No video

TUSIJIPENDE Kwaya ya Mt Nicholaus ST MAURUSI CHEMCHEMI Sec SChool SUMBAWANGA

  Рет қаралды 21,299

TanganyikaProduction

TanganyikaProduction

Күн бұрын

Ni kwaya ya Shule ya Mt.Maurusi Sumbawanga.
Huu ni moja kati ya nyimbo kumi
zilizopo katika album yao ya kwanza "TUSIJIPENDE"
Mtunzi wa wimbo huu anaitwa D.Kidaha kwa sasa yupo Kigoma.
Album imerekodiwa katika studio bora kabisa za TRIPLE J-MBEYA
simu namba 0755 109880, na kinanda kimechezwa na Ephraim Kashusha.
Video imerekodiwa na kuhaririwa na TANGANYIKA PRODUCTIONS iliyopo Iringa
wasiliana nasi kwa simu namba +255 762 380 376 au tutafute kwa jina la Tanganyikaproduction
katika mitandao ya kijamii.
kwa mahitaji ya DVD piga simu namba 0764 069005 au 0755 372276.

Пікірлер: 21
@godfreylwamoyo131
@godfreylwamoyo131 2 жыл бұрын
Mmenifulahisha Sana ongereni nimemkubali mpiga kinanda ongera yake Amina🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@edwardgwama6945
@edwardgwama6945 6 жыл бұрын
big up my former school, mmefanya kitu kizuri ambacho kilitushinda cc, fanyenyi hivo hata kitaaluma
@arnoldmatheka8695
@arnoldmatheka8695 5 жыл бұрын
St Joseph tuduma sumbawanga,, ina nyimbo Kama jeshi la malaika
@mathasimon4449
@mathasimon4449 5 жыл бұрын
mwenyezi Mungu awabariki,.. Sana
@theresiagasto330
@theresiagasto330 3 жыл бұрын
Wow nzuri sana
@isacksaid1912
@isacksaid1912 3 жыл бұрын
Kazi nzuri sana
@frankkabera2852
@frankkabera2852 4 жыл бұрын
Nice song I just felt like I'm at kristo mfalme
@delphinalazaro9659
@delphinalazaro9659 6 жыл бұрын
Hongereni sana tp kwa kazi nzuri Mungu azidi kuwabariki
@helenafrancis7750
@helenafrancis7750 6 жыл бұрын
mbarikiwee kwa nyimbo nzur jamn
@alexkiwaula8792
@alexkiwaula8792 7 жыл бұрын
mbarikiwe watoto Wa mungu
@fatumakilave5599
@fatumakilave5599 7 жыл бұрын
tunaomba nyimbo zenu nyingine mbarikiwe xn
@TanganyikaProductions
@TanganyikaProductions 7 жыл бұрын
Fatuma Kilave wasiliana nao upate DVD
@donatusmkuyu793
@donatusmkuyu793 7 жыл бұрын
Mubarikiwe sana kwa kazi ambayo mnaifanya
@marylazaro3097
@marylazaro3097 6 жыл бұрын
mubarikiwe sana
@TanganyikaProductions
@TanganyikaProductions 6 жыл бұрын
Asaaante
@danieliusshukuru3879
@danieliusshukuru3879 6 жыл бұрын
jaman wekeni na nyimbo zenu nyingine
@jamesjames3790
@jamesjames3790 7 жыл бұрын
My school. well done
@ufipatv4341
@ufipatv4341 7 жыл бұрын
jamani inapendeza sana lakini upload album nzima tuone na nyingine
@arnoldmatheka8695
@arnoldmatheka8695 5 жыл бұрын
nyimbo za St Joseph tuduma sumbawanga hazionekani shida ni nn
@TanganyikaProductions
@TanganyikaProductions 5 жыл бұрын
Sumbawanga?
@abubakarimshana2866
@abubakarimshana2866 6 жыл бұрын
hongeraa kaz nzur
MSALABA WAKO Kwaya ya Bikira Maria ConsolataBMC IRINGA
7:02
TanganyikaProduction
Рет қаралды 35 М.
Мы сделали гигантские сухарики!  #большаяеда
00:44
Get 10 Mega Boxes OR 60 Starr Drops!!
01:39
Brawl Stars
Рет қаралды 19 МЛН
English or Spanish 🤣
00:16
GL Show
Рет қаралды 6 МЛН
NITAKAPOREJEA -Kwaya ya Mt. Joseph Mfanyakazi (Official Gospel Video-HD)
4:10
TanganyikaProduction
Рет қаралды 94 М.
JIPATIE NEEMA-Moyo mt. wa yesu chuo kikuu mliamni-UDSM
3:50
CATHOLIC SONGS
Рет қаралды 520 М.
🔴#LIVE: LAVI DAVI NDANI YA WASAFI FM   27-08-2024
Wasafi Media
Рет қаралды 140
BWANA UNIBADILI_ Kwaya ya Mt.Maria Goreth_Chuo kikuu- Ushirika - Moshi
5:18
RAJO PRODUCTIONS
Рет қаралды 17 МЛН
Мы сделали гигантские сухарики!  #большаяеда
00:44