UFANYE NINI UKIJIONA UKO "DOWN" SANA - JOEL NANAUKA

  Рет қаралды 35,082

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Жыл бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

Пікірлер: 105
@fatmaomari7824
@fatmaomari7824 Жыл бұрын
Napenda sana kusikiliza Qur-aan baada muda huzuni huisha nikisiliza maneno ya Allah hakuna linalodumu katika ardhi Alhamndulilah
@abuuminya8746
@abuuminya8746 Жыл бұрын
Fatma Allaah akujalie uzidi kuwa ktk Ahlilkur an
@issaibrahim8796
@issaibrahim8796 Жыл бұрын
MashaAllah Bi, Fatma mie pia napenda hivyo
@hassanomondi1286
@hassanomondi1286 Жыл бұрын
umefunirahisha sana dadaang
@aliykijangwa4447
@aliykijangwa4447 Жыл бұрын
Mashallha mungu azidishe watu mfano wako dada
@godbethasylivery
@godbethasylivery Жыл бұрын
Naendelea kusikiliza Gospel huku nikitembea balabalani
@nursechunga4470
@nursechunga4470 Жыл бұрын
Napenda kusikiliza nyimbo za injili sana na nikipata mtu wa kumwelezea changamoto yangu, hapo nakua sawa kabisa, Mungu aendelee kukulinda kwaajiri yangu
@naominyanzilamachongo9642
@naominyanzilamachongo9642 Жыл бұрын
Nakumbuka alipofariki kiongozi mmoja mkubwa niliumia nikawa stamani kutoka nje, kule ndani nasikiliza nyimbo za misiba tu ziliimbwa sana kipindi kile hali yangu ilikua mbaya mtu mmoja akaniokoa kwa kunishauri kutoka nje na kutosikiliza nyimbo za majonzi ndipo nikapona. Nakuelewa sana mkufunzi
@sendamachenge6311
@sendamachenge6311 Жыл бұрын
Akili yako ni kubwa sana ndugu yangu ni mtaalamu sana wa physcology Tanzania nzima.
@joelnanauka
@joelnanauka Жыл бұрын
Ameen, namshukuru Mungu na ahsante
@joycehaule4520
@joycehaule4520 Жыл бұрын
Sana kwa kweli yupo vizuri
@194summer
@194summer Ай бұрын
Mungu akubariki sana joel nanauka wew ni mtu mwenye akili sana
@upperclass68
@upperclass68 2 ай бұрын
hili somo limenigusa sana kaka nimejifunza sana maana mimi najitengaga sana ghafla yani
@ZenorinaShio
@ZenorinaShio 2 ай бұрын
Nasikiliza gospel yan naweka sifa mpaka nahisi mimi ni tajiri nawakati mwingine nawatia moyo wengine na kuwasaidia
@kelvinbernard5453
@kelvinbernard5453 Жыл бұрын
Uwa natembea na kusikiliza mziki ila uwa unapenda sana kujitenga sijui nakuwa sawa au nakosea,? Naomba ushauli
@annakadudu4505
@annakadudu4505 Жыл бұрын
Huwa napenda kusikiliza neno la Mungu na nyimbo za Mungu
@bashirhassantipa5581
@bashirhassantipa5581 6 ай бұрын
Daaa safi sana Kila kitu dawa ktk kuishi
@kabwalipilote8347
@kabwalipilote8347 Жыл бұрын
thank you for your counselling bro , mimi mara nyingi nilikuwa nikifanya hivyo kusikiza nyimbo zinazoendana na situation nilio nayo
@japhetjohn5697
@japhetjohn5697 Жыл бұрын
Bigg thanks 🙏,nimekupata Sana Mwl.Joel,
@neemaryan9947
@neemaryan9947 Жыл бұрын
Asante sana kaka,, Mimi hua naipenda kutembea kuongea na watu nikikaa mwenyewe hua naumia zaidi Bora nijichanganye na watu.
@joelnanauka
@joelnanauka Жыл бұрын
Safi sanaaa
@azizamajuto928
@azizamajuto928 Жыл бұрын
Asante Kaka Mungu Akufungulie Mengine Ambayo Bado Hajakufungulia Hii Imefanya Niweze Kumpata Njia Ya Kuwa Mtu Mpya Na Punguza Mawazo
@loyceakuku6019
@loyceakuku6019 Жыл бұрын
unanifaruji sana na maneno ma kweli
@jimymagere1794
@jimymagere1794 Жыл бұрын
Nakubali sn mafundisho yk ila mm Kuna jambo huwa linanisumbua sn hasa kwenye ujasiliamali ama uzalishaji wng hasa pale ninapotaka kuweka akiba, nimejaribu mara kwa mara nashindwa je nakosea wp
@lidyanapegwa8154
@lidyanapegwa8154 Жыл бұрын
Hakika, elimu nzuri Kaka, mm huwa napenda kupitia nyimbo za injili zinazonitia moyo hivyo huwa napona mapema sana
@vijanaadventist9274
@vijanaadventist9274 Жыл бұрын
Barikiwa sana kaka, uwa natembea mara nyingi, hii ya kuandika nimeipenda zaidi #seeyouatthetop
@kingmwarabu3811
@kingmwarabu3811 Жыл бұрын
Ninavifanya sana kwa sasa maana nilipoteza kazi nikawa na mawazo sana kiasi nilimaliza mwezi ndani ila nikajiuliza mbona najiumiza mwenyewe baada ya hapo niakaamua kila siku asubuhi kutembea kuongea na watu tofauti imenisaidia kuludia hali ya kujiamini tena
@daisymtitu6375
@daisymtitu6375 Жыл бұрын
We jamaa mungu akuweke kwa ajiri yetu unanipaga nguvu kwa kila kitu thanks a lot
@karumekennedy7320
@karumekennedy7320 Жыл бұрын
Bro joel Kwanza nakuombea kwa mungu Akupe maixha marefu wewe na familia yako🙏🙏🙏 make naamin mimi bila wewe xidhaZna kama xahv mingekuwa hivi nilvyo kwa xaxa Kwa kweli umefunza mengi xana na penda xna kuxoma vitabu vyako nko strong xana life SHUKRAN
@official_rayob.8351
@official_rayob.8351 5 ай бұрын
Mi naandika sana muziki kaka❤
@Udindigwa
@Udindigwa Жыл бұрын
Mimi huwa Nakubali Na huwa Naanza Upya Naamuwa Kubadilika
@hildamushashu5056
@hildamushashu5056 Жыл бұрын
Yaani mungu ana makusudi na wewe kwetu thank u
@stevenfaston6059
@stevenfaston6059 Жыл бұрын
Ubarikiwe kaka mkubwaa🙏🙏🎮
@davidtvonline6020
@davidtvonline6020 Жыл бұрын
This is powerfully aki MWAKA MPYA BILA MUTU MPYA HAKUNA..asnt sana kaka
@joelnanauka
@joelnanauka Жыл бұрын
Ni kweli kabisaaaa
@catherineandrew7392
@catherineandrew7392 Жыл бұрын
Kaka Mungu azidi kukubariki
@kelvinbernard5453
@kelvinbernard5453 Жыл бұрын
Namshukuru kwa somo zuri, Mimi uwa unapenda sana kutembea huku nina sikilizia mziki,
@mamakekhubeiby4206
@mamakekhubeiby4206 Жыл бұрын
Kwa mimi napenda Sana kusoma Quran na kuleta adhikar ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@fatmaomari7824
@fatmaomari7824 Жыл бұрын
Maa shaa Allah nimekupenda
@mamakekhubeiby4206
@mamakekhubeiby4206 Жыл бұрын
@@fatmaomari7824 shukran jazzakalluhu heirr dadangu😘😘😘😘😘uko za wapi dear
@aliykijangwa4447
@aliykijangwa4447 Жыл бұрын
زاد الله امثالك اختي العزيزه الا بذكر الله تطمئن القلوب
@lucianambalamwezi1864
@lucianambalamwezi1864 Жыл бұрын
Mungu akutunze kaka kwasababu kila siku unayagusa sana maisha yangu ungekuwa hnafahamiana na wanangu ningesema huwa wanakuambia
@stevenobunde9345
@stevenobunde9345 11 ай бұрын
Jo mercí beaucoup!!!
@boscobalame8018
@boscobalame8018 Жыл бұрын
Yeah Kweli Kabisa HASA MUSIC Sana 🤝 Joel we Ni Head Teacher 🤔 Asante kwa kunifunguwa kwa mengine
@joelnanauka
@joelnanauka Жыл бұрын
Ahsante sana Bosco
@khadijakisingo7920
@khadijakisingo7920 Жыл бұрын
Asante naamini mm Ni strong
@givenfredy3589
@givenfredy3589 Жыл бұрын
Thanks bro , kusikilizq mziki huwa n jambo nalopenda kulifanya ,, pia kujichanganya na marafiki kupiga story au kujadiliana kitu hunisaidia sana kuondoa huzun nilionayo au mawazo .... 🙏 nimejifunza njia zingine Leo ubarikiwe
@fundivigaetzchannel1899
@fundivigaetzchannel1899 Жыл бұрын
Kaka ubarikiwe sana 4 umenigusa sana Ahsante sana Kaka
@rollingsmiller9514
@rollingsmiller9514 Жыл бұрын
Mimi napenda kusikiliza gospel music brother
@rosemarysulle9288
@rosemarysulle9288 Ай бұрын
Yaan nikiwaga kwenye hiyo hali,huwa nasikilizaga nyimbo za kuabudu,nakunywa mpk pombe wakati mwingine,najiona km dunia imenitenga vile.ila nikitoka tu nasahu yote
@confiancendayishimiye3951
@confiancendayishimiye3951 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@benjaminsanare-ug6ge
@benjaminsanare-ug6ge Жыл бұрын
Mie nikiwa down huwa nafanya mazoezi ya viungo uku nasikiliza muziki huwa najikuta niko sawa kwa kweli
@user-qn7xd2uu8j
@user-qn7xd2uu8j Жыл бұрын
Barikiwa sana mwalimu
@marcopeter4091
@marcopeter4091 Жыл бұрын
Asante sana Nanauka
@stelafrancisshenkunde9045
@stelafrancisshenkunde9045 Жыл бұрын
Naongzea Kuwa na sala inahitajika katika vipindi Kama hivi asante
@lizzybahati3739
@lizzybahati3739 Жыл бұрын
Ahsante kwa elimu
@ritakahurananga9866
@ritakahurananga9866 Жыл бұрын
Asante Mshauri na coach hodari. Mimi huwa nina fanya short exercise na kusikiliza muziki unao ni inua. Muda mwingine nina chora.
@ntimishibanda3586
@ntimishibanda3586 Жыл бұрын
Asante kiongozi
@NeemaKaole
@NeemaKaole Жыл бұрын
Asante sana
@ashaidd2912
@ashaidd2912 Жыл бұрын
Shukrani sana bro
@clementmkwemba6248
@clementmkwemba6248 Жыл бұрын
Ishi sana Umefanyika baraka sana
@teacher_dory
@teacher_dory Жыл бұрын
It worth it to listen to this video .
@janeflorencesajjabi1545
@janeflorencesajjabi1545 Жыл бұрын
BARIKIWA sana Mr.Joel ,Umenifundisha vitu vingi sana 2022 Ikiwemo Ujasiri, Kujiamini na Kuomba sanaa. Na sasa 2023 naendelea nawe.
@mariambenezeth6434
@mariambenezeth6434 Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@LakinaneMuna
@LakinaneMuna 5 ай бұрын
Ubarikiwe sana
@karugabajastin2852
@karugabajastin2852 Жыл бұрын
Big up xan bro💪
@frankpeter2077
@frankpeter2077 Жыл бұрын
Well explained. #Madini.
@Ms_Kasalah
@Ms_Kasalah Жыл бұрын
Thanks a lot
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 Жыл бұрын
Ahsante brother
@eliamartine4720
@eliamartine4720 Жыл бұрын
Umenivusha mbalii sanaa
@academiazsoft
@academiazsoft 10 ай бұрын
Apreciate mkuu
@sadockedward2219
@sadockedward2219 Жыл бұрын
Napenda sanaaa ushauri wako kaka
@stevenfaston6059
@stevenfaston6059 Жыл бұрын
Mm napenda sana kwenda kucheza game
@priscaalbert
@priscaalbert Жыл бұрын
Mbona kama hii ni kwaajili yangu thanks bro
@evaleen4359
@evaleen4359 Жыл бұрын
Hongera sana kaka
@FeisalShomari-fc3ej
@FeisalShomari-fc3ej 6 ай бұрын
Joel your bright
@salmazwallo5920
@salmazwallo5920 Жыл бұрын
Mm napenda sana kusikilizaa simulizi mbali mbali hafu napendaa kuwa peke yangu na kuzungumunzaa peke yangu badaee 2 hali yangu inarund
@richardmartin6429
@richardmartin6429 Жыл бұрын
Mimi ninapokutana na Changamoto ninakiri Ushindi, lipo neno ninalopenda kutoka ( Warumi 10:10) Kwa maana kwa moyo mtu huamini hata kupata haki, na kwa kinywa hukiri hata kupata wokovu.
@subiraibrahim8100
@subiraibrahim8100 Жыл бұрын
Mimi naomba no ako 😢😢😢Niko na Hali isiyo ya kawaida 😢😢😢😢😢
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
Gospel 🤦‍♀️ tena ambwene mwasongwe 😪kaka ana ni barikiwa sana🙌Ahsante sana nipe pata kitu kipya leo??
@rehefehe8890
@rehefehe8890 Жыл бұрын
Good lesson, mm apo ni kusikiliza music nishawahi kufanya na nikapona vizur, ingawa rafiki yangu wa karibu alinilaumu Sana kutwa music
@byClever
@byClever Жыл бұрын
Hii video ni kwaajili yangu ukweli niko down sometime naona kama na give up
@chungwasingers
@chungwasingers Жыл бұрын
Nice but mimi ninapojisikia nipo down huwa natafakari ni ma ngapi Mungu amenipigania na bado nimeitwa kufanya makubwa zaidi kwani kuna watu hewa ninayovuta bure wengine wanalipia hospitali baada ya hapo najiambia nilikotoka ni chini zaidi ya hapa nilipo so nitapandishwa zaidi ya hapa pia
@shedrackemanuel5223
@shedrackemanuel5223 4 ай бұрын
Kuskiliza nyimbo za Joel lwaga😅
@pizorlokiskune869
@pizorlokiskune869 Жыл бұрын
Good
@magrethmeena
@magrethmeena Жыл бұрын
Hii ilikuwa yangu kbsaa imekuja muda muafakaa
@japhetjohn5697
@japhetjohn5697 Жыл бұрын
Kingine ninachofanya Kusikiliza Nyimbo za Maabudu
@bernadetachari7648
@bernadetachari7648 Жыл бұрын
Kutembea,kusikiliza nyimba za kanisa,nikishindwa sana huwanaliya ndipoinitoke kwamoya
@samwelimwanja4105
@samwelimwanja4105 Жыл бұрын
😄 🤣 Bernadeta umetisha hadi ulie ndio uwe pow
@samwelimwanja4105
@samwelimwanja4105 Жыл бұрын
😄 🤣 Bernadeta umetisha hadi ulie ndio uwe pow
@bernadetachari7648
@bernadetachari7648 Жыл бұрын
@@samwelimwanja4105 eeeee kulia nilazima nikilia 2 hivi hutawainiona tena nikikusoghelea yani hivyoimeisha kabisa
@samwelimwanja4105
@samwelimwanja4105 Жыл бұрын
Uko wapi bernadeta mi niko mwanza
@samwelimwanja4105
@samwelimwanja4105 Жыл бұрын
Napenda tufahamiane kama hutojali waweza kunipa namba kwa mawasliano
@mosesfrancis8495
@mosesfrancis8495 11 ай бұрын
Mkn
@ghfhfdtyfgggd6271
@ghfhfdtyfgggd6271 Жыл бұрын
Mimi nafanya sport haswa kulukaluka kamba. Nasahau yote.
@benekatare3948
@benekatare3948 Жыл бұрын
Vipi kuhusu kusali? Like ufanye meditation, je, ni sahihi?
@mbelyterry1584
@mbelyterry1584 Жыл бұрын
Joel na kubali hapo umesema ukweli 😊😊
@joelnanauka
@joelnanauka Жыл бұрын
Shukrani sana
@dianamuhumba
@dianamuhumba Жыл бұрын
To me writing down is the best things I really appreciate it is making me to get myself🫶
@Delphinusdeodatus-xu6nf
@Delphinusdeodatus-xu6nf Жыл бұрын
Kiukweli ushauri wako umeninikomaza na kuzidi kuniongezea hamasa katika mapambano yangu MUNGU akupe maisha marefuu hakika ww ni mkimbozi wa fikra zetu.
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Жыл бұрын
Asante sana
SAIKOLOJIA YA WIVU KWA WANAWAKE -  JOEL NANAUKA
18:41
Joel Nanauka
Рет қаралды 58 М.
EPUKA MAMBO HAYA - JOEL NANAUKA
9:19
Joel Nanauka
Рет қаралды 100 М.
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 12 МЛН
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 12 МЛН
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 14 МЛН
Каха заблудился в горах
00:57
К-Media
Рет қаралды 8 МЛН
KUSUDI LA MAISHA YAKO - JOEL NANAUKA EPISODE 02
10:00
Family of Praying Women
Рет қаралды 9 М.
Vitu Vinavyopoteza Focus Yako Kwenye Maisha - Joel Nanauka
14:16
Hamasika Tv
Рет қаралды 53 М.
Dr. Chris Mauki: Mambo 8 ya Kukusaidia Kuishinda Hofu
12:14
Chris Mauki
Рет қаралды 31 М.
MAMBO 10 MUHIMU YA KIUCHUMI KWA MWANAMKE  - JOEL NANAUKA
14:04
Joel Nanauka
Рет қаралды 24 М.
TENGENEZA UTAJIRI KUPITIA HISA na Emilian Busara
57:11
Edmund Munyagi
Рет қаралды 50 М.
Fix You: Namna ya kuishi na watu wenye tabia tofauti kabisa na wewe
1:01:08
TENGENEZA MAISHA UNAYOYATAKA - JOEL NANAUKA
16:51
Joel Nanauka
Рет қаралды 117 М.
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 12 МЛН