha siki ya mapinduzi Zanzibar alikuwepo kwenye maonyesho
@yasinntandu59
@yasinntandu59 5 ай бұрын
Wazee wa Gazza mpo vizuri
@wamisangi2801
@wamisangi2801 8 ай бұрын
Wapiganaji na Wataalamu Wanzalendo wa JWTZ jifunzeni kitu hapo kwenye hii vita ya Gaza. Mbinu na vifaa teknologia imebadilika sana. Vita vinapiganwa sehemu kubwa kwa makobora na vidaka makombora. Ile kubeba rumbeza la kitbags za makomandoo imepitwa na wakati. Israeli wanazungumzia Skysonic.
@SampleKiller99
@SampleKiller99 Жыл бұрын
Wajitahidi kuyaishi mazoezi.. Mambo ya Mtwara aibu.
@rajabuhamisi9675
@rajabuhamisi9675 7 ай бұрын
Hapo mi cjaelewa humo mstuni kuna wanajeshi ambao wanapambana nao ! au wanatumalizia lisasi zetu kwa kualibu matunda tuko laaaivu na hatuogopi chochote 😊
@marojumamugha3062
@marojumamugha3062 Жыл бұрын
Napenda sana kuona jeshi letu Lina vifaa madhubuti japokuwa bado ila angalau inafurahisha
@elviskoech-pz3bz
@elviskoech-pz3bz 4 ай бұрын
KAZI nzuri
@pilatoonlinetv9660
@pilatoonlinetv9660 11 ай бұрын
Upuuzi kama huu wala haifai kuuonesha au kuurusha kwenye mitandao coz ni aibu kwa nchi, Vitagani hiyo ? kwa dunia ya sasa utapigana na nani kwa style hiyo !! Hii ni mbinu ya 1960's -90.Mwisho, aither bado inatumika huko Congo maporini basi.
@godfreysamson3069
@godfreysamson3069 10 ай бұрын
🙌😂
@moses_2555
@moses_2555 Жыл бұрын
Hongerini jeshi letu
@intervention_team
@intervention_team Жыл бұрын
SAFI JESHI LA TZ TUMEKUKABIDHINI ULINZI WA NCHI NA MIPAKA.
@MusaRamadhani-sm3pz
@MusaRamadhani-sm3pz Ай бұрын
HAPO mlihigiza Kama watoto wadogo, HAPO meli yakivita ingelikuea inatowa supoter aidha msahad a ,sasawewe meli unajipeleka kimbele 2(
@rexminangu4964
@rexminangu4964 9 ай бұрын
Watu kazi kazini
@walterjohn7572
@walterjohn7572 Жыл бұрын
😅😅😅😅 waah tanzanians are funny
@Runkiller1
@Runkiller1 Жыл бұрын
Wanajuwa vita Kweli? 😂😂😂 Maana hata hizo mbio siziamini 😂😂😂😂😂
@jiiwolf2900
@jiiwolf2900 Жыл бұрын
😜
@chesterbrand6723
@chesterbrand6723 Жыл бұрын
Hawa sahii Vita Ni technology drone 1 inauwa wote
@daudmnanga7075
@daudmnanga7075 5 ай бұрын
Makomando hatari sana nchi yetu amani
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Maashaallah
@user-ed7je8cu4q
@user-ed7je8cu4q 5 ай бұрын
Kiukweli nilijua kimenuka kumbe zoezi fresh nilitaka kuaandaa andaki na maandazi 1000
@jesempinga7724
@jesempinga7724 11 ай бұрын
Kwa ninachojua Hilo Ni onesho tu la Vita vya majini "rehearsal" Kuna vikosi vitatu Bora Africa nzima vilivyobora majini Misri, s.Africa then Tanzania Na hiyo kikosi ya Tanzania ilipata train Israel fatilia vizuri shughuli zao sio hizo maigizo
@sultankivumbi9255
@sultankivumbi9255 Жыл бұрын
mibomu yanyuklia mbona haipigwi sasa
@dastaniguni5599
@dastaniguni5599 Жыл бұрын
😅😅😅😅 Makomando Vitambi noma wote wamo Balaaa ni huo moto unaweza usinyanyuke mpaka zoezi liishe
@RichardNyalucy
@RichardNyalucy 3 ай бұрын
Naomba siku moja Alshabab waje kutupma uwezo
@charzykiyabo3263
@charzykiyabo3263 2 ай бұрын
JJ mkunda💪
@AgueroTrap-hk9gv
@AgueroTrap-hk9gv Жыл бұрын
Vizuri lakini wananchi tunahitj technolojia zaid hususan kisayansi
@mohamedaley5632
@mohamedaley5632 6 ай бұрын
Nimeona wamefunga vitambaa mtindo wa waarabu kana kwamba wanawakubal sana Hamas... jeshi linalowaangamiza wazayun
@rodsconehenry4249
@rodsconehenry4249 6 ай бұрын
Tuombeni mechi ya kirafiki na uganda amazing nini!!!!mana so kwa tizi hilo mazee
@user-br5sq8os4l
@user-br5sq8os4l 5 ай бұрын
We must be smart everytime❤
@vibetz9991
@vibetz9991 Жыл бұрын
Wacheza Pubg tunazijua silaha zote hapo ,,,
@Ara_gadgets
@Ara_gadgets Жыл бұрын
😂
@user-ic6sb7yz8m
@user-ic6sb7yz8m 6 ай бұрын
Hapo kama mjeshi mwenzio alikuw anazngua hatoboi mana ndo nafax pekee yakujifanya umekosea nikumuwashia za kichwa
@frashconnect.1
@frashconnect.1 Жыл бұрын
Mmekosa drones wazee, action hiz drones camera ni muhim wazee
@jullythedone8615
@jullythedone8615 Жыл бұрын
Ndyo ujue sisis Bado na wanajifanya wajuaji mno
@salimbilali5174
@salimbilali5174 9 ай бұрын
Awa si wakuje Tu angalau boni forest kidgo tunataka uwo usharp wao
@shaviercharvinho18
@shaviercharvinho18 Жыл бұрын
waswahili hatuendelei asa kizingu chanini kwenye jeshi la waswahili
@eriqueodhiambo4094
@eriqueodhiambo4094 5 ай бұрын
Kuna vita hata moja Tanzania imepigana kweli ??? Wanajeshi wanamaliza miaka kama hawajafyatua risasi wala kukabiliana na magaidi 😂😂
@user-df4zp3et4e
@user-df4zp3et4e 11 ай бұрын
Yanga ❤
@user-qh3hb1tp8r
@user-qh3hb1tp8r 5 ай бұрын
Hakuna cha maana happ zaidi ya mbwembwe
@user-fz3nk1nw4n
@user-fz3nk1nw4n 6 ай бұрын
Kumbe mazoez maana nilishaanza kupaki mabeg yangu na vibakuli vyote vyandan nikimbie navyo 😂😂😂
@mtalimaaloyce7860
@mtalimaaloyce7860 5 ай бұрын
Hii inchi tuendelee kuiombea amani iwepo. Mana kwa dunia tuliopo hayo majaribio sioni kama tupo advanced. Urusi wanafanya majaribia na nuclear tena baharini na hakuna mtu sisi tunafanya mjaribia na tumtu si kabom kamoja tu hiyo meli inageuka af imejaza. Wanajesh kama 200. Kipindi kijacho tuonyesheni technology ya mabovu ya kivita mmsituletee watu
@smarttv4184
@smarttv4184 5 ай бұрын
Huyu jamaa mwenye miwani meusi ndo starring au jambazi mbna mnanichanganya apo
@malkavoice2570
@malkavoice2570 5 ай бұрын
Kumbe ni kujiandaa nikajua labda wamestukia vita guys. Hawa wanachezea pesa na wanatuonesha jinsi wanavyozichezea. Kwani wakikaa kimya na wakafanya mazoezi bila kujionyesha kuna shida gani wakati bongo vita hakuna au wanatishia pinzani ccm wanataka waendelee kuiba kura sio?
@user-tl4vx8uk5y
@user-tl4vx8uk5y 5 ай бұрын
😢naona wengne wanadondoka ila bdo ivo utafanya nn kzen tu
@JeremiahMwalukosya-eh5nf
@JeremiahMwalukosya-eh5nf 5 ай бұрын
Si wangetuokolea kwanza na ccm nchi ipate amani tunateseka utafikiri tupo utumwani utafikiri nchi haina jeshi la wananchi jeshi limegeuka jeshi la ccm
@DACKIEWARRIOR
@DACKIEWARRIOR Жыл бұрын
Hawa wanatafuta vita kiulazima😂😂😂😂😂
@jeffkadenge7936
@jeffkadenge7936 Жыл бұрын
😅😅 should we fix a match with Kenya prisons?😅
@planetbomba6170
@planetbomba6170 Жыл бұрын
Kenya prisons mbali broh hawa waizi wetu tu wakaida.....!!! Ambao huwa tuna waitia A.P
@isayaswai
@isayaswai 5 ай бұрын
Bonge la move 🎥 😮😮😮
@simontamba2189
@simontamba2189 10 ай бұрын
Siku hizi vita ni ufisadi tuwatumie huko maana wao ji wazalendo no Moja ndio maana paliposhindikana JPM aliwapa wao😮😮
@CatherineSimon-jq6kk
@CatherineSimon-jq6kk Жыл бұрын
Hapo likitupwamu c mnakufa wote inayakiwa kuwa mbalimbl
@user-rd6mo1zb6g
@user-rd6mo1zb6g 11 ай бұрын
Maigizo ya kijeshi wanafanya kila.sehem.kuna.agenda wanayo.ambayo.wananchi hatujui na h ta hao.wanajeshi wanatumikishwa bila.kujua haya mazoezi wanajiandaa kwa lipi ila kiukweli hali ni mbaya.hawa wanaandaliwa kuua wananchi watakao kataa amri za serikali siku zijazo
@KareemsaidiMvungi-dq5kv
@KareemsaidiMvungi-dq5kv 9 ай бұрын
Daaa ilikua Poa sana mzeee nakbuka mbali sana mzeeeeeeee hahashaa
@brytonmnyama6562
@brytonmnyama6562 Күн бұрын
hmn kitu apo mbwembwe tu ombeni mechi na m23
@philemonmwita2305
@philemonmwita2305 Жыл бұрын
Ikitokea vita labda tunaweza kupima uwezo wao Kwa sasa zaidi ya commando siamin mwingine kwanza
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
Vita gani unyotaka wewe, wakati hao ndio wako vitani Congo, darfur na ndio hao waliomng'oa iddi amin Uganda na kanal Mohammed bakar kule anzwani, ndio hao waliopigana msumbiji, Zimbabwe kote huku Kusini mwa Afrika, usiwasahau pia Al shabaab wa kule rufiji wanajeshi wetu walipambana kuweka Mambo Sawa,,,
@philemonmwita2305
@philemonmwita2305 Жыл бұрын
@@jumakapilima7295 dah kumbe basi sawa nimekubali kama ndio hao basi sawa wako vizur tumalize hii topic
@user-gr7jk4vc7f
@user-gr7jk4vc7f 4 ай бұрын
Hapo DRC wamechapwa, nawamekata ku advance Tena 😂
@user-gr7jk4vc7f
@user-gr7jk4vc7f 4 ай бұрын
Ohh pole ndugu wengi wa hawo majeshi wenu wameuwawa na m23, sasa wamekataa ku advance eti watapiga silaha za msaada wakiwa mbali saana ya frontline😂
@user-gr7jk4vc7f
@user-gr7jk4vc7f 4 ай бұрын
Walio poga I'd Amin wame zeheka sana wengine wamekufaa
@itNeza
@itNeza 11 ай бұрын
Mwanajeshi kala Kavimba tumbo yupo ndiii 😮😂😂😂
@nyandajr
@nyandajr 6 ай бұрын
Hamna komando hata mmoja mtu aende cuba , Israeli miaka karibia 20 aje hapa aanze kuonyesha hivo hapana tz makomando wapo wachache sana ni hazina ya inch pia siyo hao wanaorecodiwa kila mara😂
@user-fy6ck9di1f
@user-fy6ck9di1f 10 ай бұрын
Poaaaa sanaaa.
@user-rc7rq7fj8b
@user-rc7rq7fj8b 2 ай бұрын
Simba
@EnockRitte
@EnockRitte 5 ай бұрын
Chama simva
@saidPeace-xq1ld
@saidPeace-xq1ld 9 ай бұрын
Tzd bado sana hata tusiraha twenyewe nitwakizamani hata uigizaji wao niwakishamba bado sana twende urusi tukajifunze kwenye uhalisia tzd wakiona siraha Zina siku hazija tumika mnaigiza acheni uchoko hizo mnazochezea nikodi zetu choko nyie
@bentez911
@bentez911 Жыл бұрын
Hapo inabid tumtafute super men wa bongo ambaye hata akipigwa risasi haziingii🤣🤣🤣🤣🤣
@jeremymaina3582
@jeremymaina3582 11 ай бұрын
Bado hawana combat experience ukilinganisha na wakenya
NAKUPENDA MWALIMU NIKUVALISHE PETE  STEVE MWEUSI
14:04
Mweusi Family
Рет қаралды 4,9 МЛН
He sees meat everywhere 😄🥩
00:11
AngLova
Рет қаралды 9 МЛН
small vs big hoop #tiktok
00:12
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 22 МЛН
GWARIDE LA KIJESHI LIKIPITA MBELE YA MAGUFULI
10:18
Millard Ayo
Рет қаралды 452 М.
He sees meat everywhere 😄🥩
00:11
AngLova
Рет қаралды 9 МЛН