UFUNUO WA KUCHA NA NYWELE, NABII SUGUYE KAUPATA WAPI? SIO UCHAWI HUU?

  Рет қаралды 37,417

Chomoza Tv

Chomoza Tv

Жыл бұрын

Kuendelea kupata mafundisho mengine zaidi tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:-
Facebook : / gospeltvshow
Instagram : / chomozanews
KZfaq : kzfaq.info?su...
#ChomozaTv#2022

Пікірлер: 285
@jesusisthewaytoheaventv5353
@jesusisthewaytoheaventv5353 Жыл бұрын
Wagalatia 1:6-8 inasema: Nashangaa kuona kwamba mnamwacha upesi hivyo yule aliye waita kwa neema ya Kristo mkaanza kufuata Injili nyingine. 7 Ukweli ni kwamba hakuna Injili nyingine, ila nafahamu kuwa wako watu wanaowavuruga, ambao wanataka kuipotosha Injili ya Kristo. 8 Lakini hata ikiwa ni sisi au ni malaika atokaye mbinguni, kama mtu akiwahubiria Injili ambayo ni tofauti na ile tuliyowahubiria sisi, basi mtu huyo na alaaniwe.
@xxxxxxx6013
@xxxxxxx6013 Жыл бұрын
Nywele na kucha Kumbukumbu La Torati:21.11-13 ukaona kati ya mateka mwanamke mzuri, ukafanya tamaa kwake, ukawaza kumtwaa kuwa mkeo; ndipo umchukue kwenu nyumbani kwako, naye atanyoa kichwa, akate na kucha; avue na mavazi ya uteka wake akae nyumbani mwako, awakalie matanga babaye na mamaye mwezi mzima, kisha uingie kwake uwe mumewe, naye awe mkeo.  Bwana Yesu asifiwe sana sana. Nami kwa neema ya Mungu niliyojaliwa kwa sehemu yangu , nimeona vema kukuletea neno hili ,ili angalau upate ufahamu ambao utakupa msaada wa kukutoa sehemu moja kwenda nyingine. Kuna wakati ndugu mmoja aliwai kuniuliza swali ,nini maana ya kuota nywele na kucha vinakatwa. Kupitia mistari hii ya Biblia tutafahamu kwa sehemu. Ukisoma kumbukumbu la torati 21:11-12; utaona neno linaeleza kuwa kuota unakata au unakatwa kucha , unanyoa au unanyolewa nywele , ni ishara ya wazi kuwa wewe ni mateka, ya ufalme au utawala Fulani. Kulingana na hiyo mistari ni kwamba ufalme au utawala, unapokuona kuwa we unafaa kwa ajili ya masilahi au mambo yao, na ukakutamani sana , uwe upande wao, uwezi kuwa upande wao bila ya kukuingilia na kukumiliki kiroho , na ili kukumiliki lazima wakupe mashariti au kanuni au sheria zao ,sasa kule kukufanya ukubaliane na hizo kanuni au sheria zao ndio kule kuona unakata au unakatwa kucha na nywele. Ili uwe mtu wa kwao na waweze kukuunganisha na mambo ya ufalme wao ,lazima wakupe mambo yatakayo ku kubadilisha na kukufa uendane na mazingira na mambo yao ,kwa hiyo unapoona ndotoni ukata au unakatwa kucha na nywele tambua kuwa unapewa ujumbe wa kukuonyesha kwamba kuna ufalme au utawala ambao umetokea kukupenda na kukutamani sana kwa masilahi yake ,na umekuteka na kukufanya wa uo ufalme. Ukiona namna hiyo hapo ujue pia kuna mpaka mambo ya kurithi ya ufalme au utawala fulani ndani ya familia au ukoo pia yako ndani yako ,yamerithishwa pia ndani yako na yanatawala na kuyaendesha maisha yako. Kwa hiyo unapojikuta unaota ndoto za kukatwa kucha na nywele tazama pia ni mazingira yapi unayokata au kukatiwa hiyo kucha au nywele. Kumbumbu la Torati 21:12, inatueleza ivi , “ndipo umchukue kwenu nyumbani kwako , naye atanyoa kichwa ,akate na kucha;” Tazama hilo linachosema ,sijui kama umeanza kuona kitu cha ajabu hapo. Ni kwamba uko uhusiano mkubwa sana kati ya mazingira ya ukataji au ukatwaji wa kucha zako na nywele na nguvu ya roho inayotawala kwenye hilo eneo la aridhi au nchi ndani ya familia au ukoo ulioko uko ndani. Yule ndugu aliambiwa kuwa ili uweze kumfanya mwanamke mzuri ,uliyemtamani na kumteka ,awe wa upande wako na umuoe yaani ummiliki na kumtawala ,lazima uhakikishe unamtoa kwenye eneo fulani na kumpeleka kwenye eneo la kwako na akifika kwenye eneo la kwako , akate au akatwe kucha na nywele zake na asipokata au kukatwa hizo kucha na nywele huyo awezi au hatofaa kuwa wa kwako au wa upande wako. Sikia ni ivi unapokuwa umeota unakatwa au unakata kucha tambua mambo yafuatayo yako juu yako ; 1) Umetekwa au umeshikiliwa na ufalme au utawala fulaniKumb² 21:11 2) Maisha yako yameamishwa kutoka kwenye maisha yako ya kawaida na kuwekwa chini ya mamlaka inayotawala kiroho kwenye eneo la ukoo au familia fulani, iwe ya kwako au ya mume au ya rafiki na n.k. Hapa utakuta kama zile roho zenye nguvu zilizokuamisha na kukuingiza katika ufalme wao ambao unapenda uwe wa upande uo na kukutawala au kukumiliki uko ,utashangaa kama azitaki uwe tajiri uwezi kuwa tajiri ,hata kama umesoma mpaka darasa la mwisho ,zikigoma zimegoma ,utakuwa wa maisha ya kiwango cha chini tu ,kama uko ndani ya ukoo au familia zimesema kuwa hapa hakuna kupata uzao ,uwezi kupata uzao ,utaangaika wee jasho litakutoka lakini wapi, miaka inaenda upati watoto, kama zimesema kuwa hakuna mafanikio ya aina yoyote kupatikana basi na maisha yako yatakuwa ivyo ivyo tu ,ufanikiwi maana wao ndio wanaokumiliki na wenye nguvu ndio wameamua juu yako maana ni mateka wao. Mara nyingi ukiwa kwenye ndoto za namna hii utashangaa ndoto zako za kimaisha ,maendeleo yako , hatima yako , utakuta zinavurugika zote na unaona Mara ukitaka kufanya jambo jema fulani ,mara kinainuka hiki na hiki na linavurugika kabisa. 3) Maisha yako yameingizwa ndani ya agano ambalo linafanya ufalme au utawala fulani kuyamiliki maisha yako ,kiuhalali kabisa Kumb² 21:13. Agano linapokuwepo mahali kwa watu ,hata kama awapendi kutawaliwa au kumilikiwa na roho ya ufalme fulani , watatawaliwa na kumilikiwa tu ,wapende au wasipende.Agano ndilo linaloamua , sio watu walioko ndani ya familia au ukoo ,bali lile agano ndilo linalofanya maamuzi fulani fulani uko ndani , likiamua kuwa ukatwe kucha na nywele ili uwe mkiwa ,maskini ,tasa ,mlevi ,mzinzi ,kahaba au mchawi au muabudu mizimu lenyewe limeamua tu na utakuwa ivyo kama ujapata wa kukutoa na kukukomboa uko. Mambo ya kufanya unapojikuta uko ndani ya mambo hayo; a)Kataa elimu au mafundisho potofu yanayotolewa ndani ya ukoo au familia yako.Kwa sababu kulingana na Wakolosai 2:8 ; zile elimu potofu na mafundisho hayo ndizo zinazotumika kukufanya uwe mateka ndani ya koo au familia. Kataa mambo ya kimila na desturi na tamaduni ambazo aziko kwa jinsi ya mafundisho na elimu ya Yesu kupitia neno lake hata kama mtoaji hayo mafundisho na elimu ni mtu wa dini fulani nzuri.Mfuate Yesu kama Wakolosai 2:9 isemavyo. b) Ikiwa umejikuta umeingizwa uko kwenye mila na desturi zilizo kinyume na neno la Mungu au unajiona kabisa kuwa ni wazi unamilikiwa na falme falme za Giza ,fanya toba na uombe Mungu kwa Yesu Kristo ,akutoe uko kama Wakolosai 1:13 isemavyo.
@esmeraldastanley4886
@esmeraldastanley4886 Жыл бұрын
Baba yako Tbjoshua hakuwahi kufanya hayo, we umeyapata wapi mwanae? Tubia dhambi hii Suguye , Mungu anakupenda . Kumbuka Yesu anajitosheleza katika mambo yote !
@judymasunzu7517
@judymasunzu7517 Жыл бұрын
Hamna Mungu hapo. Acheni kumsingizia Mungu.
@Mazoea
@Mazoea Жыл бұрын
Nimefurahai sana watanzania mmeanza kuamka
@babumrisha
@babumrisha Жыл бұрын
Chomoza TV mbarikiwe sana kwa kazi mnazozifanya., kuutafuta ukweli na kumpa mtu nafasi ya kufafanua alichokiamini yeye
@thereseuwezo9449
@thereseuwezo9449 Жыл бұрын
Hapo Amejionyesha wazi sass Amefika mwisho wake hivo kwa JINA LA YESU ASHINDWE NS KULAANIWA AMEN 🙏
@harunione19
@harunione19 Жыл бұрын
watu wangu wanaagamia kwa kukosa maarifa ndugu zangu tuwe makini sana na hawa manabii wa uongo,kwenye bibili hakuna kisima cha mpenyo yeye kakitoa wapi anipe madiko hicho kisima cha mpenyo kilipo andikwa hapa ni uchawi mtupu ni wakala wa shetani na ushidwe kwa jina la yesu
@williamsmasanja9476
@williamsmasanja9476 Жыл бұрын
Ni kweli agano LA kale nywele zilikuwa na nguvu na ndio ilikuwa nadhili kuu.inaitwa nadhili ya mnadhili,mfano Samson.lakini inakuwa hivyo,nywele zikiwa kichwani tu,wembe usipite kichwani,samsoni wembe ulipopita agano likafa,why nywele na kucha no vitu vilivyo hai ndio maana vinaota na kukua,ukivikata vinakuwa vimekufa,uwezi kupeleka mazabauni vibudu,wachawi ufanya hivyo kwa sababu shetani utumia vitu vilivyokufa,mfano maiti nk
@GaspardKayembe
@GaspardKayembe 3 ай бұрын
Think you prophet for this revelation
@gestinabunganiekuya6300
@gestinabunganiekuya6300 Жыл бұрын
Ila shetani ni mjanja lakini Yesu mnazareth ni mwisho wake kaona waganga wanaopiga ramri hawamletei watu wa kutosha, kaamua kuleta waganga wakienyeji makanisani kwa kutumia jina la Yesu, swali Yesu yupi? Au Mungu yupi
@rosepeter8996
@rosepeter8996 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@denisrukangula2227
@denisrukangula2227 Жыл бұрын
Mimi hauwezi kunidanganya wewe suguye na mwamposa na kuhani Musa.. Ninyi mnatumika na kuzimu na wasihi mtubu kabla hamjafa.... Hacha uongo By Mch Denis
@Mazoea
@Mazoea Жыл бұрын
Hawa ni kuzimu kabisa Hawa..kuweni waangalifu..kuwanyoa nywele anataka awatoe kafala na kuwa control kichawi...uyo TB Joshua mwenyewe hakua mtumishi wa Mungu..
@karolshirima8935
@karolshirima8935 Жыл бұрын
Tusipokuwa na misingi ya Neno na Roho mtakatifu kuwa na nguvu kwa kumtumia mtu wa ndani basi nafsi zetu zitayasikia yale ya kipepo na kudhani kasema Mungu...uzuri mmoja Roho wa Mungu hatakinzana na neno la Mungu...laa nguvu za kipepo ziko kazini...na zitawafunga wengi mwisho wa siku ni shida kubwa kwa vizazi...anayetaka kumtumikia Mungu acha neno lake Bwana liwe dira yake...
@xxxxxxx6013
@xxxxxxx6013 Жыл бұрын
Nywele na kucha Kumbukumbu La Torati:21.11-13 ukaona kati ya mateka mwanamke mzuri, ukafanya tamaa kwake, ukawaza kumtwaa kuwa mkeo; ndipo umchukue kwenu nyumbani kwako, naye atanyoa kichwa, akate na kucha; avue na mavazi ya uteka wake akae nyumbani mwako, awakalie matanga babaye na mamaye mwezi mzima, kisha uingie kwake uwe mumewe, naye awe mkeo.  Bwana Yesu asifiwe sana sana. Nami kwa neema ya Mungu niliyojaliwa kwa sehemu yangu , nimeona vema kukuletea neno hili ,ili angalau upate ufahamu ambao utakupa msaada wa kukutoa sehemu moja kwenda nyingine. Kuna wakati ndugu mmoja aliwai kuniuliza swali ,nini maana ya kuota nywele na kucha vinakatwa. Kupitia mistari hii ya Biblia tutafahamu kwa sehemu. Ukisoma kumbukumbu la torati 21:11-12; utaona neno linaeleza kuwa kuota unakata au unakatwa kucha , unanyoa au unanyolewa nywele , ni ishara ya wazi kuwa wewe ni mateka, ya ufalme au utawala Fulani. Kulingana na hiyo mistari ni kwamba ufalme au utawala, unapokuona kuwa we unafaa kwa ajili ya masilahi au mambo yao, na ukakutamani sana , uwe upande wao, uwezi kuwa upande wao bila ya kukuingilia na kukumiliki kiroho , na ili kukumiliki lazima wakupe mashariti au kanuni au sheria zao ,sasa kule kukufanya ukubaliane na hizo kanuni au sheria zao ndio kule kuona unakata au unakatwa kucha na nywele. Ili uwe mtu wa kwao na waweze kukuunganisha na mambo ya ufalme wao ,lazima wakupe mambo yatakayo ku kubadilisha na kukufa uendane na mazingira na mambo yao ,kwa hiyo unapoona ndotoni ukata au unakatwa kucha na nywele tambua kuwa unapewa ujumbe wa kukuonyesha kwamba kuna ufalme au utawala ambao umetokea kukupenda na kukutamani sana kwa masilahi yake ,na umekuteka na kukufanya wa uo ufalme. Ukiona namna hiyo hapo ujue pia kuna mpaka mambo ya kurithi ya ufalme au utawala fulani ndani ya familia au ukoo pia yako ndani yako ,yamerithishwa pia ndani yako na yanatawala na kuyaendesha maisha yako. Kwa hiyo unapojikuta unaota ndoto za kukatwa kucha na nywele tazama pia ni mazingira yapi unayokata au kukatiwa hiyo kucha au nywele. Kumbumbu la Torati 21:12, inatueleza ivi , “ndipo umchukue kwenu nyumbani kwako , naye atanyoa kichwa ,akate na kucha;” Tazama hilo linachosema ,sijui kama umeanza kuona kitu cha ajabu hapo. Ni kwamba uko uhusiano mkubwa sana kati ya mazingira ya ukataji au ukatwaji wa kucha zako na nywele na nguvu ya roho inayotawala kwenye hilo eneo la aridhi au nchi ndani ya familia au ukoo ulioko uko ndani. Yule ndugu aliambiwa kuwa ili uweze kumfanya mwanamke mzuri ,uliyemtamani na kumteka ,awe wa upande wako na umuoe yaani ummiliki na kumtawala ,lazima uhakikishe unamtoa kwenye eneo fulani na kumpeleka kwenye eneo la kwako na akifika kwenye eneo la kwako , akate au akatwe kucha na nywele zake na asipokata au kukatwa hizo kucha na nywele huyo awezi au hatofaa kuwa wa kwako au wa upande wako. Sikia ni ivi unapokuwa umeota unakatwa au unakata kucha tambua mambo yafuatayo yako juu yako ; 1) Umetekwa au umeshikiliwa na ufalme au utawala fulaniKumb² 21:11 2) Maisha yako yameamishwa kutoka kwenye maisha yako ya kawaida na kuwekwa chini ya mamlaka inayotawala kiroho kwenye eneo la ukoo au familia fulani, iwe ya kwako au ya mume au ya rafiki na n.k. Hapa utakuta kama zile roho zenye nguvu zilizokuamisha na kukuingiza katika ufalme wao ambao unapenda uwe wa upande uo na kukutawala au kukumiliki uko ,utashangaa kama azitaki uwe tajiri uwezi kuwa tajiri ,hata kama umesoma mpaka darasa la mwisho ,zikigoma zimegoma ,utakuwa wa maisha ya kiwango cha chini tu ,kama uko ndani ya ukoo au familia zimesema kuwa hapa hakuna kupata uzao ,uwezi kupata uzao ,utaangaika wee jasho litakutoka lakini wapi, miaka inaenda upati watoto, kama zimesema kuwa hakuna mafanikio ya aina yoyote kupatikana basi na maisha yako yatakuwa ivyo ivyo tu ,ufanikiwi maana wao ndio wanaokumiliki na wenye nguvu ndio wameamua juu yako maana ni mateka wao. Mara nyingi ukiwa kwenye ndoto za namna hii utashangaa ndoto zako za kimaisha ,maendeleo yako , hatima yako , utakuta zinavurugika zote na unaona Mara ukitaka kufanya jambo jema fulani ,mara kinainuka hiki na hiki na linavurugika kabisa. 3) Maisha yako yameingizwa ndani ya agano ambalo linafanya ufalme au utawala fulani kuyamiliki maisha yako ,kiuhalali kabisa Kumb² 21:13. Agano linapokuwepo mahali kwa watu ,hata kama awapendi kutawaliwa au kumilikiwa na roho ya ufalme fulani , watatawaliwa na kumilikiwa tu ,wapende au wasipende.Agano ndilo linaloamua , sio watu walioko ndani ya familia au ukoo ,bali lile agano ndilo linalofanya maamuzi fulani fulani uko ndani , likiamua kuwa ukatwe kucha na nywele ili uwe mkiwa ,maskini ,tasa ,mlevi ,mzinzi ,kahaba au mchawi au muabudu mizimu lenyewe limeamua tu na utakuwa ivyo kama ujapata wa kukutoa na kukukomboa uko. Mambo ya kufanya unapojikuta uko ndani ya mambo hayo; a)Kataa elimu au mafundisho potofu yanayotolewa ndani ya ukoo au familia yako.Kwa sababu kulingana na Wakolosai 2:8 ; zile elimu potofu na mafundisho hayo ndizo zinazotumika kukufanya uwe mateka ndani ya koo au familia. Kataa mambo ya kimila na desturi na tamaduni ambazo aziko kwa jinsi ya mafundisho na elimu ya Yesu kupitia neno lake hata kama mtoaji hayo mafundisho na elimu ni mtu wa dini fulani nzuri.Mfuate Yesu kama Wakolosai 2:9 isemavyo. b) Ikiwa umejikuta umeingizwa uko kwenye mila na desturi zilizo kinyume na neno la Mungu au unajiona kabisa kuwa ni wazi unamilikiwa na falme falme za Giza ,fanya toba na uombe Mungu kwa Yesu Kristo ,akutoe uko kama Wakolosai 1:13 isemavyo.
@karolshirima8935
@karolshirima8935 Жыл бұрын
@@xxxxxxx6013 Yaani unataka kuniambia kucha za watu zimechukuliwa hivyo tukate kucha tuzipeleke kanisani ili kupata ukombozi? Ni uzuzu na unayempelekea kucha hizo ni mganga kabisa na mchawi...unaleta porojo za torati ambazo huwezi kuoanisha na kupeleka kanisani kucha zako? Tuache uganga na mambo ya kipepo tufanye yale aliyotuagiza Yesu kufanya...huu ni uganga na uchawi tu...
@everlynenyakegita9184
@everlynenyakegita9184 Жыл бұрын
Nashukuru mungu kwa sababu ameanza kuwaanika sasa
@anodearsulusi7536
@anodearsulusi7536 Жыл бұрын
Na bado msululu unakuja
@mackfasonmoshi4629
@mackfasonmoshi4629 Жыл бұрын
Chomoza TV Hongera sana kwa Kazi nzuri ya Kutuhabarisha mambo. Naomba pia ufanye mawasiliano na Mtumishi aitwaye Marco...aliyetoa ushuhuda fulani unaotrend mitandaoni k.k PROMOVER TV...Sasa lipi ni lipi??? Barikiwa..
@amosdamian7308
@amosdamian7308 Жыл бұрын
Nakuelewa mtumishi wangu endelea kutumikia mungu wetu amen nipo naww
@godfreymlay3634
@godfreymlay3634 Жыл бұрын
Mh!!!!! Jamani kwa jambo hili sasa la kucha ya kidole cha kushoto na nywele za kisogoni kiukweli mm sijui yatosha kusema kwa mambo haya Wacha Mungu mwenyewe aseme au asimamie mambo haya sipingani na nabii hila Mungu mwenyewe anajuwa yote juu yetu
@jesusfirstchurch4162
@jesusfirstchurch4162 Жыл бұрын
Mwili wa Yesu ni Neno la Mungu...."Mimi ndimi chakula kilichoshuka kutoka MBINGUNI".
@successconcious703
@successconcious703 Жыл бұрын
Which God are you talking about Mr. Sir.? awafungue nini kwani Yesu alikuja kufanya nini.? Kipi ambacho Yesu hakukimaliza pale msalabani kupitia mauti na ufufuo wake?
@daudmwanzela9343
@daudmwanzela9343 Жыл бұрын
Suguye hafanani kabisa na Tb Joshua maana Joshua hakuwa na mtindo wa kukusanya fedha kwa watu kwa njia ya kuuza upako, wala tena Tb hakuitwa kuwa ni Nabii mkuu na aliepuka sana kuitwa mkuu na alijishusha sana . Huyu ameigiza mambo machache sana kwa Tb Joshua kama vile Yale yasiyohusiana na maslahi na style za Tb Joshua za kuombea, ramani ya jengo, lakini pia Tb Joshua alikuwa na wanafunzi wake aliowafunza huduma wakati huyu ni yeye siku zote
@hellaskarras1567
@hellaskarras1567 Жыл бұрын
Kubwa la wachawi hilo tunajua
@isayamwasile3103
@isayamwasile3103 Жыл бұрын
Huna taarifa za kutosha kuhusu TB Joshua,endelea kujifunza kuhusu hbr zake upate ufahamu zaidi
@petermangale9314
@petermangale9314 Жыл бұрын
hapa Leo tumepigwaaa brother James kimbieni huko
@hebrew1214
@hebrew1214 4 ай бұрын
Mafunuo ya uongo kama hayo (nywele na kucha) yamezaa imani nyingi sana za uongo. Wewe unayejiita nabii acha kuwapotosha watu kwa kuyapotosha na kuyapindisha maandiko ya Mungu yaliyonyooka.
@christinemugeni414
@christinemugeni414 Жыл бұрын
Kagame was very right here in Kenya we have witch doctors in the name of prophets.
@userocitymedia
@userocitymedia Жыл бұрын
He's a Tanzanian not Kenyan prrzzz
@christinemugeni414
@christinemugeni414 Жыл бұрын
Who said he's Kenyan
@Mazoea
@Mazoea Жыл бұрын
Huu Baba ni mganga wa kienyeji daah Inasikitisha sana watu wanao sali kanisa hili
@sirpleasureb
@sirpleasureb Жыл бұрын
1 timotheo 4:1 Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine wataikana imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani; 2kwa unafiki wa watu wasemao uongo, wakichomwa moto dhamiri zao wenyewe;
@christopherkanyalakc8941
@christopherkanyalakc8941 Жыл бұрын
polen
@amishnathbaraka6177
@amishnathbaraka6177 Жыл бұрын
Mm nakuelewa prophet mungu aliyembinguni hazihakiwi! Hata wakati wa yesu wengi walichelewa kumuamini nawengne walisema nimuongo ila alipokufa ndo walimuamin fanya kazi yamungu
@danielnassoro1123
@danielnassoro1123 Жыл бұрын
Katokewa na pepo huyu
@isaacgichane
@isaacgichane Жыл бұрын
God's people PERISH for lack of knowledge.
@jackiemaggy2484
@jackiemaggy2484 Жыл бұрын
Pia shetani ako na ufunuo juu MUNGU awezi kusema hivo apana tunakata kabisa
@djmacho5395
@djmacho5395 Жыл бұрын
Manabii wa uongo mmekuwa wengi mnafanya biashara hizokucha na nywele ni uchawi,mshindwe kwa jina la yesu alie hai.
@penuelfullsalvationchurch3350
@penuelfullsalvationchurch3350 Жыл бұрын
Jimy napenda sana Kaz Yako nishakuelewa bro big up sana ..
@vennimogaka1344
@vennimogaka1344 Жыл бұрын
Mungu atusamehe...Nalia
@japhetdaudmaneno8440
@japhetdaudmaneno8440 Жыл бұрын
Watu wasome maandiko wapate maarifa, maana neno linasema ktk: 2Corinth 2:9-10, Mungu atawacha wapotee ktk uongo huo maana wameamini hivyo🤔🤷
@mwemamella1483
@mwemamella1483 Жыл бұрын
Shetani sasa anafanya kazi zake live ndani ya majengo wanayoyaita Makanisa.
@michaelgershon9077
@michaelgershon9077 Жыл бұрын
Mtumishi ubarikiwe, Mungu awe nawe. 🙏🙏🙏
@daviddavid-gq8zp
@daviddavid-gq8zp Жыл бұрын
Huo siyo ufunuo wa Lord Jesus!Hayo ni Mashetani yamekupandisha mkenge bro!!Fanya utubu usipoteze muda....Ubarikiwe.
@anodearsulusi7536
@anodearsulusi7536 Жыл бұрын
Tena uliokubuu
@xxxxxxx6013
@xxxxxxx6013 Жыл бұрын
Kimbukumbu la torati 21.11-13, Usipoelewa reply ntakuelewesha vzr Yupo sahihi tujifunze neno
@melchzedekackim8360
@melchzedekackim8360 Жыл бұрын
Anae hoji inaonekana ni mshilika pamoja ko ni mchongo Io ni ngumu kumeza
@apostlepeterdan2336
@apostlepeterdan2336 Жыл бұрын
Manabii mko serious kweli ok ni sawa.
@rosemarymwakitwange6257
@rosemarymwakitwange6257 Жыл бұрын
Manabii wa uongo ndio hawa imeandikwa, yeremia 23: 25 Nimesikia waliyoyasema manabii wanaotaniri uongo kwa jina langu wali Sems, nimeota ndoto, nimeota ndoto. 26: je mambo hayo yatakuwa katika moyo ya manabii wa aitabiri uongo hata lini, manabii hao wenye udanganyifu katika mioyo yO wenyewe? Wanaodhania kuwa watawasahaukisha watu wangu jina langu kwa ndoto zao, wanazomhadithia kila mtu Jirani yake, kama vile baba zao walivyolusahau jina langu, kwa ajili ya Baali. Hakuna Mungu hapo kwa akiba la Yesu Mungu atawaangamiza na huyo Chomoza TV Mungu hadhihakiwi. Nimefirahi sana watumishi wa kanisa la KKKT jana waliposhighulika na upotoshaji huu. Mungu mbariki Kagame aluyewatendea watu wake kwa kuwinda na manabii wa aina ya Suguye
@amosdamian7308
@amosdamian7308 Жыл бұрын
Hahahahaha mungu akupe ufunuo wahakili lasivyo umepotea
@xxxxxxx6013
@xxxxxxx6013 Жыл бұрын
Nywele na kucha Kumbukumbu La Torati:21.11-13 ukaona kati ya mateka mwanamke mzuri, ukafanya tamaa kwake, ukawaza kumtwaa kuwa mkeo; ndipo umchukue kwenu nyumbani kwako, naye atanyoa kichwa, akate na kucha; avue na mavazi ya uteka wake akae nyumbani mwako, awakalie matanga babaye na mamaye mwezi mzima, kisha uingie kwake uwe mumewe, naye awe mkeo.  Bwana Yesu asifiwe sana sana. Nami kwa neema ya Mungu niliyojaliwa kwa sehemu yangu , nimeona vema kukuletea neno hili ,ili angalau upate ufahamu ambao utakupa msaada wa kukutoa sehemu moja kwenda nyingine. Kuna wakati ndugu mmoja aliwai kuniuliza swali ,nini maana ya kuota nywele na kucha vinakatwa. Kupitia mistari hii ya Biblia tutafahamu kwa sehemu. Ukisoma kumbukumbu la torati 21:11-12; utaona neno linaeleza kuwa kuota unakata au unakatwa kucha , unanyoa au unanyolewa nywele , ni ishara ya wazi kuwa wewe ni mateka, ya ufalme au utawala Fulani. Kulingana na hiyo mistari ni kwamba ufalme au utawala, unapokuona kuwa we unafaa kwa ajili ya masilahi au mambo yao, na ukakutamani sana , uwe upande wao, uwezi kuwa upande wao bila ya kukuingilia na kukumiliki kiroho , na ili kukumiliki lazima wakupe mashariti au kanuni au sheria zao ,sasa kule kukufanya ukubaliane na hizo kanuni au sheria zao ndio kule kuona unakata au unakatwa kucha na nywele. Ili uwe mtu wa kwao na waweze kukuunganisha na mambo ya ufalme wao ,lazima wakupe mambo yatakayo ku kubadilisha na kukufa uendane na mazingira na mambo yao ,kwa hiyo unapoona ndotoni ukata au unakatwa kucha na nywele tambua kuwa unapewa ujumbe wa kukuonyesha kwamba kuna ufalme au utawala ambao umetokea kukupenda na kukutamani sana kwa masilahi yake ,na umekuteka na kukufanya wa uo ufalme. Ukiona namna hiyo hapo ujue pia kuna mpaka mambo ya kurithi ya ufalme au utawala fulani ndani ya familia au ukoo pia yako ndani yako ,yamerithishwa pia ndani yako na yanatawala na kuyaendesha maisha yako. Kwa hiyo unapojikuta unaota ndoto za kukatwa kucha na nywele tazama pia ni mazingira yapi unayokata au kukatiwa hiyo kucha au nywele. Kumbumbu la Torati 21:12, inatueleza ivi , “ndipo umchukue kwenu nyumbani kwako , naye atanyoa kichwa ,akate na kucha;” Tazama hilo linachosema ,sijui kama umeanza kuona kitu cha ajabu hapo. Ni kwamba uko uhusiano mkubwa sana kati ya mazingira ya ukataji au ukatwaji wa kucha zako na nywele na nguvu ya roho inayotawala kwenye hilo eneo la aridhi au nchi ndani ya familia au ukoo ulioko uko ndani. Yule ndugu aliambiwa kuwa ili uweze kumfanya mwanamke mzuri ,uliyemtamani na kumteka ,awe wa upande wako na umuoe yaani ummiliki na kumtawala ,lazima uhakikishe unamtoa kwenye eneo fulani na kumpeleka kwenye eneo la kwako na akifika kwenye eneo la kwako , akate au akatwe kucha na nywele zake na asipokata au kukatwa hizo kucha na nywele huyo awezi au hatofaa kuwa wa kwako au wa upande wako. Sikia ni ivi unapokuwa umeota unakatwa au unakata kucha tambua mambo yafuatayo yako juu yako ; 1) Umetekwa au umeshikiliwa na ufalme au utawala fulaniKumb² 21:11 2) Maisha yako yameamishwa kutoka kwenye maisha yako ya kawaida na kuwekwa chini ya mamlaka inayotawala kiroho kwenye eneo la ukoo au familia fulani, iwe ya kwako au ya mume au ya rafiki na n.k. Hapa utakuta kama zile roho zenye nguvu zilizokuamisha na kukuingiza katika ufalme wao ambao unapenda uwe wa upande uo na kukutawala au kukumiliki uko ,utashangaa kama azitaki uwe tajiri uwezi kuwa tajiri ,hata kama umesoma mpaka darasa la mwisho ,zikigoma zimegoma ,utakuwa wa maisha ya kiwango cha chini tu ,kama uko ndani ya ukoo au familia zimesema kuwa hapa hakuna kupata uzao ,uwezi kupata uzao ,utaangaika wee jasho litakutoka lakini wapi, miaka inaenda upati watoto, kama zimesema kuwa hakuna mafanikio ya aina yoyote kupatikana basi na maisha yako yatakuwa ivyo ivyo tu ,ufanikiwi maana wao ndio wanaokumiliki na wenye nguvu ndio wameamua juu yako maana ni mateka wao. Mara nyingi ukiwa kwenye ndoto za namna hii utashangaa ndoto zako za kimaisha ,maendeleo yako , hatima yako , utakuta zinavurugika zote na unaona Mara ukitaka kufanya jambo jema fulani ,mara kinainuka hiki na hiki na linavurugika kabisa. 3) Maisha yako yameingizwa ndani ya agano ambalo linafanya ufalme au utawala fulani kuyamiliki maisha yako ,kiuhalali kabisa Kumb² 21:13. Agano linapokuwepo mahali kwa watu ,hata kama awapendi kutawaliwa au kumilikiwa na roho ya ufalme fulani , watatawaliwa na kumilikiwa tu ,wapende au wasipende.Agano ndilo linaloamua , sio watu walioko ndani ya familia au ukoo ,bali lile agano ndilo linalofanya maamuzi fulani fulani uko ndani , likiamua kuwa ukatwe kucha na nywele ili uwe mkiwa ,maskini ,tasa ,mlevi ,mzinzi ,kahaba au mchawi au muabudu mizimu lenyewe limeamua tu na utakuwa ivyo kama ujapata wa kukutoa na kukukomboa uko. Mambo ya kufanya unapojikuta uko ndani ya mambo hayo; a)Kataa elimu au mafundisho potofu yanayotolewa ndani ya ukoo au familia yako.Kwa sababu kulingana na Wakolosai 2:8 ; zile elimu potofu na mafundisho hayo ndizo zinazotumika kukufanya uwe mateka ndani ya koo au familia. Kataa mambo ya kimila na desturi na tamaduni ambazo aziko kwa jinsi ya mafundisho na elimu ya Yesu kupitia neno lake hata kama mtoaji hayo mafundisho na elimu ni mtu wa dini fulani nzuri.Mfuate Yesu kama Wakolosai 2:9 isemavyo. b) Ikiwa umejikuta umeingizwa uko kwenye mila na desturi zilizo kinyume na neno la Mungu au unajiona kabisa kuwa ni wazi unamilikiwa na falme falme za Giza ,fanya toba na uombe Mungu kwa Yesu Kristo ,akutoe uko kama Wakolosai 1:13 isemavyo.
@jessicamorrison289
@jessicamorrison289 Жыл бұрын
Huyo Mungu wako ni shetani. Acha uongo. Jina la Yesu linatosha kuwaokoa watu bila kuwatuma watu hivyo vitu. Shetani kabisa wewe. Hiyo injili haipooo.
@emanuelizakaria2084
@emanuelizakaria2084 Жыл бұрын
Huu ni upotoshaji unaofanyika kupitia jina la Yesu tusitumie jina la Yesu vibaya
@endlessloveofchristlovewor9991
@endlessloveofchristlovewor9991 Жыл бұрын
Galatians 1:8-9kjv 8 But though we, or an angel from heaven, preach any other gospel unto you than that which we have preached unto you, let him be accursed. 9 As we said before, so say I now again, if any man preach any other gospel unto you than that ye have received, let him be accursed.
@eliyalorry6513
@eliyalorry6513 Жыл бұрын
Good that is rite.
@meshackmyumpu2139
@meshackmyumpu2139 Жыл бұрын
Loh, kweli kazi ipo. Safari ya kwenda mbinguni si lelemama, inahitahiji kuwa na kiu na kuchukua hatua za kumhitaji Mungu wa kweli kuliko kutafuta miujiza ya ghafla bila kujua chanzo cha miujiza yenyewe. Mungu atusaidie, watu watiwe ufahamu wa kuijua kweli ya Mungu.
@Churchofecclesia
@Churchofecclesia Жыл бұрын
Unamaanisha nn Sasa, hvyo unataka watu wasitendewe, BWANA asijidhihitishe kwa watu wake kwa miujiza, Sasa utajuaje kwamba BWANA yupo bila yeye kujionyeshea ishara zake kwa watu wake, eti watu kutafuta miujiza, Sasa unataka uwe na MUNGU asie na ishara, ukiona hvyo wewe unataka mungu mfu, sio MUNGU ALIE HAI(YESU KRISTO), BWANA WA MAJESHI, AMIRI JESHI MKUU WA MAJESHI YA MBINGUNI NA DUNIANI, wewe kama ushamzoea mungu tulia nae, tuachie sisi MUNGU wetu ALIE HAI atende miujiza, tulia na mungu bubu wako asie tenda Wala kusema
@enockdaudi5009
@enockdaudi5009 Жыл бұрын
Swala la Meza ya BWANA, ni Jambo alilolianzisha Yesu mwenyewe. Swala la ufunuo wa nywele na kucha Ni ushirikina, tumepewa jina la Yesu tu Hakuna ufunuo mwingine.
@deborahkaparay2174
@deborahkaparay2174 Жыл бұрын
Ça reste a vérifié !
@mjumbewaaganoduniani
@mjumbewaaganoduniani Жыл бұрын
Hakuna kilichobaki mbele ya kifo Cha Yesu imeandikwa Yesu alichukua yote si nusu laana zote zilimalizika msalabani.
@pastorrobertnyamboba881
@pastorrobertnyamboba881 Жыл бұрын
Hili mtumishi nikali, hata kama umepewa Ufunuo huu Ufunuo hauendani na Neno la Mungu maana hamna jipya au ufunuo ulio zaidi ya Neno la Mungu au ulio juu ya Neno nahakuna katika Biblia aliye fanya hayo hata Yesu mwenyewe hatukuona akifanya hayo. Aliye na masikio na asikie na aliye na macho aone haya.???.
@juliethnyagawa4102
@juliethnyagawa4102 Жыл бұрын
Aaaaaaaa!!! kwa neno gani umelisimamia kweli hizi ni siku za mwisho manabii wengi wa uongo watatokea na kudanganya wengi
@Churchofecclesia
@Churchofecclesia Жыл бұрын
Tupe ishara za nabii wa KWELI na wauongo ukiliweza hlo ntakusikiliza
@user-iu4du7ws6s
@user-iu4du7ws6s 4 ай бұрын
Suguye wewe ni Nabii wa Mungu aliye hai, nimehudhulia kanisani kwako uko Vema sana, Mungu anakutumia mno
@pstyothamusabuye4111
@pstyothamusabuye4111 Жыл бұрын
Ufunuo lazima upimwe na Neno, sio kila ufunuo unatoka kwa Mungu. Kapete theology acha upotoshaji
@christinemugeni414
@christinemugeni414 Жыл бұрын
Very true
@stephenkessy552
@stephenkessy552 Жыл бұрын
Exactly hlf naona kabisa concept ya meza ya bwana hana
@nangukidasu8040
@nangukidasu8040 Жыл бұрын
Asipotubu mwisho wake utakuwa mbaya kwa kudanganya watu.
@nabiimuimbaji
@nabiimuimbaji Жыл бұрын
Nikikuangalia hata sion kama una Yesu ....ila Mungu anajua nisikuukum sana...
@babumrisha
@babumrisha Жыл бұрын
The mistake many christians do today is to think and believe they know it all, that they have God all figured out!! That they have experience in God and His ways. Let me tell you sth...you know nothing yet, we are poor and patheticaly ignorant. The wize will hold his peace and ask God for the truth of this matter
@mwemamella1483
@mwemamella1483 Жыл бұрын
Hakuna ufunuo hapo, ni utapeli na uchawi kama uchawi mwingine. Ninashangaa mnavyomuita "Mtumishi wa Mungu" Mungu yupi...???
@Churchofecclesia
@Churchofecclesia Жыл бұрын
YESU KRISTO
@hurumaalema5122
@hurumaalema5122 Жыл бұрын
Suguye ni shetani
@Churchofecclesia
@Churchofecclesia Жыл бұрын
@@hurumaalema5122 sawa mungu
@RechoKalabo
@RechoKalabo Жыл бұрын
Mimi Ni mjamzito naelekea kujifungua lakini nimepeta tatizo la kuangusha kila nikishikacho naomba msaada kutoka kwa nabii suguye
@asminmakoha6889
@asminmakoha6889 Жыл бұрын
Wacha mungu afanye KAZI Yake mungu wanazarit wanaanza kujitambua wenyewe mungu turumie
@Jichoonlinetv
@Jichoonlinetv Жыл бұрын
Bw mtangazaji unahoji kwa.kuogopa unaemhoji na kujificha kwenye blanketi ili kufuata matakwa ya mhojiwa? Udhaifu huu
@hellaskarras1567
@hellaskarras1567 Жыл бұрын
Lichawi hilo na hata wanao mfata Mungu awafungue maana imeandikwa watu wangu wanaangamia kwakukosa maarifa
@Mazoea
@Mazoea Жыл бұрын
Hahahahaha 🤣🤣😅😂 nimefurahai kuona watu awataki kudanganywa na uchawi
@bonfacemwakapenda8857
@bonfacemwakapenda8857 Жыл бұрын
mungu yupi?
@apostlepeterdan2336
@apostlepeterdan2336 Жыл бұрын
Ni sawa lakini 1yohana4:1 jitetee tu.
@janethmosses9820
@janethmosses9820 Жыл бұрын
Mhhhh jamani mimi sijamaliza kusoma bibilia lakini prophet katu piga na kitu kizito huu ufunuo ifikie mahali watu wamuhubiri YESU KRISTO na sio vinginenvyo
@bennyjohn1412
@bennyjohn1412 Жыл бұрын
Uyo Ni Shetani kabisa akuna ufunuo kama uwo Sisi piya Ni watumishi wa Mungu ktk Kristo Yesu akuna vitu kama hivyo tunajuwa sasa Ni kipindi cha malango kufunguka kwa Neema ktk Kristo Yesu
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 Жыл бұрын
Ni Mungu gani aliyemwambia hayo? Ni mungu wa herufi ndogo na siyo Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo. Kweli siku za mwisho kutakuwa na manabii wa uongo na sasa wamekwishakuwepo. Mungu anaanza kuwafunua.
@mercypeter162
@mercypeter162 Жыл бұрын
Uchawi tu Kama uchawi mwingine hakuna MUNGU hapo. Ni miungu
@djmacho5395
@djmacho5395 Жыл бұрын
Suguye mungu anakuona, wachawi na waganga, mmekimbilia makanisani, olewenu Sikuzaja,mnataka sadaka hata hamfundishi neno ila miujiza tu, nampenda sana mtumishi casian. Anaongea ukweli,
@catherinepeter385
@catherinepeter385 Жыл бұрын
Uyo SI mungu alikuletea uo ufunuo uo ni uchawi nabii wa kuzimu uyu
@mjumbewaaganoduniani
@mjumbewaaganoduniani Жыл бұрын
Mimi ni mjumbe wa agano duniani,nimesema wazi sio utani kwamba, Hakuna mtume na nabii wa kweli leo wanatimiza unabii ya kuwa watatokea manabii wengi sio wachache ni wote, Sasa ni saa ya mjumbe wa agano duniani.
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Zitazameni njia zenu msianguke upotevuni, yapimeni maandiko. Msije kuwa connected na madhabau za kuzimu.
@olivaerasto6669
@olivaerasto6669 Жыл бұрын
Mungu tuhulumie sisi wakosefu.
@mjumbewaaganoduniani
@mjumbewaaganoduniani Жыл бұрын
Jifunze Kwa mjumbe wa agano duniani ili uingie katika ufalme wa mbinguni huu ni wakati wa habari njema sio kuacha na nywele hayo yanatoka kwa mwovu. Ndio yenu iwe ndio nahayo ni hapana.
@eveeric173
@eveeric173 Жыл бұрын
Watu wangu wanahangamia kwakukosa marifa Metheli hiyo ninyi manabii Mungu anawahona nawe kaka unamsifia poleni sana kwako
@karolshirima8935
@karolshirima8935 Жыл бұрын
Duh! Bwana unayeishi safari hii inaendelea kuwa ndefu sana...kutoka ktk misingi ya neno lako...misingi ya uovu watu wameifanya kuzidi nguvu jina lako...yale tuliyoyaona mababu zetu wakifanya kwa mganga Marungu ndo yanafanyika madhabahuni,ushirikina...
@barnabasngoma2248
@barnabasngoma2248 Жыл бұрын
Ila wewe suguye nina mashaka na wewe sana.Usimzingizie Tb Joshua yey hakuwa anafanya mambo kama hayo.
@mercykariithi7919
@mercykariithi7919 Жыл бұрын
Like father like son the sign of the cross iko juu ya pyramid hapo mlangoni kuna maandishi na hiyo ni sign of an eye these false prophets are doomed
@Mazoea
@Mazoea Жыл бұрын
This man he is into occultic worshipping marine kingdom.nimeona maji happy.sign ya marine kingdom under the water.ndg zangu kuweni making asije watoa kafala uyu baba
@filimonmpinge6039
@filimonmpinge6039 Жыл бұрын
Manabii wa uongo hawa ukisoma 1yohana 4:1 Wapenzi msiiamini kila roho Bali zijaribuni hizo roho kwamba zimetokana na MUNGU kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea Duniani/ wengi wanakuja na mafundisho ya uongo ambayo yapo nje ya biblia wanataka kuwafundisha watu kwa kisingizio kwamba wamefunuliwa na roho mtakatifu kitu ambacho siyo kweli ndugu zangu someni biblia acheni uvivu hawa wanaojiita mitume na manabii hawa wengi wanamafunuo ya uongo
@emmanuelmisalaba3169
@emmanuelmisalaba3169 Жыл бұрын
Hii channel ni forum ya manabii wa uongo
@mjumbewaaganoduniani
@mjumbewaaganoduniani Жыл бұрын
Utakatifu ni NENO LA KWELI, sio vitu vya mwilini,WABUDUO HALISI ni katika roho, mwili wa Yesu ni Neno,mkate ilikuwa ni mifano sio halisia damu halisi IPO kwenye NENO sio mizabibu hiyo ilikuwa mifano, hivyo mifano sio halisi.
@fredricorsa9601
@fredricorsa9601 Жыл бұрын
Dadyyy
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 Жыл бұрын
Balaa hili
@weldersirinimakelemopeter4671
@weldersirinimakelemopeter4671 Жыл бұрын
Ukweli HAPO ni kwamba huyo anaekuhoji ni mwandishi wa habari na sio mwandishi wa Biblia. Isitoshe halijui neno ndio maana anasikoliza tu angelikua analijua neno mngebishana. Utamshinda kwa sababu hajui neno.
@muthoniisrael2697
@muthoniisrael2697 Жыл бұрын
Hapo hakuna Cha Mungu Wala malaika kabisa kabisa kabisa kabisa
@pintymelodytz913
@pintymelodytz913 Жыл бұрын
Kristo tutetee🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻😭
@christophersimwinga6689
@christophersimwinga6689 Жыл бұрын
Mungu ni mwema ukifanya utani naye anakuumbua
@manaseliberatus1347
@manaseliberatus1347 Жыл бұрын
Kama ni Mungu huna haja ya kujitetea
@jacksonwilliam5093
@jacksonwilliam5093 Жыл бұрын
Watanzania muwe na akili huu ni uganga wa kienyeji
@endlessloveofchristlovewor9991
@endlessloveofchristlovewor9991 Жыл бұрын
2 Peter 2 1 But there were also false prophets among the people, just as there will be false teachers among you. They will secretly introduce destructive heresies and doctrines, even denying the sovereign Lord who bought them--bringing swift destruction on themselves.
@mjumbewaaganoduniani
@mjumbewaaganoduniani Жыл бұрын
Hiyo iliyofanyika na Yesu ni jinsi ya kuficha Neno.
@bettykinyami5096
@bettykinyami5096 Жыл бұрын
Kumbe tb joshua ni wa upande wake, loo jamani hebu kimbieni hawa watu sio wazuri kabisa, ni wachawi waliovaa suti
@Mazoea
@Mazoea Жыл бұрын
Alafu Wala aoni aibu kesema TB Joshua ni Baba ake wa kiroho.wakati inajulikana TB Joshua hakua mtumishi wa Mungu
@andrewluyali764
@andrewluyali764 Жыл бұрын
Aiiiiiiii......this doctrine is evil.what God needs from a man .ni the pure heart
@carenhilary8067
@carenhilary8067 Жыл бұрын
To me no comment
@florencendatila9183
@florencendatila9183 Жыл бұрын
Mhhh😭
@oscarpelesi18
@oscarpelesi18 Жыл бұрын
Ukiiongelea issue ya meza ya Bwana ilikuwa wazi hata wakati Bwana Yesu anashiriki kabla kwenda msalabani...ilitumika mzao wa mdhabibu na mkate usio na chacu.. Ila hii ya kucha na nywele ni ngumu kueleweka kwa sbb haina support ya maandiko...Dah ila tuko mahali pagu kanisa na issue za mafunuo
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 Жыл бұрын
Mimi Tangia Kanisa Lake Lifungwe Usingizi Auji Mtamu Kwasababu Wakati Wa Maombi Yake Mpaka Jilani Yangu Alikuja Kuniomba Eti Niwe Naweka Nyimbo Kwasababu Sauti Ya Uyu Mchungaji Ilikua Inamchoma Moto Usiku Alali Mwili Wake Unawaka Moto Kumbe Jilani Alikuwa Na Mapepo Nikweli Kucha Mate Nywere Unyayo Wachawi Ndio Zawadi Zao Izo Yuko Sawa Mbona Sisi Tunazika Lakini Wezetu Wanachoma
@yohanampayo1798
@yohanampayo1798 Жыл бұрын
Ufunuo ni lazima utoke kwa mungu a pia lazima upimwe katika neno la mungu kama unaendana na neno la mungu?
@yohanapeter5275
@yohanapeter5275 Жыл бұрын
Mungu anawafunua manabii wa uwongo uyu ni mshilikina kabisa afai
@rmaryp6269
@rmaryp6269 Жыл бұрын
Waliopelela pole zao.
@bonifasemmanuel4700
@bonifasemmanuel4700 Жыл бұрын
Mungu hajakufunuli wewe,sema ni mpango wa adui,ktk kuwafunga watu nyota zao ili wewe uinuliwe,wao wawe, chini, sio Mungu wa Mbinguni wewe, ni baba yako Mungu wa kuzimu,
@chamimdesa148
@chamimdesa148 Жыл бұрын
Mimi Sina shaka juu ya Mitume, but swali langu ni "Wapi ktk Biblia Mitume walikuwa wanamilika kanisa? Na kwann Mitume wapo mjini tu? Asomae na AFAHAMU
@lizzam6704
@lizzam6704 Жыл бұрын
Wachawi hutumia nywele na kucha umewagundua mbinu zao
@esmeraldastanley4886
@esmeraldastanley4886 Жыл бұрын
We
@elishalugano5679
@elishalugano5679 Жыл бұрын
Uta watambua kwa matendo yao ! Hii ni uchawi kabisa uyu ni nabii wa uongo watu tokeni kwa iyo kanisa araka sana
@amosdamian7308
@amosdamian7308 Жыл бұрын
Hatoki mtu hapa ulimpeleka Nani mchawi mkubwa
@jackiemaggy2484
@jackiemaggy2484 Жыл бұрын
Ata ule mtu wa lolondo alipawa ufunuo na shetani watu waka kunyiwa dawa wakafu
@bennyjohn1412
@bennyjohn1412 Жыл бұрын
Una kipindi kirefu ktk ushetani wako unatumiya maandiko ya Mungu ktk Kristo Yesu vibaya Kazi unayo shetani Mkubwa
@apostlepeterdan2336
@apostlepeterdan2336 Жыл бұрын
Mungu kweli mko serious nabii mathayo24:24 matendo13:6 marko12:38-44
NABII SUGUYE Aibua Mapya Kushukiwa na Malaika
52:00
Global TV Online
Рет қаралды 90 М.
NERF WAR HEAVY: Drone Battle!
00:30
MacDannyGun
Рет қаралды 50 МЛН
KINDNESS ALWAYS COME BACK
00:59
dednahype
Рет қаралды 118 МЛН
OMG🤪 #tiktok #shorts #potapova_blog
00:50
Potapova_blog
Рет қаралды 18 МЛН
Каха ограбил банк
01:00
К-Media
Рет қаралды 11 МЛН
🔴#Live: IBADA YA WALIOBEBA KUCHA NA NYWELE KWA PROPHET SUGUYE
2:09:21
Global TV Online
Рет қаралды 41 М.
UKOMAVU WA KIAKILI (MENTAL TOUGHNESS) - JOEL NANAUKA
1:11:22
Joel Nanauka
Рет қаралды 170 М.
NGUVU YA MANENO - PROPHET NICOLAUS SUGUYE
25:57
PROPHET NICOLAUS SUGUYE
Рет қаралды 2,2 М.
How spiritual is money? || Apostle T. Mwangi
1:36:25
The Wicked Edition with Dr. King'ori
Рет қаралды 482 М.
UFAHAMU UCHAWI WA KUTUMIA NYWELE | NAMNA YA KUJIKINGA NA UCHAWI HUO Part 1
16:28
KUHANI MSA NI MWALIM WA UONGO. NA NABII JODEVI NABII MKUU EV PASCHAL CASSIAN
30:26
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 66 М.
NIMEFELI WAPI 1 STARING MKOJANI//TIN WHITE/NAGWA/ABDULI
30:19
OSO ONLINE TV
Рет қаралды 143 М.
4 SEHEMU YA MSALABA WA YESU KUKUONDOA KATIKA UMASKINI || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE || TANGA
3:15:00
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 18 М.
Многие думали что Фёдору конец!
1:00
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 2 МЛН
Ахахах 👅
0:44
Dragon Нургелды 🐉
Рет қаралды 1,4 МЛН
#Kritikachannel#Shorts video 🙏🙏🙏
1:00
Kritika Channel
Рет қаралды 67 МЛН
Как в моей семье едят КЛУБНИКУ 😂🍓 #shorts
0:43
Владислав Шудейко
Рет қаралды 1,5 МЛН
Такого они не видели😱😍
0:55
Следы времени
Рет қаралды 2,4 МЛН