Aisee kunabaadhi ya mikoa ni tunaburuzwa kama ngombe Nilienda nikaambiwa nianze na kulipa Mbaya zaidi upewi elimu yoyote Yaani mpka nawachukia Ilukifika ni kuburuzwa tuuu jama kenge
@user-od5si7ld6bАй бұрын
TRA mbona huku wanatupiga sana
@regnethmtemanyongo2237Ай бұрын
Ivi tin no inayolewa mara ngapi
@user-rc5wc8xm5u2 ай бұрын
Ahsant kwakutufahamisha
@aap99alalawy Жыл бұрын
Mimi mkulima. Nataka kufuga mbuzi ili niuze kipindi cha sukuku ya kuchinja. Je kodi na lipa vipi
@alhamiramadhani Жыл бұрын
Shukran
@othumanomari15899 ай бұрын
Biashara ya million.5. Unatakiwa kuripa Kodikiasi gani kwa mwaka🤔
@jacksonmbwasi8366Ай бұрын
kodi inalipwa kutokana na mauzo yako kwa siku siyo mtaji