NABII SUGUYE Aibua Mapya Kushukiwa na Malaika

  Рет қаралды 90,792

Global TV  Online

Global TV Online

6 жыл бұрын

Subscribe / uwazi1
Mchungaji wa Kanisa la WRM, Nicholaus Seguye 'Nabii Suguye', Ametoa Ushuhuda kwa kutokewa na malaika na Kuanzisha Kanisa la WRM Kipindi anafanya kazi ya ulinzi na kutaka atumikie wanadamu.
FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubl

Пікірлер: 241
@brightmollel6698
@brightmollel6698 3 жыл бұрын
Thank u all this ministry WRM had helped me believe in God and to be obedient to God word.Hallelujah Hallelujah glory be to God
@salhashaban8152
@salhashaban8152 3 жыл бұрын
Naangalia kupitia TV tu ila nimesha jiungamanisha kuwa wrm ni dhehebu langu na chif profect suguye ni baba yangu wa kiroho mungu amemleta tumtumie na nimahali sahihi na mtu sahihi wa mungu nabarikiwa sana sana na uwepo wa baba yangu wa kiroho
@frolamboya9919
@frolamboya9919 5 жыл бұрын
Baba angu atumii kitu chochote , baba angu ni mzaliwa wa Mungu , Baba angu atumii lolote zaidi ya nguvu za Mungu , WRM church kuna uwepo wa kweli wa kimungu , Nakupenda sana Baba ,
@Lissarams
@Lissarams 3 жыл бұрын
Waambie ❤️❤️
@prosperjuma905
@prosperjuma905 Жыл бұрын
Na nywele za utosi na kucha? Za nini zile?
@gizzoforshizzo
@gizzoforshizzo 6 жыл бұрын
Kazi ya Mungu Lazima iwe na vikwazo vya binadamu na ndio maana Yesu alisulubiwa msalabani. Hata kama Yesu Kristo angekuja wakti huu wapo ambao watampinga tuuuu tena. Kama kwa shetani tuu unatoa sadaka kwanini Kwa Mungu usitoe
@edwardmsaso7311
@edwardmsaso7311 4 жыл бұрын
Wewe jamaa upo,iyunga moja aisee george
@marypeter4584
@marypeter4584 6 жыл бұрын
Asante Yesu kwa maisha ya Nabii Suguye. umpe maisha mareeefu na baraka tele.
@johnmasudi9762
@johnmasudi9762 6 жыл бұрын
Thanks jesus
@bonnystanslaus4900
@bonnystanslaus4900 5 жыл бұрын
Nakupenda sana Baba na toka nimefika kivule namuona Mungu,,Mungu akupe maisha marefu
@raiabujimu8993
@raiabujimu8993 2 жыл бұрын
Sehem gan dada
@frolamboya9919
@frolamboya9919 5 жыл бұрын
Waoooooooooh!!! My spiritual Dady Love you so much 😘
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 5 жыл бұрын
Hallelujah Our Papa you’re blessed,i love you mucho mucho
@gwamakaallen5110
@gwamakaallen5110 5 жыл бұрын
Nakupenda sana nabii suguye mungu akubaliki sana
@mailinamanojela8142
@mailinamanojela8142 6 жыл бұрын
Ubarikiwe Mtu wa Mungu saana
@juanaboaz5144
@juanaboaz5144 6 жыл бұрын
waooo nimefurai xna kumuona nabii wang Nicholas suguye mung akubariki xana
@edisonshepherd9734
@edisonshepherd9734 3 жыл бұрын
you prolly dont care but if you are stoned like me during the covid times then you can stream all of the new movies and series on instaflixxer. Been watching with my gf during the lockdown xD
@kylermessiah2215
@kylermessiah2215 3 жыл бұрын
@Edison Shepherd Definitely, I've been using instaflixxer for years myself =)
@jaylenyousef146
@jaylenyousef146 3 жыл бұрын
@Edison Shepherd Definitely, been watching on instaflixxer for months myself :)
@eliyagikaro6426
@eliyagikaro6426 6 жыл бұрын
Mimi mwenyewe niliponywa vidonda vya tumbo.vilinisumbua sana.Huyo mtumishi ni zawadi Mungu ametupatia,tumtumie vizuri.
@victoriatemu6149
@victoriatemu6149 5 жыл бұрын
Namba yake jaman kwa sisi wa mbali
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 5 жыл бұрын
Amen kabisa tunamshukuru Mungu kwa kutupa nabiii 🇹🇿
@millionairejeffreysunofbez3766
@millionairejeffreysunofbez3766 4 жыл бұрын
Nabii gan kumuona tu pesa elf 30,..Je ? yesu alilipwa kumuona..??
@Neema182
@Neema182 4 жыл бұрын
Haujasoma maandiko? Mathayo 24:24 [24]Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule.
@kitalutaactpr9495
@kitalutaactpr9495 4 жыл бұрын
Neema Na we ni moja ya wale WA 66. ..SOMA MATENDO 2. mstari 17-19 . 17 Itakuwa siku za mwisho, asema Mungu, nitawamwagia watu wote Roho yangu, na wana wenu na binti zenu watatabiri; na vijana wenu wataona maono; na wazee wenu wataota ndoto. 18 Naam, na siku zile nitawamwagia watumishi wangu wanaume na wanawake Roho yangu, nao watatabiri. 19 Nami nitatoa ajabu katika mbingu juu, na ishara katika nchi chini, damu na moto, na mvuke wa moshi.
@evaaggrey2971
@evaaggrey2971 6 жыл бұрын
tunaitaji macho ya Rohoni tunaitaji kuwa na bidii sisi wenyewe kujiombea, kusoma neno kufunga Mungu atakufanikisha na Mungu akupe maelekezo wapi pakusali ili kuijua kweli ya Mungu itapunguza kuhangaika
@elizabethcharles875
@elizabethcharles875 5 жыл бұрын
You are true
@thomasgodfrey8421
@thomasgodfrey8421 5 жыл бұрын
izuri sana,ila kumbuka Yesu anatuombea. Usipotoshe Ukweli,wa Mungu.
@Justine_motors
@Justine_motors 5 жыл бұрын
Habar ya unzim
@geitandelwa299
@geitandelwa299 Жыл бұрын
Na MUNGU ATUSAIDIE NYAKATI HIZI NI HATARI MNO NI BORA KUMULILIA MUNGU JUU YA DHAMBI ZETU MAANA JEHANAMU IPO KWA SASA watu hatuambiwi habali ya kutubu dhambI Ila magonjwa TU wakati magonjwa MENGI Ni kwa SABABU ya dhambI zetu
@bonita8448
@bonita8448 5 жыл бұрын
Mimi nafunguliwa kila siku nisikilizapo na kutazama WRM napokea namwamini Mungu wa kaka nikolauc suguye na nitakuja nishudie tu mambo makuu naamini sana sana Mungu Ambariki sanaaaa
@leonardkigutu7716
@leonardkigutu7716 5 жыл бұрын
Umejieleza vizuri mtumishi wa Mungu.
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 5 жыл бұрын
Hallelujah thank you our miracle workers in the name of Jesus
@user-bm3zb3gh6s
@user-bm3zb3gh6s 5 сағат бұрын
Asante baba
@prophetjacksonibrahim7075
@prophetjacksonibrahim7075 6 жыл бұрын
Hongera Dad Mungu ni Mkuu zaidi
@misagocleophas9742
@misagocleophas9742 5 жыл бұрын
Mungu akuzidishie IMANI zaidi, nabii Nicolaus SUGUYE.
@jacksonrichard6377
@jacksonrichard6377 3 жыл бұрын
amina baba wetu wakiloo kwa mafanikio yangu nafamiliya yangu tuliteseka sana tulikuwa tukiumwa malakwama tulihangaika sana hapanapale hatukupata mafanikiyo nilipo kanyanga wrm matatizoya yangu yalipotea kweli mimi namushukulu sana baba kwayote aliyo nitedea tuna shukusana panafamiliya tumepata mkombkzi wayonge sitamu acha nitamutumiya maishakwangu
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 5 жыл бұрын
Amen hallelujah praise the Lord
@goldmansun5859
@goldmansun5859 6 жыл бұрын
malaika ni ishu ya kawaida sana kwa MTU aliyeokoka,ninyi mnalindwa na majini,mnapandisha n so on,sis malaika ni marafiki,point amekuja kusema nn ndio inaleta uxito ,haya yalikuwa for Israel,wakatema,sasa ni mataifa,Mungu huzungumza na yupo hai,yule yule aliyezungumza na kusanyiko la Israel ndio anasema nasi today tunaona,hata Mimi alintokea YESU, akaniponya ,nimeokoka n he promicd to bles me
@FRAVIANMAKENE
@FRAVIANMAKENE 4 ай бұрын
Amina
@trophainamagogwa1163
@trophainamagogwa1163 5 жыл бұрын
Sema kabisa Ni makanisa Mapya kwa kweli.hasa hayo ya Akina suguye ni ya nyakati za mwisho
@chumachuma9100
@chumachuma9100 6 жыл бұрын
Mungu akutunze nabii binafsi nakukubali tangu siku ya kwanza nilipoangalia chaneli yako wewe ni zaidi ya nabii Mungu anakutumia kwa namna ya tofauti wanaokusema vbaya shauri yao Songa mbele baba unatusaidia sana nahao wanaosema unatoza elfu hamsini mbona mimi nimeshiriki mkesha wa siku yako yakuzaliwa bila garama tenant maombezi ya nguvu name nimepokea uponyaji bureeeee acheni maneno yakuambiwa jamani fika mwenyewe ujionee
@annastelabanzi929
@annastelabanzi929 5 жыл бұрын
Chanel gani
@trophainamagogwa1163
@trophainamagogwa1163 5 жыл бұрын
Kibaha huko ndo hatari kwa nguvu zA giza .lakini tukumbuke neno la mungu linasema siku za mwisho watu watajitenga na imani ya kweli na kuwafuata manabii wa Uongo
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 5 жыл бұрын
Exactly you’re right Papa
@devotacassian4352
@devotacassian4352 6 жыл бұрын
nakupendaa mnoooo Nabii wa Mungu Nicolaus Suguye naangalia sana WRM bado sijafanikiwa kufika Kivule naamini ipo siku Mungu atanipa kibali. ila naumia kwa tozo ya 50000 mnayotoza nashindwa kuelewa kwanini jamani tunatoza neno la Mungu. Mungu amesema nimewapa bure toeni bure pamoja na kujieleza Nabii wangu unatoza kwa ajili ya stationary na malipo ya watenda kazi lkn Nabii wangu sadaka si zipoo Mimi kwa uelewa wangu, watu wangesajiliwa bure sio utoze pesa jamanii naumia Sana na hilo naona kama unaiuza karama aliyokupa Mungu. tumia sadaka kulipia hivyo ulivyosema. samahani Nabii kwa hili. Bwana atubariki sote
@evaaggrey2971
@evaaggrey2971 6 жыл бұрын
haaaaa 50000 ndo uombewe😂😂😂tunaitaji macho ya Rohoni
@pastor_mashimo
@pastor_mashimo 6 жыл бұрын
Devota Cassian huyu ni nabii wa uongo kabisa
@juliuskimeyj193
@juliuskimeyj193 6 жыл бұрын
hello dada devotha. naomba tuwasiliane kama hutojali. kwa e mail: juliuskimey@gmail.com au whats up namba +255 625 589 627
@deborahmwasaga6861
@deborahmwasaga6861 6 жыл бұрын
Nilitoka mkoani kufuata uduma ya maombi kwa mtumishi mmoja sistamtaja jina lake nilipomtumia messag nataka kuonana nae niliambiwa nilipie dola 200 ili niudumiwe
@janesuma2193
@janesuma2193 6 жыл бұрын
Devota Cassian kwanin umuombe msamaha wakati unajua anakosea uwo msamaha wa nin
@neemamkakata1574
@neemamkakata1574 6 жыл бұрын
Mungu aendelee kukupa More grace...nimesikiliza ushuda wako nmebarikiwa mnoo...
@deogratiastheophil409
@deogratiastheophil409 6 жыл бұрын
barikiwa sana mungu azidi kukutia nguvu ya kuinua watu
@julietkarembocharo8255
@julietkarembocharo8255 4 жыл бұрын
Kama hauna la kusema afadhali unyamaze kuliko kukufuru nabiii wa mungu. Mungu awasamehe
@tabumasumbuko7213
@tabumasumbuko7213 4 жыл бұрын
Hongera kwa sababu unataja motoo Damu ya yesu kristu
@neema.mmichael5873
@neema.mmichael5873 Жыл бұрын
Mungu wa wrm nakupenda🙏🙏
@linahtsino1023
@linahtsino1023 4 жыл бұрын
Lakini jamani naona watu wanahoji Sana suala la kumtolea Mungu,lakini wakifika hospital hawaulizi,wakifika kwa waganga wanaweka tu bila kuuliza,acheni hizo bhana,maana Kuna Siri kubwa Sana katika utoaji .
@Lissarams
@Lissarams 3 жыл бұрын
Meona eeeh 🤣🤣🤣🤣
@ndikuriyolisa4329
@ndikuriyolisa4329 3 жыл бұрын
Nawasalimiya katika jina la Yesu kristo mimi kwamajina ni Lisa ndikuriyo natokeya Burundi Bujumbura Nimepata nehema yakusikiya ushuhuda tofahuti mbali mbali na mimi nikaona naweza kusaidiwa namutumishi wake nabi Suguye naitaji maombi tena Nina imani ntambalikiwa
@godfreyamen1135
@godfreyamen1135 6 жыл бұрын
kila mtu nabii siku hizi,watu wa Mungu wekeni IMANI kwa Mungu sio manabii.
@hadiamohamed3183
@hadiamohamed3183 5 жыл бұрын
tafuta kuishinda dunia na kuipata mbingu
@joserinajoseph607
@joserinajoseph607 2 жыл бұрын
Amen 🙏
@victorhamli3835
@victorhamli3835 6 жыл бұрын
nimempenda sana mtangazaj ameuliza maswal mazur na ya mcng bila woga. hivyo ndvyo wanahabar mnavyopaswa kuwa ucjal unayemhoj n nan
@estermsagath3346
@estermsagath3346 6 жыл бұрын
amina baba
@stephanotizihwa2656
@stephanotizihwa2656 4 жыл бұрын
Mlipewa bure toeni bure wokovu aununuriwi mpendwa
@witnesskivaria7483
@witnesskivaria7483 5 жыл бұрын
asante mtumishi wamungu
@brightmollel6698
@brightmollel6698 3 жыл бұрын
Believing is possessing indeed! Lord I believe help my unbelief in Jesus Christ name- Ameen
@jacksonrichard6377
@jacksonrichard6377 3 жыл бұрын
amina
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 5 жыл бұрын
It’s true Papa
@prophetjacksonibrahim7075
@prophetjacksonibrahim7075 6 жыл бұрын
amen
@kilonzolucy4932
@kilonzolucy4932 2 жыл бұрын
Hakika u nabii was Mungu Alie juu🙏🙏🙏🙏amen
@frolamboya9919
@frolamboya9919 5 жыл бұрын
Baba Nakupenda mno , wewe ni Baba angu no one like you my father , daaaah!! Nakupenda sana Ila nahitaji kukufanyia kitu baba angu
@apostlestephenkangethe5095
@apostlestephenkangethe5095 4 жыл бұрын
Kunawezekano mtu akikombolewa lazima afanikiwe na hiyo hunduma no ya Yesu kabisha na Mungu aimbaliki
@jacksonrichard6377
@jacksonrichard6377 3 жыл бұрын
amina baba
@Neema182
@Neema182 4 жыл бұрын
Mathayo 24:24 [24]Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule.
@Tutindaga
@Tutindaga 4 жыл бұрын
the way anavyosimulia napata mashaka na huduma yake!!!!!!!!!
@Lissarams
@Lissarams 3 жыл бұрын
@@Tutindaga nenda kanisani uubliwe mwenzake alikua the same 🤣🤣
@bonnyngowo7567
@bonnyngowo7567 5 жыл бұрын
Baraka zipo katika kutoa kuliko kupokea.Kwa nini watu wanapenda kujua zaidi habari za Freemason na waganga wa kienyeji na wanaziamini kuliko kazi as Mungu aliye hai?
@bettyandeso6559
@bettyandeso6559 5 жыл бұрын
AMEN.
@reganwillfred148
@reganwillfred148 6 жыл бұрын
Hakika mungu yupo
@isackathanasi4876
@isackathanasi4876 4 жыл бұрын
Ameen
@user-vx5ke6on6i
@user-vx5ke6on6i Ай бұрын
Kumtegemea mungu kunafaida anamtumikia mungu Wakweli hata akinunua ndege 20 huyo suguye nimbalikiwa mungu akutunze property wetu
@prosperjuma905
@prosperjuma905 Жыл бұрын
Siku Mungu akifuta sadaka basi dhehebu litabak moja tu duniani
@kokukalembo566
@kokukalembo566 6 жыл бұрын
Waambie Nabii hawajui nguvu iliyopo kwenye sadaka nikubwa sana
@barakahamis4389
@barakahamis4389 2 жыл бұрын
Mungu ampe viwango vya juu sana
@maulidnyoni7838
@maulidnyoni7838 6 жыл бұрын
wasiosoma maandiko wataburuzwa saaaaaana?but Mungu yupo
@Tutindaga
@Tutindaga 4 жыл бұрын
ndio hayo mazuzu likienda kanisani wakisema pokeaaa linapokea tu bila kuchunguza
@williamprosper7561
@williamprosper7561 5 жыл бұрын
Kiongozi wa kiroho inakupasa kuwa mzalendo. Musa aliambiwa na MUNGU achague watu safi 70 ili MUNGU aweke ndani hao roho ya uongozi iliyokuwa juu ya Musa ili wawe viongozi kumsaidia Musa kazi. Hesabu 11:16-17 " Kisha BWANA akamwambia Musa, Nikusanyie watu sabini, miongoni mwa wazee wa israeli, ambao wewe wawajua kuwa ndio wazee wa watu hawa, na maakida juu yao; ukawalete hata hema ya kukutania, wasimame huko pamoja nawe. Nami nitashuka niseme nawe huko, nami nitatwaa sehemu ya roho iliyo juu yako na kuiweka juu yao; nao watachukua mzigo wa watu hawa pamoja nawe, ili usiuchukue wewe peke yako." Inawezekana hata kwako Maaskofu au Wachungaji au Kanisa wamekuchagua au kukuteua ili uwe kiongozi safi wa kiroho. Swali langu je unatumika vyema na kwa utakatifu tena kwa kusudi la MUNGU? Je hujabadilika na kujiinua baada ya kupewa uongozi? Je nafasi uliyopewa haijakutumia vibaya? Ushauri wangu katika ujumbe huu nakuomba uwe kiongozi wa kiroho aliye mzalendo. Kiongozi wa kiroho mzalendo ni yupi? Kiongozi wa kiroho mzalendo ni Mtumishi wa MUNGU ambaye anaipenda kazi yake na anatimiza majukumu yake vyema kwa kusudi la MUNGU. Mzalendo wa kweli hawezi kuonea watu, hawezi kutoa wala kupokea rushwa tena mzalendo hawezi kufanya kazi ya MUNGU kwa ulegevu. Ndugu uliyeitwa kumtumikia Bwana YESU hakikisha unakuwa mzalendo kwenye kazi yako ya kiroho uliyopewa na MUNGU. Ngoja nikutajie Kibiblia baadhi ya kazi za viongozi wa kiroho. 1. Kulitunza na kulilinda kundi la MUNGU. Matendo 20:28. Yaani kuhakikisha mafundisho ya mashetani ama hayawafikii Kanisa la MUNGU au kuhakikisha hayo mafundisho ya mashetani hayawageuzi Kanisa hata wakamuacha YESU Mwokozi. Unalindaje kundi la MUNGU? ✔Kwa wewe kuwafundisha Kanisa kweli ya MUNGU ya Wokovu wa KRISTO YESU. ✔Kwa kuwaonya Kanisa ili wasitekwe na mafundisho yaliyo kinyume na Wokovu wa Bwana YESU KRISTO. Hakikisha pia unajua kufundisha Neno la MUNGU kwa usahihi wake(1 Timotheo 3:2) Kama hujui jifunze na soma sana Biblia. 2. Kulilisha Kanisa na kulichunga. 1. Petro 5:1-4 Unalilisha Kanisa kwa kulifundisha Neno sahihi la MUNGU. Unalichunga Kanisa kwa kuhakikisha hakuna kondoo anatekwa na mawakala wa shetani. 3. Kutawala vyema. 1 Timotheo 5:17-18 Kutawala vyema ni jukumu lako kama kiongozi wa kiroho. Viongozi wengi wa Kiroho husema kwamba lawama huwa hazikosekani lakini Mimi nakumbia kwamba isiwemo lawana hata moja uliyoisababisha wewe. Pia katika kutawala kumba na epuka kutumikiwa wewe. Bwana YESU mwenyewe alisema kwamba alikuja kutumika na sio kutumika, yaani kipindi Bwana YESU yuko duniani katika mwili kama wa kwetu alikuwa anatumika na sio kutumikiwa, hata sisi katika mwili tutumike na sio kutumikiwa. Kwa sasa tunatakiwa tumtumikie sana Bwana YESU maana yuko sasa katika utukufu wake, hivyo sisi wote yaani viongozi na wasio viongozi tumtumikie Bwana YESU na sio sisi viongozi tuwe watu wa kutumikiwa. Ndugu tawala huku ukiwa Mtumishi na sio mtumikiwa. 4. Kulishika Neno la MUNGU na kulifanyia kazi. Tito 1:9 Kiongozi wa kiroho lazima uwe na mfano katika kulitii Neno la MUNGU na kulifanyia kazi kwa kusudi la MUNGU. Hakikisha unakuwa kielekezo chema kwa mema. Sio wewe unaagiza kwa ukali kwamba Kanisa waingie katika maombi ya kufunga huku wewe wala huna mpango wa kufunga, sio unaagiza watu kutoa fungu la kumi huku wewe huwa hutoi. Ndugu, hakikisha unakuwa kielelezo chema katika mema yote. 5. Kuwatembelea watu na kuwaombea. Yakobo 5:14-15. Kuwatembeleawatu sio mpaka ufike kwao ila hata kujua hali zao inapobidi kisha unawaombea ni jambo jema. Ikiwepo nafasi ya kuwatembelea basi fanya hivyo na kuwaombea. Ni jukumu la Kanisa kulijenga Kanisa la MUNGU. MUNGU akubariki Sana. By Peter Mabula. Mtenda kazi katika shamba la Mwokozi YESU KRISTO.
@devisshirima6780
@devisshirima6780 3 жыл бұрын
Na ni kweli hakuna baraka za bure, sadaka ni muhimu sana, huwezi kupokea bila kutoa. Hata watu wa duniani mfano waganga wa kienyeji hata mizimu haiwezi kufanya jambo bila sadaka, sasa kwa Mungu mtu anaona ukakasi gani kutoa sadaka? Mimi kwenye suala la kutoa sadaka sintoacha kutoa and siwezi kujudge kuhusu utoaji, kama Baba yetu Abraham aliweza kufikia hatua ya kutaka kumtoa Isaka kama sadaka mimi ni nani nisitoe sadaka hata iwe ni shilingi ngapi kama Mungu kanijalia pumzi na pumzi hiyo inanisaidia kutafuta riziki kwanini nisitoe sadaka? Jaribu kufikiri ingelikuwa binadamu anaenda kituoni cha mafuta kama ilivyo gari kujaza uhai leo hii usingeliitafuta pesa ili uendelee kuwa hai ? Tunaamini Mungu yupo na ndiye atupaye zawadi ya uhai kwanini usitoe sadaka ? Na sadaka hiyo unaweza kuitoa kwa namna mbalimbali ambayo Mungu atakugusa !! Hivyo kama una pumzi jifunze kumtolea Mungu na unapotoa usianze kuuliza nilichokitoa kimeenda wapi au kwa nani, Wewe toa na umshukuru Mungu !!!
@bonnyngowo7567
@bonnyngowo7567 5 жыл бұрын
Mbona hatu-compromise tunapopewa masharti na waganga wa kienyeji?
@ndikuriyolisa4329
@ndikuriyolisa4329 3 жыл бұрын
Nimebahatika kujioneya matendo makuu mungu anamutumikisha mutumishi wake apporte suguye Naomi nikatamani Siku moja Ani ombeye
@rechoanjelo3173
@rechoanjelo3173 5 жыл бұрын
Sio kweli uongo
@leahmwankundile8522
@leahmwankundile8522 6 жыл бұрын
kukamuliwa tu pesa
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 3 жыл бұрын
Kama alikuja kiwiliwili tu huyo alikuwa abilisi mzimamzima. Ujue wengi hawajui kuwa ibilisi anaweza kujifanya malaika ata akaja kwa sura yoyote.
@edwardmsaso7311
@edwardmsaso7311 4 жыл бұрын
Watu wanahoji kwamba kama wewe n mtumishi kweli nebda kafufue watu hospitali,mbna viziwi wapo,mbna hiki hakiko xawa,kweli dhahabu safi usafishwa kwa moto,binadamu hata ufanye nn bora ndio kwanza watakubebesha mzigo zaidi,hata Yesu mwenyewe walimuambia ivoivo kwamba anatoa mapepo kwa nguv ya baalzebuli,na Yeye mwenyewe alisema,mtumwa gawezi kumzid bwana wake,hatuwashangai jaman wanadamu hata leo Yesu angefika leo inawezekana tungemfanyia vibaya zaidi kuliko wale wa kale,Neema ya Mungu itujilie vinginevo adui yetu ametufunga vutambaa vyeusi atuoni
@happymaghobe7275
@happymaghobe7275 3 жыл бұрын
Hata yesu alijaribiwa kwa kuambiwa kama kweli ww mwana wa Mungu geuza jiwe kua mkate kwaiyo iyo unayoiona ni sauti ya shetani kupitia mwanadamu
@mropetbjoshotz334
@mropetbjoshotz334 6 жыл бұрын
Amen Mungu akuzidishie Upako
@mariamarua804
@mariamarua804 6 жыл бұрын
mimi akaa America naomba unitumie number yako na mimi ya kwangu 443 500 7447 hiyo hapo
@verocioucphabrius2031
@verocioucphabrius2031 2 жыл бұрын
Amen
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 5 жыл бұрын
Kabisa Papa
@ndikuriyolisa4329
@ndikuriyolisa4329 3 жыл бұрын
gisina ona mungu akimutumikisha kwawengine Nami mungu atamutumikisha kwama isha yangu nayafamiliya yangu
@AnnaAnna-ip6bt
@AnnaAnna-ip6bt 6 жыл бұрын
Nabarikiwa sana ninapoitaza WRM
@winnyandrea555
@winnyandrea555 5 жыл бұрын
mtumishi wa Mungu tutembelee Arusha
@winnyandrea555
@winnyandrea555 5 жыл бұрын
utoaji na michango ni kila kanisa
@scollorpatrick7214
@scollorpatrick7214 5 жыл бұрын
Wachungaj kwanza matapeli ila iposiku mtakufa tu namali zenu mtaziacha yan mtu unashindwa kwenda kanisani kisa michango kamann looooo
@marrysamwel1030
@marrysamwel1030 2 жыл бұрын
Bwana yes asifiwe mtumishi nahitaji huduma ya maji na mafuta napataje naitwa marry samweli kutoka moshi
@richestcousin
@richestcousin 6 жыл бұрын
Tafuteni Interviewers wazuri...
@mathayojoseph4733
@mathayojoseph4733 5 жыл бұрын
Mm uwa najiuliza sana hivi hao malaika huwa nikwaajili yenu tu au wawote maana kila nabii alitokewa na malaika
@magynzioka1122
@magynzioka1122 6 жыл бұрын
Nyani njirani zetu Tanzania mungu yu pamoja nanyi yani ukifa unafufuliwa haaaaa manabi mungu ana waona sasa mwataka ulizi wa nini na Mungu alikupa uwezo wa kufufua Yesu ataki security ukuwa nae una security Mungu ana kuona ata setani anjua mahadiko
@goldmansun5859
@goldmansun5859 6 жыл бұрын
tuonyeshe yupi wa Mungu, huyo mganga aliyekusaidia siyo,sura za kifarisayo unafik tu,mtukuze Mungu hata kwa matendo yak bas we mnafiki
@goldmansun5859
@goldmansun5859 6 жыл бұрын
Daud alikuwa akilindwa,na Israel walikuwa na jesh wakat wa Mussa,si wangelala tu Mungu mbna alikuwa palepale
@elizabethcharles875
@elizabethcharles875 5 жыл бұрын
Yaaan nishida sana
@clementinamolel1216
@clementinamolel1216 4 жыл бұрын
Nauache kutumia maandiko ya kwenye bibilia kukashifu karama na vipawa mungu alivyo wala watu wake wengine mnakashifu wakati mnamatatizo mengi adi umeyakatia tamaaa I think we should try hard to thing perfect rather than to think less concerning the men of god because I am not so sure if your life is perfect
@atukuzwemungudaimaariseand6156
@atukuzwemungudaimaariseand6156 6 жыл бұрын
Ahsante kwakutuhudumia jamii
@mathalusako4108
@mathalusako4108 6 жыл бұрын
Usyeamini utabaki hivyo uluvyo. Neri waaminio
@saidirajabu5182
@saidirajabu5182 5 жыл бұрын
Namkubali sana nabii mungu amjalie maisha marefu
@halimamgas6402
@halimamgas6402 5 жыл бұрын
Wewe unaempinga usiwe una angalia alafu uja wahi kupata shida
@tumapretty224
@tumapretty224 5 жыл бұрын
Mungu akutunze
@asumantemba5625
@asumantemba5625 5 жыл бұрын
Mungu akutunze baba
@magrethstanford9175
@magrethstanford9175 5 жыл бұрын
Nakuamini bila maswali baba yangu no 1
@binurarassi8156
@binurarassi8156 6 жыл бұрын
Mungu akupe maono zaidi.
@victoriacostantine5975
@victoriacostantine5975 6 жыл бұрын
Asante sn baba Mungu akupe nguvu zaidi
@leahmwankundile8522
@leahmwankundile8522 6 жыл бұрын
Ghaghabu ya Mungu inakuja juu ya hao Mungu anahasira sana
@elizabethcharles875
@elizabethcharles875 5 жыл бұрын
You are true
@happyarooun6037
@happyarooun6037 5 жыл бұрын
liongo kweli mungu hajawahi sema na mtu anaongea kupitia manabii
@lucasezekiel8851
@lucasezekiel8851 5 жыл бұрын
Anatoza pesa uyo ukienda ofcn kumwona,,,loooh utumish gan huo
@trophainamagogwa1163
@trophainamagogwa1163 5 жыл бұрын
Lucas Ezekiel unauhakika Mpendwa? Maana hata Nabii mkuu anaomba pesa za kigeni kabisa
@josephmachoke8247
@josephmachoke8247 4 жыл бұрын
Mungu anakuona
@leahmwankundile8522
@leahmwankundile8522 6 жыл бұрын
global Tv nahitaji mahojiano nanyinyi nipeni utaratibu Nina ujumbe toka kwa Mungu juu ya hao watumishi
@juliuskimeyj193
@juliuskimeyj193 6 жыл бұрын
hello dada leah. naomba kama hutojali tuwasiliane
@juliuskimeyj193
@juliuskimeyj193 6 жыл бұрын
juliuskimey@gmail.com
@nicholausmakundi2663
@nicholausmakundi2663 6 жыл бұрын
Leah Mwankundile hahaa Leah...
@syliviamshanga6357
@syliviamshanga6357 6 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi WA Bwana
@estermunis29
@estermunis29 4 жыл бұрын
Acha kubesa watumishi wa mungu
@alumasialoyce8303
@alumasialoyce8303 2 жыл бұрын
tumshukulu mungu kwa kila jambo
@bekabakari7857
@bekabakari7857 2 жыл бұрын
Mtangazaj kwakweli maswali unayouliza sidhan km unajielewa kujenga kanisa kubwa linahusiana na nn
@josephkisembe6663
@josephkisembe6663 6 жыл бұрын
Alikua amezimia.kama nikweli nenda mochwari kafufue walio lala.
@levinamtui489
@levinamtui489 6 жыл бұрын
Mungu akusamehe kwa kuto kuamini kwako ila jua kuwa hata Yesu hawakumwamini pia
@jacklineraymond7946
@jacklineraymond7946 6 жыл бұрын
ole wao wawasemao vibaya manabii wa MUNGU,, bara ukae kimya rafiki yasije yakakutokea ya wale vijana 42 waliomdhihaki Elisha nabii
@johncapera537
@johncapera537 6 жыл бұрын
Joseph Kisembe Joseph usemayo yote hayajakukuta ila mungu akusamenhe na kauli yako ulotoa si akili yako
@feyzalyusuph14
@feyzalyusuph14 6 жыл бұрын
mkuu kuna watu waongo duniani huyo jamaa namba 1 wanatokewa na majini wanakuja kutudanganya
@zainulmustapha7912
@zainulmustapha7912 6 жыл бұрын
feyzal Yusuph hii ni hatari sana tuwe makini na hawa manabii bandia
@nehemiaboniphace9239
@nehemiaboniphace9239 6 жыл бұрын
tunaomba ututembelee shinyanga kwani wengine hatuna uwezo wakufika huko ila tunamatatizo makubwa sana
@janesuma2193
@janesuma2193 6 жыл бұрын
Nehemia Boniphace muombe Mungu aondoe matatizo yako utamtegemea mwanadamu mpaka lini
@irrexjr9061
@irrexjr9061 3 жыл бұрын
Jina la Yesu linajitosheza halihitaji kusaidiwa na chochote hizo ni biashara tu
@gabrielsaelie8091
@gabrielsaelie8091 3 жыл бұрын
Yesu Kristo alißema majii ya uzima nitawapa bure. Leo Hawa manabii wanauza huduma wanaosema Wana uweza wa kuzitenda. Manabii Hawa ni waongo waliojipatia nguvu kutoka kwA shetani. Badala ya kuhubiro wokovu wa Kristo Yesu wanaohubiri utajiri. Seguye waziwazi through body language ansonekana wazi ni mwongo.
@theopistermuhozya1017
@theopistermuhozya1017 2 жыл бұрын
Uwe hai baba nikuona ubalikiwe
@elizabethcharles875
@elizabethcharles875 5 жыл бұрын
Mmmmmm neno linasema siku za mwisho watatokeaaa manabiii wa uongoooo
@fcfrebu
@fcfrebu 6 жыл бұрын
Uwe Hai.
@barikiarastus8770
@barikiarastus8770 6 жыл бұрын
Buberwa Mujuni yesu yu hai
@tumainijmmbaga7654
@tumainijmmbaga7654 2 жыл бұрын
Yesu yu hai
@njomenongerezuka7758
@njomenongerezuka7758 6 жыл бұрын
Hizo ni njaa tu
@elikajames9675
@elikajames9675 5 жыл бұрын
Nabii naomba kuuliza ww unaombea watu wanapona vilema church kwako wanatembea ukimwi kansa wanapona sasa unafeli wapi kuwaokoa watu hospital jmn kama ww kwel ni nabii wa ukwel watu wanakufa wafufue BA's tukuamin
@andrewdevangwammari
@andrewdevangwammari 4 жыл бұрын
Jibu Rahisi, Je Kuna kazi Isiyo Na ofisi? Hosipitali Ni Ofisi Ya Madaktari, Manabii Wanaofisi zao. Wanaomtaka Mungu Wamfuate Ofisini kwake.
@blessingalphonce4443
@blessingalphonce4443 4 жыл бұрын
Mm acha maswali hayo bhana nabii wa kweli anatambulika kwa maisha yake na matendo yake prophète suguye m'aisha yake tu na mungu anavyomtumia inatosha kujua kuwa nabii wa l'élu, Nathan umeelewa
@oliverlaulence7294
@oliverlaulence7294 6 жыл бұрын
uwe hai
@beatricenicholausiwasa7601
@beatricenicholausiwasa7601 6 жыл бұрын
YESU YU HAI
@anastanziaamasiamosi2271
@anastanziaamasiamosi2271 4 жыл бұрын
Wapendwa naomba msaada wa huduma ya Namba ya Nabii nashida naye au kama yeye haiwezekani mnipe ya wasaidizi wake
@chrismassawe326
@chrismassawe326 6 жыл бұрын
Huyo malaika Alikupa agizo lipi?ufanye nini?musa alitumwa kutoa watu utumwan,eliya mtishbi kujenga madhabahu ya BWANA,yesu alitumwa kuokoa watu na dhambi zao,Eliya adam wapili alitumwa amjengee MUNGU kanisa wewe unaagizo lipi?usanii mtupu
@kananaester9255
@kananaester9255 6 жыл бұрын
chris massawe mwmbie imekuw kubw
@kananaester9255
@kananaester9255 6 жыл бұрын
chris massawe haujui mung hapatan na machoz
@danielpatrickrobert125
@danielpatrickrobert125 6 жыл бұрын
chris massawe ndio nan adamu wa pili
@danielpatrickrobert125
@danielpatrickrobert125 6 жыл бұрын
chris massawe good
@linaaloys2585
@linaaloys2585 6 жыл бұрын
Daniel Patrick Robert .huyu Nabii nimeenda kwake hanijui simjui toka nasoma navaa miwani aliniambia miwani leo mwisho nimefika nyumbani naanza kutuma SMS bila miwani mpk leo sivai miwani
@goldmansun5859
@goldmansun5859 6 жыл бұрын
watu wanashangaa malaika,mbna kwa mkristo aliyeokoka ni kawaida,ila tofaut anakuja kufanya nini
@anitaemanuel3652
@anitaemanuel3652 5 жыл бұрын
nsaidie jaman Niko mbali
@anitaemanuel3652
@anitaemanuel3652 5 жыл бұрын
nsaidie jaman Niko mbali
@feyzalyusuph14
@feyzalyusuph14 6 жыл бұрын
eti yesu kanitokea ngoja nishuke hili gari nililopanda sio
@ashuraalex7006
@ashuraalex7006 6 жыл бұрын
feyzal Yusuph mtu wa mwilin ni vigumu sana kumtambua mtu rohoni sio kosa lako
@feyzalyusuph14
@feyzalyusuph14 6 жыл бұрын
+ashura Alex muulize huyo jamaa yesu yupoje?,,hata anavyoongea unaona kabisa ni muongo tumia akili kufikiri vitu vingine sio mpaka malaika akushukie
@feyzalyusuph14
@feyzalyusuph14 6 жыл бұрын
+ashura Alex maji ya ubavuni mwa yesu jaambiwa yeye na mungu 😊😊
@ashuraalex7006
@ashuraalex7006 6 жыл бұрын
Jitoen balazan mwa watu wenye mzaa na neno la mungu na mimi najitoa
@Petcogaminghub
@Petcogaminghub 6 жыл бұрын
feyzal Yusuph unaongea sana ww unann
@millionairejeffreysunofbez3766
@millionairejeffreysunofbez3766 4 жыл бұрын
Nabii wa uongo ....tunawajua kwa matendo yao
@estermunis29
@estermunis29 4 жыл бұрын
Wa ukweli ni yupi unaemjua
@millionairejeffreysunofbez3766
@millionairejeffreysunofbez3766 4 жыл бұрын
Mathayo 24: 24, kasome kwa muda wako, uyo sio nabii wa Jehova, kuombewa unalipia , pia kumuona unalipia,
@mankamushi7053
@mankamushi7053 6 жыл бұрын
next week naenda matembele
@dyanatanz6574
@dyanatanz6574 6 жыл бұрын
manka mushi 😀😀😀😀😀😀😀😀😀
@dyanatanz6574
@dyanatanz6574 6 жыл бұрын
manka mushi nenda bwana
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Nabii suguye wewe hutoi misaada kama geodavie kwa maskini na wenye uhitaji unabii wako ni bure una ubinafsi
@feyzalyusuph14
@feyzalyusuph14 6 жыл бұрын
hahaha wacha nicheke kwanza maana watu wameaoma ila elimu zao ni bure bible wanaisoma kma gazeti wacha waibiwe tu maana hakuna namna
@christinastiven7676
@christinastiven7676 6 жыл бұрын
Amina nabii nichorous suguye
@dorckasidafa3443
@dorckasidafa3443 6 жыл бұрын
Umeonae feyzal wakat biblia inasema wokovu hauuzwi
@goldmansun5859
@goldmansun5859 6 жыл бұрын
we ndo unaisma ka gazet,kasome come n comment
@goldmansun5859
@goldmansun5859 6 жыл бұрын
acha Mungu atukuzwe acha unafiki
@goldmansun5859
@goldmansun5859 6 жыл бұрын
YESU hakutumia upanga kuhubir
MY WIFE LEFT ME WITHOUT NOTICE- PK KARITEI
1:19:01
JEFF KURIA
Рет қаралды 5 М.
NABII TITO AWAKEMEA WANAO MTEMA MATE
8:52
Smart Visual Productions
Рет қаралды 41 М.
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 7 МЛН
THEY made a RAINBOW M&M 🤩😳 LeoNata family #shorts
00:49
LeoNata Family
Рет қаралды 41 МЛН
DAD LEFT HIS OLD SOCKS ON THE COUCH…😱😂
00:24
JULI_PROETO
Рет қаралды 13 МЛН
Best father #shorts by Secret Vlog
00:18
Secret Vlog
Рет қаралды 22 МЛН
NYWELE NA KUCHA UTAONDOKA NAZO KWENU NABII SUGUYE (PARTY 2)
16:26
Sijawahi Kusema, Ninao Maadui Mtume Mwamposa
41:00
Chomoza Tv
Рет қаралды 54 М.
BOKASSA: Rais Mjinga Na Kituko Cha Karne Ya 20
18:32
Global TV Online
Рет қаралды 614 М.
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 7 МЛН