UFUGAJI WA NGURUWE KIBIASHARA:fahamu chakula bora/banda bora.

  Рет қаралды 70,919

MBAWIZO MAARIFA TV.

MBAWIZO MAARIFA TV.

5 жыл бұрын

Haya ni maarifa ya ufugaji nguluwe kwa tija kibiashara,hii video inakuelekeza jinsi ya kufuga nguluwe kibiashara kwa kufahamu vyakula na virutubisho mbalimbali vya kumkuza haraka.Pia utapata kufahamu ujenzi wa banda bora na imara kwa ukuaji salama.

Пікірлер: 47
@ezreekboetz3432
@ezreekboetz3432 3 жыл бұрын
Wazur can hao nguruw
@e.e5698
@e.e5698 4 жыл бұрын
Ndio ndio ndio... Jamaa unakera kweli na msauti wako... Uliza swali kaa kimya aelezee..
@israelmkaka2807
@israelmkaka2807 3 жыл бұрын
Hehee
@farajasolomoni7660
@farajasolomoni7660 4 жыл бұрын
Boss hongera
@fideliscastro1916
@fideliscastro1916 3 жыл бұрын
Sawa Sawa..Nimeikubalii Sanaa
@severina3429
@severina3429 9 ай бұрын
Asante,naomba namna ya kuchanganya
@cdealvic4400
@cdealvic4400 4 жыл бұрын
Nakuona kamanda chapa kazi
@SilasshijaMangu
@SilasshijaMangu 6 ай бұрын
Saf kbx kwa elim
@witsonmwangoka5413
@witsonmwangoka5413 4 жыл бұрын
Kaka tunashukuruni sana kwa maarifa mnayotuongezea
@eliamangi6166
@eliamangi6166 2 жыл бұрын
Hongera Dana naomba kujua mpo wapi?Nahitaji Mbegu
@dastanfussy4898
@dastanfussy4898 4 жыл бұрын
Upo wapi?
@mdagetv9308
@mdagetv9308 4 жыл бұрын
Mbona anafuga kidogo Sana
@pastorsylvesterkalinga3189
@pastorsylvesterkalinga3189 Жыл бұрын
Mkuu naitaji mbegu mawasiliano please
@nijuze_foundation
@nijuze_foundation 3 жыл бұрын
Kuna aja ya kurudi darasani katika kile mtu unachofanyia kazi na maana kuwa sio kila mtu anaweza kuwa motivator au kuwa mtangazaji. Jornalism Ethics ni mhimu sana media ethics .
@mbawizomaarifatv.6970
@mbawizomaarifatv.6970 3 жыл бұрын
Sure ! mjomba,ila thanks for watching.
@frednyaonge7350
@frednyaonge7350 3 жыл бұрын
fact ...jamaa li sauti linaboa
@joelmtitu7857
@joelmtitu7857 3 жыл бұрын
Naitwa Joel mtitu kutoka njombe napataje mbegu Bora ya nguruwe
@Godneverfailed
@Godneverfailed 3 жыл бұрын
Wa miezi miwili huwa anakilo ngapi kaka
@selector728
@selector728 Ай бұрын
Izo kilo uongo
@emellah716
@emellah716 3 жыл бұрын
Mkuuu unanikumbusha nanenane
@mbawizomaarifatv.6970
@mbawizomaarifatv.6970 3 жыл бұрын
Sure man...kumbukumbu nzuri bana.
@dastanfussy4898
@dastanfussy4898 4 жыл бұрын
Upo wapi? Mbegu gan hiyo?
@mbawizomaarifatv.6970
@mbawizomaarifatv.6970 4 жыл бұрын
mcheki kwenye hiyo namba hapo juu kwenye video utaiona.
@michaelmrema5233
@michaelmrema5233 3 жыл бұрын
Mnapatikana wapi
@mbawizomaarifatv.6970
@mbawizomaarifatv.6970 3 жыл бұрын
Mcheki kwenye namba yake hapo juu ya banda ndugu muwasiliane.
@nelsonngowi3950
@nelsonngowi3950 3 жыл бұрын
Ni aina gani ya mbegu?
@mbawizomaarifatv.6970
@mbawizomaarifatv.6970 3 жыл бұрын
Mcheki huyo ndugu namba yake iko hapo kwenye banda akuelekeze.
@barick
@barick 4 жыл бұрын
Pia mi nimfugaji wa nguruwe niko njombe. Kwa ukuaji huo sina uhakika nilitamani ningekua jirani ili nijilidhishe.
@mbawizomaarifatv.6970
@mbawizomaarifatv.6970 4 жыл бұрын
Kila kitu kinachowezekana huwa kinawezekana kinachotakiwa ni imani na maarifa sahihi ya kukifanya mkuu.
@emanuelhincha5888
@emanuelhincha5888 3 жыл бұрын
kwenye kilo kwakweli hapana hapa katupiga kamba aisee
@barick
@barick 3 жыл бұрын
@@emanuelhincha5888 sijui sina uhakika
@lucasmwaura7865
@lucasmwaura7865 4 жыл бұрын
Huku ni Tanzania???.Am also a pig famer
@mbawizomaarifatv.6970
@mbawizomaarifatv.6970 4 жыл бұрын
Ndio mkuu..basi tubadilishane uzoefu hapo kwenye maoni ndugu.
@samwelibrahim1716
@samwelibrahim1716 4 жыл бұрын
naweza pata namba ya huyo mfugaji tafadhali kama inawezekana
@captenndunga6199
@captenndunga6199 4 жыл бұрын
Sasa inamaana namba hujaiona au unasikiliza audio? Jiongeze.
@sayibaba8566
@sayibaba8566 4 жыл бұрын
@@captenndunga6199 namba mbona zipo hapo kaka...
@kusekwasita1576
@kusekwasita1576 4 жыл бұрын
Huku kwetu ukiweka kibanda cha kizembe hvyo wezi wanakuja kuchukua wote hao
@mbawizomaarifatv.6970
@mbawizomaarifatv.6970 4 жыл бұрын
Daa wezi wanakwamisha kweli we fanya linalowezekana ndugu inmladi tusonge hata kwa hatua mojamoja.
@carolshiru4374
@carolshiru4374 4 жыл бұрын
Laki mbili ni pesa ngapi za kenya
@geofreymwakasege953
@geofreymwakasege953 4 жыл бұрын
10 000ksh
@denisdashina4348
@denisdashina4348 4 жыл бұрын
Caroline Wanjiru .20,000
@khalifaurassa9678
@khalifaurassa9678 3 жыл бұрын
Kuna midudu mingine ukiifuga una fanana nao
@mbawizomaarifatv.6970
@mbawizomaarifatv.6970 3 жыл бұрын
Ha! ha! ha! ndugu bwana..usiwaze si unajua hata mke ukikaa naye sana na mkiwa mnapendana kwa dhati wengine wanaanza kufanana na wake zao...usiwaze ndugu si unajua itikadi tofauti wengine siyo wafia dini sana maisha magumu mbinu yoyote wanasukumia maisha wasije wakaiba vya watu bwana.
@onenonetv5469
@onenonetv5469 3 жыл бұрын
unaongea kifala
@denisdashina4348
@denisdashina4348 4 жыл бұрын
duuh
@mbawizomaarifatv.6970
@mbawizomaarifatv.6970 4 жыл бұрын
ndio ndugu!
UFUGAJI WA NGULUWE KIBIASHARA:Ujue mchanganyiko wa chakula BORA cha nguluwe.
4:55
July 14, 2024
2:32
Omuttaka Yeremiah
Рет қаралды 4
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 106 МЛН
Получилось у Миланы?😂
00:13
ХАБИБ
Рет қаралды 3,4 МЛН
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 25 МЛН
Ufugaji wa nguruwe kisasa.
34:35
ITV Tanzania
Рет қаралды 51 М.
Tazama ujifunze: Ujenzi wa Banda bora la Nguruwe
10:20
Rubaba Tv
Рет қаралды 49 М.
MBUZI WA MAZIWA [ PART A ] || AKILI SHAMBANI
11:39
MBCI TV OFFICIAL
Рет қаралды 2 М.
UFUGAJI WA KISASA WA SAMAKI KWENYE MABWAWA
9:36
Mbeyainfo TV
Рет қаралды 9 М.
PART 1: UTASHANGAZWA NA UWEKEZAJI HUU/ NG'OMBE ANAUZWA MILIONI 30
31:59
DARASA LA UFUGAJI BORA WA NGURUWE |SIFA 5 ZA BANDA BORA LA NGURUWE|
5:50
PART 1: UTENGENEZAJI WA  CHAKULA CHA KUKU  WA MAYAI (CHICK STARTER)
14:41
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 106 МЛН