TWAYAWEZA YOTE By Perfecto Mtuka, waimbaji ni Kwaya ya Mt.Cesilia-Mpanda Cathedral

  Рет қаралды 12,241

Mt.Cesilia Mpanda cathedral

Mt.Cesilia Mpanda cathedral

9 ай бұрын

" Sisi kama binadamu tunapitia Mapito mbalimbali katika maisha yetu lakini katika Hali yoyote ile hatupaswi kuwa na wasiwasi maana Mungu yupo pamoja nasi siku zote na anayajua Mapito yetu"
Composer: Perfecto Mtuka
Organist: Lazarius Patiu
Studio (Audio & video) : The Galaxy pro
contact : 0758149997/0623211656 KMCM digital

Пікірлер: 56
@despinae.mdende
@despinae.mdende 9 ай бұрын
Hongereni Sana Kwa kumwambia Mungu Vizuri. Wimbo upo Vizuri sana.👏👏👏
@mt.cesiliampanda7062
@mt.cesiliampanda7062 9 ай бұрын
Asante Sana dada Despina ...karibu Mpanda siku moja tunatamani tufanye kazi na wewe pia
@justinmbai1414
@justinmbai1414 9 ай бұрын
Asante sana da Despina Mungu Akubariki
@perfectomtuka4910
@perfectomtuka4910 9 ай бұрын
Hongereni sana ndg zangu!
@mt.cesiliampanda7062
@mt.cesiliampanda7062 9 ай бұрын
Asante Sana mwalimu hongera kwa utunzi mzuri
@geraldgandye1581
@geraldgandye1581 9 ай бұрын
Hongera sana mwalimu kwa kutuletea wimbo mzuri sana. Ubarikiwe na Bwana. Kwa wadhifa wako wengine hawaoni ukuu wa Mungu
@justinmbai1414
@justinmbai1414 9 ай бұрын
Hongera na kwako kwa utunzi mzuri wenye kuzama ktk tafakari nzito.. Kama mseminari vile ....big Good
@filbertbugelaha8334
@filbertbugelaha8334 9 ай бұрын
Hakika iko vizuri sana. ❤❤
@calvinadolph-ky5ft
@calvinadolph-ky5ft 9 ай бұрын
Kazi nzuri sana
@paschalmsilombo1457
@paschalmsilombo1457 9 ай бұрын
Wanasesilia wenzangu hongereni sana duh nawatazama nikiwa hapa majimoto utume uendelee nawapenda bule
@josephinayakobo8605
@josephinayakobo8605 9 ай бұрын
Hongereni kwa wimbo mzuri❤
@mt.cesiliampanda7062
@mt.cesiliampanda7062 9 ай бұрын
Asante Sana na karibu katika familia ya Mt.Cesilia
@user-wh6ew8di7s
@user-wh6ew8di7s 9 ай бұрын
Hongeren Mt. Cecilia
@tondelogungulundi1523
@tondelogungulundi1523 9 ай бұрын
Amina
@samsokapita.43
@samsokapita.43 9 ай бұрын
Kazi ni nyeupe peee
@geraldgandye1581
@geraldgandye1581 9 ай бұрын
Mungu mkubwa, ukweli tuendelee kusonga mbele katika bwana
@mt.cesiliampanda7062
@mt.cesiliampanda7062 9 ай бұрын
Amina
@sylvestrengwelu2012
@sylvestrengwelu2012 9 ай бұрын
Kazi nzuri HONGERA sana
@bahatiferdinand7825
@bahatiferdinand7825 9 ай бұрын
Good
@rahelichikoi2217
@rahelichikoi2217 9 ай бұрын
Mwimbo mzuri sana hongera sana
@mt.cesiliampanda7062
@mt.cesiliampanda7062 9 ай бұрын
Asante sana
@justinmbai1414
@justinmbai1414 9 ай бұрын
Tunamshukuru Mungu kwa kazi hii ,,,Mungu aenendelee kutukuzwa ...kazi nzuri mnoooo
@bennieissae5605
@bennieissae5605 8 ай бұрын
Msigwa hongera mwamba umetisha sana
@ephraimkashusha3987
@ephraimkashusha3987 9 ай бұрын
Kazi Safi Sana👏👏
@justinmbai1414
@justinmbai1414 9 ай бұрын
Amina kaka Kashusha
@jonathanmarickh-un6fi
@jonathanmarickh-un6fi 9 ай бұрын
Kazi nzuri wapendwa, mbarikiwe sana
@mt.cesiliampanda7062
@mt.cesiliampanda7062 9 ай бұрын
Asante sana
@alfredjoseph6387
@alfredjoseph6387 9 ай бұрын
❤❤❤
@dr.sarahbusongo
@dr.sarahbusongo 9 ай бұрын
Great work wana wa Mungu. God bless you
@mt.cesiliampanda7062
@mt.cesiliampanda7062 9 ай бұрын
Amen
@johaneshaule4378
@johaneshaule4378 9 ай бұрын
Hamjàwahi niangusha mt. Cecilia
@mt.cesiliampanda7062
@mt.cesiliampanda7062 9 ай бұрын
Kabisa ....Tumshukuru Mungu
@marialucas-ph7ns
@marialucas-ph7ns 9 ай бұрын
Hii imeenda hongereni sana aisee wimbo mtamu 🙏🙏
@justinmbai1414
@justinmbai1414 9 ай бұрын
Hongera sana Mtunzi P.Mtuka ,hongera sana organist Patiu, hongera sana kwaya yetu kwa kazi nzuri hivi haichoshi kusikiliza yaani inabariki mno... Big up
@user-ey8fl6vr5i
@user-ey8fl6vr5i 8 ай бұрын
Ongeleni sanakwakazinzuli munguawabalik
@lileskazila284
@lileskazila284 9 ай бұрын
❤❤❤❤ Hongereni sana kitu kizito,kimetulia hatari
@mt.cesiliampanda7062
@mt.cesiliampanda7062 9 ай бұрын
Asante sana
@jamesmongi5731
@jamesmongi5731 9 ай бұрын
Hakika Mungu ni mwema, kazi nzuri
@mt.cesiliampanda7062
@mt.cesiliampanda7062 9 ай бұрын
Asante Sana mwanafamilia wa Mt.Cesilia
@enghermannguki7029
@enghermannguki7029 9 ай бұрын
Hongereni. Kila kitu kipo mahala pake. Be blessed 🙌
@mt.cesiliampanda7062
@mt.cesiliampanda7062 9 ай бұрын
Asante sanaaaa
@beatricehomanga
@beatricehomanga 8 ай бұрын
Wimbo mzuri sana. Maneno ya kutia faraja. Asanteni na Mungu awabariki.
@user-tc6tn4hi5e
@user-tc6tn4hi5e 6 ай бұрын
Amina sana, hongereni kwa utume mko vizuri
@user-qw3dn5kl6w
@user-qw3dn5kl6w 8 ай бұрын
KAZI nzuri. Ujumbe mzuri. Hongereni❤
@user-tw8iu7hw9q
@user-tw8iu7hw9q 7 ай бұрын
Of cose wajua miendako Bwana wangu
@LadislausMulilo-rn2fi
@LadislausMulilo-rn2fi 9 ай бұрын
Deal done! Kazi tamu Ila msilombo sijamuona.
@mt.cesiliampanda7062
@mt.cesiliampanda7062 9 ай бұрын
alitutoroka kidogo
@jeremiahmachimu8632
@jeremiahmachimu8632 9 ай бұрын
Hongereni sana kwa uinjilishaji mzuri, kazi nzuri❤❤❤
@mt.cesiliampanda7062
@mt.cesiliampanda7062 9 ай бұрын
Asante sanaa
@jeremiahmachimu8632
@jeremiahmachimu8632 9 ай бұрын
Amina
@bennieissae5605
@bennieissae5605 8 ай бұрын
Daudi wewe ni hatari sanaaa
@joelstephano7009
@joelstephano7009 3 ай бұрын
Kazi nzuri sana mbai hongereni sana pamoja na wana secilia wote
@VicentMajaliwa
@VicentMajaliwa 8 ай бұрын
Hongereni sanaa Secilia Mpanda. Wimbo mzuri na wenye ujumbe mzuri sanaa.🙏🙏
@mt.cesiliampanda7062
@mt.cesiliampanda7062 8 ай бұрын
Asante Sana mkuu
@VicentMajaliwa
@VicentMajaliwa 8 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏@@mt.cesiliampanda7062
@IragenaImmaculee
@IragenaImmaculee 3 ай бұрын
Mungu asifiwe❤❤❤
MKATOLIKI (Official video) - Kwaya ya Mt. Secilia Makuburi
6:31
Mt. Secilia Makuburi
Рет қаралды 386 М.
BWANA AMEITIKA (OFFICIAL VIDEO) -  Kwaya Kuu Mt. Cesilia Arusha, Tanzania
6:07
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 10 МЛН
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,8 МЛН
Mtakatifu (Misa ya Mt.Anna)
3:06
Mt.Cesilia Mpanda cathedral
Рет қаралды 1,6 М.
SITAMUACHA MUNGU - KWAYA YA MT. YOSEFU MFANYAKAZI, NANSIO //Mtunzi: E. F JISSU
6:23
Kwaya ya Mt. Yosefu - Nansio
Рет қаралды 88 М.
Tupeleke vipaji by Mgandu Vs Ee Mungu Baba by Kauki
4:21
Joseph Kinsi
Рет қаралды 21 М.
KWAYA YA MT CESILIA PAROKIA YA  MAFINGA - KAA TAYARI KWA ALBUM MPYA YA VIDEO
1:36
KWAYA YA MT CESILIA MAFINGA
Рет қаралды 67 М.
TEGEMEO LANGU NI YESU - Melodic Harmony Chorale Ft Lawrence Kameja
6:25
Melodic Harmony Chorale
Рет қаралды 2,5 МЛН
MDOGO MDOGO-Deo Nkoko | John Paul II Mbeya Choir (JMC) |
7:58
John Paul II Mbeya choir
Рет қаралды 86 М.
ASHUKURIWE MWENYEZI
3:08
RAJO PRODUCTIONS
Рет қаралды 2,3 МЛН