TUMWIMBIE MUNGU - KWAYA YA MT. JOHN BOSCO, KIGANGO CHA MKWAJUNI,PAROKIA YA MWAMBANI.

  Рет қаралды 160,128

Kwaya ya Mt. John Bosco - Mkwajuni, Mwambani

Kwaya ya Mt. John Bosco - Mkwajuni, Mwambani

2 жыл бұрын

Tumwimbie Mungu ni wimbo unaobeba jina la albamu toleo la kwanza la Kwaya ya Mt. John Bosco. Kwaya hii maarufu kama Kwaya ya Vijana ipo katika Kigango cha Mkwajuni katika Parokia ya Mwambani ndani ya Jimbo Kuu Katoliki la Mbeya na Makao makuu ya kwaya hii ni katika mji wa Mkwajuni mahala ambapo ni makao makuu ya Wilaya ya Songwe katika Mkoa wa Songwe.
Wimbo huu wa Tumwimbie Mungu umeandikwa na ndugu Godwin James kutoka Tukuyu Mbeya.
Audio na Video yake imefanywa na Tanganyika Productions kutoka Dodoma
Kinanda kimepigwa na ndugu Chrisostom Yohana Luseba (CY Luseba maarufu kama Ndege)
Kwa mahitaji ya DVD au flash yenye nyimbo zote 10 zinazounda albamu hii wasiliana nasi kupitia kwa namba za simu kama ifuatvyo;
0742 619 354 - Katibu wa Kwaya
0756 529 232 - Paroko, Parokia ya Mwambani
0786741581 - M/kiti wa Kwaya.
Karibuni sana!

Пікірлер: 77
@simonkitaka6369
@simonkitaka6369 2 жыл бұрын
Hongera sana kea uimbaji wenu mzuri wimbo unabariki Sana
@piusanthony3907
@piusanthony3907 2 жыл бұрын
Wimbo uko poa hongera kwa Kaz nzuri
@justinangaga7708
@justinangaga7708 2 жыл бұрын
Shime mt bosco mkwajuni
@tomasobiro7443
@tomasobiro7443 Жыл бұрын
Hongera sana maswala us uumbaji mko sawa
@simonsebastian9477
@simonsebastian9477 2 жыл бұрын
Hongreni kwa uinjirishaji mzuri
@stephanomwalongo2328
@stephanomwalongo2328 2 жыл бұрын
Hongereni sanaaaaa Kazi nzuri
@augustinomwanawima2862
@augustinomwanawima2862 Жыл бұрын
Jamn mungu awabariki sn mmeimba vzr san
@vincentmsawila33
@vincentmsawila33 2 жыл бұрын
Waooooo Hakika kutoka katika nafsi yangu ya kweli tena nafsi ya imani katoliki imani takatifu Kazi imetukuka Kazi inamtukuza Mungu Kazi imejaa unyenyekevu Kazi inasherehesha Kazi imepikwa ikapikika Kazi imefanywa na watu wanyenyekevu Kazi iko katika viwango vya kimataifa Nasema JOHN BOSCO HONGERENI SANA Galula tuko nyuma yenu twajaaa
@kwayayamtjohnboscomkwajuni
@kwayayamtjohnboscomkwajuni 2 жыл бұрын
Tunashukuru sana kwa upendo wenu. Karibuni sana
@vincentmsawila33
@vincentmsawila33 2 жыл бұрын
@@kwayayamtjohnboscomkwajuni Tumshukuru Mungu
@emmanuelmnyamwezy4276
@emmanuelmnyamwezy4276 2 жыл бұрын
Mbarikiwe Sana jamn kazi nzuri mnooo
@anjelinamtweve7241
@anjelinamtweve7241 2 жыл бұрын
hongera nimebarikiwa nawimbo wenu
@nunzionicotra
@nunzionicotra 2 жыл бұрын
Hongereni sana, mmeimba vizuri sana. Endeleeni kuinjilisha, msikate tamaa!
@glorylaizer9088
@glorylaizer9088 2 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana hongereni
@masanjesubira8101
@masanjesubira8101 2 жыл бұрын
Hongereni sana, ndugu zetu katika Kristu
@franciscandanu7634
@franciscandanu7634 11 ай бұрын
Alleluia ❤❤❤❤👏👏👏👏👏 🎷🎷🎷🎷🎷🎸🎸🎸🎸 nice song
@ConsolathaKomba-mf8zz
@ConsolathaKomba-mf8zz Жыл бұрын
Nawapenda sana John Bosco Mimi albentina nipo ruvuma kwasasa naomba nmiombee nitimize lengo
@isayamsakila3818
@isayamsakila3818 2 жыл бұрын
Hongereni sana kazi nzuri mno mbarikiwe
@furahamwangama6296
@furahamwangama6296 2 жыл бұрын
Well done ✔ Mmefanya vizuri sana Hongereni sana na Mungu awabariki.
@cuthbertyamawasa4567
@cuthbertyamawasa4567 2 жыл бұрын
Toka mbalizi hapa nausikiliza wimbo nikiwa kwenye gari hongereni sana
@user-sw2ns8hm9l
@user-sw2ns8hm9l Жыл бұрын
Nice song
@simbilawilliam5318
@simbilawilliam5318 2 жыл бұрын
Hongereni saana kwa uinjilishaji kwa njia ya nyimbo... mnaimba vizuri
@davidmagubiko3207
@davidmagubiko3207 2 жыл бұрын
Nifurahishwa Sana na wimbo huu. Nmefurah Zaid kuwaona wanakwaya maana toka nmalize masomo ya A. Level 2017 sijawaona ndo nawaona leo. Namuona Mrs Cretus credo, namuona mwl. Ogarnist alikua anatufundisha nyimbo za katikati maweni sekondary kwaya. Hakika Mungu awe nanyi.
@samsonjumapili7947
@samsonjumapili7947 2 жыл бұрын
Mmejitahidi kwakiasichake Ila mkaze buti
@tedyshayo9192
@tedyshayo9192 2 жыл бұрын
I am proud to be a Catholic. 🥰💯
@Kibasisidet
@Kibasisidet Жыл бұрын
🔥🔥💥
@jenifersamweli1079
@jenifersamweli1079 2 жыл бұрын
Mungu awabarik mtuakisha sanaa😁😁
@PrudenceMwatowine-qk2uz
@PrudenceMwatowine-qk2uz Жыл бұрын
Asante kwa maoni yenu wadau wetu
@eliaskitosi4137
@eliaskitosi4137 2 жыл бұрын
kazi nzuri
@andreamwasomola433
@andreamwasomola433 2 жыл бұрын
Naitwa Andrea Mwasomola. Nipo Tunduma. Nimeupenda sana wimbo huu. Pia nimefurahi kuwaona ndugu zangu wa mkwajuni. Msalimieni sana kaka Willy na wengine walio husika kuandaa albamu hii
@jenifersamweli1079
@jenifersamweli1079 2 жыл бұрын
🎺hongelena Sana muwe hvyo hivyo bwana😁😁😁
@kumbunimavika9068
@kumbunimavika9068 2 жыл бұрын
Mungu awabariki kwa kazi nzuriii
@pancratiusmocherenyamira9679
@pancratiusmocherenyamira9679 2 жыл бұрын
Nyimbo tamu sana,naomba mtume album yote
@mitaocamilliusthegreatest9068
@mitaocamilliusthegreatest9068 2 жыл бұрын
Kazi nzuri hongereeni Sana hakika
@benedictfilipatali5591
@benedictfilipatali5591 2 жыл бұрын
Hongereni sana ...mbarikiwe
@beatriceochieng5770
@beatriceochieng5770 2 жыл бұрын
Nice
@ConsolathaKomba-mf8zz
@ConsolathaKomba-mf8zz Жыл бұрын
Nawapenda nyote
@tesharose5041
@tesharose5041 2 жыл бұрын
Nice song 🙏
@davidkimario8197
@davidkimario8197 Жыл бұрын
Am proud Sana Kuwa mkatolik asee huyo Mzee nimemwelewa san ....mungu awabariki Sana wanakway wote
@leonardsingambi7143
@leonardsingambi7143 2 жыл бұрын
Hongereni sana vijana
@kwayayamtjohnboscomkwajuni
@kwayayamtjohnboscomkwajuni 2 жыл бұрын
Tunashukuru sana Fr. Sing'ambi. Tunasubiri mwaliko wako kuja kuinjilisha na kuuza/kusambaza kazi yetu parokiani kwako.
@francesmwakila5362
@francesmwakila5362 2 жыл бұрын
Nabuludika nikiwa tukuyu parokia ya kisa haikika nimebalikiwa
@alexjeremiah9982
@alexjeremiah9982 2 жыл бұрын
Hongeren Kaz nzue
@levitasjohn5861
@levitasjohn5861 2 жыл бұрын
Mwangaluka ,mhomile hinza karibun mwanza parokia ihimbili magu
@macherapetro4023
@macherapetro4023 2 жыл бұрын
Hongereni sana make kuimba ni kusali mara mbili
@joelaplakaindjidda8
@joelaplakaindjidda8 2 жыл бұрын
Cohabitation
@kwayayabikiramariamsaadawa5803
@kwayayabikiramariamsaadawa5803 2 жыл бұрын
Hongera sana kwa utume
@kwayayamtjohnboscomkwajuni
@kwayayamtjohnboscomkwajuni 2 жыл бұрын
Tunashukuru sana ndugu zetu..
@nichomiti3742
@nichomiti3742 2 жыл бұрын
catholic is the best, the holy spirit is upon you
@tausilazaro2477
@tausilazaro2477 2 жыл бұрын
Nawaona Dada zangu joy na Edina kazi nzuri
@EdinaTimbula-mc3ki
@EdinaTimbula-mc3ki Жыл бұрын
Asante mdgo wangu kutuunga mkono
@bernadetteikandi4438
@bernadetteikandi4438 2 жыл бұрын
The elderly man really gracing the music with the passionate moves
@erasmichuwa4049
@erasmichuwa4049 2 жыл бұрын
Hongereni sana kwa kutuinjilisha kwa nyimbo
@mitaocamilliusthegreatest9068
@mitaocamilliusthegreatest9068 2 жыл бұрын
Mmeimba vizuri Sana Hadi nimewapenda video nzuri na inahamasisha kuangalia kwa Kweli!
@kwayayamtjohnboscomkwajuni
@kwayayamtjohnboscomkwajuni 2 жыл бұрын
Tunashukuru sana.
@ditricksilinu6038
@ditricksilinu6038 2 жыл бұрын
hongereni sana
@kwayayamtjohnboscomkwajuni
@kwayayamtjohnboscomkwajuni 2 жыл бұрын
Tunashukuru sana
@bonifasikihombo5410
@bonifasikihombo5410 2 жыл бұрын
Nzuri mnooo I like it!!
@yackobokiswaga280
@yackobokiswaga280 2 жыл бұрын
Good job ⛪🔥👏👏👏
@kwayayamtjohnboscomkwajuni
@kwayayamtjohnboscomkwajuni 2 жыл бұрын
Ahsante sana kaka yetu
@charlesjkyallo5835
@charlesjkyallo5835 2 жыл бұрын
Ah...soo sweet
@kwayayamt.papayohanepaulow9232
@kwayayamt.papayohanepaulow9232 2 жыл бұрын
Admin naomba unitumie copy ya wimbo wa nakupenda yesu mwokozi.natanguliza shukrani 🙏🙏🙏
@kwayayamtjohnboscomkwajuni
@kwayayamtjohnboscomkwajuni 2 жыл бұрын
Cheki nasi WhatsApp 076888684
@kwayayamt.papayohanepaulow9232
@kwayayamt.papayohanepaulow9232 2 жыл бұрын
@@kwayayamtjohnboscomkwajuni admin sorry namba imepelea moja plz tuma tena
@kwayayamtjohnboscomkwajuni
@kwayayamtjohnboscomkwajuni 2 жыл бұрын
@@kwayayamt.papayohanepaulow9232 0768886884
@orzyrok6849
@orzyrok6849 2 жыл бұрын
So sweet to hear this beautiful choir. The voice and sound are well mixed. With additional emotion and dance had made it a classic. Please post more on youtube. I can only download 4. Would appreciate and look forward to see more. God bless you.
@hydanruta1511
@hydanruta1511 2 жыл бұрын
Huu wimbo umenibariki Sana ... Mmeinjilisha vizuri mno ..Nawaomba mkaendelee kufanya kazi hii nzuri ya Uinjilishaji ..Na Mungu aendelee kuwatia Nguvu na kuwabariki katika kila mfanyalo..
@kwayayamtjohnboscomkwajuni
@kwayayamtjohnboscomkwajuni 2 жыл бұрын
Tunashukuru sana kaka yetu
@charlesjkyallo5835
@charlesjkyallo5835 2 жыл бұрын
Send me the music notes pliz..#kenya
@faustinimrosso819
@faustinimrosso819 2 жыл бұрын
Nimekupenda Sana huu wimbo
@EdinaTimbula-mc3ki
@EdinaTimbula-mc3ki Жыл бұрын
Barikiwa sana kaka yangu
@michaelbaseke9894
@michaelbaseke9894 Жыл бұрын
Tusapotiane kwa kusubscribe
@beatriceochieng5770
@beatriceochieng5770 2 жыл бұрын
No
@simonsebastian9477
@simonsebastian9477 2 жыл бұрын
Hongreni kwa uinjirishaji mzuri
@eliaskitosi4137
@eliaskitosi4137 2 жыл бұрын
kazi nzuri
@kwayayamtjohnboscomkwajuni
@kwayayamtjohnboscomkwajuni 2 жыл бұрын
Ahsante sana
@simonjohn3728
@simonjohn3728 2 жыл бұрын
Hongereni ndugu zangu wa Dekania ya Chunya B, Dekania yenye historian yake. Galula, Gua, Kapalala na Ngwala mpoo?
MAPENZI YAKO YATIMIZWE  - KWAYA YA MT. JOHN BOSCO,KIGANGO CHA MKWAJUNI, PAROKIA YA MWAMBANI.
6:31
Kwaya ya Mt. John Bosco - Mkwajuni, Mwambani
Рет қаралды 66 М.
Holy Trinity Studio - Nikushukuruje Bwana ( Official Music Video )
8:12
HOLY TRINITY STUDIOS
Рет қаралды 1,4 МЛН
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 207 МЛН
Я обещал подарить ему самокат!
01:00
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 9 МЛН
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 18 МЛН
BWANA MKUBWA - official Video
8:01
PAELAI FILM
Рет қаралды 2,2 МЛН
Nssc kwaya-hata nijaposema kwa lugha
8:33
alex onesmo
Рет қаралды 19 М.
HORINI | Frt. Bathlomeo Florian SAC | Kwaya ya BMMA-Parokia ya Dongobesh
9:24
KWAYA YA BMMA-DONGOBESH
Рет қаралды 53 М.
NYIMBO ZA MAMA BIKIRA MARIA | BIKIRA MARIA SONGS MIX
42:09
DJ Ngaruz
Рет қаралды 62 М.
TWAKUSIFU MUNGU MKUU   TRADITIONAL II DESPINA E. MDENDE
8:02
The Galaxy Pro
Рет қаралды 59 М.
Mtukuzeni - SINDANI P.T.K (Official music video) - KWAYA YA MT JOHN BOSCO, MKWAJUNI.
3:46
Kwaya ya Mt. John Bosco - Mkwajuni, Mwambani
Рет қаралды 2,1 М.
Жандос ҚАРЖАУБАЙ - Ауылымды сағындым (official video) 2024
4:25
Jaloliddin Ahmadaliyev - Erta indin (Official Music Video)
4:32
NevoMusic
Рет қаралды 2,6 МЛН
Jaloliddin Ahmadaliyev - Kuydurgi (Official Music Video)
4:49
NevoMusic
Рет қаралды 12 МЛН
Sevinch Ismoilova - Ustozlar qo'shiqlaridan popuri (Xorazmcha)
6:15
Sevinch Ismoilova
Рет қаралды 1,2 МЛН
Әбдіжаппар Әлқожа - Ұмыт деме
3:58
Әбдіжаппар Әлқожа
Рет қаралды 1,2 МЛН