No video

TUISHI KWA KUOMBEANA MEMA

  Рет қаралды 1,714

JIMBO MEDIA

JIMBO MEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 31
@jamaal1300
@jamaal1300 3 ай бұрын
Bujra napenda busara wako.sanaa.Bujra🎉🎉🎉🎉
@zahraabdul9652
@zahraabdul9652 3 ай бұрын
Amen Asante sana kakaetu bujra kwa kuwarekebisha mwislamu maisha yake yafai Kuwa mtandaoni wajifunze ❤❤🎉🎉
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 3 ай бұрын
Cha kwanza kwa mwanamke ni kua na haya ama aibu hio ndio stara ya kwanza kwa mwanamke
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 3 ай бұрын
Mashaallah kakaa bujra Allah akupe jaza yako
@mamakenajma3257
@mamakenajma3257 3 ай бұрын
Bujra Allah akufanyie wepesi kwa kila jambo
@mwanakombokalamu7009
@mwanakombokalamu7009 3 ай бұрын
MashAllah bujra hapo umeongea kweli na ni aibu kw jamii hata kidini makosa
@rashidomar4417
@rashidomar4417 3 ай бұрын
Swadakta 💯 panapokua na wakubwa hapaharibiki jambo
@AaAa-tb2zw
@AaAa-tb2zw 3 ай бұрын
MashaAllah ❤❤🎉...Allah azidi kukupa hekima hio hio kaka Bujra 🎉🎉❤
@MkasiMusa
@MkasiMusa 3 ай бұрын
Kbx ushasema points hapo my brother secreat issues its very impotant and keptup to adivince us l realy appreceanty you in ℅❤❤
@SummaiyaKassim-zv5nt
@SummaiyaKassim-zv5nt 3 ай бұрын
MashaAllah TabarakaAllah maneno ya hekma bujra
@user-ex4rk2yx4s
@user-ex4rk2yx4s 3 ай бұрын
Ma sha Allah mawaidha kunnt
@JamaliChamosi
@JamaliChamosi 3 ай бұрын
Bro umeonge point sana bro
@Sity-zo6hf
@Sity-zo6hf 3 ай бұрын
Maa Shaa Allah Tabaraka Allah ❤
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 3 ай бұрын
True umeongea vyema sana asiige wa tz kuanika vitu zake kwa media zaidi ya kazi zake tu.. Kuna hasad na ww kibz. Ebu poa kwa ss..
@user-so8hh3qo3l
@user-so8hh3qo3l 3 ай бұрын
Uko sahihi Bro %
@oriz254
@oriz254 3 ай бұрын
Jazakallah kheir 🤲🏻
@azizashiundu5778
@azizashiundu5778 3 ай бұрын
Kweli kabisa walai ❤❤
@HalimaMwajembe-fc2qj
@HalimaMwajembe-fc2qj 3 ай бұрын
Mungu azidi kukUpa umri kaka🙏🙏🙏🙏🙏
@farjallahubeydabdulrahman4845
@farjallahubeydabdulrahman4845 3 ай бұрын
Shukaran Bujra umeongea vyema endelea kuwarekebisha hao ndugu zako wadogo hasa Beka mienendo yake mtandaoni baada ya ramadhan loo haikuniridhisha inaenda kinyume na maadili na dini yetu ya kiislamu hakika jimba media mumetufunza mengi zaidi kuhusu dini yetu hapo mwezi wa ramadhan sote ni wakosaji aliekamilika ni ALLAH Twaomba ALLAH A TUONGOZE KWA NJIA ILIYONYOOKA.
@Mabangi123
@Mabangi123 3 ай бұрын
❤🔥🔥🔥🔥
@rukiagambere8050
@rukiagambere8050 3 ай бұрын
Mashaaallah
@zianazizu6573
@zianazizu6573 3 ай бұрын
Umaharufu bila heshima autokufikisha popote beka. Haya mtoto wakike kaja juzi tu umeshamuingiza seli. Nuksi, hasad, mwisho mtasema mumerogwa kumbe wachawi ni nyinyi wenyewe. Kuna watu wanafanya mambo makubwa na hawana habari na mambo ya media.
@bentybenty2343
@bentybenty2343 3 ай бұрын
Waaleykum salaam..Shukran❤❤🎉🎉
@sikukuuchuo3093
@sikukuuchuo3093 3 ай бұрын
Maashaallah❤❤❤
@user-xf1zz8hi9y
@user-xf1zz8hi9y 3 ай бұрын
💯💯💯💯
@officialhopestarmusic959
@officialhopestarmusic959 3 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@Westsidecyber
@Westsidecyber 3 ай бұрын
💯💯
@Mishooh
@Mishooh 3 ай бұрын
❤❤
@MwanakombomohammedKimbonja
@MwanakombomohammedKimbonja 3 ай бұрын
💯👍
@MwanaishaSalim-zr4gv
@MwanaishaSalim-zr4gv 3 ай бұрын
Hii issue imeisha alhamdulillah kwaiyo hatuitaki kuisikia tena dadazangu plz
@mesaidikazungu4299
@mesaidikazungu4299 3 ай бұрын
Mashallah bujra ❤❤
BAROBARO LANGU EPISODE 10
9:08
JIMBO MEDIA
Рет қаралды 12 М.
Люблю детей 💕💕💕🥰 #aminkavitaminka #aminokka #miminka #дети
00:24
Аминка Витаминка
Рет қаралды 470 М.
Glow Stick Secret Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 8 МЛН
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
진영민yeongmin
Рет қаралды 3,1 МЛН
zigidigi live....#Kayamba #ngoma za kiasili
5:45
GATANGA GANG ARTS
Рет қаралды 3,7 М.
Mke wapili wa Bujra afunguka kwa Mara ya kwanza
1:30:32
JIMBO MEDIA
Рет қаралды 7 М.
SHEMEJI MAKELELE
9:07
JIMBO MEDIA
Рет қаралды 38 М.
Люблю детей 💕💕💕🥰 #aminkavitaminka #aminokka #miminka #дети
00:24
Аминка Витаминка
Рет қаралды 470 М.