Jamani hatuna tafauti na Shetani Yaraby tustiri Na Kizazi hichi jamani tunakwenda wapi hii si kupenda Mtume laiti mwenyewe angalikuwa hai haya yasingalifanyika kabisa
@omaryramdhani98232 ай бұрын
Wacha utaahira wa kulishwa vitango pori na mawahabi ,nenda kasome
@ahmedabry2932 ай бұрын
Ni kweli
@user-yj5on8cz3eАй бұрын
Dahh yarabi waongoze hawa waja wapotevu waione hakki,kiukweli kama unanduguyo msufi mlinganie atoke huko kabisa maana shetwani anawadharirisha kweli dini ya kucheza ndombolo kama koffi olimide au kukata mauno kama diamond so dini ya mtume muhammadi na swahaba zake ni dini ujinga wa watu tuuh na ndiomana wahabi hawataacha kupiga vita haya
@ahmedabry2932 ай бұрын
Imekuwa mtu akiuliza hichi ni nini anaambiwa wahabi.. Haya hichi ni nini na kafundisha nani ibada hii?? Na je mnapata thawabu ama vipi