No video

TULIKAMATWA NA ASKARI WA UGIRIKI/ WAKAOKOTA VICHWA VYA WATU, CHAKULA CHAO NI NYOKA /inatisha

  Рет қаралды 40,964

Dar24 Media

Dar24 Media

Күн бұрын

--
#baharia #passpot #Tanzania
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com
#Dar24 #Dar24Media

Пікірлер: 21
@chondihussein9939
@chondihussein9939 3 жыл бұрын
Kazi yenu n nzur na tunapata knowledge kuptia stor hiz,so heavy congratulations 👏👏
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 4 жыл бұрын
Hongera mzee wa zaman
@anawa4326
@anawa4326 3 жыл бұрын
Big up sailor Man B 4 🚢⚓️👊🏼
@xinyingmiao4996
@xinyingmiao4996 3 жыл бұрын
omg I like it
@dennisnjiro7922
@dennisnjiro7922 3 жыл бұрын
Hi
@asiamussa3780
@asiamussa3780 3 жыл бұрын
Unajua kiswahili?
@geraldmnyema1194
@geraldmnyema1194 10 ай бұрын
Ushauli kaka stori kama hizi tambea na laman ya dunia ili akiwa anaeleza unaonesha itakuwa poa sana story hii stori na pia kama inawezekama tafuta hata stering ya meli weka degree star port 5 or port side hata meli yenyewe tu kaka utakuwa umeupiga mwengina
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 3 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌
@mickdadyronaldo4113
@mickdadyronaldo4113 2 жыл бұрын
Lyrics hii mbona umefel
@mh.samoladanielchikaka1370
@mh.samoladanielchikaka1370 4 жыл бұрын
Nakubali
@alexjackson5960
@alexjackson5960 3 жыл бұрын
Waandishi wakongwe mko wapi???? Fundisheni hawa vijana dot na comma yaani sehemu ya swali na kuitikia. Hajui kabisa abc zake. Yaani kila kitu yeye muuliza swali yeye, nyongeza ya simulizi yeye, kuitikia yeye. Duh
@samgmangati1865
@samgmangati1865 3 жыл бұрын
Story za kusikikiza ndiyo kama hizi sasa
@histonezekiel6929
@histonezekiel6929 4 жыл бұрын
Nguvu ya buku
@petrojohn8250
@petrojohn8250 3 жыл бұрын
Mtangazaji stori unaisimulia wewe?acha mzee aongee
@ahmedkandoro9594
@ahmedkandoro9594 3 жыл бұрын
Mtangazaji unaongea Sana, Mpe nafasi unae muhoji ajieleze vizuri mwenyewe usionganishie mananeno kabla ajamaliza . Be professional. Umesoma chuo gani ambacho hamjafundishwa ethics ?
@husseinally5550
@husseinally5550 3 жыл бұрын
Yaan huyu mtangazaji ni hovyo kabisa
@nicolausmarwa727
@nicolausmarwa727 3 жыл бұрын
𝑀𝑧𝑒𝑒 𝑦𝑢𝑝𝑜 𝑓𝑖𝑡𝑖𝑖 𝑖𝑙𝑎 𝑚𝑡𝑎𝑛𝑔𝑎𝑧𝑎𝑗𝑖 𝑢𝑛𝑎𝑜𝑛𝑔𝑒𝑎 𝑠𝑎𝑛𝑎
@ajmilee4204
@ajmilee4204 3 жыл бұрын
Dah...! Wazee wetu wameshindwa ht shiling 100 y kwnd madagascar😀😂😃🤣🤣
@kimchi-91
@kimchi-91 3 жыл бұрын
mzee alisoma Dit#
@salmaluhombero8466
@salmaluhombero8466 3 жыл бұрын
Story tamu
@ahmedkandoro9594
@ahmedkandoro9594 3 жыл бұрын
Mtangazaji wa hovyo kabisa . Sijapata kuona.
Люблю детей 💕💕💕🥰 #aminkavitaminka #aminokka #miminka #дети
00:24
Аминка Витаминка
Рет қаралды 374 М.
Before VS during the CONCERT 🔥 "Aliby" | Andra Gogan
00:13
Andra Gogan
Рет қаралды 10 МЛН
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 77 МЛН
This Dumbbell Is Impossible To Lift!
01:00
Stokes Twins
Рет қаралды 35 МЛН
What is ChatGPT doing...and why does it work?
3:15:38
Wolfram
Рет қаралды 2,1 МЛН
Kamala Harris accepterar nomineringen - så var talet
13:13
EFN Ekonomikanalen
Рет қаралды 1,6 М.
Люблю детей 💕💕💕🥰 #aminkavitaminka #aminokka #miminka #дети
00:24
Аминка Витаминка
Рет қаралды 374 М.