TUNAOMBA UFAFANUZI WA ARAFA SHEIKH MSELEM BIN ALY

  Рет қаралды 664

ISTIGHFAR TV

ISTIGHFAR TV

29 күн бұрын

#istighfar#

Пікірлер: 6
@TwahaKahatan-pt9hg
@TwahaKahatan-pt9hg 23 күн бұрын
Allah ayatie nuru macho yako na aulainishe moyo wako
@sama-_8368
@sama-_8368 12 күн бұрын
HILO LA ARAFA UMEFELI SHEIK KASOME VIZURI KWA MENGINE YOOTE NAKUKUBALI TENA NAKUPENDA LAKINI KWA HILO LA ARAFA NA MWANDAMO HAUKO SAWA KWASABABU UKO KINYUME NA MAFUNDISHO SAHIHI NA UKO KINYUME NA UMBILE LA DUNIA NA UKO KINYUME NA FATWA ZA WENGI WA WANA WACHUONI.
@TwahaKahatan-pt9hg
@TwahaKahatan-pt9hg 23 күн бұрын
Wew ni mwalim ktk waalim wenye hekma
@mzeerajab9154
@mzeerajab9154 25 күн бұрын
Sheikh hakuna funga ya Arafa kuna kufunga siku ya Arafa.Funga ya Arafa ni kitu kingine na kisimamo cha Arafa ni kitu kingine wala havina uhusiano.Kama watu wana vikundi vyao na wewe vipi basi?Na kama watu hakusimama viwanja vya Arafa maa na yake hakuna funga ya Arafa?Bwana Mtume hakusema funga ya kisimamo cha Arafa,kasema siku ya Arafa ambayo siku hiyo ipo hata kabla ya kufaradhishwa Hijja na Mtume alikuwa akifunga.Nashauri tuache fikra zetu na akili zetu twende kwenye ukweli wa dini Quran na Sunna.Ni aibu kutuaminisha kuwa sasa utekelezaji wa dini ubadilike kwa sababu ya teknolojia kama vile Mwenyezi Mungu alikuwa hajui kuwa teknolojia itakuja.Dini na utekelezaji wake kaukamilsha mapema sana.Mwisho tujue kuwa ibada ya Hijja hutekelzwa mwahala na funga hutegemea mwezi na jua,ndio tunapata tafauti ya kisimamo cha Arafa na funga ya siku ya Arafa.
@TwahaKahatan-pt9hg
@TwahaKahatan-pt9hg 23 күн бұрын
Mi nikuulize je siku ya Arafa ni mwezi ngapi? Tusiwe vpofu au muandamo wa mwezi ukoje duniani ni mmoja au Kila nchi Ina muandamo wao wa mwezi. Kila jambo mmekuwa watu wa kupinga na jee mngewekewa miezi mengi kama SAYARI nyengine ingekuwaje.
@user-nv3zf9ve6s
@user-nv3zf9ve6s 23 күн бұрын
Sasa unatoa darasa au ilimradi tu uemo . Mana hatujui nn unachokilenga Habibi . Au ndo copy and paste
ANAVYOTAKIWA KUISHI MUISLAMU SHEIKH MSELEM BIN ALY
7:26
ISTIGHFAR TV
Рет қаралды 1,3 М.
MALAIKA WAWASHANGAA KWA KIJANA HUYU SHEIKH MSELEM BIN ALY
10:31
버블티로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 114 МЛН
DO YOU HAVE FRIENDS LIKE THIS?
00:17
dednahype
Рет қаралды 87 МЛН
Muhararam 1446H | 2024M | Utangulizi
55:46
Sayyid Aidarus Shariff Alwy - Mzee Mwenye
Рет қаралды 2,5 М.
SHEIKH ABU ZAKARIA AL-MARWAIY ATOA NASAHA KATIKA MAZISHI YA SHEIKH ABUU MUAWIYA RAHIMAHULLAAH
14:04
Swahili Salafi Duruus الدروس السلفية
Рет қаралды 782
1/ she  mselem bin alyii hatar ya moto
20:03
KASFAT TV ONLINE
Рет қаралды 199
Shekh Suleyman Kilemile ajibu mashambulizi (SEHEMU YA KWANZA)
20:31
BABDEO MILADU
Рет қаралды 72 М.
UCHA MUNGU USIUTAFUTE KWAMTU JIBIDISHE MWENYEO
5:11
ISTIGHFAR TV
Рет қаралды 238
버블티로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 114 МЛН