Ukiota Mchele Katika Njozi Yako Ukiwa Umepikwa Au Mbichi Jiandae Na Haya - Sheikh Khamis Suleyman

  Рет қаралды 51,428

MASJID MTORO ONLINE TV

MASJID MTORO ONLINE TV

Күн бұрын

Ukiota mchele katika njozi ukiwa mbichi umepikwa au unakula. basi Tafsiri zake ni hizi juu ya wewe muotaji.
#masjid_mtoro_onlinetv #Ulimwengu_wa_njozi #Ukiotamchele.

Пікірлер: 75
@ibrahimbaila7764
@ibrahimbaila7764 13 күн бұрын
Mgekua mnaenda kwenye mada ingekua sawa sana . Ila mkianzaaa vifungo vifungo kwenye korowani . Hua mnafanya mada kua mrefuuuu
@irinenanciebarasa5566
@irinenanciebarasa5566 2 ай бұрын
Asante Asante Asante sana kunifafanunulia mchele niliota napewa mchele imepikwa na rafiki wangu wa karibu sana...Asante MUNGU akubariki sana kufafanua maana ya mchele kwenye ndoto
@bbb6nnn561
@bbb6nnn561 3 жыл бұрын
Mimi nimeota mchele chungu kipo jikon lkn niko mbali sana natafuta maisha lkn ni maisha mazito ninayo pitia magumu lkn alhamdulilah kesho kutwa na maliza mkataba lkn mazito na magumu sana daah inshaallah kher
@JudithWanyonyi-cp6mq
@JudithWanyonyi-cp6mq Ай бұрын
Asante mtushi
@mariamumakala6146
@mariamumakala6146 2 жыл бұрын
Nimeota nataka nichukue mchele nikapike, lkn kuangalia mchele wenyewe kwenye ndoo upo kidogo sana hautoshi nikamimina kwenye ungo cha ajabu naona mwingi ambao utatoshea kwa watu wote, nikashangaa kuona mchele mwingi baada kumimina nikaa kwenye kigoda nianze kupika mama anakuna nazi nikashtuka kabla sijapika nini maana yake
@jainaboman8952
@jainaboman8952 4 жыл бұрын
Shukuran shekhe kwasomo nzur
@abedkarume9088
@abedkarume9088 4 жыл бұрын
Shukran ya shekh khamis suleiman
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 4 жыл бұрын
Shukran sana
@mariammariam642
@mariammariam642 4 жыл бұрын
Maasha Allah 🙏🙏
@lydiarichard
@lydiarichard Жыл бұрын
🙏🙏🙏
@allykiza8336
@allykiza8336 3 жыл бұрын
Assalamu alayka SHEKHE nimekusikia vizuri tu na Allah akupe uhai mrefu wenye faida. Shekhe hii nukta hujaizungumzia sasa MTU akiota anakula mchele ambao umepikwa kipengele hicho kina maana gani????
@omarjuma2518
@omarjuma2518 4 жыл бұрын
In Sha Allah
@aishajuma468
@aishajuma468 Жыл бұрын
Asante kk
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 2 ай бұрын
Mm nimeota kunajiran yangu wa zaman kafanya sherehe kubwa sana wamepika mapilau na nyama z bata tupu watu wanakula mm kila nikitaka kula naona aibu kwenda kuchukua sahan mana hawajanialika
@johnjoseph9872
@johnjoseph9872 3 жыл бұрын
Asante kunijulisha
@mrsramso7019
@mrsramso7019 4 жыл бұрын
Shukran sheikh
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 4 жыл бұрын
Ahsant
@AhmedAlharithiy-sg5cq
@AhmedAlharithiy-sg5cq Ай бұрын
Samahani sana shekhe mada nzuri nakuomba uhakiki aya inavyo somwa sivibaya ukampata shekhe mwengine akakurekebisha
@mzeemwamguno9367
@mzeemwamguno9367 4 жыл бұрын
Shukraniii Sana sheikh wangu
@najmanidengo4466
@najmanidengo4466 3 жыл бұрын
Mm huwa na ota mchele ambao bado upo shambani lkn umenawiri sana kila mara hii ndoto inajirudia
@emmyyahya8358
@emmyyahya8358 4 жыл бұрын
Inshallah Allah atufanyie wepesi atuepushe na mabalaa
@agreysaimon7817
@agreysaimon7817 3 жыл бұрын
Inshaallah
@khadijahamina8457
@khadijahamina8457 9 ай бұрын
amin
@chrislacarin4332
@chrislacarin4332 3 жыл бұрын
Somo nzuri sheh
@tameemashaa5234
@tameemashaa5234 4 жыл бұрын
Shukran
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 4 жыл бұрын
Ashsant
@user-el8gm1wh4b
@user-el8gm1wh4b 10 ай бұрын
Maashaallah
@fahadsanad4163
@fahadsanad4163 4 жыл бұрын
Shekh nimeota mtoto wangu amenajiziwa na anatokwa damu nyingi sana hadi awezii kutembea
@mariahmnjeja3524
@mariahmnjeja3524 Жыл бұрын
Watu wamechezea nyota yako fanya maombi wamekuchafua
@rkenea4262
@rkenea4262 4 жыл бұрын
Ya salam
@gracenkwazi7361
@gracenkwazi7361 2 жыл бұрын
Amiin
@mzeemwamguno9367
@mzeemwamguno9367 4 жыл бұрын
Mm niliota mchele umepikwa umewekwa rangi nyekundu ikawa watoto washule wameunga foleni wapakuliwa Wale mm sikufanikiwa Kuula sababu alikuja rafki yangu kunichukua tuondoke nn maana ya hii ndoto sheikh wangu
@nduwimanahafsa4611
@nduwimanahafsa4611 10 ай бұрын
Nimeota navunaa muuceleee nanikweli kilakitu nakipataa kwaaa shiiidaaaa😢😢😢😢 mimii
@sityjuma3049
@sityjuma3049 2 жыл бұрын
Iv sheh nikuulize kila ukitfsri ndoto unapenda kuzungumziya mali biashara kwann tafsr zako zote zinafanan kila siku unazungumziya ayo kwa ayo samahn lkn shehe wangu
@rizikisebe890
@rizikisebe890 4 жыл бұрын
Mashaallah shukran
@sarumdogotwaasaru1550
@sarumdogotwaasaru1550 4 жыл бұрын
asante sana shekhe
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 4 жыл бұрын
Shukran sana
@ummoislam4832
@ummoislam4832 4 жыл бұрын
Shukran shekh
@jamalmahfoz7274
@jamalmahfoz7274 4 жыл бұрын
Assalaam aleykum naomba kujuwa tafsiri ya ndoto nth kuota ati ametoka jino tafsiri yake
@moussenmigomen8281
@moussenmigomen8281 Жыл бұрын
💞💞
@patricksindakila1909
@patricksindakila1909 6 ай бұрын
mimi niliota nakula wala maragi kanisani na marafiki yangu
@rukiabaybe8594
@rukiabaybe8594 4 жыл бұрын
Je kuota mpunga
@GloryKomba
@GloryKomba 2 ай бұрын
Nimeota mama angu kabeba sufulia ina mchele uliopikwa hii inamaan gani
@evermoris2794
@evermoris2794 Жыл бұрын
Nimeota naandaa wageni Mimi namama yangu twawasambazia sahani za wali
@lennowamambaclassc4763
@lennowamambaclassc4763 3 жыл бұрын
Asalam alykum mm ostadh mm nimeota mchele ndio na utawadhia ili nipate udhu nikaswali
@patricksindakila1909
@patricksindakila1909 6 ай бұрын
mimi nililota nina kula muchele na maharage kanisani
@simonseth8816
@simonseth8816 2 жыл бұрын
Ukiota ndoto unacheza Mpira wa miguu maana yake nini
@nifasiha7918
@nifasiha7918 2 жыл бұрын
Mimi naotaga marais wa Africa, wasanii kama wakubwa wa Tanzania nini ? Maana yake
@aminasultan8735
@aminasultan8735 3 жыл бұрын
Shehe Mimi nimeota naushika mchele na nimetoka kuumwa na badonaendelea na tiba Nini maanayake nijibu tafadhali
@bintimbuto5740
@bintimbuto5740 3 жыл бұрын
Je ukiota mchele uko kwenye mfuko alafu ukaibiwa nikabaki na unga na maharange ihi inamaana ngani?
@fauziaomary4440
@fauziaomary4440 Жыл бұрын
Asalaam aleykum Mm nmeota nampakulia chakula(wali) marehem lkn chakula hakitosh na nilipika kikiwa cha kiasi lkn huyo marehemu sjampa hcho chakula
@zeyanaadam1382
@zeyanaadam1382 3 жыл бұрын
Shekh mm nimeota naenda kununua mchele hii Ina maan gan
@khadijashehe1990
@khadijashehe1990 3 жыл бұрын
Nimeota mchele umo katika vikapu 2 tofauti ina maana gani?
@mariammussa6323
@mariammussa6323 2 жыл бұрын
Ukikuta wanachambua mchele
@saadahassan1437
@saadahassan1437 3 жыл бұрын
Shekhe nimeota baba alishafariki yupo na mpangaji wetu wamenipa mchele nilipokua naaga nataka kuondoka ila akunambia neno lolote lile nini mana yake
@kidotitv5527
@kidotitv5527 2 жыл бұрын
Mm nmeota naosha mchele
@Raya-em8wz
@Raya-em8wz 4 жыл бұрын
Asalam aleykum shekh jee ukiona unatafuta mchele hii je inamaana gani
@allykiza8336
@allykiza8336 3 жыл бұрын
Sasa mtu akiota anakula mchele ambao umeshapikwa nn maana yake?????????
@azizahasan2851
@azizahasan2851 2 жыл бұрын
Shekhe mm nimeota unga wa muogo na unga wa mahind tunafunga kwenye mifuko ili tugawe sadaka kwa maskini nn maana yake
@zawadihamisi5270
@zawadihamisi5270 Жыл бұрын
Mm huwa naota nakula pilau nn mana yke
@chizikombo308
@chizikombo308 3 жыл бұрын
Kama umeota unakula mchele ama pilau vile nn maana yake
@rahmachangwila6530
@rahmachangwila6530 2 жыл бұрын
Ukiota unampiga nyoka maana yake Nini badae kujibdisha mtu
@hawa8958
@hawa8958 Жыл бұрын
Je ukiota unampa mtu chumvi nini maana yake sheikh please 😒😢h
@Maryam-kl6gj
@Maryam-kl6gj 3 жыл бұрын
Mimi nmeota napika mchele ninitafsir yke?
@dorcasmueni3221
@dorcasmueni3221 Жыл бұрын
Na ukiota unakula mchele?
@jacklyncharles3902
@jacklyncharles3902 4 жыл бұрын
Shehe Nisaidie nimeota navuna mpunga shamban nini maana yake
@kopgdydrtyh7923
@kopgdydrtyh7923 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣nyoka tena
@esharamadhan7315
@esharamadhan7315 4 жыл бұрын
ukiota mtu anajinyonga
@athumanzahir8316
@athumanzahir8316 2 жыл бұрын
🤣🤣
@hassanbinally7127
@hassanbinally7127 4 жыл бұрын
Sheikh ukiota mjomba wako mtoto wa dada kua amefariki nini maana yake?
@BrysonMoses-ly7xk
@BrysonMoses-ly7xk 5 ай бұрын
Mm nmeota nakula wali na mama yangu pamoja na marafiki zangu hii ni mara ya pili
@user-wd7eg4ql2i
@user-wd7eg4ql2i 4 ай бұрын
Pole sana
@khadijashehe1990
@khadijashehe1990 3 жыл бұрын
Nimeota mchele umo katika vikapu 2 tofauti ina maana gani?
@esharamadhan7315
@esharamadhan7315 4 жыл бұрын
ukiota mtu anajinyonga
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 43 МЛН
Can A Seed Grow In Your Nose? 🤔
00:33
Zack D. Films
Рет қаралды 21 МЛН
1,000 Diamonds! (Funny Minecraft Animation) #shorts #cartoon
00:31
toonz CRAFT
Рет қаралды 38 МЛН
NDOTO ZINAZOHUSIANA NA SAFARI KINYOTA
8:39
Utabiri Wa Nyota
Рет қаралды 47 М.
Ukiota Na Mtoto Ina Manisha Nini?
2:17:41
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 25 М.
Aliyemuona Rais katika ndoto Sheikh :Jafari Mtavassy                        mfasiri bingwa wa ndoto
14:20
UKIOTA NYAMA YA KUKU INAASHIRIA NINI NDOTO NI 0657990471 DR HUD HUD
3:39
JITIHADA ONLINE TV
Рет қаралды 9 М.
TAFSIRI ZA NDOTO ZA MATUNDA EP 1 / Imamu Mponda
12:07
Mponda Media
Рет қаралды 8 М.
UZITO MFUNZE KUTAJA MANENO HAYA YENYE KUFUNGUA HARAKA MAISHA YAKO
1:16:47
OTHMAN MICHAEL ONLINE
Рет қаралды 38 М.
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 43 МЛН