THE CLASSIC MR BLUE PT 2 ; RAP ILINIKOA/NILIJINASUA KWENYE MIHADHARATI/NLIDHARAULIKA SIKUKATA TAMAA

  Рет қаралды 37,263

KuviFacts

KuviFacts

Жыл бұрын

Hii ni sehemu ya pili ya mahojiano na Mr Blue ambapo kiundani anaelezea namna alivyojinasua kutoka kwenye anguko kubwa la kimaisha lililomsababishia matatizo mengi yaliosababisha kukata tamaa kabisa na kisha kupoteza nafasi yake,lakini alijirudi na kutumia muziki wa rap kama ni sehemu ya come back yake ambayo imemrejesha kwenye ramani mpaka sasa
SUBSCRIBE FOR MORE

Пікірлер: 81
@StivemarleyBaruswage-sx6gd
@StivemarleyBaruswage-sx6gd Жыл бұрын
Brother blue hajawah kuniangish kbs yani kwahiy ngoma yak mpya na jux ameuwa sanaaa aiseee huyu brother anaumiza kichwa sn yani anaandika vizuri sn
@ronaldissack3338
@ronaldissack3338 Жыл бұрын
Interview kali Sana namba Moja toka namsikia blue
@Babamaploti
@Babamaploti Жыл бұрын
More of a life lesson to our new generations 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@nyotamy3678
@nyotamy3678 6 ай бұрын
Nimecheka sanaa 😂✊🏽👏🏾🙌🏽💪🏽
@erickselei3426
@erickselei3426 Жыл бұрын
Genious Byser
@naamanbenzema9227
@naamanbenzema9227 Жыл бұрын
Fact blue ni mkali kajaaliwa kipaji sana coz anaweza kuimba na rapper pia hata yeye mwenyew hajui akae ktk pigo ipi na hio ndo changamoto namba mbili kwake.#bluebysersalutebrother
@jumamichael4083
@jumamichael4083 Жыл бұрын
Interview bora kabisa kuwahi kutokea kwa mwaka huu wa 2023
@husseinibnuhassan1272
@husseinibnuhassan1272 Жыл бұрын
One of the best interview na kabaysa
@makantaafrika
@makantaafrika Жыл бұрын
God works in a mysterious ways! Chid Benz from nowhere anamcheki Blue alafu Q chief anawaza hivyo hivyo kwenye wimbo 💪🏿😀🙌🏿
@ommylax7231
@ommylax7231 Жыл бұрын
Kuvichaka mtu mbadi nakubali blood 💪 songesha harakati
@sultanijuma9475
@sultanijuma9475 Жыл бұрын
Jabir salute babaaaa🤚🏽✋✋
@josphatwakuti-pd3iq
@josphatwakuti-pd3iq Жыл бұрын
From+254 Blue to the 🌎
@MrMasterMathew
@MrMasterMathew 4 ай бұрын
Hongera kuvichaka
@ArafathMungi-ee9ru
@ArafathMungi-ee9ru Жыл бұрын
Nakubali sana bizy
@nelsonbilali3888
@nelsonbilali3888 Жыл бұрын
Bro yu are 1 of the best interviewers. Big up ... mad love from Kenya 🇰🇪
@KuviFacts
@KuviFacts Жыл бұрын
respect
@ZaireJason
@ZaireJason 2 ай бұрын
Bayser
@suratibrahim6417
@suratibrahim6417 Жыл бұрын
Byser ni mtu wa maana sana 🙏 Anakumbuka mema aliyofanyiwa Let's say ndio maana anaheshimika Huyo jamaa sio muongo 🙌 salute kwake legend
@salaita2829
@salaita2829 5 ай бұрын
Huyu ndio anastahili kuwa bishoo,bishoo mwenye discipline sana.
@danielmihanjo5472
@danielmihanjo5472 Жыл бұрын
Bonge moja la interview kuvichaka
@wabaremasandiko1024
@wabaremasandiko1024 Жыл бұрын
Nyimbo za huyu mwamba nimeziweka xna kwny barua km dedication!!!
@REVOLUTIONARYLYRICS
@REVOLUTIONARYLYRICS 3 ай бұрын
If you abuse the herb it gonna crush your head hommie
@salumuathuman5286
@salumuathuman5286 Жыл бұрын
The classic inabidi sir kibra awepo
@user-cj3xq4gz3s
@user-cj3xq4gz3s Жыл бұрын
😅😅❤❤ nakukubali sana tu
@heightsmays5963
@heightsmays5963 Жыл бұрын
Blue is so true
@ronaldissack3338
@ronaldissack3338 Жыл бұрын
Bishoo hatari alafu ni bonge la rapa mkali balaa
@yussufmduu2976
@yussufmduu2976 Жыл бұрын
Huyu ni brother tuna muhitaki sana kwenye gam
@DiabTutty-ke9bs
@DiabTutty-ke9bs Жыл бұрын
Nakukubali sana mr blue❤
@terrieblieyz4818
@terrieblieyz4818 Жыл бұрын
Wakongwe ndio tunaelewa vizuri hii interview.
@MoMuhija
@MoMuhija 6 ай бұрын
....miaka 20 huwezi kumaliza kwa dakika 20 😁
@ObaMizo-oc1wq
@ObaMizo-oc1wq 6 ай бұрын
Blue brother man kinoma
@rogerbrother255
@rogerbrother255 Жыл бұрын
Niwaibukie ndotoni #Eti uvumilie mabomu
@erickselei3426
@erickselei3426 Жыл бұрын
Byser OG sanaa
@nassoroally6093
@nassoroally6093 Жыл бұрын
Hatari sana..
@rajabmsinzia1715
@rajabmsinzia1715 Жыл бұрын
Buluuu nakukubali sana Ma man yaani interview zako huwa zina mvuto flani hivi wakuziangalia na kujifunza kitu
@amirimohammed2875
@amirimohammed2875 Жыл бұрын
Oi blue Kama solo thang2 🤜🤛
@mackamehassani201
@mackamehassani201 7 ай бұрын
Bro kuvi unanimalizia bando languuuu, hii kali sanaaaaaaa😅😅😅
@amisamaurid1882
@amisamaurid1882 7 ай бұрын
Respect to my brother Prince Dully Sykes ❤❤❤❤
@valenciatraseas4840
@valenciatraseas4840 Жыл бұрын
#BlueBabylonByser #Kuvifact💥🙌🏻
@user-cj3xq4gz3s
@user-cj3xq4gz3s Жыл бұрын
❤❤👍👍 kitoka makasi
@christopherjames3684
@christopherjames3684 Жыл бұрын
Nyan zee anatisha
@dominicfrancis4073
@dominicfrancis4073 Жыл бұрын
Respect
@makantaafrika
@makantaafrika Жыл бұрын
Bongofleva Honors 1. Dully Sykes 2. TID 3. Juma Nature 4. Jay Moe 5. Mr Blue
@spillovereducationtutorial3228
@spillovereducationtutorial3228 5 ай бұрын
itakuwa vyema sana kama ukawatafuta hao uwafanyie interview
@MtituTheDon-jl7ol
@MtituTheDon-jl7ol Жыл бұрын
Blue🎉🎉
@NassorTwahiru-kf8fo
@NassorTwahiru-kf8fo Жыл бұрын
Mlete joslin
@deogratiusdaudi5482
@deogratiusdaudi5482 Жыл бұрын
asantee kuvi asantee ka-byser
@deogratiusdaudi5482
@deogratiusdaudi5482 Жыл бұрын
asante efm kwa interview safi Ya kuv
@cloudcharles3476
@cloudcharles3476 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@judithmwenda825
@judithmwenda825 Жыл бұрын
Ndio interview ambayo nimemaliza,bila Tuzo ila bado jamaa mkali
@hamadnasri5251
@hamadnasri5251 Жыл бұрын
Si unajua dudu baya😀😀😀
@lujobilz7482
@lujobilz7482 Жыл бұрын
💪
@realpopray96
@realpopray96 Жыл бұрын
Kuviii nakukubalii kaka mkubwa
@bonnycostacosta7339
@bonnycostacosta7339 Жыл бұрын
Dudu baya
@JOHNJOHN-pu7wb
@JOHNJOHN-pu7wb Жыл бұрын
Babylon bizzyyyy
@eddiemohamed9003
@eddiemohamed9003 Жыл бұрын
LEGEND 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🎤🎤🎤🎤🎤🔥🎤🔥🔥🔥🔥🎼🎼🎼🔥🔥🎼🎼🔥🔥🔥
@immastersurvival481
@immastersurvival481 Жыл бұрын
Umesahau kolabo ya kassim mganga Ndoano
@fazeelshomary2704
@fazeelshomary2704 Жыл бұрын
Blue Baisa Babylon Biiz
@yondutv3253
@yondutv3253 Жыл бұрын
Kuvi hii interviews nimecheka mwanzo mwisho
@bosmutoto4416
@bosmutoto4416 Жыл бұрын
Kizazi
@fidelemupilinda2677
@fidelemupilinda2677 Жыл бұрын
❤byser
@mkoreaboytz
@mkoreaboytz Жыл бұрын
❤❤❤❤
@mahmoodmohammed1679
@mahmoodmohammed1679 Жыл бұрын
Mi mbona nafkiri Mr blue alikua mzuri kuimba kuliko kurap...tulimjua na wimbo wake wa mapozi...ilihit Sana,mbona hakuendelea kuimba akachange to rap
@mdachiog5211
@mdachiog5211 Жыл бұрын
Nikweli kabisa Ila yeye ndo kakomaa na kurap Ila angekuwa anafanya moja rap moja kuimba
@mikesolomon1332
@mikesolomon1332 6 ай бұрын
Nadhani vile alimature sauti ilibadilika haingekidhi vizuri vigezo vya kuimba pia Kisha wakati ule wake rap ndio ilikua top of the game but singing was so sweet of him
@Rachid_Daudi
@Rachid_Daudi Жыл бұрын
#LiegeEdward 🔥 🔥 🔥 😂😂😂
@BongoZaKitambo55
@BongoZaKitambo55 Жыл бұрын
Bonge La Interview
@innocentmushi1550
@innocentmushi1550 Жыл бұрын
Unyama
@rajabmbogo8196
@rajabmbogo8196 Жыл бұрын
I like the way they ended the show!
@alvinsamir2013
@alvinsamir2013 6 ай бұрын
kaka #KUVI kama hutojari kuna hiyo #MIDUNDO uwaga unaPlay na kina sisi ambao tuna CHEKI kupitia HUKU kama vip uwe unaPlay hata nusu ili tuwe tunaenda sawa . .. #KUVICHAKA
@mankwemba3841
@mankwemba3841 Жыл бұрын
Mr blue kweri ni kiboko Yao
@afterx3172
@afterx3172 Жыл бұрын
Kuvi
@mwandustar
@mwandustar Жыл бұрын
Byser🎉
@omaryhabibu5144
@omaryhabibu5144 Жыл бұрын
naomba mtafute dizasta vin
@mwandustar
@mwandustar Жыл бұрын
@@omaryhabibu5144 Nikimpata nimwambieje kaka🤷
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👊.
@samirmswahili
@samirmswahili Жыл бұрын
Madini kama yote
@MeastrasElKachelino
@MeastrasElKachelino Жыл бұрын
Uyu mwamba kizungu kingi na hakijamkubali, anamchosha Blue kinoma, alafu anakera kimtindo...ubishoo wa nyoko !! 😒😒
@SabanaKhalfani-rr1zv
@SabanaKhalfani-rr1zv 7 ай бұрын
Ungekubali shule aya yote yasingetokea
@jameskilasa759
@jameskilasa759 5 ай бұрын
Sema uyo dogo mwingine hatakiwi kuwepo hapo
@niggahoodthemc9156
@niggahoodthemc9156 Жыл бұрын
✊🏿👮🏿
Salama Na MR BLUE SE6 EP69 KHERI PART 1 SendTip MPESA LIPA NO 5578460
25:09
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 205 МЛН
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 33 МЛН
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 106 МЛН
Mkasi - SO5E09 With Mr Blue
29:33
MkasiTV
Рет қаралды 147 М.