MSALABA WAKO Kwaya ya Bikira Maria ConsolataBMC IRINGA

  Рет қаралды 35,694

TanganyikaProduction

TanganyikaProduction

7 жыл бұрын

Huu ni moja ya wimbo uliopo katika Album ya pili ya KWAYA YA BIKIRA MARIA CONSOLATA(BMC) iliyopo Parokia ya Mshindo Iringa.
Album imerekodiwa katika studio ya Embakassy IRINGA (0767 328442), kinanda kimepigwa na watu watatu: F. Mushobozi, S.Mvano na Baraka Mashibe.
Ni moja ya Album nzuri yenye nyimbo za taratibu(Kwaresma) ambayo video imetengenezwa na TANGANYIKA PRODUCTIONS simu namba +255 762 380376.
Wasiliana na uongozi wa kwaya kwa simu namba:
0759 228433 AU 0759 938637 AU 0766 403295

Пікірлер: 12
@isacknoel2235
@isacknoel2235 3 жыл бұрын
Naomba na wimbo wa kabil langu kutoka kwaya hii
@consolatherjohn292
@consolatherjohn292 4 жыл бұрын
Woow asanteni sana kwa kuinjilisha wapendwa
@poncegk5263
@poncegk5263 3 ай бұрын
Excellent 🔥
@jackytuyi8899
@jackytuyi8899 5 жыл бұрын
Naupenda sana huu wimbo
@costanciapamphurey9084
@costanciapamphurey9084 7 жыл бұрын
N kweli kabsa tufungue milango Bwana aingie wimbo mzr hongeren sana
@ayoubwillium4502
@ayoubwillium4502 4 жыл бұрын
Mbarikiwe
@abassmdulingwa6907
@abassmdulingwa6907 5 жыл бұрын
mngu awabaliki san
@jumachacha5083
@jumachacha5083 6 жыл бұрын
Hongeleni
@franklaurent8356
@franklaurent8356 6 жыл бұрын
Gud song
@robert.maganya1051
@robert.maganya1051 5 жыл бұрын
bwana awabariki waimbaji nasi tubarikiwe kwa msalaba wako mtakatifu
@mateinamate6253
@mateinamate6253 4 жыл бұрын
NYIMBO NI MZURI SANA NA NI ZA TARATIBU KWELI ,NINAZO ALBAMU ZOTE 2 KWENYE KANDA. TUNAOMBA BASI ZIWEKENI KWENYE MFUMO WA CD AUDIO.
@hermenegildsilayo4205
@hermenegildsilayo4205 5 жыл бұрын
Cheka komed
WHO LAUGHS LAST LAUGHS BEST 😎 #comedy
00:18
HaHaWhat
Рет қаралды 21 МЛН
تجربة أغرب توصيلة شحن ضد القطع تماما
00:56
صدام العزي
Рет қаралды 53 МЛН
LOVE LETTER - POPPY PLAYTIME CHAPTER 3 | GH'S ANIMATION
00:15
Mt. Kizito Makuburi - Ngoja Nicheze (Live Performance)
4:09
KMK MAKUBURI
Рет қаралды 294 М.
ITIKA - St Joseph Choir Sakina - Arusha.
7:02
St. Joseph Choir
Рет қаралды 6 М.
NIKO KASI_Kwaya ya Mt.Joseph Mfanyakazi_Nzihi Kidamali - Iringa
6:58
RAJO PRODUCTIONS
Рет қаралды 1,4 МЛН
Israel Mbonyi - Nitaamini
12:58
Israel Mbonyi
Рет қаралды 22 МЛН
TUSIJIPENDE Kwaya ya Mt  Nicholaus ST  MAURUSI CHEMCHEMI Sec SChool SUMBAWANGA
5:28
Moyo wangu (Lyrics) - Kwaya ya Bikira Maria mama wa Mungu
8:19
Catholic songs - Indirimbo za Kiliziya Gatolika
Рет қаралды 60 М.
Mama Yetu Maria Ni Nyota ya Matumaini -Tassia Catholic Choir
6:46
Camtech Communication Services
Рет қаралды 14 М.
UMPOKEE SAASITA
9:06
RAJO PRODUCTIONS
Рет қаралды 64 М.
O SALUTARIS-Kwaya ya Mt.Teresia wa Avila-Mshindo Iringa (Official Video-HD)
3:48
WHO LAUGHS LAST LAUGHS BEST 😎 #comedy
00:18
HaHaWhat
Рет қаралды 21 МЛН