Рет қаралды 4,621
TIMBWILI MFAUME MFAUME na PIALALI WAZICHAPA KAVU KAVU, Hawezi KUCHEZA na MIMI Ananitafutia KESI TU?.
MABONDIA wote watakaopigana kesho kwenye pambano la 'DAR BOXING DERBY' wamepima uzito na afya leo.
Pambano litachezwa kwenye uwanja wa Posta jijini Dar.