🅻🅸🆅🅴 TUNDU LISSU NA PETER MSIGWA WANAUNGURUMA KIJIJI UGHANDI -SINGIDA KASKAZINI

  Рет қаралды 28,087

JAMBO TV

JAMBO TV

2 ай бұрын

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►KZfaq: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Пікірлер: 87
@pauloisso5815
@pauloisso5815 2 ай бұрын
Msigwa anatrma sumu ase uko vzr kamanda✌️✌️✌️✌️✌️🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Expedito2512
@Expedito2512 2 ай бұрын
Safi sana Msigwa kwa kutoa elimu nzuri kwa wananchi.
@rastheunique
@rastheunique 2 ай бұрын
Salaam sana Wana Ughandi tupo nanyi sambamba katika mapambano yanayoongozwa na Tundu Lissu
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 2 ай бұрын
Hongereni sana wakuu🔥🔥🔥🔥🔥
@markmuna1276
@markmuna1276 2 ай бұрын
Hongereni kufka ughandi
@PastorBiluko-wl1ex
@PastorBiluko-wl1ex Ай бұрын
safi sana
@lucaschisamalo2852
@lucaschisamalo2852 2 ай бұрын
Jumbe uko vizuri umeongea vitu vya point Sana Dodoma na singida ndo mibuyu ya ccm wanapopoa tu
@lukasmnyeti3016
@lukasmnyeti3016 2 ай бұрын
Ccm ni zaidi ya jambazi ukiwaangalia ni kama watu lakini siyo watu
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 Ай бұрын
​@@lukasmnyeti3016wewe pia unaonekana ni jambazi,Malaya na mwenye roho mbaya kama ccm
@user-nr2ux1cm5b
@user-nr2ux1cm5b Ай бұрын
Msigwa ahsante kwa kunifungua🔨🔨🔧🛠️🗝️🗝️🗝️
@fredypastoryutd4864
@fredypastoryutd4864 2 ай бұрын
Duh msingwa ameshusha nondo za hatari mnooo... Wengi tulikuwa hatuna elimu hii
@ulomirabiel6980
@ulomirabiel6980 2 ай бұрын
Msigwa umefanya vizuri weka maslahi ya chama mbele, huo ndio ukomavu.
@NkoTya9
@NkoTya9 2 ай бұрын
Sera nzuri sana lakini bado tunatawaliwa na uoga
@bongo39
@bongo39 2 ай бұрын
Hali ishaharibika tayari tundu vita tayari mbowe hakutaki anataka yeye awe mwenyekiti wa maisha asiwe na mpinzani atakae mpinga msigwa washampiga na chini bado wewe tuu
@TegemeaFutemakatifu
@TegemeaFutemakatifu 2 ай бұрын
Kwani Msigwa walompiga Chini nani? Kwani nyie Ccm Wenyeviti wa Mikoa wanadum milele? Au hujui Msigwa Alikuwa Mwenyekiti Kanda ya Nyasa?
@dionismutayoba3542
@dionismutayoba3542 2 ай бұрын
Uliyetoa hiyo comment hujitambui,unaloloma tu
@imanimaulid8304
@imanimaulid8304 Ай бұрын
Mi hofu yangu ni kwa huyu askofu mwanamapinduzi hv neno la mungu na siasa wapi na wapi ameacha kanisa anapiga misele jamani duu hii kali
@charlesmnuo3292
@charlesmnuo3292 2 ай бұрын
Mmmm jambo tv siwaelewi mmekaza camera jukwaani tu wananchi hamuwaonyeshi au mkutano hauna watu?
@malkavoice2570
@malkavoice2570 Ай бұрын
Msigwa tena jamani! Smetokaapi mbona juzi tu alikuwa anajipaka mavi mwenewe kule jimboni kwake?!!
@veronicaadrof8244
@veronicaadrof8244 2 ай бұрын
Inaitajika elimu kama hii ya mheshimiwa lisu maana inaamusha mioyo ya watu kukata tamaa kunaisha ujue sehemu nyingine wanaona hata wakipiga kula kwa mugombea wa chadema anatangazwa wa ccm hali hii inakatishana tamaa kuendelea kupiga kula lakini kwa elimu hii ya lisu naona watu wanapata matumaini tena na nguvu ya kupiga kula
@IssaAlly-lp4uf
@IssaAlly-lp4uf 2 ай бұрын
Asanteni kwa kutufungua akili
@bennymatinde4514
@bennymatinde4514 2 ай бұрын
mpiga picha use unaonesha na watu waliopo kwenye mkutano unammwonyesha tu anaeongea hii siyo sawa
@HenryCastuli-jz3cx
@HenryCastuli-jz3cx 2 ай бұрын
Mpiga picha nihana uzoefu anajifunza kamaanauzoefu awe anawaonyesha na umati wa watu aunijamii ya ccm
@AlfredAlfred-yd2mg
@AlfredAlfred-yd2mg Ай бұрын
Ccm kama freemason kila dhambi wanazo . Mungu atawaangamiza Kwa kuibeba dunia
@imanimaulid8304
@imanimaulid8304 Ай бұрын
Enzi za Nccr mageuzi Kuna askofu alisema mrema akishinda anaacha uaskofu tusijisaulishe
@rutambivalentine
@rutambivalentine 2 ай бұрын
Kimenuka
@IssaAlly-lp4uf
@IssaAlly-lp4uf 2 ай бұрын
Tena na kodi za majengo kukatwa kwenye umeme kila mwezi 1500 zinaenda wapi nyumba ngapi zina katwa tozo za majengo pesa inafanyia nini
@dismasmtui729
@dismasmtui729 2 ай бұрын
Kwa hiyo rufaa ya Msigwa imeshasikilizwa au ni kutaka kuwagombanisha Lissu na Mbowe?!
@deohank5995
@deohank5995 2 ай бұрын
Wenye akili hawagombani wanapishana tu. Bali mpumbavu ndo hugombana
@user-ig3bu6lb5i
@user-ig3bu6lb5i 2 ай бұрын
Hiyo njaa.utafanya nini?
@MataighaTiro
@MataighaTiro 2 ай бұрын
Msigwa elimu imekaa vizuri
@evelina9621
@evelina9621 2 ай бұрын
Mwenye.ki.cha dema.mshimiwa.mbowe.mwe.pamojq.vushq.taifa.lina.angamia.asante
@evelina9621
@evelina9621 2 ай бұрын
Jaman Ya.bwana.iwe Pa m oja.msitoane.mamba.mabaya.yesu.yu.ndani Yetu Ss Sote
@LinusAmanimbeye
@LinusAmanimbeye 2 ай бұрын
Huo ndo ukomavu wa siasa ccm walitoa mimacho kuwa tayar twapta nae juu Kwa juu
@evelina9621
@evelina9621 2 ай бұрын
Ta,nga Za Posho.kwa Wenye.viti.vijiji.wameonewa.mwaka Mingi
@mariaanthoniangowi9376
@mariaanthoniangowi9376 2 ай бұрын
Uyoooo Chawla WA CCM akili kama matope ; waTanganyika tulishaamka
@FelixAbel-fm8lq
@FelixAbel-fm8lq 2 ай бұрын
Mbona ninyi miccm mlisema mkipoteza watu polisi wasiwatafute? Kwani yule fala polisi wamemkamata?
@clemencemarcelli3365
@clemencemarcelli3365 2 ай бұрын
Kwanini CCM hawasemi ukweli, kwanini wanatuona hatuna akili?
@deogratiusdonald5123
@deogratiusdonald5123 2 ай бұрын
Hivi kwaniniii? Jambo camera yenu huwa inaonyesha viongozi pekeee? Kwanini huwa hamuonyeshi wananchii wanaosikiliza mkutanoooo??
@willymgaya7618
@willymgaya7618 2 ай бұрын
CCM mnatuangamiza . Mnapeleka wapi fedha za kodi mnazokusanya na mnazokopa . Malori yenu yanauwa sana watu MBEYA. Barabara ya kuchepusha malori yasipite mjini mmezungumza miaka mingi sana. Oneni aibu kulaghai wananchi miaka mingi huku wakiendelea kupoteza ndugu zao. Ajali kila kukichwa, inasikitisha sana.
@JosephuSwai
@JosephuSwai 2 ай бұрын
Apo msigwa umenena jambo LA maana sanasana mtendaji mkurugenZi mkuu wa wilaya mkuu wa mkoa jaji mkuu msajili wa vyama IGP wanapatikana _?
@evelina9621
@evelina9621 2 ай бұрын
😮vijini.posho.wapate.nguvu
@user-mo3ik6go6r
@user-mo3ik6go6r 2 ай бұрын
Huwezi kuchukua mtihani wa mtoto hulipe Hera ya mrizi majengo maji na umeme
@lucaschisamalo2852
@lucaschisamalo2852 2 ай бұрын
Leo nimefurahi Sana kukuona nilijuwa basi tena unatuacha msigwa niliumia Sana juzi nakuomba usihame chadema kama uliweza kukataa hela za mwendazake Leo hii unaanzaje bado tunakuhitaji mzee
@mariaanthoniangowi9376
@mariaanthoniangowi9376 2 ай бұрын
Usiyetosha niwewe Chawla WA ccmmshenzi ww
@tzonespices9734
@tzonespices9734 2 ай бұрын
Mpiga picha hutufai. Mbona huonyeshi watu unaonyesha anae ongea tu? Mikutano yenu haina watu?
@mariaanthoniangowi9376
@mariaanthoniangowi9376 2 ай бұрын
waTanganyika bwana hatutaki Tena kusikis Tanzania
@user-zy4rr9iv3m
@user-zy4rr9iv3m 2 ай бұрын
Toeni elimu tatizo watu wetu hawaelewi
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 2 ай бұрын
Minikajua mishahara kwa wenye viti
@AllyMandunda-tj9jc
@AllyMandunda-tj9jc 2 ай бұрын
Polisi mmepiga kikokoto unatarajia afanye nini. Yaani hayo yataendelea hadi 2025. Mwakani ccm mtapigwa tu
@enockfumbuka6843
@enockfumbuka6843 2 ай бұрын
Serikali inatukomoa afadhali kuliko kuishi na viongozi Matapeli
@faustinebahenobi3412
@faustinebahenobi3412 2 ай бұрын
Ww chakufanya muwachague viongozi wengi kutoka chadema (upinzani) af utaona
@user-ig3bu6lb5i
@user-ig3bu6lb5i 2 ай бұрын
Hivi wewe nimwana siasa au nini huko upande gani?
@mariaanthoniangowi9376
@mariaanthoniangowi9376 2 ай бұрын
CCM si simu tunisawa na kunywa maji ya betrii
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 2 ай бұрын
Kwani huyo aliyeshindwa uenyekiti Nyasa kaja huko Kuna Nini?
@user-fr7jj1bo7y
@user-fr7jj1bo7y 2 ай бұрын
kwahiyo akishindwa uchaguzi haruhusiwi tena kuhudhuria mkutano wala kuongea ?? akili za kiccm hizo
@festokemibala5832
@festokemibala5832 2 ай бұрын
Mambo mengine bwana? Tumeambiwa Msigwa kajoin ccm sasa hapo kwa Lissu ametafuta nini? Msituchanganye, mnafanya watu wasipige kura
@TegemeaFutemakatifu
@TegemeaFutemakatifu 2 ай бұрын
Hajashindwa, wamepokezana Madaraka, huko yupo anatumikia Chama Chake,Nini kimekushangaza?
@BonaBonala-bp5qm
@BonaBonala-bp5qm 2 ай бұрын
Mimi simwiti mama namuita mzanzibar na sio mtanganyika haruhusiwi kuishi tanganyika ni mwanamke hafaii kutuongoza waisramu duniani labda wakristo watampenda wana manabii wakee
@faustinebahenobi3412
@faustinebahenobi3412 2 ай бұрын
Kweli
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 Ай бұрын
Mbona wewe mrundi unaishi Tanzania na hakuna anayekughasi mkundu wewe
@maruhe1958
@maruhe1958 2 ай бұрын
Nimeshangaa askofu kuhamasisha vita, polisi mko wapi?
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 Ай бұрын
Ni kweli ndugu ila usitishike,huyu siyo askofu bali ni wale majambazi wanaokimbilia katika siasa
@BonaBonala-bp5qm
@BonaBonala-bp5qm 2 ай бұрын
Kwa ujumbe huu wa baba Askofu ccm atareta vita ya kimbari ya Zanzibar na tanganyika tutauuwana kwa ubaguzi wake huyu mrembo Mh peekee tz ajawai tokea toka inchi izariwe
@innocentmleli1196
@innocentmleli1196 2 ай бұрын
Basi ni wachumba hao
@user-vl4rz6lf6d
@user-vl4rz6lf6d 2 ай бұрын
Asikofo anatetea maslahi yake njaa kali unliabisha Kanisa lo aibu gani sasa kwa taarifa unatetea upumbavu inachosema ni upumbavu mtupu hampati kitu hamshindi ngo
@helencyprian8745
@helencyprian8745 2 ай бұрын
Pole
@Bboy-ek8vn
@Bboy-ek8vn 2 ай бұрын
Askofu unajihusisha na siasa mshenz we
@TegemeaFutemakatifu
@TegemeaFutemakatifu 2 ай бұрын
Mbona Ma Askofu wanaoshiriki Ccm hamuwashangaagi?
@ephraimkalanje7105
@ephraimkalanje7105 2 ай бұрын
Matusi haya utoayo yanamuhusu na Askofu wenu Gwajima na wengine mlionao huko CCM?
@bonifacemkanga6302
@bonifacemkanga6302 2 ай бұрын
Askofu wa kanisa ganiiiii ushapotea wewee
@user-fr7jj1bo7y
@user-fr7jj1bo7y 2 ай бұрын
angekuwa amevaa shati la kijani angekuwa hajapotea? aliyepotea ni Gwajima aliyeoba kura posho za ubunge zimemfanya akae kimya huku watanzania wengi tukiumia
@evelina9621
@evelina9621 2 ай бұрын
Chedema Wenye.viti.vijij Ndio Wenye.nguvu.rais.mawa ziri.wote.toka.:vliji ni.watangazwe.pos ho Ndio.chazo
@hssanrubota3891
@hssanrubota3891 2 ай бұрын
Kweli maisha ni magumu sana tena sana lakini hizo sela za matusi hazikubaliki kumwambia mtu hana akili hiyo siyo sera hayo ni matus
@user-ig3bu6lb5i
@user-ig3bu6lb5i 2 ай бұрын
Unajua unacho kiongea askofu?
@silasngoya9422
@silasngoya9422 2 ай бұрын
Askofu kwenye uaskofu hutoshi na kwenye siasa hutoshi. Bahati mbaya hujui kwamba hutoshi !
@makobamasawemangu4122
@makobamasawemangu4122 2 ай бұрын
Anatosha kote kote
@ephraimkalanje7105
@ephraimkalanje7105 2 ай бұрын
Askofu Mwanamapinduzi anatosha kotekote..."in fact," anatosha na kupitiliza! Hongera Askofu mwanamapinduzi!
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 Ай бұрын
​@@ephraimkalanje7105anakutosha wewe na mama yako,pia nasikia analala kwenu
@user-rw7ww2yd7i
@user-rw7ww2yd7i 2 ай бұрын
Askofu hata kama Kuna tatizo kubwa vipi huwezi kuhamasisha vita hapo hakuna askofu kabisa
@TegemeaFutemakatifu
@TegemeaFutemakatifu 2 ай бұрын
Wakishiriki mikutano ya Ccm mnawashangilia, wakishiriki ya Upinzani mnawashambulia, Poleni
@LuciaAgustino-pt5mg
@LuciaAgustino-pt5mg 2 ай бұрын
Mkuu mzingwa uko safi oijana wetu
@TegemeaFutemakatifu
@TegemeaFutemakatifu 2 ай бұрын
Amehamasisha vita gani?
@gangan4618
@gangan4618 2 ай бұрын
Kwa sasa hatutaki kuchezewa... na MaCCM, dah ni zaidi ya miaka 60 mtu amezeeka.
@Fundi12345
@Fundi12345 2 ай бұрын
Unajuwa chama hiyo hawo wote wanapig kerere tu hakuna mgombea uenyekit cham hiyo ya watu okooooooo
@innocentmleli1196
@innocentmleli1196 2 ай бұрын
Basi ni wachumba hao
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 22 МЛН