Ukisikia Ufugaji Unatajirisha NIKWELI Usibishe !! Mzee Anapata Maziwa Lita zaidi ya 200 kila siku.

  Рет қаралды 59,315

RUBABA TV

RUBABA TV

Жыл бұрын

Tunaposema Ufugaji unalipa nikweli tunamaanaisha, ila nipale tu utakapo amua kubadilika na kufanya ufugaji kibiashara.
Leo tumesafiri mpaka mkolani mkoani Mwanza kwenda kumtembelea Mzee SHARIF SAIDI Alimaalufu kama KWEZI ambae ni mfugaji wa ng’ombe wa maziwa, na kwa mara kwanza tulifahamiana nae pale aliopotupigia simu baada ya kututazama kupita RUBABA TV, na kilicho ttuvutia mpaka kumtembelea si tu kwa sababu alitupigia simu ila ni jinsi ambavyo mfugaji huyu ameamua kuwekeza muda, nuda na pesa kufanya ufugaji wa ng’ombe wa maziwa kibiashara.
Nisiwe mzungumzaji sana, Katika video hii kunamengi ya kujifunza kutoka kwa mfugaji huyu kwani yeye ni moja ya wafugaji ambae amefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana, na nikuibie sili kwa siku anapata hadi zaidi ya lita miambili za maziwa amabazo ni zaidi ya laki 2 za kitanzania kila siku.
huyu hapa msikilize
CONTACT US
EMAIL: RUBABAIMANI@GMAIL.COM
PHONE: +255(0) 764148221
SUBSCRIBE KUJIFUNZA MENGI ZAIDI

Пікірлер: 49
@RubabaTv
@RubabaTv 6 ай бұрын
Kujiunga na Darasa la Ufugaji wa ng'ombe kibiashara wasiliana nasi 0764 148 221
@lameckmbise4834
@lameckmbise4834 Жыл бұрын
Asante mzee wangu upo vzr Mimi nitakuunga mkono kwa kuleta mbegu bora (I'm a vet)
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 8 ай бұрын
Hajibu meseji🥲
@ezekielshija9251
@ezekielshija9251 3 ай бұрын
Hajakujibu nini ndugu?​@@nantaembanusurupia5674
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Жыл бұрын
Hongera sana Baba
@saysophyfarm1780
@saysophyfarm1780 Жыл бұрын
Hizi ndo video za kutizama. Asante sana RUBABA TV
@RubabaTv
@RubabaTv Жыл бұрын
Asante kwa kuendelea kua nasi
@judicalosika7642
@judicalosika7642 Жыл бұрын
🇮🇱Ingekuwa amei yangu, ningependekeza mabasi yote yenye Tv, waoneshe picha/movies zenye elimu kama huzi
@rejobu9723
@rejobu9723 Жыл бұрын
Naomba number ya huyu mzee pls 👏
@veronicamkenda9096
@veronicamkenda9096 Жыл бұрын
Asante sn kwa some zuri,Naomba no ya mzee Kwezi
@ibrahimshabani3544
@ibrahimshabani3544 Жыл бұрын
Mzee sharifu Hongera sana Darasa lako Nimekuelewa namba Zako Ninazo Nitakupigia Mzee Wangu Mimi nipo mkoa wa pwani
@GreysonMheni-ln9rm
@GreysonMheni-ln9rm 9 ай бұрын
Naomba unisaidie nambaake huyu mfugaji
@eliaspallangyo3874
@eliaspallangyo3874 2 ай бұрын
Waoooh leo nilikua na maswali mengi sana naona majibu Mungu amenipa kupitia hapa. Niko mtaa wa Buganda Mkolani lazima niwatafute
@SamsonMuchiri-rb4ue
@SamsonMuchiri-rb4ue Жыл бұрын
Hongera sana Mzee Kwezi
@DavidKilowoko
@DavidKilowoko Күн бұрын
Ni lazima ng'ombe akamuliwe mara tatu Kwa siku badala ya mara mbili yaan asbuh na jioni?
@sulaimankalisa7247
@sulaimankalisa7247 Жыл бұрын
Great job well done muzee
@RubabaTv
@RubabaTv Жыл бұрын
Asante sana
@sulaimankalisa7247
@sulaimankalisa7247 Жыл бұрын
I will visit your farm one day
@nickolousrajabu5001
@nickolousrajabu5001 9 ай бұрын
Hongera sana
@aloycejeremiah7137
@aloycejeremiah7137 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥 mtaa kwa mtaa
@RubabaTv
@RubabaTv Жыл бұрын
Kama kawaida
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
Hongera baba ngoja nami nikitoka omani niboreshe ufugaji
@RubabaTv
@RubabaTv Жыл бұрын
Nice
@avithtumainiisdorymaro9168
@avithtumainiisdorymaro9168 6 ай бұрын
Mradi safi kabisa
@hassangauday6272
@hassangauday6272 10 ай бұрын
Nitakuja kwako nipate utaalam hongera baba
@witnessmallya5114
@witnessmallya5114 Ай бұрын
Niko Dar naweza kupata mbegu?
@SwalehShaha-ez1rf
@SwalehShaha-ez1rf 5 ай бұрын
Hii mashine ya majan bei gan?
@Angelfish2023
@Angelfish2023 11 ай бұрын
Namba za mzee
@muhammedwakif6216
@muhammedwakif6216 Жыл бұрын
number hujaandika umesema tu utaandika number lkn hujaandika
@ThadeusKisangi
@ThadeusKisangi 9 ай бұрын
Naomba namba ya mzee kwezi
@rosemaryernest7738
@rosemaryernest7738 Ай бұрын
Naomba namba ya Mzee huyu tafadhali.
@amanihosea8587
@amanihosea8587 8 ай бұрын
Hii Namba zenuu wakuu tunawapatajee
@tumainirwela6488
@tumainirwela6488 Ай бұрын
Hello! Mnaweza kuwa na shamba darasa au wafugaji Dodoma mjini?
@RubabaTv
@RubabaTv Ай бұрын
Wasiliana nasi 0764 148 221
@ShukuruJully
@ShukuruJully 3 ай бұрын
Somo zuri ila namba ume zngua
@Salumchiwili2023
@Salumchiwili2023 4 ай бұрын
Nimekua na ndoto za kufuga nadhani sasa ndio muda sahihi asanteni kwa elimu nzur
@RubabaTv
@RubabaTv 4 ай бұрын
Wasiliana nasi 0764 148 221 tukusaidie
@wahidai99w
@wahidai99w Жыл бұрын
Nambaza
@lilianchishomi2999
@lilianchishomi2999 Жыл бұрын
Tunaomba namba zake
@RubabaTv
@RubabaTv Жыл бұрын
Zipo kwenye video
@StanleyMyombo
@StanleyMyombo Жыл бұрын
Naomba no ya mzee kwezi
@RubabaTv
@RubabaTv Жыл бұрын
0764 148 221
@mpokimwasimba
@mpokimwasimba Жыл бұрын
Dude where is this big?
@RubabaTv
@RubabaTv Жыл бұрын
In Mwanza Tanzania
@mpokimwasimba
@mpokimwasimba Жыл бұрын
Asante bro..Nisha download video zako nyingi sana nakufatilia vizuri sana..mimi nafuga huku Vikindu wilaya ya Mkuranga please let have your number..
@RubabaTv
@RubabaTv Жыл бұрын
0764148221
@StanleyMyombo
@StanleyMyombo Жыл бұрын
Ninafuga nataka nipate ushauri zaidi
@RubabaTv
@RubabaTv Жыл бұрын
Wasiliana nasi kwa usaidizi zaidi 0764 148 221
@imanimussalacky3078
@imanimussalacky3078 Жыл бұрын
Safi sana
Dairy Farming techniques- Ngigi Farm.
29:42
FarmKenya
Рет қаралды 116 М.
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 15 МЛН
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 7 МЛН
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 14 МЛН
#TBCShambani: Ufugaji Wa  Ng'ombe wa  Kisasa wa Maziwa.
28:22
TBConline
Рет қаралды 25 М.
SIRI YA MAKONDA NA UONGOZI WAKE ARUSHA, SABABU YA WATU KUMTAKA
12:38
MZEE ANAYEMILIKI NG'OMBE WENGI ZAIDI NYUMBANI KWAKE
6:44
emma nassor
Рет қаралды 311 М.
KANUNI 7 ZA KUTENGENEZA MTEGO WA FEDHA! PART 1
30:57
THOM. KAVISHE GOSPEL TV.(TKG.TV.)
Рет қаралды 209
JINSI YA KUANZA UFUGAJI WA MBUZI | #MAVUNOTIMES
10:15
MAVUNO TIME
Рет қаралды 57 М.
Mkulima Ni Ujuzi - Ufugaji wa Ng'ombe wa Maziwa
46:14
UHDS
Рет қаралды 21 М.
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 15 МЛН