Belozdad alitoa ofa tangia mwezi wa 6 wala sio Jana.
@hamidmussa83816 күн бұрын
Waongo nyinyi
@fathimadaid342916 күн бұрын
Mmezidi umbea
@user-ht5vo2em4f16 күн бұрын
Niny uto hamjitambui niny umewezaje mpaka Simba washindwa huyo AZZ ki atakuja ,,,,,,,
@AyatollahMustafa16 күн бұрын
Kwahyo mtu akipongeza ujio wa mchezaji ndo inamaanisha atabaki hata mayele alikua kipenzi cha yanga aliishi kama mfalme ila nini kilitokea kueni na kumbukumbu acheni kuchambua kwa ubunifu wenu
@user-vy9oq7gq9d17 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-ce3tx7mr8v16 күн бұрын
WAAMDISHI ISHINI KWA" FACT" MSIISHI KWA" SPECULATION" WENYE "D2 TUTAWADHARAU SANA
@GodfreyJames-zt6ig17 күн бұрын
Wwe ni mchambuz mandaz k azzi amesha ondoka
@user-bt6ep3yb2h17 күн бұрын
Aziz ki ameshaondoka kweda wapi? zaidi ya kwenda Yanga?
@ZakiaMgabo16 күн бұрын
Ende tu mpiran n biashara
@user-ce3tx7mr8v16 күн бұрын
NYIE WACHAMBUZI ni UJINGA WENU WA KUFIKIRI
@AliUsi-ms4bm16 күн бұрын
Nyinyi mnaweka akili ya mafanikio tu, hamuangalii Kuna na bahati mbaya ya kufeli, Kuna kuumia na mengineyo, ? Uchambuzi gn huo unaoangalia mafanikio tuu?
@user-up4kd4di7h17 күн бұрын
Acheni akatsfute maisha
@mwanangusana16 күн бұрын
Ndo yupo njiani kuelekea Egypt kujiunga na akina deborah
@Kabeya41016 күн бұрын
Acheni uongo hiyo offer fake nilioona mshahara siyo dola laki 4 hiyo ni pesa ya kusani tu mshahara ni dola 20, 000 mnatangaza vitu hata uongo wenyewe unakua na uongo ndani yake sijui mmesoma wapi uandishi KI KSAINI ZAMANI MPAKA LEO KI ANA SIKU 16 MTU YUKO FREE AJENT ANAKOSAJE TIMU MAFISI WANGEKUA WASHAMPITIA
@ismailhassan520916 күн бұрын
Kwa taarifa yako mwanamichezo, Eng.Hersi anampadisha chart ila Anasaini yanga na MO hamhitaji Azizi Ki kwa dau lolote
@pambaboniface119917 күн бұрын
Makolon hawana ubavu wa kimsajili hiyu dogo....wanatafuta mlango wa kutokea ilii wapte viewers