No video

TUNDA MAN - Full Interview na Bongo Project

  Рет қаралды 2,741

Bongo Project

Bongo Project

Күн бұрын

Tunda Man au Khalid Ramadhan Tunda katika haya mazungumzo marefu na ya kufurahisha anasimulia juu ya safari yake nzima ya muziki na maisha. Anaelezea kuhusu maisha yake ya shule, ndoto za udaktari, utundu, kucheza mpira n.k. Anasimulia kuhusu ngoma zake za awali ikiwemo Neila, Demu Sio, Msambinungwa, Nipe Report na nyingine nyingi alizofanya na Tip Top Connection kama Bado Tunapanda na nyingine nyingi. Pia ameelezea mahusiano yake na wasanii maarufu wa Bongo akiwemo Profesa Jay, Ali Kiba na Diamond Platnumz. Ni mazungumzo mazuri na yenye visa vya kuchekesha...Usikose!
#tundaman #bongoproject #bongofleva #tiptopconnection #
Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake.
--------------------
WEBSITE
--------------------
bongoproject.org
--------------------
SOCIAL MEDIA
--------------------
Instagram: / bongo_project
Facebook: / bongo-project-10256641...
--------------------
CONTACT
--------------------
Email: info@bongoproject.org

Пікірлер: 13
@jumazahoro3537
@jumazahoro3537 Жыл бұрын
Napenda Sana interview ambayo watu wanaulizwa historia zao
@bongo_project
@bongo_project Жыл бұрын
Pamoja sana. Shukrani
@ismailmasanilo7018
@ismailmasanilo7018 Жыл бұрын
Interview kalisana tunda yupo really life🤜
@bongo_project
@bongo_project Жыл бұрын
Shukrani
@fredypastoryutd4864
@fredypastoryutd4864 Жыл бұрын
Nmeangalia yote jamaa uchoki kumsikiliza. Na amefunguka mengi saana hii ni historia nzima ya maisha yake. Hapo hata hasipofanya interview tena hii itabaki ni kumbukumbu kwa vizazi vijavyo. Safi sana tundaman.
@bongo_project
@bongo_project Жыл бұрын
Shukrani sana mkuu! Tunda alitupa moja ya interviews bora kabisa.
@yuscostainless5770
@yuscostainless5770 Жыл бұрын
Dah zote nzuli ulizoweka blessing sana bongo project
@bongo_project
@bongo_project Жыл бұрын
Shukrani sana. Endelea kutufuatilia
@omarmtamilwa562
@omarmtamilwa562 Жыл бұрын
Hapo mm sitaki watu wa hip hop nimecheka sana
@Ebendentalclinic
@Ebendentalclinic Жыл бұрын
Nimefuatilia interview zenumnafanya poa sana, ila sound bado haiko poa inakua na mawingu mawingu sana,tunaomba mjitahidi kurekebisha hilo.ila show ni kali sana.#Naomba tuvutie dully sykes hapa mzee.
@bongo_project
@bongo_project Жыл бұрын
Shukrani mkuu. Tunaendelea kufanya marekebisho mbalimbali. Tutalifanyia kazi hilo suala. Dully atafika mezani usijali.
@mahmoudmussa8
@mahmoudmussa8 Жыл бұрын
Neillah 🔥
@fredypastoryutd4864
@fredypastoryutd4864 Жыл бұрын
Demu sio huo wimbo umegusa wengi saana. Anavyosema kuwa ameimba tabia zilizopo ni kweli kabisa... Ni nyimbo ambayo inaishi kabisa.😂
BANANA ZORRO - Full Interview na Bongo Project
1:28:37
Bongo Project
Рет қаралды 278
NABII IBRAHIM NA BI HAJRAH
2:57:46
ADE LINK HABARI
Рет қаралды 63 М.
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 40 МЛН
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 11 МЛН
OMG what happened??😳 filaretiki family✨ #social
01:00
Filaretiki
Рет қаралды 13 МЛН
Little brothers couldn't stay calm when they noticed a bin lorry #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 20 МЛН
050 NYUMBA YANGU NDIO PEPO YANGU YA DUNIANI | OTHMAN MAALIM
2:02:46
HABARI MOTO MOTO TV
Рет қаралды 77 М.
Quiet Night: Deep Sleep Music with Black Screen - Fall Asleep with Ambient Music
3:05:46
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 40 МЛН